NBC ilikabidhi rasmi malori 13 kwa Vyama Vikuu vya Ushirika vya RUNALI na Lindi Mwambao vya mkoani Lindi, na hivyo kufanya idadi ya malori yaliyotolewa na benki hiyo kwa vyama vya ushirika kufikia 28.
At the exhibition’s climax, NBC handed over 13 trucks to RUNALI and Lindi Mwambao Cooperative Unions in Lindi Region, bringing the total number of trucks provided to cooperative unions to 28.