Mada zilizoorodheshwa
MICHEZO 2 nukuu · 2 makala · 2 vyanzo

12 Economic Opportunities from Tanzania Hosting AFCON 2027

Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya 12 Economic Opportunities from Tanzania Hosting AFCON 2… · masasisho 2027 · imesasishwa 2 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo

Muhtasari

  • Kwa mujibu wa Aligaesha, mafanikio ya maandalizi na uendeshaji wa AFCON 2027 yataifanya Tanzania kuwa kitovu cha michezo barani Afrika, huku yakifungua milango ya kuandaa mashindano mengine ya kimataifa, kuvutia.
  • Akizungumza kuhusu fursa hizo, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa BMT, Aminiel Aligaesha, amesema AFCON 2027 ni tukio la kihistoria litakalofanyika kwa mara ya kwanza Ukanda wa Afrika Mashariki na.
  • Kwa mujibu wa Aligaesha, AFCON 2027 pia itachochea maendeleo ya soka nchini kwa kuhamasisha uwekezaji katika akademi za vijana, ukocha, urefa na ukuzaji wa vipaji, huku sekta ya afya ikitarajiwa kunufaika kupitia utoaji.
  • AFCON 2027 ni mwanzo wa ukurasa mpya wa maendeleo ya michezo na uchumi wa michezo nchini, na muda si mrefu tutatangaza utaratibu wa namna fursa hizi zitakavyopatikana,” amesisitiza Aligaesha.
  • DAR ES SALAAM; Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetangaza fursa 12 zitakazotokana na Tanzania kuwa mwenyeji mwenza wa Mashindano ya Mataifa ya Afrika AFCON 202, ambazo zitafungua zaidi milango ya maendeleo ya uchumi.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: 12 Economic Opportunities from Tanzania Hosting AFCON 2…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.