Mada zilizoorodheshwa
POLITICS Jul 8, 2026 3 nukuu · 3 makala · 3 vyanzo

Trump Declares End of Ceasefire Agreement with Iran

Vyanzo: dailynews.co.tz, globalpublishers.co.tz, swahilitimes.co.tz

Maelezo na vyanzo

Trump amesema makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran yamefikia mwisho, baada ya nchi hizo mbili kuanza kushambuliana.
swahilitimes.co.tz ↗
To me, I think it’s over. I don’t want to deal with them.
dailynews.co.tz ↗
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran “yamefikia mwisho” baada ya Iran kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani katika Mashariki ya Kati usiku wa kuamkia Jumatano.
globalpublishers.co.tz ↗
Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.