Approval of 10-for-1 Share Split by NMB Bank PLC
Vyanzo: michuzi.co.tz, mwananchi.co.tz, nukta.co.tz
Maelezo na vyanzo
wanahisa kuidhinisha mgawiyo wa rekodi na maazimio ya ukuaji wa kimkakati.
michuzi.co.tz โWanahisa wa benki ya NMB wamepitisha azimio la kugawanya hisa za benki hiyo kwa uwiano wa 1 kwa 10 hatua inayotarajiwa kuongeza idadi na kupunguza bei ya hisa za benki hiyo sokoni.
nukta.co.tz โIli kuhakikisha watu wengi wanapata fursa ya kununua hisa, benki hiyo imependekeza kufanya mgawanyo wa hisa kwa uwiano wa moja kwa kumi (1:10) ili kuongeza ushiriki wa wawekezaji wadogo na kuboresha uuzikaji wa hisa zake katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE).
mwananchi.co.tz โ