Maendeleo ya Rugby Tanzania

Katika makala hii, tunamwalika Bw. Anthony Dawa @elev8edtony, Katibu Mkuu wa Tanzania Rugby Union (TRU), akielezea mada ya: "TUNAKUZA VIPI MCHEZO WA RUGBY KUWA MAARUFU TANZANIA NA KUFIKIA USHINDANI WA KIMATAIFA".

Kipindi kimeratibiwa na Mtawala Radio na kurushwa chini ya Host @edgarmtawala6.

Tazama kipande cha video hapa Instagram