UMISETA
1What is UMISETA? Umoja wa Michezo Shule za Sekondari Tanzania. Tanuru la kuibua vipaji vipya kitaifa.
UMISETA โ News.
MWANZA MABINGWA WA UMISETA MARA TANO MFULULIZO, RC MTANDA ATOA PONGEZI
Mwanza yangโara UMISETA 2026, yatwaa ubingwa wa jumla
MWANZA: MKOA wa Mwanza umeandika historia mpya baada ya kutwaa ubingwa wa jumla wa Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) 2026, yaliyoshirikisha wanafunzi kutoka mikoa yoteโฆ
MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISETA NI MKAKATI WA KUJENGA VIJANA WENYE AFYA BORA โ PROF. SHEMDOE
Na OWM โ TAMISEMI, Iringa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoeโฆ
Mkakati waiva kukuza vipaji UMITASHUMTA, UMISETA
IRINGA: SERIKALI imetangaza mkakati mpya wa kitaifa wa kutambua, kusajili na kufuatilia vipaji vinavyoibuliwa kupitia mashindano ya UMITASHUMTA na UMISETA, hatua inayolenga kuhakikisha hakuna kipaji kinachopotea na kwโฆ
MKOA WA SINGIDA UMEPOKEA VIFAA VYA MICHEZO YA UMISETA, NAFASI ZA UFADHILI WA MASOMO KWA VIJANA 14 WATAJWA
What is UMISETA?
Umoja wa Michezo Shule za Sekondari Tanzania. Tanuru la kuibua vipaji vipya kitaifa.