⚽
NBC CHAMPIONSHIP LEAGUE
What is NBC Championship? The NBC Championship is Tanzania's second-tier national football league (Championship League), below the NBC Premier League.
NBC CHAMPIONSHIP LEAGUE — News.
Are you going to AFCON 2027?
Stadiums across Kenya · Tanzania · Uganda
Taarifa ya matumizi ya data
Data rasmi inasimamiwa na BetaTQ na uchambuzi rasmi wa data unapatikana Sokametrics. Hapa Nukta tunaonyesha ratiba, matokeo, na tunakuonyesha habari (redirects) zinazohusiana na mashindano haya.
| # | Team | P | W | D | L | GF | GA | GD | Pts |
|---|
No matches from today.
No past matches.
GEITA GOLD HAISHIKIKI, LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC IKIPAMBA MOTO.
LIGI ya Championship ya NBC msimu wa 2025/26 imezidi kupamba moto huku ushindani ukiwa mkali katika kila kona ya msimamo, wakati mzunguko wa 22 ukielekea kufungwa rasmi. Vinara Geita Gold wameendelea kuthibitisha ubor…
KILUVYA YASALIA LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC.
TIMU ya Kiluvya ya Mkoani Pwani imefanikiwa kubakia kwenye Ligi ya Championship ya NBC kwa msimu unaofuata baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Transit Camp hivyo kufanikiwa kubaki kwa ushindi wa jumla (aggregate) w…
MTIBWA SUGAR MABINGWA LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC 2024/2025.
TIMU ya Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Championship ya NBC msimu wa 2024/2025. Mtibwa Sugar kwenye mchezo wake wa mwisho hii Leo dhidi ya Kiluvya iliyochezwa kwenye uwanja wa Man…
SIMCHIMBA HASHIKIKI LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC
IKIWA imesalia mechi moja pekee kwa kila timu ya Ligi ya Championship ya NBC ufungaji wa mabao umeendelea kushika kasi huku mchezaji wa Geita Gold ya mkoani Geita Andrew Simchimba akiendelea kuongoza akiwa na mabao …
LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC YABAKIZA MIZUNGUKO MITATU
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) inautaarifu umma kuwa Ligi ya Championship ya NBC msimu wa 2024/2025 inaingia kwenye mzunguko wa 28 leo Jumamosi Aprili 26, 2025 ambapo kila klabu imesaliwa na michezo mitatu tu kabla …
MBEYA CITY WAKALI WA MABAO LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC.
JOTO la nani kwenda Ligi Kuu namba nne kwa ubora barani Afrika Ligi Kuu ya NBC linazidi kupanda huku timu ya Mbeya City ikiongoza kwa upande wa kufunga mabao mengi kuliko timu yoyote katika Ligi ya Championship ya NBC…
HAWA HAPA WABABE WA UWANJA WA NYUMBANI LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC.
LIGI ya Championship ya NBC inazidi kushika kasi ikiwa ni mzunguko wa 24 huku timu nyingi zikionyesha uwezo ambapo kila timu inataka kufuzu kwenda Ligi Kuu ya NBC msimu 2025-26 huku timu za Mtibwa Sugar, Mbeya City, …
HAUSUNG RASMI LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC
TIMU ya Hausung kutoka Makambako mkoani Njombe imekuwa timu ya kwanza kupanda daraja kwenda Ligi ya Championship ya NBC kutoka kundi A la First League. Hausung wenye alama 25 huku wakiwa wanaongoza kundi A wamefanikiw…
STAND, GEITA, MBEYA CITY MOTO HAUZIMI LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC.
LIGI ya Championship ya NBC imeendelea jana kwa michezo mitatu iliyoshuhudia mabao nane yakifungwa na magolikipa watatu wakimaliza michezo bila kuruhusu bao. Stand United ilikuwa mwenyeji wa Mtibwa Sugar ya Morogoro k…
HAUSUNG, RHINO VINARA MBIO ZA KUPANDA LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC.
LIGI ya First League inazidi kupamba moto kwenye viwanja tofauti huku timu za Hausang ya Makambako Njombe na Rhino Rangers ya Tabora zikiongoza mbio hizo. Timu ya Hausang inaongoza kundi A baada ya kucheza michezo 12 …
LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC ‘KINAPIGWA’ SANA
TAYARI mizunguko 19 ya Ligi ya Championship ya NBC imeshachezwa hadi sasa na kushuhudiwa kwa ushindani mkubwa wa nafasi kwenye msimamo wa ligi hiyo. Mtibwa Sugar inaendelea kusalia kileleni mwa msimamo wa Ligi hiyo ik…
What is NBC Championship?
Standings and match results for NBC CHAMPIONSHIP LEAGUE (Football · Tanzania). More details about this competition will be added when available.
No scheduled events or extra links here yet.