CAF Champions League
2What is CAF Champions League? Ligi ya mabingwa Afrika inayoshirikisha timu bora. Simba SC na Yanga SC ni washiriki wa kudumu.
CAF Champions League — News.
Simba SC CAF Champions League: Fixtures, Results, Squad & Standings
Simba SC CAF Champions League coverage brings together the club’s current fixtures, results, next match, squad, qualification status and key competition dates in one place. Simba have reached the 2026/27 Second Prelim…
Simba SC 6-1 Mighty Wanderers CAF Champions League | H2H | Highlights | SportPesa Blog
Ngoma imeisha Simba SC 6-1 Mighty Wanderers ni matokeo rasmi katika mchezo wa hatua ya awali CAF Champions League. Mabao yamefungwa na Clatous Chama dakika ya 7 na 34, Libase Gueye dakika ya 26 na 69, Keletso Makgalwa…
Yanga SC 2-1 Gaborone United CAF Champions League | Highlights | SportPesa Blog
Ni Yanga SC 2-1 Gaborone United CAF Champions League 2026/27 matokeo rasmi mchezo wa hatua ya awali Uwanja wa Azam Complex. Wananchi wametinga hatua inayofuata kwa ushindi wa jumla ya mabao 3-2. Mchezo wa kwanza Botsw…
Simba SC vs Mighty Wanderers CAF Champions League | Odds | Hiki hapa kikosi cha Simba SC | SportPesa Blog
Simba SC vs Mighty Wanderers ratiba ya mechi kali ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika yaani ‘Caf Champions League’. Mechi hii inatarajiwa kupigwa kuanzia majira ya saa 10 kamili kwa saa za Afrika Mashariki kwenye…
Yanga edge Gaborone United to advance in Caf Champions League
By Victoria GodfreyYanga have booked their place in the next round of the Caf Champions League after defeating Botswana’s Gaborone United 2-1 in the second leg at Azam Complex, Chamazi, on Saturday.The victory saw the…
Yanga SC vs Gaborone United CAF Champions League | Odds | Hiki hapa kikosi cha Yanga SC |SportPesa Blog
Yanga SC vs Gaborone United ndiyo habari kubwa nchini ambapo zimesalia dakika chache kuelekea kuanza kwa mechi hiyo. Mechi hii inatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam. Timu hizi…
Chama Azungumzia Mechi ya Marudiano Simba vs Mighty Wanderers CAF Champions League
Kiungo mchezeshaji wa Simba SC, Clatous Chama, amewataka wachezaji wenzake na mashabiki wa Msimbazi kutowabeza mabingwa wa Malawi, Mighty Wanderers, kuelekea mchezo wao wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Cha…
Simba strike late to begin CAF Champions League campaign with victory
By Our ReporterSimba SC made a winning start to their CAF Champions League campaign after edging Malawi’s Mighty Wanderers 1-0 away from home on Sunday, putting themselves in a strong position ahead of the return leg …
Gaborone United 1-1 Yanga SC CAF Champions League | Highlights | H2H | Seleman Mwalimu goal | SportPesa Blog
Hatimaye Gaborone United 1-1 Yanga SC ni matokeo rasmi mchezo wa CAF Champions League uliopigwa Botswana National Stadium.Wachezaji bora wa Wananchi wakiwemo Peter Shalulile, Djigui Diarra, Maxi Nzengeli, Bakari Nondo…
Mighty Wanderers vs Simba SC Live Score, H2H & Predicted Lineups, Latest News – CAF Champions League 2026/27
Mtanange wa Mighty Wanderers vs Simba SC ni moto wa kuotea mbali CAF Champions League utapigwa nchini Malawi, Uwanja wa Bingu. Wachezaji tegemeo kikosi cha Simba SC wakiwemo Clatous Chama, Ellie Mpanzu, Libase Gueye w…
Gaborone United vs Yanga SC CAF Champions League ni leo | Odds | Wachezaji watakaokosekana |SportPesa Blog
Leo ni leo Gaborone United vs Yanga SC CAF Champions League mtanange mkali utapigwa Botswana National Stadium.Wachezaji wawili kutoka Yanga SC hawapo kwenye mpango wa benchi la ufundi kutokana na kutokuwa fiti. Clemen…
Gaborone United vs Yanga SC Live Score, H2H & Predicted Lineups, Latest News- CAF Champions League 2026/27
Mchuano huu wa Gaborone United vs Yanga SC ni kipute kikali cha CAF Champions League ambapo kitapigwa pale Botswana National Stadium.Wachezaji bomba wa Wananchi wakiwemo Peter Shalulile, Albert Kangwanda, Maxi Nzengel…
What is CAF Champions League?
Ligi ya mabingwa Afrika inayoshirikisha timu bora. Simba SC na Yanga SC ni washiriki wa kudumu.