Ngao ya Jamii
Ngao ya Jamii ni nini? Ngao ya Jamii ni mashindano ya kufungua msimu wa soka nchini Tanzania yaliyoanzishwa mwaka 2001.
Ngao ya Jamii — Habari.
Simba Queens Mabingwa Ngao Ya Jamii, Mnunka Aimaliza JKT — Taji La Pili Hilo
Simba Queens imetwaa Ngao ya Jamii 2026 baada ya kuifunga JKT Queens 1-0, Aisha Mnunka akifunga bao la ushindi dakika ya 62 KMC Complex.
Jkt Queens Yapoteza Ngao ya Jamii, Simba Queens Yaibuka Mabingwa
Simba Queens leo Oktoba 3, 2026 wameanza msimu kwa kutwaa Ngao ya Jamii Wanawake 2026 baada ya kuifunga JKT Queens bao 1-0 katika…
Yanga Princess Yaibuka Mshindi wa Tatu Ngao ya Jamii kwa Penalti | Soka La Bongo
Kipa wa Yanga Princess, Molly Nabitaka, ameibuka shujaa na kuivusha timu yake kutwaa nafasi ya tatu kwenye michuano ya Ngao ya Jamii kwa Wanawake baada ya kuifunga Mashujaa Queens kwa mikwaju ya penalti 4-3, kufuatia …
Fainali Ngao ya Jamii Wanawake: JKT Queens vs Simba Queens | Vita ya Mbinu KMC Complex
Leo Jumamosi, Uwanja wa KMC Complex unatarajiwa kuwa na vuguvugu kubwa la soka wakati mabingwa watetezi wa Ngao ya Jamii, JKT Queens, watakapomenyana na mabingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake, Simba Queens, katika mchezo wa…
JKT Queens, Simba Queens battle for Community Shield title
By Victoria GodfreyDefending champions JKT Queens will face Simba Queens in the final of the Women’s Community Shield tomorrow as both sides target the first major trophy of the season.The final will be played at KMC …
Simba Queens 3-0 Yanga Princess: Mbinu na Sababu Zilizopelekea Yanga Kufungwa Ngao ya Jamii
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Wananchi baada ya Yanga Princess kupoteza tena fursa ya kutwaa taji ililokuwa inalisaka kwa mara ya kwanza tangu ilipoanza kushiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) mwaka 2018. Yanga imekubal…
JKT Queens Yaingia Fainali Ngao ya Jamii Wanawake: Kessy Abdallah Atuma Onyo Zito!
KOCHA Mkuu wa JKT Queens, Kessy Abdallah, amesisitiza kuwa kikosi chake kipo tayari kutetea taji la Ngao ya Jamii Wanawake baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya fainali kwa ushindani mkubwa. JKT Queens imetinga fainali…
Simba Queens, JKT Queens set up Women’s Community Shield final
By Victoria GodfreySimba Queens and JKT Queens will face off in the Women’s Community Shield final after securing victories in their respective semi-final matches at KMC Complex in Dar es Salaam.Simba Queens produced …
SIMBA QUEENS YAICHAPA YANGA 3-0, YATINGA FAINALI NGAO YA JAMII
NA NOEL RUKANUGA, DAR ES SALAAM SIMBA Queens imefuzu kucheza fainali ya Ngao ya Jamii kwa Wanawake baada ya kuichapa Yanga Princess mabao 3-0…
Simba Queens vs Yanga Princess Leo: Vita ya Kukata na Shoka Ngao ya Jamii Wanawake
Pazia la msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara (WPL) linafunguliwa rasmi leo, Septemba 30, kwenye Uwanja wa KMC, Mwenge jijini Dar es Salaam, kwa mechi mbili za nusu fainali ya Ngao ya Jamii. Kipute hiki ch…
Simba Queens, Yanga Princess renew rivalry in Community Shield semi-final
By Victoria GodfreySimba Queens and Yanga Princess will renew their rivalry tomorrow when they meet in the second semi-final of the Community Shield at KMC Complex in Dar es Salaam, with both sides targeting a place …
Simba Queens vs Yanga Princess: Rekodi na Ubabe wa Dabi ya Kariakoo Ngao ya Jamii
Baada ya kusubiri kwa hamu kubwa, hatimaye Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) inarejea kwa kishindo kupitia Kipute cha Ngao ya Jamii kinachoshirikisha timu nne zilizomaliza nafasi za juu msimu uliopita. Mchezo wa kwanza unata…
Ngao ya Jamii ni nini?
Ngao ya Jamii ni mashindano ya kufungua msimu wa soka nchini Tanzania yaliyoanzishwa mwaka 2001.
Kawaida ni fainali moja. Mfumo wa timu nne (nusu fainali, mshindi wa tatu, na fainali) ulitumika 2023 na 2024 pekee; 2025 na 2026 zimerudi kwenye fainali moja.
Mataji (hadi 2025, RSSSF): Simba SC 10, Young Africans SC 9, Azam FC 1, Mtibwa Sugar 1.
Toleo la 2026: Yanga SC dhidi ya Simba SC — Jumatano 12 Agosti 2026, saa 2:30 usiku, New Amaan Complex, Zanzibar.