🛡️
Off-Season Soka Tanzania

Ngao ya Jamii

Ngao ya Jamii ni nini? Mechi ya ufunguzi wa msimu kati ya bingwa wa Ligi Kuu na mshindi wa Kombe la Shirikisho.

Ngao ya Jamii — Habari.

Michezo yote
Soka La Bongo Oct 03, 2026

Simba Queens Mabingwa Ngao Ya Jamii, Mnunka Aimaliza JKT — Taji La Pili Hilo

Simba Queens imetwaa Ngao ya Jamii 2026 baada ya kuifunga JKT Queens 1-0, Aisha Mnunka akifunga bao la ushindi dakika ya 62 KMC Complex.

Global Publishers Oct 03, 2026

Jkt Queens Yapoteza Ngao ya Jamii, Simba Queens Yaibuka Mabingwa

Simba Queens leo Oktoba 3, 2026 wameanza msimu kwa kutwaa Ngao ya Jamii Wanawake 2026 baada ya kuifunga JKT Queens bao 1-0 katika…

Soka La Bongo Oct 03, 2026

Yanga Princess Yaibuka Mshindi wa Tatu Ngao ya Jamii kwa Penalti | Soka La Bongo

Kipa wa Yanga Princess, Molly Nabitaka, ameibuka shujaa na kuivusha timu yake kutwaa nafasi ya tatu kwenye michuano ya Ngao ya Jamii kwa Wanawake baada ya kuifunga Mashujaa Queens kwa mikwaju ya penalti 4-3, kufuatia …

Soka La Bongo Oct 03, 2026

Fainali Ngao ya Jamii Wanawake: JKT Queens vs Simba Queens | Vita ya Mbinu KMC Complex

Leo Jumamosi, Uwanja wa KMC Complex unatarajiwa kuwa na vuguvugu kubwa la soka wakati mabingwa watetezi wa Ngao ya Jamii, JKT Queens, watakapomenyana na mabingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake, Simba Queens, katika mchezo wa…

Soka La Bongo Oct 01, 2026

Simba Queens 3-0 Yanga Princess: Mbinu na Sababu Zilizopelekea Yanga Kufungwa Ngao ya Jamii

Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Wananchi baada ya Yanga Princess kupoteza tena fursa ya kutwaa taji ililokuwa inalisaka kwa mara ya kwanza tangu ilipoanza kushiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) mwaka 2018. Yanga imekubal…

Soka La Bongo Oct 01, 2026

JKT Queens Yaingia Fainali Ngao ya Jamii Wanawake: Kessy Abdallah Atuma Onyo Zito!

KOCHA Mkuu wa JKT Queens, Kessy Abdallah, amesisitiza kuwa kikosi chake kipo tayari kutetea taji la Ngao ya Jamii Wanawake baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya fainali kwa ushindani mkubwa. JKT Queens imetinga fainali…

Full Shangwe Blog Sep 30, 2026

SIMBA QUEENS YAICHAPA YANGA 3-0, YATINGA FAINALI NGAO YA JAMII

NA NOEL RUKANUGA, DAR ES SALAAM SIMBA Queens imefuzu kucheza fainali ya Ngao ya Jamii kwa Wanawake baada ya kuichapa Yanga Princess mabao 3-0…

Soka La Bongo Sep 30, 2026

Simba Queens vs Yanga Princess Leo: Vita ya Kukata na Shoka Ngao ya Jamii Wanawake

Pazia la msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara (WPL) linafunguliwa rasmi leo, Septemba 30, kwenye Uwanja wa KMC, Mwenge jijini Dar es Salaam, kwa mechi mbili za nusu fainali ya Ngao ya Jamii. Kipute hiki ch…

Soka La Bongo Sep 28, 2026

Simba Queens vs Yanga Princess: Rekodi na Ubabe wa Dabi ya Kariakoo Ngao ya Jamii

Baada ya kusubiri kwa hamu kubwa, hatimaye Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) inarejea kwa kishindo kupitia Kipute cha Ngao ya Jamii kinachoshirikisha timu nne zilizomaliza nafasi za juu msimu uliopita. Mchezo wa kwanza unata…

Global Publishers Aug 17, 2026

Declan Rice Ajigonga Usomoni na Ngao ya Jamii Baada ya Kuifunga Manchester City 3-0

Kiungo wa Arsenal, Declan Rice, amepata tukio la kuchekesha wakati wa sherehe za kutwaa Ngao ya Jamii (Community Shield), baada…

SportPesa Blog Aug 16, 2026

Arsenal 3-0 Manchester City: Matokeo ya Ngao ya Jamii, mabao na mambo muhimu

Arsenal wameifunga Manchester City 3-0 kwenye Ngao ya Jamii 2026, Calafiori, Havertz na Odegaard wakifunga mabao.

Gazetini Aug 16, 2026

Arsenal yabeba Ngao ya Jamii ikiitandika Man City

CARDIFF, Wales WASHIKA Bunduki wa London, Arsenal, wametwaa ubingwa wa Ngao ya Jamii baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Manchester City. Mechi hiyo ya leo Agosti 16, 2026 ilichezwa katika Uwanja wa Millenium, Wale…

Ngao ya Jamii ni nini?

Mechi ya ufunguzi wa msimu kati ya bingwa wa Ligi Kuu na mshindi wa Kombe la Shirikisho.

Hakuna matukio yaliyopangwa au viungo vya ziada hapa kwa sasa.