Gundua

300 habari
Nukta Publish

Habari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta

Unaona habari zinazohusishwa na Soka La Bongo chini (pamoja na mengine ya Gundua).

Habari za michezo Mexico yaianza kombe la dunia kwa u…

MEXICO CITY, MEXICO: WENYEJI wenza wa michuano ya Kombe la Dunia, Mexico imefuzu hatua ya 16 bora baada ya kuichapa Ecuador mabao 2-0, katika mechi kali na ya kuvutia ya hatua ya 32 bora. Mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Azteca, jijini, ilichelewa kuanza kwa zaidi ya saa moja tofauti na muda uliopangwa kutokana…

Soka La Bongo
Habari za michezo Nani Kuibuka Mfungaji Bora Kombe la…

KUNA mengi yanaendelea katika fainali za Kombe la Dunia 2026 ambako kuna rekodi kibao zinavunjwa na zingine hazijavunja hadi sasa. Lakini, wakati nchi zilizofuzu mtoano wa hatua ya 32 bora zikijifua kwa ajili ya michuano hiyo, kuna jambo jingine limeibuka. Nalo ni namna mpira unavyochezwa sasa licha ya maendeleo makub…

Soka La Bongo
Meridianbet Meridianbet Yaleta Zawadi za Zaidi …

Burudani inapokutana na ushindani wa kweli ndipo hadithi za ushindi huanza kuandikwa. Meridianbet imeandaa Expanse Treasure Hunt kwa lengo la kuwapa wachezaji nafasi ya kushindania kitita cha shilingi milioni tano kupitia michezo maalum ya Expanse. Kwa dau la chini la shilingi 500 kwa kila raundi, kila mmoja anaweza k…

Soka La Bongo
Habari za michezo Kombe la Dunia 2026: Hawa hapa viun…

LONDON, ENGLAND: KOCHA mpya wa Manchester City, Enzo Maresca ameshaanza kazi, akiweka sawa mambo kabla ya kuanza na mechi ya ufunguzi wa msimu wa 2026/27 ambayo itakuwa Ngao ya Jamii itakayopigwa Agosti 18, mwaka huu katika Uwanja wa Wembley jijini London. Hata hivyo, kuna mambo ambayo yanamsubiri anayopaswa kuhakikis…

Soka La Bongo
Meridianbet Mechi ya Moto: Argentina Kukutana n…

Leo ni kivumbi na jasho kwenye mechi za kirafiki ambapo wachezaji kutoka timu mbalimbali kutinga uwanjani kupepetana kujiweka sawa kabla ya msimu kuanza. Je beti yako unaiweka kwa nani leo? Manchester United chini ya kocha mkuu Carrick wataumana vikali dhidi ya Wrexham inayocheza kule Ligi daraja la kwanza. United ita…

Soka La Bongo
Meridianbet Play’n GO na Meridianbet Waungana K…

Meridianbet inaleta msisimko wa kipekee kupitia Rumble Kong CASHINGO, mchezo wa sloti kutoka Games Global ambao unakuja kwa toleo la awali kabla ya uzinduzi rasmi. Hii ni nafasi ya kipekee kwa mashabiki wa kasino kuingia mapema na kushuhudia sloti kali, bonasi za kuvutia na nafasi za kushinda pesa taslimu. Ni kama tik…

Soka La Bongo
Meridianbet Ureno na Uingereza Kuvuta Hisia za …

Mashindano ya michuano mikubwa Duniani imeendelea kushika hatamu huku sasa ni hatua za mtoano. Timu zimebaki 8 hadi sasa huku wachezaji mbalimbali wakiwania tuzo ya mchezaji bora. Je nani kuondoka na tuzo hiyo? Nafasi ya kwanza ya kuchukua tuzo hii kule Meridianbet anapewa mshambualiaji wa Real Madrid na timu ya Taifa…

Soka La Bongo
Yanga SC Yanga yazima jeuri ya Azam, Simba y…

Mbio za kuelekea taji la tano mfululizo la Ligi Kuu Bara kwa mabingwa watetezi, Yanga SC, sasa zimefikia hatua ya kukatwa shingo. Jana pale kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, Wananchi walishusha kandanda safi na kuichapa TRA United mabao 3-0, huku wakituma salamu za wazi kwa mahasimu wao kwamba taji linarudi…

Soka La Bongo
Habari za michezo Prediction Afrika Kusini vs Canada …

ATLANTA, MAREKANI: KATIKA matukio yaliyotikisa mashabiki wa soka duniani, timu tatu za Afrika zimeondolewa kwa maumivu makubwa katika hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuruhusu mabao ya ushindi katika dakika ya 86. Timu hizo ni Ivory Coast, DR Congo na Senegal, ambazo zote ziliondolewa katika mechi tofa…

Soka La Bongo
Meridianbet Sio Mizunguko ya Bure Tu, Meridianb…

Je unajua kuwa leo hii unaweza kutengeneza pesa na Meridianbet haraka sana kupitia chaguo la EARLY PAYOUT. Chagua mechi zako sasa na ubashiri ndani ya Meridianbet. Meridianbet, inaendelea kutoa huduma mpya ya Early Payout, inayolenga kuboresha uzoefu wa wateja wake na kuhakikisha ushindi unapatikana haraka zaidi. Hudu…

Soka La Bongo
Habari za michezo Norway yaiondosha ivory coast kombe…

Brazil imeaga fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya kufungwa mabao 2-1 na Norway katika mchezo wa hatua ya 16 bora uliochezwa kwenye Uwanja wa New York/New Jersey, Marekani. Baada ya kipindi cha kwanza kumalizika bila kufungana, straika wa Norway, Erling Haaland aliibuka shujaa wa mchezo kwa kufunga mabao mawili kat…

Soka La Bongo
Meridianbet Meridianbet Yageuza Msaada wa Taulo…

Mafanikio ya kampuni hayaonekani tena kupitia huduma zake pekee, bali pia kupitia namna inavyogusa maisha ya watu wanaoizunguka. Hilo ndilo Meridianbet imeendelea kulithibitisha kwa vitendo, ikionesha kuwa nyuma ya jukwaa lake la burudani kuna moyo mkubwa wa kujali jamii. Safari hii kampuni imefanya ziara maalum katik…

Soka La Bongo
Habari za michezo Ujerumani Yafanya Comeback Ya Kusis…

KOCHA wa Ujerumani, Julian Nagelsmann ameanza kukabiliwa na presha ya kibarua chake kuota nyasi baada ya timu yake kutolewa na Paraguay kwa mikwaju ya penalti katika hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia 2026, huku Jurgen Klopp akiipewa nafasi ya kuchukua nafasi hiyo. Ujerumani ilitolewa kwa penalti 4-3 baada ya sare ya …

Soka La Bongo
Habari za michezo Waliostaafu baada ya kung’oka Kombe…

LOS ANGELES, MAREKANI: NYOTA wa Brazil, Neymar, ametangaza kustaafu soka la kimataifa baada ya Brazil kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2026 kufuatia kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Norway. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 34 anaondoka akiwa ndiye kinara wa mabao wa muda wote wa timu ya taifa ya Brazil…

Soka La Bongo
Meridianbet Meridianbet Yazindua SmartSoft Spin…

Kuna nyakati ambazo burudani inakuwa zaidi ya mchezo, inakuwa safari ya kusisimua iliyojaa matarajio, furaha na nafasi ya kuandika historia mpya ya ushindi. Huo ndiyo uzoefu ambao Meridianbet imewaletea wapenzi wa michezo ya kasino kupitia kampeni yake mpya ya SmartSoft Spin & Win Instant Prizes Tournament. Kampeni hi…

Soka La Bongo
Michezo Bongo Kumekucha cdf cup 2026, nmb yaweka …

WAKATI ikisubiriwa ratiba ya Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2026-2027 itangazwe ili kila timu ifahamu inaanzia wapi, taarifa kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) zinasema ligi hiyo inatarajiwa kuanza Agosti 14, 2026. Soka La Bongo limepata taarifa za ndani kutoka TPLB kwamba, hivi karibuni kalenda ya matukio kwa ms…

Soka La Bongo
Michezo Bongo Yas yawakabidhi washindi wa mixx su…

Kombe la Dunia 2026: Mixx Super App Kumtangaza Mshindi wa Sh50 Milioni Kampeni Ikielekea Tamati WAKATI michuano ya Kombe la Dunia ikifikia tamati Jumapili ya Julai 19, 2026, Watanzania wameendelea kunufaika nje ya uwanja kupitia kampeni ya Kombe la Dunia ya “Kila Muamala ni Bao la Ushindi” ambapo washindi 80 tayari wa…

Soka La Bongo
Meridianbet Hispania yaitoa ubelgiji, yatinga n…

Leo, Julai 14, soka la dunia linasimamisha pumzi. Katika uwanja wa Dallas Stadium, Texas, mabingwa wawili wa Ulaya France na Spain wanakutana kwenye nusu fainali ya kwanza ya michuano ya Dunia 2026. Mchezo utaanza saa 22:00 usiku. Njia zao za kufika hapa zimekuwa tofauti kabisa lakini zote zenye mafanikio. France wali…

Soka La Bongo
Habari za michezo Hispania vs Argentina: Tazama Faina…

Fainali ya Kombe la Dunia 2026: Hispania vs Argentina Kutimua Vumbi Atlanta Pazia la Kombe la Dunia 2026 linatarajiwa kushushwa kwa pambano la kukata na shoka mjini Atlanta, Marekani. Mabingwa wa Ulaya, Hispania, watashuka uwanjani kumenyana na mabingwa watetezi wa dunia na Amerika Kusini, Argentina, katika fainali in…

Soka La Bongo
Habari za michezo Yanga Waanze Kujipanga, Beki Simba …

SAN FRANCISCO, MAREKANI – Nyota wa mpira wa kikapu, Seth Curry, ameweka wazi kuwa yuko tayari kuongeza mkataba na kuendelea kuitumikia klabu ya Golden State Warriors, mradi tu pande zote mbili zifikie makubaliano katika kipindi hiki cha usajili wa wachezaji huru (free agency). Seth, ambaye ni mdogo wake na nguli wa Wa…

Soka La Bongo
Yanga SC Kocha Mngqithi Ndiye Aliyesuka Kiko…

Klabu ya Yanga ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa nyota wawili wa kimataifa kutoka Afrika Kusini, Justice Figueiredo na Thalani Gumede. Wachezaji hawa wote wametua klabuni hapo chini ya mapendekezo ya moja kwa moja ya Kocha Mkuu mpya, Manqoba Mngqithi, kuelekea msimu mpya wa mashindano wa 2026/27. Ta…

Soka La Bongo
Simba SC Baada Ya kuwindwa Na Simba, Yona Ac…

KATIKA kuendelea kujiimarisha kuelekea msimu mpya wa 2026/27, Singida Black Stars imekamilisha usajili wa winga hatari raia wa Ivory Coast, Aubin Kramo. Usajili huu ni sehemu ya mkakati mzito wa klabu hiyo katika kuunda kikosi chenye ushindani mkubwa kwenye mashindano ya ndani na yale ya kimataifa. Kramo anarejea tena…

Soka La Bongo
Makala kuhusu matukio yaliyopita

Habari nyingine

Gates Of Olympus Meridianbet: Washindi Waondoka Na Milioni 248!
Meridianbet

Gates Of Olympus Meridianbet: Washindi Waondoka Na Milioni 248!

Soka La Bongo· Vardo· Saa 23 zilizopita
Miaka 11 Bila Banza Stone: Urithi Na Kilio Cha Familia Ya Maestro Wa Dansi
Burudani

Miaka 11 Bila Banza Stone: Urithi Na Kilio Cha Familia Ya Maestro Wa Dansi

Soka La Bongo· Vardo· Saa 23 zilizopita
Wema Sepetu Afunguka Kuhusu Viingilio Vya Sherehe Ya Mtoto Wake Ollie
Michezo Bongo

Wema Sepetu Afunguka Kuhusu Viingilio Vya Sherehe Ya Mtoto Wake Ollie

Soka La Bongo· Vardo· Jana
Mixx Super App Kutoa Milioni 50 Tamati Ya Kombe La Dunia 2026
Michezo Bongo

Mixx Super App Kutoa Milioni 50 Tamati Ya Kombe La Dunia 2026

Kombe la Dunia 2026: Mixx Super App Kumtangaza Mshindi wa Sh50 Milioni Kampeni Ikielekea Tamati WAKATI michuano ya Kombe la Dunia ikifikia tamati Jumapili ya Ju

Soka La Bongo· Vardo· Jana
Seth Curry Afunguka Mustakabali Wake Golden State Warriors
Habari za michezo

Seth Curry Afunguka Mustakabali Wake Golden State Warriors

Soka La Bongo· Vardo· Jana
Nani Unampa Nafasi Ya Kukupatia Ushindi Leo?
Meridianbet

Nani Unampa Nafasi Ya Kukupatia Ushindi Leo?

Soka La Bongo· Vardo· Jana
Bondia Roméo Katompa ‘Bololo’ Auawa Kwa Kuchomwa Moto Afrika Kusini
Habari za michezo

Bondia Roméo Katompa ‘Bololo’ Auawa Kwa Kuchomwa Moto Afrika Kusini

Soka La Bongo· Vardo· Jana
Rasmi: Singida Black Stars Yamsajili Aubin Kramo
Simba SC

Rasmi: Singida Black Stars Yamsajili Aubin Kramo

Soka La Bongo· Vardo· Jana
Kocha Mngqithi Ashusha Mashine Mbili Mpya
Yanga SC

Kocha Mngqithi Ashusha Mashine Mbili Mpya

Soka La Bongo· Vardo· Jana
Pira Gwaride Chali! Sababu 5 Zilizoishusha Daraja Tanzania Prisons Ligi Kuu
Michezo Bongo

Pira Gwaride Chali! Sababu 5 Zilizoishusha Daraja Tanzania Prisons Ligi Kuu

Soka La Bongo· Vardo· Jana
Hispania Vs Argentina Kukutana Vitani Atlanta!
Habari za michezo

Hispania Vs Argentina Kukutana Vitani Atlanta!

Fainali ya Kombe la Dunia 2026: Hispania vs Argentina Kutimua Vumbi Atlanta Pazia la Kombe la Dunia 2026 linatarajiwa kushushwa kwa pambano la kukata na shoka m

Soka La Bongo· Vardo· Jana
Fredrick Magata Na Mastaa Wa Mtibwa Sugar Wavamia Ligi Kuu
Michezo Bongo

Fredrick Magata Na Mastaa Wa Mtibwa Sugar Wavamia Ligi Kuu

Soka La Bongo· Vardo· Jana
Burudani Ya Sloti Inapatikana Ukicheza Rumble Kong CASHINGO
Meridianbet

Burudani Ya Sloti Inapatikana Ukicheza Rumble Kong CASHINGO

Soka La Bongo· Vardo· Siku 2 zilizopita
Donald Trump Kuhudhuria Fainali Ya Kombe La Dunia 2026
Habari za michezo

Donald Trump Kuhudhuria Fainali Ya Kombe La Dunia 2026

Soka La Bongo· Vardo· Siku 2 zilizopita
Azam FC Yamtambulisha Rasmi Beki Henri Stanic ‘The Destroyer’ Kutoka Stellenbosch
Azam FC

Azam FC Yamtambulisha Rasmi Beki Henri Stanic ‘The Destroyer’ Kutoka Stellenbosch

Soka La Bongo· Vardo· Siku 2 zilizopita
Odds Kubwa Zinakungoja Mechi za Leo
Meridianbet

Odds Kubwa Zinakungoja Mechi za Leo

Soka La Bongo· Vardo· Siku 2 zilizopita
Kwanini Shekhan Khamis Ameondoka Yanga SC? Klabu 4 Zichuana Vikali!
Simba SC

Kwanini Shekhan Khamis Ameondoka Yanga SC? Klabu 4 Zichuana Vikali!

Soka La Bongo· Vardo· Siku 2 zilizopita
Kocha Mngqithi Ndiye Aliyesuka Kikosi Kipya cha Yanga SC! Ali Kamwe Athibitisha
Yanga SC

Kocha Mngqithi Ndiye Aliyesuka Kikosi Kipya cha Yanga SC! Ali Kamwe Athibitisha

MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe, amesema kocha mkuu wa timu hiyo, Manqoba Mngqithi, amekuwa na mchango mkubwa katika mchakato wa

Soka La Bongo· Vardo· Siku 2 zilizopita
Jonathan Sowah Aaga Simba SC Kwa Hisia; Arejea Rasmi Timu Hii!
Simba SC

Jonathan Sowah Aaga Simba SC Kwa Hisia; Arejea Rasmi Timu Hii!

Soka La Bongo· Vardo· Siku 2 zilizopita
Dulla Makabila Achanganyikiwa: “Najuta Kumpa Talaka Zaiylissa, Natafuta Mwanasaikolojia”
Burudani

Dulla Makabila Achanganyikiwa: “Najuta Kumpa Talaka Zaiylissa, Natafuta Mwanasaikolojia”

Soka La Bongo· Vardo· Siku 2 zilizopita
POLITICS Jun 25, 2026 7 7 4

Keir Starmer's Resignation as UK Prime Minister

Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na uongozi wa chama tawala cha Labour.

Maelezo ya Ziada
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na uongozi wa chama tawala cha Labour.
swahilitimes.co.tz ↗
Starmer confirmed that he would step aside and oversee a smooth transfer of power, telling the country that Britain needed fresh leadership to restore stability at a moment of rising political strain inside the Labour Party.
dailynews.co.tz ↗
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ametangaza kujiuzulu wadhifa wake na uongozi wa Chama cha Labour.
mwananchi.co.tz ↗
Kuwasili kwa mwanasiasa huyo mahiri, ambaye hadi wiki iliyopita alikuwa Meya wa Greater Manchester, kunajiri saa chache baada ya Keir Starmer kutangaza kujiuzulu rasmi wadhifa wa Waziri Mkuu kutokana na shinikizo kubwa la kisiasa ndani ya Chama cha Labour.
mwananchi.co.tz ↗
Kujiuzulu kwa Starmer kunahitimisha safari ya kisiasa iliyokuwa imeanza kwa matumaini makubwa baada ya ushindi wa kihistoria wa Labour katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024.
mwananchi.co.tz ↗
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu wadhifa huo, akisema anaheshimu mawazo ya chama chake cha Labour, baada ya mpinzani wake kuibuka kidedea Ijumaa iliyopita.
ippmedia.co.tz ↗
Starmer anang’oka uwaziri mkuu, zinawadia zama mpya za siasa UK
mwananchi.co.tz ↗
ECONOMY Apr 01, 2026 12 8 7

Tanzania's Vision 2050: Transforming Economy to 1 Trillion USD

Vision 2050, which seeks to transform the country into a high-income, industrialled economy valued at 1 trillion US dollars.

Maelezo ya Ziada
Vision 2050, which seeks to transform the country into a high-income, industrialled economy valued at 1 trillion US dollars.
dailynews.co.tz ↗
Utekelezaji wa DIRA 2050, unaokadiriwa kugharimu takribani dola za Marekani trilioni 1, utategemea kwa kiasi kikubwa uwekezaji wa sekta binafsi unaotarajiwa kuchangia zaidi ya asilimia 70 ya gharama za utekelezaji.
mzalendo.co.tz ↗
Tanzania is strengthening its engagement with the African Trade and Investment Development Insurance (ATIDI) to support private sector-led growth, as the country targets a 70% private sector contribution to the economy under its Development Vision 2050.
tanzaniainvest.com ↗
Her message comes at a critical time for Tanzania, whose population is projected to grow from about 67 million today to over 120 million by 2050.
thecitizen.co.tz ↗
The Tanzanian government has stated that the recommendations contained in the Economic Freedom Audit Report will drive policy reforms, strengthen economic freedom, and significantly contribute to Tanzania’s journey towards a strong and competitive economy by 2050.
dailynews.co.tz ↗
Best goal: 'Generate TZS 70 million in revenue, with 8 new clients in Q1–Q2 via content marketing.'
tanzlite.com ↗
Lead generation: 90 qualified inquiries per year.
mwananchi.co.tz ↗
Retention: 70% repeat business.
bongo5.com ↗
Target ARPU of TZS 5 million.
CAC under TZS 300k.
Dk Mwigulu amewataka wakuu wa mikoa kusimamia kikamilifu maandalizi na mapokezi ya wanafunzi wa elimu msingi ya lazima ya miaka 10, watakaojiunga na kidato cha kwanza mwaka 2028 kwa kukamilisha miundombinu na huduma zote muhimu.
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba ameyabainisha hayo leo Bungeni Dodoma wakati akiwasilisha hotuba ya mapito na mwelekeo wa kazi za Serikali, Makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2026/27 ambapo amesema kuwa utekelezaji wa Dira 2050 unakusudia kuifanya Tanzania kuwa na uchumi wa thamani ya dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050, huku wastani wa pato la mtu mmoja mmoja ukitarajiwa kufikia dola 7,000 kwa mwaka.
ECONOMY Apr 01, 2026 19 10 7

Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

Maelezo ya Ziada
In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.
thechanzo.com ↗
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.
mwananchi.co.tz ↗
Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.
thecitizen.co.tz ↗
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.
globalpublishers.co.tz ↗
Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.
mwananchi.co.tz ↗
The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.
dailynews.co.tz ↗
Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani
globalpublishers.co.tz ↗
Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.
mzalendo.co.tz ↗
Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.
mzalendo.co.tz ↗
Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.
bongo5.com ↗
Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.
Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”
Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.
The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.
Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.
Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.
TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI
Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8​ kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.
Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.
NATIONAL Mar 28, 2026 28 15 7

William Lukuvi's Death Announced by President Samia Suluhu Hassan on March 25, 2026

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

Maelezo ya Ziada
Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.
mwananchi.co.tz ↗
William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo
dailynews.co.tz ↗
PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.
habarileo.co.tz ↗
Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.
mwananchi.co.tz ↗
Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.
thecitizen.co.tz ↗
Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.
dailynews.co.tz ↗
Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.
habarileo.co.tz ↗
Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.
habarileo.co.tz ↗
Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.
globalpublishers.co.tz ↗
According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.
globalpublishers.co.tz ↗
Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.
mzalendo.co.tz ↗
Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.
swahilitimes.co.tz ↗
Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.
mwananchi.co.tz ↗
All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.
dailynews.co.tz ↗
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.
dailynews.co.tz ↗
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.
Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.
WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.
Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.
Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.
William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.
Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.
PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.
President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.
DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.