Gundua

82 habari
Nukta Publish

Habari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta

Unaona habari zinazohusishwa na ITV chini (pamoja na mengine ya Gundua).

Nishati na Umeme Fuel Prices

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi Asilia, Dkt. James Mataragio, ameitaka Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuhakikisha kuwa miradi ya mafuta na gesi asilia inayoendelea nchini inatekelezwa na kukamilika kwa wakati ili iw…

ITV
Utawala wa Umma na Ulinzi Wajasiriamali iringa watakiwa kuong…

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kusimamia utoaji wa haki kwa wananchi na kuimarisha uwajibikaji kwa watumishi wa umma ili kuhakikisha huduma za Serikali zinatolewa kwa ufanisi, kwa wakati na kwa kuzingatia maslahi ya wananchi. Amesema hayo alipokuwa a…

ITV
Uchumi Makamu wa rais amwakilisha rais sam…

Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo ya pande mbili na Rais wa Jamhuri ya Ghana, Mheshimiwa John Dramani Mahama, Ikulu Arusha, ambapo mazungumzo yao yamejikita katika kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kati ya Tanzania na Ghana, hususan kati…

ITV
Biashara ya Jumla na Rejareja Dkt. munisi: watumishi wa umma dumi…

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amewataka Watanzania kuendelea kutembelea Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), akisema maonesho ya mwaka huu 2026 yameonesha mafanikio makubwa ya maendeleo ya viwanda, ubunifu wa teknolojia n…

ITV
News Waziri akwilapo: wanunuzi wa viwanj…

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameelekeza wananchi wa maeneo yaliyopandishwa hadhi kuwa miji midogo, lakini bado yana mazingira ya vijijini, waendelee kuunganishiwa umeme kwa gharama ya Sh. 27,000, akisisitiza kuwa mabadiliko ya hadhi hayamaanishi kuongezeka kwa uwezo wao wa …

ITV
Utawala wa Umma na Ulinzi Prof. shemdoe awaasa wanafunzi kuen…

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Wakuu wa Mikoa wote nchini kuzisimamia Halmashauri zao kuhakikisha zinaweka siku maalum ya kusikiliza malalamiko na kero za wananchi katika ngazi ya kata i…

ITV
News Uwekezaji sekta ya nishati wahitaji…

Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, leo Oktoba 6, 2026 amezindua Mkataba wa Huduma kwa Wateja uliohuishwa pamoja na huduma mbalimbali za TANESCO zinazolenga kuboresha zaidi namna ya utoaji wa huduma kwa wateja kwa ufanisi na kwa wakati, uzinduzi uliofanyika katika Uk…

ITV
Afya na Huduma za Jamii Simulizi za waraibu wa dawa za kule…

Kamati ya Fedha ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ikiongozwa na Mbunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Mhe. Dkt. Emanuel Qambaji Nuwas, na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Mhe. Yeconia Deles, wametembelea banda la Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) kwenye Maonesho ya 50 y…

ITV
Kilimo, Misitu na Uvuvi Teknolojia za tari kifulilo zawavut…

Kituo cha Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Seliani kilichopo mkoani Arusha, kimeihimizwa kufanya tafiti za mbegu bora kwa viwango vinavyokidhi mahitaji ya wakulima na soko, sambamba na mikakati ya kuuza mbegu zake kibiashara. Amesema hayo Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo w…

ITV
Shughuli za Fedha na Bima Airtel Tanzania Yawajengea Vijana U…

‎Kampuni ya Airtel Tanzania imekabidhi Serikali gawio la Sh bilioni 65.48 kwa mwaka wa fedha 2025/26, na kufikisha jumla ya gawio ililolipa Serikali tangu mwaka 2019 hadi Sh bilioni 350. ‎ ‎Gawio hilo lilikabidhiwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Has…

ITV
Sheria na Mahakama Mlinzi wa shule akutwa amefariki da…

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linafanya uchunguzi wa kina baada ya kugundua mwili wa Lilian Danstan Manga (27) ukiwa umefukiwa ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi na rafiki yake wa kiume katika Kijiji cha Changarawe, Wilayani Kilosa. Mwili huo ulipatikana baada ya mwanamke aliye…

ITV
Siasa Kilichompa Lissu ushindi dhidi ya D…

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amemshinda Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) baada ya Mahakama ya Rufani Tanzania kutupilia mbali ombi lake la kutaka kuongeza ushahidi mpya katika kesi ya tuhuma za uhaini inayomkabili. Uamuzi huo umetolew…

ITV
News Dk Mwigulu avutiwa matumizi ya bund…

‎Wanafunzi 13 wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) waliofanya vizuri katika masomo kwa mwaka 2026 wametunukiwa tuzo na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuunga mkono wanafunzi wanaofanya vizuri katika taaluma zinazohusiana na sekta…

ITV
Biashara Brela yatoa elimu ya urasimishaji b…

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), yatakiwa kuongeza kasi ya urasimishaji wa biashara na kuimarisha mifumo ya kidijitali ili kuchochea ufanisi na ukuaji wa uchumi kwani BRELA ni lango kuu la uwekezaji nchini. Hayo yamesemwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Judi…

ITV
Siasa Naibu waziri maghembe amuaga balozi…

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imetakiwa kutumia hazina ya maarifa na uzoefu kutoka kwa Mabalozi Wastaafu katika utekelezaji wa mipango mbalimbali ya kuimarisha Diplomasia ya nchi. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…

ITV
fishing Serikali yaongeza kasi ya uchumi wa…

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema uzinduzi wa meli ya kwanza ya uvuvi wa bahari kuu ya Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) ni hatua ya kimapinduzi inayolenga kuimarisha uchumi wa taifa kupitia sekta ya uvuvi na uchumi wa buluu. Akizungumza katika hafla ya uzinduz…

ITV
Kilimo, Misitu na Uvuvi Serikali yafichua mkakati mpya wa k…

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, amesema Serikali imejipanga kupata suluhisho la kudumu la migogoro kati ya wakulima na wafugaji kwa kuimarisha mipango ya matumizi bora ya ardhi na kuhamasisha ufugaji wa kisasa, ili sekta hizo ziendelee kuchangia …

ITV
News Ujenzi bomba la mafuta waingia hatu…

Ujenzi wa bomba la gesi asilia lenye urefu wa kilomita 22 kutoka Kisemvule hadi Mbagala umeingia hatua muhimu, huku kampuni ya Rashal Energies Limited ikiongeza kasi ya kazi katika maeneo ya njia yanayoweza kuathiriwa zaidi na mvua kubwa. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Rash…

ITV
Utawala wa Umma na Ulinzi Bodi ya wakurugenzi tafori yatakiwa…

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, ameteua wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania, TAFORI, kufuatia uteuzi wa Profesa Verdiana Grace Masanja kuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo na Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolew…

ITV
Kilimo, Misitu na Uvuvi Mkuu wa wilaya kilosa shaka shaka a…

Kampuni ya Sukari Kilombero, ambayo ni mzalishaji mkubwa wa sukari nchini, imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuboresha maisha ya jamii, kwa kuunga mkono miradi mitatu ya maendeleo iliyoanzishwa na jamii katika Bonde la Kilombero. Kampuni ya sukari Kilombero imechangia ujenz…

ITV
Siasa Jaji asitisha kwa muda marufuku ya …

FBI imewafukuza kazi takriban maafisa 10, ambao wote walishiriki katika uchunguzi kuhusu jinsi Donald Trump alivyoshughulikia nyaraka za siri baada ya muhula wake wa kwanza. Kusitishwa kwao kazi Jumatano, kumethibitishwa na CBS, na kulitangazwa muda mfupi baada ya mkurugenzi wa F…

ITV
News Dkt. mwigulu akutana na waziri mkuu…

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania ina fursa nyingi za uwekezaji kwenye kilimo na akawataka wenye mitaji waje kuwekeza Tanzania ambapo wataweza kufikia soko la watu milioni 170 kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.‎ ‎Akieleza fursa zilizopo, alitaja usindikaji…

ITV
News Mhe. ndejembi aridhishwa na maendel…

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema Mradi wa Kuunganisha Gridi za Umeme za Tanzania na Zambia (Tanzania–Zambia Interconnector Project – TAZA) ni uwekezaji muhimu utakaokuwa chachu ya maendeleo ya kiuchumi katika mikoa ya Nyanda za …

ITV
News Tanzania, UNDP kuimarisha ushirikia…

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) amesema Tanzania inaunga mkono mkakati maalum wa Benki ya Dunia wa kuzisaidia nchi wanachama kuweka mipango ya maendeleo na miradi itakayochochea upatikanaji wa ajira hususan kwa vijana na kukuza sekta binafsi ili kuharakisha ma…

ITV
News Heche awapigania wakulima wa parach…

Wakulima wa zao la Parachichi nchini wameaswa kuzingatia ubora, ufungashaji na usafirishaji unaokidhi viwango vya kimataifa ili kulifanya zao hilo kuwa shindani katika soko la Dunia na kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha Parachichi barani Afrika.Amesema hayo Mhe. Daniel Chongolo (M…

ITV
Nishati na Umeme Tanesco kuiwezesha kampuni ya hwtz …

Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Mhe. Subira Mgalu, amekabidhi magari mapya kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kwa lengo la kuimarisha huduma kwa wateja na kuongeza ufanisi wa utendaji kazi katika kuwahudumia Wateja wilayani Bagamoyo. Akizungumza …

ITV
News Waziri mkuu kumwakilisha rais dkt. …

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 28, 2026, amewasili Moscow, nchini Urusi, ambapo anatarajia kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi unaofanyika kuanzia leo Oktoba 28 hadi 29, 2…

ITV
News Watatu mbaroni kwa tuhuma za kumtor…

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za wizi wa mita za maji katika maeneo ya Area Six, Kichangani, na Tubuyu. Miongoni mwa mita zilizoibwa ni pamoja na zile zilizokuwa katika makazi ya Abdallah Mohammed wa mtaa wa Tubuyu Tungi, Kirian Jona…

ITV
News Sekta ya viwanda na biashara kuonge…

Airtel Tanzania, kupitia kitengo cha huduma kwa biashara, imesogeza suluhisho za mawasiliano na huduma za kidijitali kwa wafanyabiashara katika Maonesho ya Kitaifa ya Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO), yanayofanyika katika Viwanja vya Magufuli, Manispaa ya Kahama, Mkoa w…

ITV
News Serikali kuimarisha ufuatiliaji ute…

Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa, amesema Serikali itaweka mifumo ya ufuatiliaji na uwajibikaji katika utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote ili kuhakikisha mpango huo unawafikia wananchi wa maeneo yote nchini.Akizungumza Oktoba 22, 2026, wakati wa uzinduzi wa Awamu y…

ITV
Makala kuhusu matukio yaliyopita

Habari nyingine

WIZARA YA AFYA YAKAGUA UTAYARI MBEYA DC DHIDI YA EBOLA
News

WIZARA YA AFYA YAKAGUA UTAYARI MBEYA DC DHIDI YA EBOLA

ITV· 30 Okt 2026
DKT. MWIGULU APIGIA CHAPUO NISHATI SAFI YA KUPIKIA AFRIKA
News

DKT. MWIGULU APIGIA CHAPUO NISHATI SAFI YA KUPIKIA AFRIKA

ITV· 30 Okt 2026
BILIONI 25 KUOKOA WATOTO WENYE MARADHI YA MOYO
News

BILIONI 25 KUOKOA WATOTO WENYE MARADHI YA MOYO

ITV· 29 Okt 2026
WATU 1,500 WENYE UHITAJI KUNUFAIKA NA MSAADA WA SUKARI
News

WATU 1,500 WENYE UHITAJI KUNUFAIKA NA MSAADA WA SUKARI

Kampuni ya Sukari Kilombero imeendelea kuunga mkono juhudi za kusaidia makundi yenye uhitaji katika Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro, kwa kukabidhi kilo 4,

ITV· 29 Okt 2026
WAZIRI MKUU MWIGULU NCHEMBA AWASILI URUSI
News

WAZIRI MKUU MWIGULU NCHEMBA AWASILI URUSI

ITV· 28 Okt 2026
AIRTEL YASOGEZA SULUHISHO LA KIDIJITALI KWA WAFANYABIASHARA SIDO KAHAM
News

AIRTEL YASOGEZA SULUHISHO LA KIDIJITALI KWA WAFANYABIASHARA SIDO KAHAM

ITV· 27 Okt 2026
MWIGULU: TUNATAKA KUWA MIONGONI MWA WAZALISHAJI 10 BORA WA CHAKULA
News

MWIGULU: TUNATAKA KUWA MIONGONI MWA WAZALISHAJI 10 BORA WA CHAKULA

ITV· 23 Okt 2026
SERIKALI KUIMARISHA UFUATILIAJI UTEKELEZAJI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE
News

SERIKALI KUIMARISHA UFUATILIAJI UTEKELEZAJI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE

ITV· 22 Okt 2026
MWIGULU AONGOZA MJADALA UWEKEZAJI KILIMO BIASHARA
News

MWIGULU AONGOZA MJADALA UWEKEZAJI KILIMO BIASHARA

ITV· 21 Okt 2026
‎TADB KINARA WA KUWEZESHA MIRADI YA UFUGAJI KUKU 
News

‎TADB KINARA WA KUWEZESHA MIRADI YA UFUGAJI KUKU 

ITV· 18 Okt 2026
DKT. MWIGULU: WANANCHI WAUNGANISHIWE UMEME KWA SH. 27,000
News

DKT. MWIGULU: WANANCHI WAUNGANISHIWE UMEME KWA SH. 27,000

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameelekeza wananchi wa maeneo yaliyopandishwa hadhi kuwa miji midogo, lakini bado yana mazingira ya vijijini, waendelee kuung

ITV· 17 Okt 2026
MRADI WA TAZA KUFUNGUA UCHUMI NYANDA ZA JUU
News

MRADI WA TAZA KUFUNGUA UCHUMI NYANDA ZA JUU

ITV· 15 Okt 2026
WEZI WA MITA ZA MAJI WATIWA MBARONI MOROGORO
News

WEZI WA MITA ZA MAJI WATIWA MBARONI MOROGORO

ITV· 15 Okt 2026
MKUTANO WA BENKI YA DUNIA WALENGA AJIRA VIJANA
News

MKUTANO WA BENKI YA DUNIA WALENGA AJIRA VIJANA

ITV· 15 Okt 2026
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA KIMATAIFA WA EITI BRUSSELS
News

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA KIMATAIFA WA EITI BRUSSELS

ITV· 08 Okt 2026
CHONGOLO: UBORA WA PARACHICHI NGUZO YA USHINDANI WA KIMATAIFA
News

CHONGOLO: UBORA WA PARACHICHI NGUZO YA USHINDANI WA KIMATAIFA

ITV· 08 Okt 2026
WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO UONGEZAJI THAMANI MADINI ADIMU
News

WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO UONGEZAJI THAMANI MADINI ADIMU

ITV· 08 Okt 2026
TADB YATAMBUA UBORA WA WANAFUNZI 13 SUA
News

TADB YATAMBUA UBORA WA WANAFUNZI 13 SUA

‎Wanafunzi 13 wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) waliofanya vizuri katika masomo kwa mwaka 2026 wametunukiwa tuzo na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzan

ITV· 08 Okt 2026
WAZIRI HOMERA ATAKA MIFUMO TANESCO IFANYE KAZI
News

WAZIRI HOMERA ATAKA MIFUMO TANESCO IFANYE KAZI

ITV· 06 Okt 2026
STAA WA AFROPOP MR. EAZI AREJEA
News

STAA WA AFROPOP MR. EAZI AREJEA

ITV· 03 Okt 2026
POLITICS Jul 01, 2026 10 10 3

Importance of Peace for National Development

Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi.

Maelezo ya Ziada
habarileo.co.tzRead more

Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi.

habarileo.co.tzRead more

Akizungumza leo Juni 1, 2026 jijini Dodoma kuhusu umuhimu wa amani katika jamii, Msita amesema maendeleo yanapatikana katika mazingira yenye utulivu na mshikamano, akisisitiza kuwa sehemu yenye maendeleo ni sehemu inayompendeza Mungu.

michuzi.co.tzRead more

Kihongosi amewataka wananchi kuendelea kulinda amani na mshikamano uliopo nchini, akisema Tanzania imeendelea kuwa mfano wa utulivu kutokana na umoja na upendo wa wananchi wake.

habarileo.co.tzRead more

Kibadeni ameyasema hayo katika mahojiano maalumu, akisisitiza umuhimu wa vijana kutumia vyema nafasi wanazopewa na kushirikiana katika kulinda amani, akibainisha kuwa ustawi wa taifa lolote unategemea uwepo wa amani.

dailynews.co.tzRead more

He called on Christians and the wider community to embrace forgiveness, love and peace as essential pillars for building a united and harmonious society.

habarileo.co.tzRead more

Ameeleza kuwa amani ni msingi muhimu wa maendeleo ya Taifa, na kusisitiza kuwa bila amani, jitihada zote za maendeleo haziwezi kufikiwa.

habarileo.co.tzRead more

Amani ni zawadi kutoka kwa Mungu na ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa. "Mungu ameturuzuku amani, ni kipaji na kipawa. Tuna kila sababu ya kuitunza na kuilinda, kwani bila amani hakuna maendeleo, wananchi hawatakuwa salama, na tutakimbia nchi yetu wenyewe," amesisitiza.

habarileo.co.tzRead more

Amesisitiza kuwa Tanzania ni kivutio cha wivu kwa watu wa mataifa mengine, kutokana na amani na utulivu iliyonayo.

habarileo.co.tzRead more

Kuhani Baraka pia amewakumbusha waumini na wananchi wote kudumisha amani wakati wa uchaguzi, akisema amani ni nguzo ya maendeleo na msingi wa haki.

habarileo.co.tzRead more

Alisema unaweza kudai vitu vyote kama vile barabara za lami, maji, hospital, katiba mpya, mishara mikubwa lakini kukiwa hakuna amani huwezi kuvitumia vitu vyote hivyo kwa kuwa watu watasambatika huko na kule kwa machafuko ya vita.

ECONOMY Apr 01, 2026 19 10 7

Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

Maelezo ya Ziada
thechanzo.comRead more

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

dailynews.co.tzRead more

The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.

bongo5.comRead more

Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.

mwananchi.co.tzRead more

wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.

thecitizen.co.tzRead more

Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.

globalpublishers.co.tzRead more

wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.

mwananchi.co.tzRead more

Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.

globalpublishers.co.tzRead more

Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani

mzalendo.co.tzRead more

Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.

mzalendo.co.tzRead more

Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.

Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.

Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”

Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.

The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.

Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.

Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.

TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI

Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8​ kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.

Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.

POLITICS Apr 01, 2026 9 4 2

Chadema's Appeal Against Political Activity Ban After 283 Days

Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 tangu kilip…

Maelezo ya Ziada
thechanzo.comRead more

In his final political move, Bungara announced his resignation from ACT Wazalendo on February 18, 2026. He formally joined CHADEMA, the nation’s largest opposition party, aligning himself with their boycott of elections they deemed fundamentally unfair.

thechanzo.comRead more

The Court of Appeal here began hearing a critical revision application from the main opposition party, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) on Tuesday, which seeks to overturn a High Court injunction that has barred it from conducting any political activities since June 2025.

mwananchi.co.tzRead more

Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 tangu kilipowekewa zuio hilo.

mwananchi.co.tzRead more

Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions.

Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions. He donated his personal vehicle and fuel to party organisers and handed over resources to young CHADEMA activists, resulting in thousands of people switching from other parties to join CHADEMA within that single week.

Mgawanyiko huo umejidhihirisha kupitia makundi mawili yenye mitazamo tofauti kuhusu mustakabali wa chama.

Sifuna alisisitiza kuwa yuko tayari kusimama imara kulinda misingi ya chama, akipinga kile alichodai ni juhudi za kukisogeza karibu na mamlaka ya serikali.

Gachagua ameanza kujijenga kama sauti mbadala ya kisiasa, hasa kwa vijana, akishambulia sera za serikali kwa madai ya kushindwa kuboresha maisha ya wananchi wa kawaida.

Kutokuwepo kwake katika mstari wa mbele wa siasa za uchaguzi wa 2027 kumeacha pengo ambalo sasa linajazwa na makundi yenye mitazamo tofauti.

NATIONAL Mar 28, 2026 28 15 7

William Lukuvi's Death Announced by President Samia Suluhu Hassan on March 25, 2026

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

Maelezo ya Ziada
dailynews.co.tzRead more

All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.

dailynews.co.tzRead more

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.

dailynews.co.tzRead more

William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo

habarileo.co.tzRead more

PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.

dailynews.co.tzRead more

Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.

habarileo.co.tzRead more

Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.

habarileo.co.tzRead more

Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.

swahilitimes.co.tzRead more

Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.

mwananchi.co.tzRead more

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

mwananchi.co.tzRead more

Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.

thecitizen.co.tzRead more

Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.

globalpublishers.co.tzRead more

Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.

globalpublishers.co.tzRead more

According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.

mzalendo.co.tzRead more

Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.

mwananchi.co.tzRead more

Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.

Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.

WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA

William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.

William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.

Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.

Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.

William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.

Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.

PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.

President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.

DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.