Active Football Tanzania

NBC Championship

1

NBC Championship ni nini? NBC Championship ni ligi ya daraja la pili la soka nchini Tanzania (Championship League), chini ya Ligi Kuu ya NBC.

NBC Championship — Habari.

Michezo yote
Taarifa ya matumizi ya data

Data rasmi inasimamiwa na BetaTQ na uchambuzi rasmi wa data unapatikana Sokametrics. Hapa Nukta tunaonyesha ratiba, matokeo, na tunakuonyesha habari (redirects) zinazohusiana na mashindano haya.

Soma taarifa (TFF) →

SportPesa Blog Oct 13, 2026

Transit Camp 2-0 KenGold FC NBC Championship 2026/27 | Msimamo

Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Transit Camp na KenGold FC unatarajiwa kuwa na ushindani mkali. Hapa tunakuletea uchambuzi wa awali, takwimu za timu, na matarajio ya mchezo huu muhimu.

SportPesa Blog Oct 11, 2026

Kigamboni United 2-0 Songea United NBC Championship League 2026/27

Kigamboni United na Songea United zinajiandaa kukutana katika mchezo wa NBC Championship League. Hapa tunakuletea uchambuzi wa awali wa mchezo huu muhimu, tukichunguza takwimu za timu, hali ya wachezaji, na matarajio …

SportPesa Blog Oct 09, 2026

Stand United vs Tanzania Prisons NBC Championship League 2026/27 | H2H | Latest News

Tunakuletea uchambuzi wa kina wa mchezo ujao wa NBC Championship League kati ya Stand United na Tanzania Prisons. Hapa utapata taarifa muhimu kuhusu timu hizi kabla ya pambano lao.

Ligi Kuu Apr 20, 2026

GEITA GOLD HAISHIKIKI, LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC IKIPAMBA MOTO.

LIGI ya Championship ya NBC msimu wa 2025/26 imezidi kupamba moto huku ushindani ukiwa mkali katika kila kona ya msimamo, wakati mzunguko wa 22 ukielekea kufungwa rasmi. Vinara Geita Gold wameendelea kuthibitisha ubor…

Ligi Kuu May 20, 2025

KILUVYA YASALIA LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC.

TIMU ya Kiluvya ya Mkoani Pwani imefanikiwa kubakia kwenye Ligi ya Championship ya NBC kwa msimu unaofuata baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Transit Camp hivyo kufanikiwa kubaki kwa ushindi wa jumla (aggregate) w…

Ligi Kuu May 11, 2025

MTIBWA SUGAR MABINGWA LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC 2024/2025.

TIMU ya Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Championship ya NBC msimu wa 2024/2025. Mtibwa Sugar kwenye mchezo wake wa mwisho hii Leo dhidi ya Kiluvya iliyochezwa kwenye uwanja wa Man…

Ligi Kuu May 07, 2025

SIMCHIMBA HASHIKIKI LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC

  IKIWA imesalia mechi moja pekee kwa kila timu ya Ligi ya Championship ya NBC ufungaji wa mabao umeendelea kushika kasi huku mchezaji wa Geita Gold ya mkoani Geita Andrew Simchimba akiendelea kuongoza akiwa na mabao …

Ligi Kuu Apr 26, 2025

LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC YABAKIZA MIZUNGUKO MITATU

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) inautaarifu umma kuwa Ligi ya Championship ya NBC msimu wa 2024/2025 inaingia kwenye mzunguko wa 28 leo Jumamosi Aprili 26, 2025 ambapo kila klabu imesaliwa na michezo mitatu tu kabla …

Ligi Kuu Apr 24, 2025

MBEYA CITY WAKALI WA MABAO LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC.

JOTO la nani kwenda Ligi Kuu namba nne kwa ubora barani Afrika Ligi Kuu ya NBC linazidi kupanda huku timu ya Mbeya City ikiongoza kwa upande wa kufunga mabao mengi kuliko timu yoyote katika Ligi ya Championship ya NBC…

Ligi Kuu Mar 26, 2025

HAWA HAPA WABABE WA UWANJA WA NYUMBANI LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC.

LIGI ya Championship ya NBC inazidi kushika kasi ikiwa ni mzunguko wa 24 huku timu nyingi zikionyesha uwezo ambapo kila timu inataka kufuzu kwenda Ligi Kuu ya NBC msimu 2025-26 huku  timu za Mtibwa Sugar, Mbeya City, …

Ligi Kuu Mar 23, 2025

HAUSUNG RASMI LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC

TIMU ya Hausung kutoka Makambako mkoani Njombe imekuwa timu ya kwanza kupanda daraja kwenda Ligi ya Championship ya NBC kutoka kundi A la First League. Hausung wenye alama 25 huku wakiwa wanaongoza kundi A wamefanikiw…

Ligi Kuu Mar 18, 2025

STAND, GEITA, MBEYA CITY MOTO HAUZIMI LIGI YA CHAMPIONSHIP YA NBC.

LIGI ya Championship ya NBC imeendelea jana kwa michezo mitatu iliyoshuhudia mabao nane yakifungwa na magolikipa watatu wakimaliza michezo bila kuruhusu bao. Stand United ilikuwa mwenyeji wa Mtibwa Sugar ya Morogoro k…

NBC Championship ni nini?

Hapa unaona msimamo na matokeo ya mechi za NBC Championship (Football · Tanzania). Maelezo ya kina kuhusu mashindano haya yataongezwa hapa yanapopatikana.

Hakuna matukio yaliyopangwa au viungo vya ziada hapa kwa sasa.