
Gundua
1278 habariHabari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta
Unaona habari zinazohusishwa na Nukta chini (pamoja na mengine ya Gundua).


Serikali ya Tanzania imejipanga kuendelea kuimarisha sekta ya kilimo ili kuongeza mchango wake katika pato la Taifa na tija kwa wakulima wanaotegemea shughuli hiyo kijiingizia kipato

Ni pamoja na kuimarisha ufuatiliaji wa tetesi katika jamii na uchunguzi wa afya kwa wasafiri wanaoingia nchini kupitia mipaka, bandari na viwanja vya ndege.
Taarifa hiyo ya WHO ilithibitisha watu sita kutoka katika meli hiyo kuambukizwa ugonjwa huo huku watatu tayari wakiripotiwa kupoteza maisha.

Ni maumivu juu ya maumivu kwa watumiaji wa vyombo vya moto vinavyotumia dizeli baada ya bei ya nishati hiyo kupaa kwa Sh85 mwezi Juni.

Netanyahu amempongeza Trump kwa juhudi zake za kutafuta suluhu za mzozo huo akimuita rafiki mkubwa wa Israel kati ya wote waliowahi kupita Ikulu ya Marekani.

Bunge la Tanzania limepitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 kwa asilimia 97.66 baada ya wabunge 385 kupiga kura ya ndio kuunga mkono bajeti hiyo

Wakazi wa maneo hayo sasa wanaweza kuongeza uzalishaji na kuboresha huduma zinazotegemea nishati ya umeme.

Licha ya Tanzania kuwa na malengo ya uchumi wa Dola za Marekani trilioni moja unaoendeshwa na teknolojia, sekta ya tehama inachangia asilimia 1.5 tu ya GDP

CCM imefanya mabadiliko yanayoiruhusu kamati kuu kupitisha majina zaidi ya matatu, wanaogombea nafasi ya udiwani, ubunge au ujumbe wa baraza la wawakilishi

Dar es Salaam. Joel Amiri alishangazwa na mabadiliko ya ghafla ya tabia za watu waliomzunguka mwanzoni mwa mwaka 2020 akiwa nyumbani kwao mkoani Tabora. Alianza kuona majirani zake na wanafamilia wakiwa wamevaa barakoa na kila alipojaribu kuwasogelea karibu, walimuonesha ishara ya kumtaka akae mbali nao. Wakati yeye a…

Ni pamoja na kuboresha sekta ya elimu, afya, kutoa nafasi za ajira na kuanza kwa mchakato wa Katiba mpya.

Hii ina maanisha kuwa hisa moja ya NMB ya sasa itakuwa ni sawa na hisa 10 huku bei ya hisa moja ikipungua kwa uwiano huo huo.

Serikali za Tanzania na Msumbiji zimeingia makubaliano ya ushirikiano katika maeneo sita yakiwemo kubadilishana wafungwa na Tanzania.

Rais wa Msumbiji, ameanza ziara ya kikazi leo nchi Tanzania inayokusudia kudumisha uhusiano wa kihistoria, kindugu na kiuchumi kati ya nchi hizo mbili.

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kuchukua nafasi ya Prof Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu baada ya kuhudumia mhimili huo wa dola kwa miaka minane. Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu…

Gawio la faida la NMB kwa hisa limeongezeka kwa asilimia 217.8% ndani ya miaka mitano tangu lilipokuwa Sh193 mwaka 2021.

Ni pamoja na Cristiano Ronaldo, Messi, Mbappe, Haaland na Vinicius Jr ambao wameendelea kuwa vinara ndani na nje ya uwanja.

Wambura, amefanya mabadiliko ya uongozi kwa kuwahamisha makamanda watatu wa polisi, ikiwa ni sehemu ya mabadiliko ya kawaida ndani ya jeshi hilo.

Zaidi ya asilimia 90 ya bajeti kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo miradi 1,544 ya maji itakayotekelezwa nchi nzima na mingine ya mikubwa ya kimkakati.

Wachambuzi wa masuala ya uchumi wanasema ni muhimu Serikali kuhakikisha inaweka gharama nafuu ili wananchi waweze kumudu huduma hiyo.

Kuchukua hatua za kuongeza mitaji kwa ajili ya shughuli za kiuchumi za vijana na wanawake kwa kutenga Sh200 bilioni ni miongonimwa vipaumbele.

Asema maendeleo yanapaswa kuleta manufaa ya moja kwa moja kwa jamii inayokizunguka, hususan kupitia ajira, biashara na shughuli za kijamii zitakazoongeza kipato cha wananchi.

Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza ujenzi wa kituo kikubwa cha kupandikiza figo, hatua inayoboresha upatikanaji wa huduma hiyo kwa urahisi nchini na Afrika.

Dk. Mpango amesema milipuko ya magonjwa ya kuambukiza, ikiwemo homa ya Marburg, imeonesha umuhimu wa maandalizi ya haraka na mifumo imara ya afya.

Jiji la Arusha limejipanga kuboresha miundombinu mbalimbali ikiwemo barabara ili kuvutia wageni watakaokuja katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).

Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi, uhamisho wa viongozi mbalimbali Serikalini pamoja na mabadiliko ya muundo katika Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na Wizara ya Nishati.

Mkutano huo unalenga kuhimiza hatua za pamoja za bara na kujadili mustakabali wa rasilimali maji, afya ya jamii na maendeleo endelevu katika bara la Afrika.

Serikali imepanga kufufua kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Industries (TPI) kilichopo Arusha kwa lengo la kuanza uzalishaji wa ARVs.

Juisi hizi zinaweza kukusaidia kubana bajeti ya vinywaji msimu huu wa sikukuu

Rais Samia amepokea mialiko rasmi kutoka kwa Marais wa nchi hizo ili awe mgeni katika maadhimisho muhimu ya kitaifa, yakiwemo ya miaka 50 ya uhuru wa Msumbiji.

Miongoni mwa waliofariki ni watoto 21 na maskari wa vyombo vya ulinzi na usalama 16

Banda la Vodacom lilipata heshima ya kutembelewa na Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Daniel Chapo.

Uharibifu uliofanyika Oktoba 29 umehusisha kuharibiwa kwa zaidi ya ofisi 700 za kata nchini, vituo vya polisi, pamoja na nyumba na magari ya watu binafsi.

Ni pamoja na kuboresha miundombinu ya usafiri wa anga, reli, bandari na barabara.

Masaju amesema pamoja na uzalendo, vijana watajifunza stadi za maisha zitakazowawezesha kuwa wabunifu na kupunguza changamoto ya ukosefu wa ajira.
TRA imeandika rekodi mpya katika historia yake ya ukusanyaji mapato kwa mwaka wa fedha 2024/25 baada ya kukusanya Sh32.3 trilioni.

Ni baada ya Jeshi la Polisi kufanya ufuatiliaji wa karibu katika mitandao ya kijamii na majukwaa mengine.

Mchechu amesema utegemezi wa taasisi zisizo za biashara umeendelea kupungua kwa asilimia 12.8, hatua inayoonyesha kuimarika kwa ufanisi na usimamizi wa taasisi hizo.

Aagiza kuanza kwa mchakato wa ithibati ya kimataifa na matumizi ya teknolojia za kisasa sekta ya afya.

Dar es Salaam. Hatimaye Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo vimesaini tamko la pamoja la maridhiano ya kisiasa visiwani Zanzibar, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa kisiasa visiwani humo. Tamko hilo limesainiwa katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Zanzibar leo Julai 9, 2026, ikishuhudiwa na Rais wa Tanzan…

Dar es Salaam. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewafungia watangazaji wanne wa kituo cha redio cha Mjini FM baada ya kubainika kukiuka maadili ya taaluma ya habari na Sheria ya Huduma za Habari, Sura ya 229 (Toleo la 2023). Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkurugenzi wa JAB Patrick Kipangula, leo Julai 18, …

Lengo la Serikali kuhamishia utaratibu huo benki lilikuwa ni kupunguza ubadhirifu na tabia ya baadhi ya wanufaika wa mikopo hiyo.

Tume ya Rais ya kutathmini kuhusu masuala ya mgogoro wa ardhi ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro imetoa mapendekezo ya taratibu na sheria zitakazodhibiti matumizi mseto ya ardhi katika eneo hilo

Kiwango kipya kilichopangwa na MPC ni cha juu tangu mfumo mpya wa kudhibiti mfumuko wa bei uanze kutumika zaidi ya miaka miwili iliyopita.

Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 imepungua kwa Sh7.2 bilioni, sawa na asilimia 4.13.

Aidha, mapato ya utalii wa ndani yamepanda kutoka shilingi bilioni 46.3 mwaka 2021 hadi bilioni 209.8 mwaka 2024, sawa na ongezeko la asilimia 353.1.

Ushiriki wa vijana kujenga miundombinu imara ya kidijitali ya umma kutaboresha maisha ya Watanzania na kukuza uchumi wa nchi.

Hii ni mara ya kwanza serikali inafungwa tangu mwaka 2018, katika muhula wa kwanza wa Trump, kufungwa kwa Serikali kulidumu kwa siku 34 ambao ni muda mrefu zaidi katika historia hadi mwanzoni mwa mwaka 2019.

Ni pamoja na uzalishaji, usambazaji, na biashara ya kaboni.

Students in Dodoma city are expected to see better classrooms, more learning materials, and improved school facilities following the launch of the Sanjeev Mansotra Foundation (SMF) in Tanzania.

Faida baada ya kodi ya Vodacom yafikia Sh107.1 bilioni ikiwa ni kiwango cha juu kuwahi kurekodiwa ndani ya miaka saba.

Rais Mwinyi amesema Hayati Mkapa atabaki kuwa mfano wa kuigwa kutokana na mchango wake katika kujenga Taifa.

Ni vipande kutoka uwanja wa New York New Jersey nchini Marekani, kipande kikubwa zaidi kuuzwa Sh8 milioni.

Hatua hii imekuja baada ya mgombea huyo kushinda kesi aliyofungua kupinga uamuzi wa kuenguliwa kwenye mchakato wa uteuzi.

Dk Mwinyi amesema kuwa uteuzi wa baraza hilo umezingatia vigezo mbalimbali ikiwemo uwiano wa kijinsia, elimu, uzoefu na uwakilishi wa pande zote.
Mlipuko huo unakuwa wa tatu kwa ukubwa na wenye kasi kuliko mlipuko wowote katika historia ya Ebola.

Marais hao pia wameshuhudia utiaji saini wa rasimu ya makubaliano kuhusu ushirikiano katika sekta mbalimbali za uchukuzi pamoja na makubaliano ya ushirikiano katika sekta ya uchukuzi.

Awataka madereva na watumiaji wote wa barabara kuzingatia sheria na kanuni za usalama barabarani ili kuzuia ajali na kulinda maisha ya wananchi.

Ni mfumo unaowekwa chini ya godoro kufuatilia viashiria muhimu vya mgonjwa kwa saa 24.

Mpaka sasa, vipande viwili vya Dar es Salaam–Morogoro na Morogoro–Makutupora tayari vinatoa huduma, huku vingine vikiendelea na ujenzi

Takwimu za WHO zinakadiria kuwa mwaka 2024 takribani watoto milioni 35 walio chini ya umri wa miaka mitano duniani walikuwa na uzito uliopitiliza.

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa mafunzo kwa wasichana 25 nchini ikiwa ni jitihada za kuongeza ujumuishi wa kijinsia katika tasnia hiyo

Siku moja tangu kuripotiwa tukio la mjane aliyefukuzwa kwenye nyumba anayodai ni ya mume wake, Serikali imeunda tume ya wataalamu kuchunguza madai hayo ili haki itendeke.

Hatma ya urushaji wa moja kwa moja wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Lissu, itajulikana Agosti 18, 2025.

Hii ina maana ya kwamba kwa wale waliokuwa na ndoto za kusoma kozi hizo kupitia chuo cha Udom wanapswa kutafakari upya matamanio yao na kuangalia njia mbadala.

Rais Samia, Museveni waahidi kuondoa vikwazoo mipakani, kupannua masoko, ujenzi wa miundombinu ya usafiri majini, ardhini.

Passengers will no longer need to carry cash when travelling. Instead, they will pay their fares using smart cards integrated with the Mixx digital payments platform.

Baadhi ya mama lishe wanadai kuwa vipato vyao ni vidogo kuwawezesha kununua majiko na gesi huku wengine wakikosa elimu sahihi ya faida za nishati hiyo.

Amtaka Makalla kutumia uzoefu kuhakikisha Arusha inaendelea kuwa kitovu cha utalii na kuchagiza fursa za kiuchumi na kidiplomasia.

Yaongezeka kwa asilimia 3.4 kulinganisha na Sh348.13 bilioni ya mwaka 2024/25 wakati kamati imeitaka Serikali kuboresha mfumo wa fidia.

Msimu wa pili wa Tuzo za Samia Kalamu Awards 2026 umezinduliwa rasmi huku kigezo kikuu kwa washiriki kikiwa ni kuwa na kitambulisho kinachotolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB).

Watoto takribani 14,000 huzaliwa na ugonjwa huo na watu 15 kati ya kila 100 nchini wana vinasaba vya sikoseli hali inayotishia mustakabali wa afya.

Sekta binafsi inatarajiwa kuchangia takribani asilimia 70 ya utekelezaji wa malengo ya dira hiyo.

Sekta ya kilimo inaongoza kwa kuchangia kiwango kikubwa cha pato la taifa (GDP) ikichangia kwa asilimia 26 ya Sh156 trilioni zilizoripotiwa mwaka 2024.

Miongoni mwa mali zilizotaifishwa ni pamoja na nyumba, viwanja na magari zinazomilikiwa na watuhumiwa Saleh Khamis Basleman na Gawar Bachi Fakir.

Katika kipindi hicho, pia aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, akihudumu kuanzia Novemba 2010 hadi mwaka 2014.

Tume yapendekeza katiba mpya mapema ili itumike wakati wa uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2030.

Ameeleza kuwa lengo la Serikali ni kuona sekta binafsi inachukua sehemu kubwa ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati ili kukuza uchumi wa taifa.
Sambamba na msako mkali wa kumtafuta mtuhumiwa Jeshi la Polisi limetoa wito kwa wananchi kuepuka kujichukulia sheria mkononi.

Mwenyekiti wa Chadema,Tundu Lissu ataendelea kusota mahabusu kwa zaidi ya siku 90 sasa, mara baada ya shauri la uhaini kuahirishwa mpaka Julai 30.

Ni kuanzia Agosti 1, 2026, utatumika kushughulikia mizigo inayoingizwa na kutoka kupitia bandarini na mipakani.

Watu waliopo kwenye kikundi hiki sasa wana uhakika wa kipato kwa mwezi kutokana na kazi yao ya kugeuza taka taka kuwa nishati safi ya kupikia.

Mwekezaji yeyote asiye mkazi anaweza kushiriki katika dhamana za Serikali za muda mfupi na muda mrefu zinazotolewa na Serikali ya Tanzania.

If you are yet to register here are some key reasons why you should attend the two events at Mwalimu J.K. Nyerere Trade Fair Grounds in Dar es Salaam from 2nd to 3rd September, 2026.

Ikiwa gawio hilo litapitishwa itakuwa ni sawa na ongezeko la asilimia 23.8 ikilinganishwa na gawio la Sh20.20 lililotangazwa mwaka 2025.

Bei ya petroli imepungua kwa Sh92 kwa lita, dizeli kwa Sh204 kwa lita, huku mafuta ya taa yakishuka kwa Sh440 kwa lita ikilinganishwa na viwango vya mwezi uliopita.

Serikali ya Tanzania imejipanga kuhakikisha mbegu na mimea ya asili zinahifadhiwa na kutunzwa kwa matumizi endelevu kwa kizazi cha sasa na cha baadae

Rais Museveni na mwenyeji wake, Rais Samia, wanatarajiwa kuzungumza na vyombo vya habari kuhusu makubaliano na maeneo ya ushirikiano yatakayojadiliwa.

Pamoja na maboresho hayo, ni muhimu kwa taasisi za kifedha kuwa na mifumo mbadala ya utoaji huduma ili kuhakikisha huduma zinaendelea kutolewa hata pale mfumo mkuu unapokuwa katika matengenezo au unapokumbwa na changamoto za kiufundi.

Wakati mwingine utapiamlo unaweza kusababisha vifo hususani kwa wanawake wajawazito na watoto chini ya miaka mitano.

Rais Samia amezindua Benki ya Ushirika Nchini (Coop) huku akiitaka benki hiyo kuwa chachu ya mageuzi ya ushirika na kuwawezesha wakulima nchini.

Wizara ya Katiba na Sheria imeliomba Bunge liidhinishe bajetii ya Sh687.6 bilioni kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kwa ajili ya kutekeleza vipaumbele 22.

Mabadiliko hayo yanakuja wakati ambao wananchi jijini Dar es Salaam wamekuwa wakilalamikia huduma zisizoridhisha kwenye usafiri wa mabasi ya mwendokasi.

Watumiaji wa Dola ya Marekani wataendelea kununua na kuuza Dola kwa bei sawa na jana.

Wananchi wanaoishi katika maeneo tajwa, hususan walioko mabondeni na maeneo hatarishi, kuchukua tahadhari za mapema ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza.

Instead, its remote location has rendered it useless. Travelers and businesses have returned to the unregulated Sokoni bus stop.

CAG Kichere amebainisha kuwa kwa miaka mingi baadhi ya mapendekezo hayafanyiwi kazi ipasavyo, hali inayochangia hasara na kudhoofisha uwajibikaji

Mahakama imeeleza wazi kuwa kosa la uhaini ni miongoni mwa makosa yasiyo na dhamana kwa mujibu wa sheria, hivyo ombi la Lissu la kupewa dhamana halikukubalika.

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya uhaini inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania, Tundu Lissu hadi Juni 16, 2025, uamuzi utakaomfanya endelee kusota rumande kwa zaidi ya miezi miwili tangu ashtakiwe kwa kosa hilo la jinai. Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na…

Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania imemkuta Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu na kesi ya kujibu katika mashtaka ya uhaini yanayomkabili, hatua itakayomfanya aendelee tena kusota mahabusu huku akijitetea kujinasua katika shtaka hilo. Uamuzi huo, uliotolewa na Jaji Dunstan Ndungu…

Baada ya Ujerumani kushindwa vita na Waingereza kuchukua utawala wa Tanganyika, wazo la kutumia Mto Rufiji kwa maendeleo liliendelea kufanyiwa tafiti

Ahadi hiyo ilipokelewa kwa shangwe na Wananchi waliokuwa katika eneo hilo kuanzia saa nne asubuhi wakisubiri ujio wa mkuu wa mkoa.

“Tutapata wapi tafiti mpya kama mwanafunzi ametumia AI kuandika tafiti,” amehoji Dk. Amin ambaye hakubaliani na matumizi makubwa wa AI.

Hatua hiyo inakuja saa chache baada ya Nchimbi kung’atuka na kueleza kuwa Rais Samia anatamani mabadiliko.

Mwenyekiti wa UVCCM, Mohamed Kawaida ameiambia kuwa Dk Nchimbi anaweza kurejea CCM ikiwa ataiomba msamaha NEC.

Agizo hili linaunga mkono kauli ya Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, ambaye awali alionya kuhusu mikopo yenye riba kubwa.

Anasubiri hatua muhimu ya kikatiba ya kupitishwa na Bunge ili ashike nafasi hiyo ya juu baada ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Ni baada ya ya TMA kutangaza ujio wa mvua kubwa za El Niño kuanzia Septemba hadi Januari, 2027.

Serikali ya Tanzania imepanga kukuza na kulinda viwanda vya ndani kwa kupendekeza maboresho ya kodi, tozo na ushuru wa forodha wa bidhaa bajeti 2025/26.

Ndejembi amepata kura 324 kati ya ya kura 324 za wabunge zilizopigwa, sawa na asilimia 100 ya kura zote.

Hatimaye Tanzania imepata Makamu wa Rais mpya, baada ya kuapishwa kwa Deogratius Ndejembi, leo Agosti 29, 2026 ikulu ya Chamwino, Dodoma.

High speed and reliable internet is needed in every aspect of human life from education, family growth, governance to business.

Dola ya Marekani (USD) imeendelea kununuliwa kwa Sh2,570 na kuuzwa kwa Sh2,650 ikiwa ni sawa na kiwango kilichorekodiwa wiki iliyopita.
Habari nyingine
Utakuja AFCON 2027?
Viwanja Kenya · Tanzania · Uganda

Serikali yajibu uhaba wa wataalamu wa ganzi, usingizi

Shilingi yaimarika dhidi ya sarafu kuu leo Septemba 1,2026

TASAC yasitisha utoaji leseni za bandari kavu

Serikali yafafanua madai ya kisiwa cha Lupita kuuzwa
Sheria ya Ardhi, Sura ya 113, inaeleza wawekezaji raia wa kigeni hupata ardhi kwa ajili ya uwekezaji kupitia utaratibu maalumu unaotambuliwa kisheria.

Shilingi yapata nafuu dhidi ya Euro na Pauni, Agosti 31, 2026

Zigo linalomsubiri Ndejembi Ofisi ya Makamu wa Rais Tanzania

Huu ndio utamu wa kachumbari ya kabeji

Bunge lampitisha Ndejembi kuwa Makamu wa Rais kwa asilimia100

Dola yabaki tulivu, Euro na Pauni zashuka CRDB

Hatua zinazoweza kumrejesha Dk Nchimbi CCM

Serikali yajipanga kukabiliana na mvua za El Niño
Ni baada ya ya TMA kutangaza ujio wa mvua kubwa za El Niño kuanzia Septemba hadi Januari, 2027.
Ni nani Makamu wa Rais wa Tanzania kwa sasa ?

Hii ndiyo maana ya Nchimbi ‘kufukuzwa’ uanachama CCM

Simulizi ya Deogratius Ndejembi: Kada wa CCM aliyepaa kiuongozi

Shilingi yaimarika dhidi ya Euro, Pound Agosti 27, 2026

Deogratius Ndejembi apendekezwa kumrithi Nchimbi

Haya hapa mafao ya Dk Nchimbi aking’atuka madarakani

Kinachofuata baada ya Nchimbi kujiuzulu
Kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, Ibara ya 50(4), inasema iwapo nafasi ya Makamu wa Rais itakuwa wazi kwa sababu ya kifo ama kujiuzulu, Rais anatakiwa kumteua m

Pauni yapanda, euro yashuka Agosti 26, 2026

Rais Samia aridhia Makamu wa Rais Dk Nchimbi kujiuzulu
Importance of Peace for National Development
Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi.
Akizungumza leo Juni 1, 2026 jijini Dodoma kuhusu umuhimu wa amani katika jamii, Msita amesema maendeleo yanapatikana katika mazingira yenye utulivu na mshikamano, akisisitiza kuwa sehemu yenye maendeleo ni sehemu inayompendeza Mungu.
Kihongosi amewataka wananchi kuendelea kulinda amani na mshikamano uliopo nchini, akisema Tanzania imeendelea kuwa mfano wa utulivu kutokana na umoja na upendo wa wananchi wake.
Kibadeni ameyasema hayo katika mahojiano maalumu, akisisitiza umuhimu wa vijana kutumia vyema nafasi wanazopewa na kushirikiana katika kulinda amani, akibainisha kuwa ustawi wa taifa lolote unategemea uwepo wa amani.
He called on Christians and the wider community to embrace forgiveness, love and peace as essential pillars for building a united and harmonious society.
Ameeleza kuwa amani ni msingi muhimu wa maendeleo ya Taifa, na kusisitiza kuwa bila amani, jitihada zote za maendeleo haziwezi kufikiwa.
Amani ni zawadi kutoka kwa Mungu na ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa. "Mungu ameturuzuku amani, ni kipaji na kipawa. Tuna kila sababu ya kuitunza na kuilinda, kwani bila amani hakuna maendeleo, wananchi hawatakuwa salama, na tutakimbia nchi yetu wenyewe," amesisitiza.
Amesisitiza kuwa Tanzania ni kivutio cha wivu kwa watu wa mataifa mengine, kutokana na amani na utulivu iliyonayo.
Kuhani Baraka pia amewakumbusha waumini na wananchi wote kudumisha amani wakati wa uchaguzi, akisema amani ni nguzo ya maendeleo na msingi wa haki.
Alisema unaweza kudai vitu vyote kama vile barabara za lami, maji, hospital, katiba mpya, mishara mikubwa lakini kukiwa hakuna amani huwezi kuvitumia vitu vyote hivyo kwa kuwa watu watasambatika huko na kule kwa machafuko ya vita.
Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict
In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.
The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.
Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.
Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.
Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.
Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani
Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.
Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.
Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.
Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”
Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.
The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.
Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.
Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.
TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI
Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8 kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.
Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.
In his final political move, Bungara announced his resignation from ACT Wazalendo on February 18, 2026. He formally joined CHADEMA, the nation’s largest opposition party, aligning himself with their boycott of elections they deemed fundamentally unfair.
The Court of Appeal here began hearing a critical revision application from the main opposition party, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) on Tuesday, which seeks to overturn a High Court injunction that has barred it from conducting any political activities since June 2025.
Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 tangu kilipowekewa zuio hilo.
Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions.
Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions. He donated his personal vehicle and fuel to party organisers and handed over resources to young CHADEMA activists, resulting in thousands of people switching from other parties to join CHADEMA within that single week.
Mgawanyiko huo umejidhihirisha kupitia makundi mawili yenye mitazamo tofauti kuhusu mustakabali wa chama.
Sifuna alisisitiza kuwa yuko tayari kusimama imara kulinda misingi ya chama, akipinga kile alichodai ni juhudi za kukisogeza karibu na mamlaka ya serikali.
Gachagua ameanza kujijenga kama sauti mbadala ya kisiasa, hasa kwa vijana, akishambulia sera za serikali kwa madai ya kushindwa kuboresha maisha ya wananchi wa kawaida.
Kutokuwepo kwake katika mstari wa mbele wa siasa za uchaguzi wa 2027 kumeacha pengo ambalo sasa linajazwa na makundi yenye mitazamo tofauti.
All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.
William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo
PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.
Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.
Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.
Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.
Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.
Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.
Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.
Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.
Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.
According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.
Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.
Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.
Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.
WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.
Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.
Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.
William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.
Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.
PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.
President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.
DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.