Gundua

299 habari
Nukta Publish

Habari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta

Unaona habari zinazohusishwa na Bongo5 chini (pamoja na mengine ya Gundua).

Nishati na Umeme Fuel Prices

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetumia fursa ya Wiki ya Nishati kuwahamasisha waheshimiwa wabunge kuwekeza katika ujenzi wa vituo vya mafuta maeneo ya vijijini pamoja na vituo vya CNG ili kuendelea kusogeza huduma kwa wananchi. Kaimu Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa EWURA, Bw. Wilfred M…

Bongo5
Nishati na Umeme Tanesco yazindua kituo cha kuchajia…

Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Lazaro Twange, amesema mradi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Zuzu, Dodoma, unatarajiwa kukamilika ifikapo Agosti 18, 2026. Akizungumza Mei 20, 2026 wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya mradi huo katika mikoa ya Morogoro na Dodoma, Twange a…

Bongo5
Jinsia na Wanawake Nchimbi mgeni rasmi siku ya mazingi…

Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) kimesema kitaendelea kuimarisha juhudi za kuwawezesha wanawake kiuchumi sambamba na kuwapatia elimu ya sheria ili kuhakikisha wanapata haki zao na kuzitumia kwa manufaa yao na jamii kwa ujumla. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati akifungua Mkutano Mkuu wa 36 wa Mwaka …

Bongo5
Ujenzi na Miundombinu Waziri mkuu: fedha za maji, barabar…

Barabara na Uwanja wa Ndege wa kuupaisha mkoa kiuchumi Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa Serikali itaendelea kujenga na kukamilisha barabara zilizopo Mkoa wa Mara kwa kiwango cha lami, ili kufungua fursa za kiuchumi na kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji ndani ya mkoa huo na mikoa jirani. Ulega …

Bongo5
Afya na Huduma za Jamii Benki ya Exim Tanzania yaendesha zo…

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezielekeza wizara tano muhimu kuchukua hatua za haraka kuimarisha ustawi wa mama na baba lishe, akiwatambua kama mhimili muhimu wa uchumi. Akizungumza leo Aprili 21, 2026 katika Kongamano la Kitaifa la Mama na Baba lishe lililofanyika Dar es Salaam, Rais …

Bongo5
Shughuli za Fedha na Bima NMB yaingia katika awamu mpya ya uk…

Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, anatarajiwa kuiweka hadithi ya mageuzi ya sekta ya benki nchini Tanzania katika jukwaa la kimataifa baada ya kualikwa kuzungumza katika Cambridge Africa Business Conference 2026, litakalofanyika Mei 30, 2026 katika University of Cambridge. Zaipu…

Bongo5
Nishati na Umeme TANESCO yakamilisha miradi ya kuima…

📌Aelekeza kuondolewa mara moja kwa meneja wa mradi upande wa mkandarasi Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema hajaridhishwa na mwenendo wa utekelezaji wa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Megawati 49.5 katika maporomoko ya Mto Malagarasi mkoani Kigoma unaotekelezwa na Kampuni ya Dongfang Electric kutokana na kuchel…

Bongo5
Siasa Mshikamano kitaifa wapewa kipaumbel…

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa onyo kali kwa viongozi wapya walioapishwa, akisisitiza kuwa madaraka waliyopewa si ya kujinufaisha wala kujiona bora, bali ni dhamana ya kuwatumikia wananchi kwa uadilifu na uwajibikaji. Akizungumza leo katika hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu ya C…

Bongo5
Kilimo, Misitu na Uvuvi Wrrb yafungua ukurasa mpya kwa wafu…

Bodi ya Stakabadhi za Ghala ni taasisi iliyochini ya Wizara ya Viwanda na Biashara. Kazi ya taasisi hiyo ni kusimamia na kuhamasisha matumizi ya mfumo wa stakabadhi ghalani unaohakikisha usawa na uendelevu wa upatikanaji wa mikopo na mifumo ya masoko. David Sukali ni Mkuu wa Kitengo cha Ununuzi kutoka Bodi ya Usimamiz…

Bongo5
Mazingira na Hali ya Hewa Ofisi ya waziri mkuu yathibitisha n…

Serikali imesema uzalishaji na uingizaji wa mifuko ya plastiki iliyopigwa marufuku umepungua kwa asilimia 95 hatua iliyochangia kupungua kwa uzalishaji wa taka za plastiki katika maeneo mbalimbali nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Reuben Kwagilwa bungeni jijini Dodo…

Bongo5
Ujenzi na Miundombinu Wahandisi tanroads, tarura watakiwa…

Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wameendelea kunufaika na maboresho ya miundombinu ya barabara na madaraja yanayotekelezwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), huku Meneja wa TARURA Mkoa wa Ruvuma akieleza kuwa juhudi kubwa zinaendelea kuhakikisha mtandao wa barabara unakuwa imara katika kipindi hiki cha mv…

Bongo5
Utawala wa Umma na Ulinzi Wizara ya maliasili na utalii yaibu…

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM– TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amewataka watumishi wa OWM- TAMISEMI kufanya kazi kwa bidii, upendo, ushirikiano, pamoja na ubunifu katika utendaji wao ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Prof. Shemdoe ametoa wito huo jana Machi …

Bongo5
Afya na Huduma za Jamii Bmh yaandika historia kwa upandikiz…

MSANII maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond Platnumz, amesema ameshangazwa na ukubwa pamoja na huduma za kibingwa na ubingwa bobezi zinazotolewa katika Hospitali ya Rufani ya Kanda ya Benjamin Mkapa (BMH). Amesema hakuwahi kujua kuwa jijini Dodoma kuna hospitali yenye uwezo mkubwa kiasi hicho ambayo inato…

Bongo5
Ujenzi na Miundombinu Mwenge wa uhuru waridhishwa na mira…

‎Songea DC imeanza kushuhudia ongezeko la kasi ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo huku viongozi wakisisitiza ubora na tija kabla ya uzinduzi rasmi kupitia Mbio za Mwenge wa Uhuru Mei 14, 2026. ‎ ‎Katibu Tawala Msaidizi wa Mkoa wa Ruvuma, Joel Mbewa, amengoza timu ya wataalamu kufanya ukaguzi wa kina wa miradi mbalimbal…

Bongo5
Vijana Vijana Uchumi Challenge kupewa fursa

Serikali imewahimiza vijana kote nchini kujitokeza na kushiriki kikamilifu katika shindano jipya la kitaifa la “Vijana Uchumi Challenge,” likilenga kuimarisha ushiriki wao katika maendeleo ya uchumi wa taifa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, …

Bongo5
crime Mwili wa Dereva wa Heche Wasafirish…

Tukio la kusikitisha limeutikisa wakazi wa eneo la Magugu, wilayani Babati mkoani Manyara, baada ya mwili wa mwanaume ambaye bado hajatambulika kukutwa umetupwa pembeni mwa barabara kuu ya Babati–Arusha. Kwa mujibu wa taarifa za awali, marehemu ana dalili za kuuawa kikatili, huku chanzo cha tukio hilo kikiwa bado haki…

Bongo5
Siasa Dkt. munisi asisitiza utekelezaji w…

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameendelea kuwasisitiza Watanzania waendelee kudumisha amani nchini kwa sababu inawawezesha kushiriki katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo. “Tuwe makini na watu wanaohamasisha uvunjifu wa amani kwa kuwa wengine walipwa kwa vitendo hivyo. Kama wao wamechagua maisha hayo wasiiuze nc…

Bongo5
Ujenzi na Miundombinu Ulega atoa miezi 3, ataka km 50 za …

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameipa siku 14 Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) kukamilisha taratibu zote za kisheria za manunuzi, ikiwemo kumpata mkandarasi, ili kuruhusu kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Kisarawe hadi Maneromango. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Masaki, Wilayani Kis…

Bongo5
Biashara Rais Samia Aitunuku TBL Tuzo ya Wal…

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amepiga marufuku kwa taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kuwaambia wafanyabiashara kuwa hawana vigezo vya kufanya biashara, akisisitiza kuwa jukumu lao ni kuwasaidia kufikia vigezo hivyo ili waweze kushiriki kikamilifu katika biashara na kuchangia ukuaji wa uchumi. Kapinga…

Bongo5
journalism Waandishi wa habari wananufaika na …

SERIKALI imeanza kuvuna matokeo ya mageuzi ya kidijitali katika sekta ya habari baada ya Waandishi wa Habari 3,357 kuthibitishwa na kupatiwa ithibati ndani ya kipindi cha chini ya mwaka mmoja kupitia mfumo wa kisasa wa TAI HABARI. Mafanikio hayo ni hatua kubwa katika kuimarisha weledi, uwajibikaji na usimamizi wa taal…

Bongo5
Utawala wa Umma na Ulinzi Prof. shemdoe awaasa wanafunzi kuen…

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Prof. Riziki Shemdoe, amemshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia fedha nyingi kupelekwa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo imepeleka tabasamu k…

Bongo5
Siasa Kongamano la nishati : etdco yasisi…

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Balozi Andrew Lentz, kwa mazungumzo yaliyojikita katika kuimarisha maeneo mbalimbali ya ushirikiano kati ya Zanzibar na Marekani. Mazungumzo hayo yamefanyika leo, tarehe 23 Machi 2026,…

Bongo5
Ujenzi na Miundombinu GF Trucks Yatwaa Tuzo ya Ubora wa B…

WAKATI mataifa mengi ya Afrika yaliyo Kusini mwa Jangwa la Sahara yakishuhudia kasi kubwa ya ukuaji wa miji, Tanzania imechukua msimamo thabiti wa kudhibiti uendelezaji holela wa makazi pembezoni mwa miji ili kuepuka gharama kubwa za kurekebisha miundombinu baadaye. Akizungumza katika Jukwaa la 13 la Miji Duniani (WUF…

Bongo5
Biashara ya Jumla na Rejareja Tanzania yatajwa kuwa na nafasi mau…

Serikali imewahimiza wafanyabiashara na wazalishaji nchini kutumia kikamilifu fursa za masoko ya kikanda na kimataifa ili kuongeza mauzo ya nje, kuvutia wawekezaji na kuchochea ukuaji wa uchumi wa taifa. Hayo yameelezwa leo jijini Dar es Salaam na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Aristides Mbwasi wakat…

Bongo5
Siasa Tanzania holds preparatory talks he…

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi, na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC-MCO), uliofanyika jana Mei 10, 2026, Jijini Nairobi, Kenya. Mkutano huo uliolenga kuimaris…

Bongo5
Michezo Justin Bieber, Shakira, Madonna na …

Kwa mara ya kwanza katika historia, mashindano haya yatapatikana kwa ukamilifu kwa wateja wote wa DStv kuanzia kifurushi cha DStv Access hadi DStv Premium, yakijumuisha mechi zote 104 mubashara, matangazo ya muhtasari na marudio. Hili linaifanya FIFA World Cup 2026™️ kuwa Kombe la Dunia linalofikika zaidi kuwahi kutok…

Bongo5
Elimu Airtel Tanzania Yawajengea Vijana U…

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Veta wameingia makubaliano ya kimkakati ya miaka mitatu ya kuimarisha na kupanua jukwaa la mafunzo ya ufundi linalotegemea simu za mkononi, likilenga kuongeza upatikanaji wa elimu ya ujuzi kwa Watanzania kote nchini. Makubaliano hayo kuwa jukwaa rasmi la taifa la mafunzo ya …

Bongo5
Sheria na Mahakama Video: Maopena Akamatwa kwa Tuhuma …

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limewakamata watu wanne kwa tuhuma za mauaji ya James Temba mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo cha IFM Dar es Salaam. Marehemu Temba mwili wake ulikutwa unaelea kwenye maji yaliyokuwa yanatiririka katika mto Msimbazi eneo la Kipawa Ilala Aprili 30, 2026 huku ukiwa hauna …

Bongo5
Siasa Waliofariki dunia kwa tetemeko Vene…

Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imesema kuwa Jumla ya watu 518 walifariki dunia wakati wa vurugu zilizotokea baada ya Uchaguzi Mkuu. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman Chande Ikulu jijini Dar es Salaam wakati akiwasilisha ripoti ya tume hiyo mbele ya R…

Bongo5
crime Mlinzi wa shule akutwa amefariki da…

Mwanaume mmoja mkazi wa Kijiji cha Imalanguzu, Kata ya Mwamakona, Tarafa ya Igurubi, Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora amemchinja mtoto wake mchanga aliyekuwa na umri wa miezi miwili na kumjeruhi mke wake. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari jana, Kamanda wa Polisi mkoani hapa , Richard Abwao ameeleza kuwa tukio hilo li…

Bongo5
Madini na Uchimbaji Tume ya madini yajipanga kuongeza u…

Serikali imewataka Wakaguzi Wakuu wa Migodi pamoja na Mameneja wa Migodi nchini kuwa mabalozi wa utekelezaji wa sheria, kanuni za madini na kuwa wazalendo katika biashara ya madini ili kuongeza mchango wa sekta hiyo kwenye uchumi wa taifa. Wito huo umetolewa leo Aprili 24, 2026 wilayani Kahama, mkoani Shinyanga na Mta…

Bongo5
Elimu ‘Mende’ wa India wanavyompasua kich…

Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Dk. Prosper Mgaya amesema chuo hicho kimeweka utaratibu maalum wa kutenga fungu la fedha kwa ajili ya kuwawezesha wanataaluma wake kufanya tafiti zenye tija kwa jamii na sekta ya usafirishaji nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa Kongamano la wanataaluma …

Bongo5
Usafiri na Uhifadhi Video: Ajali Moro Yaua Watu Wawili,…

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Charles Hirali Msangi (34) kwa tuhuma za kusababisha ajali iliyopelekea abiria 57 kunusurika kifo katika eneo la Mikumi, kando ya barabara kuu ya Mikumi–Ifakara. Ajali hiyo ilitokea Aprili 16, 2026, ambapo basi lenye namba za usajili T 289 EAG lililokuwa likiendeshwa na m…

Bongo5
Jinsia na Wanawake Standard Chartered Foundation Yatoa…

Studiored Communications imeandaa toleo la pili la kongamano la Women Shaping the Future WSF 2026, ambalo linafanyika katika Mwezi wa Wanawake kila mwaka. Likiongozwa na kaulimbiu “Jenga Utajiri. Jenga Nguvu.”, tukio hili limewakutanisha wanawake 200 viongozi, wataalamu, wajasiriamali na watunga sera kwa siku nzima ya…

Bongo5
Afya na Huduma za Jamii Waziri sangu -kauli mbiu ya psssf y…

ZAIDI ya wafanyakazi na wananchi 2,000 kutoka Mkoa wa Njombe na maeneo mbalimbali nchini wamepatiwa huduma ya afya kupitia Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi ambayo imeandaliwa na Wakala kwa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Mfuko . Hayo yamesemwa na Mtendaji Mkuu wa OSHA…

Bongo5
Michezo Victoria group kuandaa vg fun run k…

MWANARIADHA nyota wa Tanzania, Alphonce Simbu pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari wanatarajiwa kushiriki katika mbio za Wakili Marathon 2026 zitakazofanyika Mei 31, 2026 katika Viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma, zikiwa na lengo la kuhamasisha utoaji wa msaada wa kisheria kwa jamii. Akizungumza na waan…

Bongo5
Utawala wa Umma na Ulinzi Dk Kijaji akagua ujenzi wa soko Mul…

‎Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Peres Magiri, ameonyesha dhamira thabiti ya kuhakikisha Wilaya hiyo inakuwa mfano wa kuigwa kitaifa, baada ya kuongoza kikao muhimu cha maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2026 kilichofanyika leo Aprili 28, 2026 katika ukumbi wa Mkuu wa Wilaya. ‎ ‎Kikao hicho cha Kamati ya Sherehe Wilay…

Bongo5
Utawala wa Umma na Ulinzi Dkt.nchimbi amtembelea dk.jakaya ki…

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali, Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mzee Yusuph Makamba. Balozi Dk. Nchimbi amemtembelea Mzee Makamba katika makazi yake Tegeta Jijini Dar es Sala…

Bongo5
Habari na Mawasiliano Ttcl yaweka intaneti ya kisasa aman…

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL),David Nchimbi amesema Shirika la TTCL limeendelea na mkakati wa Mabadiliko ya kujiendesha Kibiashara ikiwa pamoja na kutengeneza faida ya sh. bilioni 22.9 (kabla ya kodi) katika mwaka wa fedha 2024/25. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo waka…

Bongo5
Biashara ya Jumla na Rejareja Sekta ya madini yavutia uwekezaji w…

Tanzania imewezesha miamala ya biashara yenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 200 kati ya wafanyabiashara wa Tanzania na wenzao wa China katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, hatua inayoonesha mchango wake katika kukuza biashara ya kimataifa na uwekezaji nje ya nchi. Akizungumza jijini Dar es Salaam hivi kar…

Bongo5
Elimu Karakana shuleni zisisubiri kufungu…

‎ ‎Ushirikiano kati ya wazazi, walezi na walimu umetajwa kuwa nguzo muhimu katika kukuza mafanikio ya wanafunzi kitaaluma na kimaadili. ‎ ‎Hayo yamebainishwa na kaimu mgeni rasmi ‎Afisa Mnadhimu wa Utawala wa Brigedi ya Tembo Kanali Jonas Simtowe, akimuwakilisha Meja Jenerali Charles Peter Feruz alipokuwa akizungumza …

Bongo5
Biashara ya Jumla na Rejareja Rais Samia Akutana na Rais wa DRC F…

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Kenya zimekubaliana kuondoa vikwazo vya kibiashara visivyo vya kikodi na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi ili kukuza biashara na uwekezaji kati ya nchi hizo mbili. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Mei 04, 2026 mara baada ya mazungu…

Bongo5
Elimu Tuzo ya nyerere yazidi kung’ara, sh…

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Prof.Adolf Mkenda amesema Hafla ya Nne ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu Inatarajia kufanyika tarehe 13 Aprili 2026 jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Super Dome Masaki. Mhe. Adolf Mkenda ameyasema hayo April 8, 2026 jijini Dodoma, Wakati akizungumza n…

Bongo5
Madini na Uchimbaji Tume ya Madini yatoa hati za makosa…

Serikali kupitia Tume ya Madini imeendelea kusisitiza utekelezaji wa sheria na kanuni katika sekta ya madini, ikiwataka wamiliki wa leseni kuhakikisha shughuli za uchimbaji zinawanufaisha watanzania na kulinda maslahi ya taifa. Akizungumza jijini Dodoma kwenye kikao cha wamiliki wa leseni, Kamishna wa Tume ya Madini, …

Bongo5
Ndejembi directs immediate removal of project manager and special audit on $20 million payments for the Malagarasi MW 49.5 project in Kigoma.
Nishati na Umeme

Ndejembi directs immediate removal of project manager and special audit on $20 million payments for the Malagarasi MW 49.5 project in Kigoma.

Bongo5
Kutoka 10 Mei 2026 · Hadi 30 Okt 2027
Makala kuhusu matukio yaliyopita

Habari nyingine

POLITICS Jul 01, 2026 10 10 3

Importance of Peace for National Development

Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi.

Maelezo ya Ziada
habarileo.co.tzRead more

Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi.

habarileo.co.tzRead more

Akizungumza leo Juni 1, 2026 jijini Dodoma kuhusu umuhimu wa amani katika jamii, Msita amesema maendeleo yanapatikana katika mazingira yenye utulivu na mshikamano, akisisitiza kuwa sehemu yenye maendeleo ni sehemu inayompendeza Mungu.

michuzi.co.tzRead more

Kihongosi amewataka wananchi kuendelea kulinda amani na mshikamano uliopo nchini, akisema Tanzania imeendelea kuwa mfano wa utulivu kutokana na umoja na upendo wa wananchi wake.

habarileo.co.tzRead more

Kibadeni ameyasema hayo katika mahojiano maalumu, akisisitiza umuhimu wa vijana kutumia vyema nafasi wanazopewa na kushirikiana katika kulinda amani, akibainisha kuwa ustawi wa taifa lolote unategemea uwepo wa amani.

dailynews.co.tzRead more

He called on Christians and the wider community to embrace forgiveness, love and peace as essential pillars for building a united and harmonious society.

habarileo.co.tzRead more

Ameeleza kuwa amani ni msingi muhimu wa maendeleo ya Taifa, na kusisitiza kuwa bila amani, jitihada zote za maendeleo haziwezi kufikiwa.

habarileo.co.tzRead more

Amani ni zawadi kutoka kwa Mungu na ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa. "Mungu ameturuzuku amani, ni kipaji na kipawa. Tuna kila sababu ya kuitunza na kuilinda, kwani bila amani hakuna maendeleo, wananchi hawatakuwa salama, na tutakimbia nchi yetu wenyewe," amesisitiza.

habarileo.co.tzRead more

Amesisitiza kuwa Tanzania ni kivutio cha wivu kwa watu wa mataifa mengine, kutokana na amani na utulivu iliyonayo.

habarileo.co.tzRead more

Kuhani Baraka pia amewakumbusha waumini na wananchi wote kudumisha amani wakati wa uchaguzi, akisema amani ni nguzo ya maendeleo na msingi wa haki.

habarileo.co.tzRead more

Alisema unaweza kudai vitu vyote kama vile barabara za lami, maji, hospital, katiba mpya, mishara mikubwa lakini kukiwa hakuna amani huwezi kuvitumia vitu vyote hivyo kwa kuwa watu watasambatika huko na kule kwa machafuko ya vita.

labor

Tucta yawataka wanahabari kujiunga na vyama vya wafanyakazi kulinda maslahi yao

Bongo5· 30 Mei 2026
Mstaa wafunguka kuhusu Wantashi wafurika kwa Wingi
Burudani

Mstaa wafunguka kuhusu Wantashi wafurika kwa Wingi

Bongo5· 28 Mei 2026
Usiku wa Dhahabu Miaka 50 ya Mageuzi
Matukio

Usiku wa Dhahabu Miaka 50 ya Mageuzi

Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Jubilei ya Dhahabu ya miaka 50 ya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), mwaka huu kupitia @ta

Bongo5· 25 Mei 2026
Zayrah afunguka ubaguzi aliofanyiwa na wasanii wa Bongofleva Rwanda (Video)
Burudani

Zayrah afunguka ubaguzi aliofanyiwa na wasanii wa Bongofleva Rwanda (Video)

Bongo5· 25 Mei 2026
Matukio ya kusikitisha yaliyotokea kwenye msiba wa Mchina (Video)
Habari za Kitaifa

Matukio ya kusikitisha yaliyotokea kwenye msiba wa Mchina (Video)

Bongo5· 25 Mei 2026
Majonzi mazito msibani kwa mchina aliyeuwawa na walinzi wake (Video)
Habari za Kitaifa

Majonzi mazito msibani kwa mchina aliyeuwawa na walinzi wake (Video)

Bongo5· 25 Mei 2026
RECAP: Whozu ameimarika kiuandishi baada ya Collabo na Alikiba – (Video)
Burudani

RECAP: Whozu ameimarika kiuandishi baada ya Collabo na Alikiba – (Video)

Bongo5· 25 Mei 2026
RECAP: EP ya Marioo standard za Kimataifa – El Mando
Burudani

RECAP: EP ya Marioo standard za Kimataifa – El Mando

Bongo5· 25 Mei 2026
RECAP: Harmonize kufanya show Mwenge anajishusha? – El Mando
Burudani

RECAP: Harmonize kufanya show Mwenge anajishusha? – El Mando

Bongo5· 25 Mei 2026
Bingwa wa Masumbwi Duniani Terence akaribishwa kwa Kishindo Ziara ya Utalii
Utalii na Ukarimu

Bingwa wa Masumbwi Duniani Terence akaribishwa kwa Kishindo Ziara ya Utalii

Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Ephraim Mafuru, amemkaribisha nchini kwa mara ya kwanza bingwa wa masumbwi duniani, Terence Crawford, ambaye katika

Bongo5· 24 Mei 2026
Twange aeleza kutoridhishwa na kasi ya Mkandarasi mradi wa kituoa cha Kufua Umem
Nishati na Umeme

Twange aeleza kutoridhishwa na kasi ya Mkandarasi mradi wa kituoa cha Kufua Umem

Bongo5· 24 Mei 2026
TAWLA yaweka mkazo uwezeshaji wa Wanawake kiuchumi kupitia elimu ya sheria na fedha
Jinsia na Wanawake

TAWLA yaweka mkazo uwezeshaji wa Wanawake kiuchumi kupitia elimu ya sheria na fedha

Bongo5· 24 Mei 2026
Juma Lokole: Ujauzito wa Zuchu ni uongo (Video)
Burudani

Juma Lokole: Ujauzito wa Zuchu ni uongo (Video)

Bongo5· 24 Mei 2026
Fahamu kuhusu Program yenye uwezo wa kufanya kazi Kwenye Changamoto
Teknolojia

Fahamu kuhusu Program yenye uwezo wa kufanya kazi Kwenye Changamoto

Bongo5· 23 Mei 2026
Jemedari Saidi aumizwa sana na Metacha atoa Povu hili
Michezo

Jemedari Saidi aumizwa sana na Metacha atoa Povu hili

Bongo5· 23 Mei 2026
MAJONZI: Stori nzima mchina aliyeuwawa na walinzi wake hii hapa (Video)
Utawala wa Umma na Ulinzi

MAJONZI: Stori nzima mchina aliyeuwawa na walinzi wake hii hapa (Video)

Bongo5· 23 Mei 2026
Msiba wa Mchina aliyeuwawa na walinzi wake kisa mil 10 ni huzuni (Video)
Utawala wa Umma na Ulinzi

Msiba wa Mchina aliyeuwawa na walinzi wake kisa mil 10 ni huzuni (Video)

Hivi ndivyo Mke wa Marehemu Baozhang Pamoja na Mtoto wake walivyofika Kiwandani ambapo ndo taratibu zote zinaendelea hapa. Video Nzima ipo katika Akaunti yetu y

Bongo5· 23 Mei 2026
RECAP: Wakongwe wa Bongofleva wamepania kurudisha muziki mikononi mwao
Burudani

RECAP: Wakongwe wa Bongofleva wamepania kurudisha muziki mikononi mwao

Bongo5· 23 Mei 2026
RECAP: Fid Q awachana mazima wasanii wa kisasa (Video)
Burudani

RECAP: Fid Q awachana mazima wasanii wa kisasa (Video)

Bongo5· 23 Mei 2026
Zamani tulikuwa tunaimba kwa njaa – Chid Benz
Burudani

Zamani tulikuwa tunaimba kwa njaa – Chid Benz

Bongo5· 22 Mei 2026
ECONOMY Apr 01, 2026 19 10 7

Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

Maelezo ya Ziada
thechanzo.comRead more

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

dailynews.co.tzRead more

The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.

bongo5.comRead more

Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.

mwananchi.co.tzRead more

wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.

thecitizen.co.tzRead more

Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.

globalpublishers.co.tzRead more

wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.

mwananchi.co.tzRead more

Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.

globalpublishers.co.tzRead more

Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani

mzalendo.co.tzRead more

Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.

mzalendo.co.tzRead more

Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.

Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.

Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”

Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.

The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.

Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.

Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.

TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI

Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8​ kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.

Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.

POLITICS Apr 01, 2026 9 4 2

Chadema's Appeal Against Political Activity Ban After 283 Days

Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 tangu kilip…

Maelezo ya Ziada
thechanzo.comRead more

In his final political move, Bungara announced his resignation from ACT Wazalendo on February 18, 2026. He formally joined CHADEMA, the nation’s largest opposition party, aligning himself with their boycott of elections they deemed fundamentally unfair.

thechanzo.comRead more

The Court of Appeal here began hearing a critical revision application from the main opposition party, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) on Tuesday, which seeks to overturn a High Court injunction that has barred it from conducting any political activities since June 2025.

mwananchi.co.tzRead more

Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 tangu kilipowekewa zuio hilo.

mwananchi.co.tzRead more

Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions.

Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions. He donated his personal vehicle and fuel to party organisers and handed over resources to young CHADEMA activists, resulting in thousands of people switching from other parties to join CHADEMA within that single week.

Mgawanyiko huo umejidhihirisha kupitia makundi mawili yenye mitazamo tofauti kuhusu mustakabali wa chama.

Sifuna alisisitiza kuwa yuko tayari kusimama imara kulinda misingi ya chama, akipinga kile alichodai ni juhudi za kukisogeza karibu na mamlaka ya serikali.

Gachagua ameanza kujijenga kama sauti mbadala ya kisiasa, hasa kwa vijana, akishambulia sera za serikali kwa madai ya kushindwa kuboresha maisha ya wananchi wa kawaida.

Kutokuwepo kwake katika mstari wa mbele wa siasa za uchaguzi wa 2027 kumeacha pengo ambalo sasa linajazwa na makundi yenye mitazamo tofauti.

NATIONAL Mar 28, 2026 28 15 7

William Lukuvi's Death Announced by President Samia Suluhu Hassan on March 25, 2026

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

Maelezo ya Ziada
dailynews.co.tzRead more

All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.

dailynews.co.tzRead more

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.

dailynews.co.tzRead more

William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo

habarileo.co.tzRead more

PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.

dailynews.co.tzRead more

Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.

habarileo.co.tzRead more

Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.

habarileo.co.tzRead more

Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.

swahilitimes.co.tzRead more

Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.

mwananchi.co.tzRead more

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

mwananchi.co.tzRead more

Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.

thecitizen.co.tzRead more

Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.

globalpublishers.co.tzRead more

Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.

globalpublishers.co.tzRead more

According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.

mzalendo.co.tzRead more

Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.

mwananchi.co.tzRead more

Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.

Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.

WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA

William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.

William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.

Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.

Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.

William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.

Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.

PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.

President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.

DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.