
Gundua
450 habariHabari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta
Unaona habari zinazohusishwa na SportPesa Blog chini (pamoja na mengine ya Gundua).

Michezo
Mexico yaianza kombe la dunia kwa u…

SPORT
Canada Kuwa na Kibarua Kigumu Dhidi…
Tunisia vs Netherlands FIFA Kombe la Dunia 2026 unayakutanisha mataifa yenye historia tofauti, Juni 26, 2026 saa 8:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Mchezo huu utachezwa Uwanja wa Kansas City huku Tunisia wakiwa na kibarua kusaka ushindi kwa mara ya kwanza.Tunisia hawajashinda mechi yoyote katika michezo mitano il…

SPORT
Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: HAI…
Utabiri wa New Zealand vs Egypt: Kombe la Dunia – Kundi G Utabiri wetu: Egypt kushinda. New Zealand vs Egypt, mechi ya pili ya Kombe la Dunia 2026 kwenye Kundi G. Mpaka sasa kwenye msimamo timu zote mbili zina pointi moja baada ya sare, katika Mechi zao za Ufunguzi. Mechi hii itapigwa Uwanja wa BC […]

SPORT
Nani Kuibuka Mfungaji Bora Kombe la…
Mchezo unaofuata Kundi B ni Canada vs Qatar FIFA Kombe la Dunia 2026, Juni 19. Katika mataifa matatu yaliyoandaa Kombe la Dunia ipo Canada, Marekani na Mexico. Wenyeji Canada walianza kwa sare ya 1-1 Bosnia na Herzegovina. Unakuwa mchezo wa pili utakaochezwa Vancouver. Isome ratiba ya FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba …

SPORT
Saudi Arabia vs Uruguay Kombe la Du…
Uswisi vs Algeria FIFA Kombe la Dunia 2026 wanakutana katika hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia 2026. Mchezo huu utachezwa kwenye Uwanja wa BC Place, Vancouver. Timu zote mbili zinatafuta tiketi ya kufuzu hatua ya 16 boraJulai 3, 2026. Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026 …

SPORT
Ghana vs Panama FIFA Kombe la Dunia…
Colombia vs Ghana ni karata nyingine ya wawakilishi wa Afrika na Amerika Kusini, katika jukwaa kubwa zaidi la soka Duniani. Mchezo huu unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Kansas City nchini USA, saa kumi na nusu kwa saa za Afrika Mashariki. Mshindi wa jumla wa mchezo huu atakuwa amefuzu moja kwa moja hatua ya 16, bor…

Michezo
Takwimu zinaongea: Brazil v Morocco
Nani kuwa kocha mpya Yanga SC? Hili ndilo swali kubwa miongoni mwa wadau wa soka na hasa mashabiki wa Yanga SC. Hii inakuja ikiwa ni siku moja tu, imepita tangu uongozi wa timu hiyo ulipotangaza kumfuta kazi aliyekuwa kocha wao mkuu, Pedro Goncalves. Kocha huyo aliyempokea kijiti kocha, Roman Folz, alifutwa kazi muda …

SPORT
Kombe la Dunia 2026: Hawa hapa viun…
Ratiba ya Ligi Kuu England (EPL) msimu wa 2026/27 imetangazwa rasmi, huku mabingwa watetezi Arsenal wakianza kampeni yao nyumbani dhidi ya Coventry City, Agosti 21, 2026 katika Uwanja wa Emirates. Manchester United wao wataanza msimu kwa mchezo wa ugenini dhidi ya Hull City siku ya Jumamosi, Agosti 22, 2026. Majirani …

SPORT
Brazil vs Haiti FIFA Kombe la Dunia…
Spain vs Saudi Arabia: Kombe la Dunia 2026 — Kundi E Spain vs Saudi Arabia ni mechi ya kufa na kupona ndani ya Kundi E la Kombe la Dunia 2026, timu hizi zitavaana uso kwa uso katika Uwanja wa Atlanta, 21 June 2026. Mchezo huo utapigwa saa 3 usiku muda wa afrika mashariki (EAT). Katika […]

SPORT
Scotland vs Brazil FIFA Kombe la Du…
Wakiwa na pointi 1 tu, katika michezo yao miwili ya kwanza, kikosi cha South Africa kinajiandaa kucheza mechi ya kufa na kupona dhidi ya South Korea. Ni mechi ya South Africa vs South Korea Kombe la Dunia 2026 itakayopigwa 25 June 2026 saa 10 alfajiri, kwa saa za Afrika Mashariki. Mechi hii itapigwa kwenye Uwanja […]

SPORT
New Zealand vs Belgium FIFA Kombe l…
Colombia wakiwa tayari wamefuzu hatua ya 32 bora watavaana na Portugal, ambayo situ kwamba wanaisaka tiketi Ya Robo hatua ya 32 bora, bali wanataka kuongoza Kundi. Staa wa Ureno, Cristiano Ronaldo alituma ujumbe wa “I’m back” akimaanisha amerudi baada ya kufunga mabao 2 katika ushindi wa kishindo wa mabao 5-0 dhidi ya…

SPORT
Ureno na Uingereza Kuvuta Hisia za …
Ecuador itashuka Uwanjani siku wa Alhamisi, kuvaana na Germany kupambania ndoto ya kusonga mbele kwenye Kombe la Dunia la FIFA 2026. Huu ni mchezo wa Kundi E utakaopigwa Uwanja wa Ney York New Jersey, saa tano usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Matokeo ya Germany 2-1 Ivory Coast na Ecuador 0-0 Curacao, ndiyo matokeo y…

SPORT
Ufaransa vs Iraq Kombe la Dunia 202…
Kombe la Dunia la FIFA 2026, litaendelea kukumbukwa kwa muda mrefu kutokana na kuvunja rekodi nyingi na kushuhudia matukio ya kipekee ambayo hayajawahi kutokea katika historia ya mashindano hayo. Mashindano hayo yalishuhudia timu ya Taifa ya Hispania ikiibuka bingwa wa dunia, kwa mara ya pili katika historia yake. Hii…

Michezo
Yanga yazima jeuri ya Azam, Simba y…
Ligi Kuu Bara yaani (NBC Premier League 2025/26) imeingia katika mzunguko wa 24. Hii inafanya ligi hiyo isaliwe na mechi 6 tu, kumalizika. Hali hii inafanya kila pointi, rekodi na takwimu zinazopatikana sasa, kuwa na umuhimu mkubwa kwa kila timu na wachezaji binafsi. Timu zinaska pointi, huku wachezaji Wakisaka rekodi…

SPORT
Matukio ya kusisimua Kombe la Dunia…
Algeria watashuka uwanjani kusaka tiketi ya kucheza hatua ya mtoano 32 bora mbele ya Austria, katika mchezo huu wa kukamilisha ratiba ndani ya Kundi J la Kombe la Dunia 2026. Ushindi kwa yoyote, yaani Austria au, Algeria utakuwa unatoa taswira mpya ya Kundi hilo ya timu inayoungana na Argentina kwenda hatua ya mtoano.…

SPORT
Prediction Afrika Kusini vs Canada …
Ni Afrika Kusini vs Canada FIFA Kombe la Dunia 2026 wataandika historia Jumapili usiku, watakapokutana katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 32 Bora utakaopigwa katika uwanja wa SoFi Stadium. Baada ya takriban wiki tatu za mechi za kusisimua za hatua ya makundi kwenye Kombe la Dunia la FIFA 2026 lililofanyika Marekani, …

SPORT
Norway yaiondosha ivory coast kombe…
Mabingwa mara 5 wa Kombe la Dunia timu ya taifa ya Brazil, leo watakuwa wenyeji wa Japan katika mchezo mkali wa kusaka nafasi ya kutinga hatua ya 16 bora ya mashindano hayo. Mechi hii inatarajiwa kupigwa Uwanja wa Houston, USA kuanzia majira ya saa 2 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Brazil ikibebwa na mastaa […]

SPORT
Prediction Paraguay vs Australia FI…
Ratiba ya FIFA Kombe la Dunia 2026 hatua ya 16 bora itaanza kutimua vumbi rasmi siku ya Jumamosi 4 July 2026. Ikumbukwe haya ni mashindano makubwa zaidi ya soka duniani, ambayo hufanyika kila baada ya miaka 4, mwaka huu Kombe la Dunia litafanyika kwa ushirikiano wa maandalizi ya nchi 3, ambazo ni; Marekani (USA), Cana…

SPORT
Yanga Yatwaa Ubingwa wa 32 Ligi Kuu…
Hatimaye ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27 imetangazwa rasmi na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB). Ratiba hiyo inaonyesha vigogo yaani bingwa mtetezi Yanga SC na mshindi wa pili Simba SC kwa msimu uliopita zitaanzia ugenini. Kama ulikuwa unajiuliza kuhusu Mchezo mkubwa wa Dabi ya Kariakoo kati ya Simba SC vs Yanga SC, …

Michezo
Ujerumani Yafanya Comeback Ya Kusis…
Mechi nyingine bora ya kimataifa a kirafiki itapigwa leo Jumatatu katika Uwanja wa MHPArena. Ni Germany vs Ghana mchezo wa kimataifa, ulio kwenye ratiba za shirikisho la soka la kimataifa FIFA. Ghana wanaingia katika mchezo huu, wakitoka kwenye kipigo kizito kutoka timu ya Taifa ya Austria. SOMA HII PIA: Yanga SC yams…

SPORT
Prediction Argentina vs Misri FIFA …
Ufaransa vs Morocco FIFA Kombe la Dunia 2026 ni hatua ya robo fainali. Uwanja wa Boston utachezwa Julai 9, 2026 saa 5:00 usiku.Mshambuliaji tegemeo kwa Ufaransa ni Kylian Mbappe ambaye amefunga mabao 7 akiwa sawa na Lionel Messi mshambuliaji wa Argentina. Hii hapa ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba FIFA Kombe la …

SPORT
FIFA World Cup Group A Standings 20…
In the World Cup 2026 top scorers, Kylian Mbappe, the France captain, took the lead with 10 goals. Having emerged as the top scorer, Mbappe made history as the only player to get the Golden Boot twice. Lionel Messi, from Argentina, finished the tournament as the second top scorer with 8 goals. Other World Cup […]

SPORT
Ufaransa yatinga nusu fainali ya ko…
Hii ni ratiba ya nusu fainali FIFA Kombe la Dunia 2026 zikisalia timu 4 pekee.Ufaransa, Hispania, England na Argentina hizi zimefuzu kucheza hatua ya nusu fainali. Ni kutoka kwenye mfumo wa hatua ya makundi na ratiba ya safari hii umefanya timu hizi nne zinazoongoza kwa viwango vya ubora duniani kukutana kileleni kati…

Michezo
Waliostaafu baada ya kung’oka Kombe…
Zikiwa zimebaki siku 74 tu, kabla ya kuanza kwa mashindano ya Kombe la Dunia 2026 kambi ya timu ya Taifa ya Argentina imepata mshtuko! Hii ni baada ya kutoka kwa taarifa kuwa Nyota na nahodha wao, Lionel Messi bado hajafanya maamuzi ikiwa atacheza, au hatacheza mashindano hayo. Ikumbukwe Argentina ndio mabingwa watete…

SPORT
Prediction Ufaransa vs Hispania FIF…
Ni Ufaransa vs Uingereza FIFA Kombe la Dunia 2026 mchezo wa kutafuta mshindi wa 3 kwa timu hizi bora. Ufaransa mabingwa mara mbili wa Kombe la Dunia watakuwa uwanjani tena mbele ya timu pinzani ya muda mrefu kutoka Ulaya. Mechi hii kali itachezwa usiku wa kuamkia Jumapili saa 6:00, Uwanja wa Miami. Fainali imethibitis…

Ujenzi na Miundombinu
Kumekucha cdf cup 2026, nmb yaweka …
Uongozi wa klabu ya Yanga SC leo Mei 15, 2026 wametangaza kutia saini mkataba wa makubaliano, ya ujenzi wa uwanja wao mpya. huo. Ikiwa Yanga SC watafanikiwa kukamilisha ujenzi wa Uwanja huo, utakaojengwa kwa makubaliano ya kiuwekezaji na Kampuni ya GSM basi itakuwa timu ya 7 kufikia mafanikio hayo. Mpaka sasa kuna tim…

Africa
Yanga's continental ambitions convi…
Young Africans is one of the most followed clubs in Africa. The club has dominated the NBC Premier League in recent years, winning title after title. Find the upcoming Young Africans fixtures and results on SportPesa Tanzania. Create your account now and place bets on Young Africans games and win millions! SportPesa T…

Football
MELBET: INTO THE QUARTER-FINALS. Ma…
Founded in 1904, the French National Football Team is one of the great teams in the World with the most titles. The wins include two World Cups, one CONMEBOL-UEFA Cup, two UEFA European Championships, two FIFA Confederations Cups and one UEFA Nations League title. Les Bleus also qualified for the 2026 FIFA World Cup b…

Michezo
Yanga Waanze Kujipanga, Beki Simba …
Simba SC vs JKT Tanzania NBC Premier League ni mchezo unaofuata kwenye ratiba leo. Mnyama mchezo uliopita aligawana pointi mojamoja kwa kufungana magoli 2-2 dhidi ya Yanga SC. Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo utapigwa saa 12:15 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. SOMA HII:JKT Tanzania 1-2 Simba SC NBC Premier League 202…

SPORT
Kocha Mngqithi Ndiye Aliyesuka Kiko…
Zikiwa zimebaki siku chache kuelekea kufunguliwa kwa pazia la Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2026/27, uongozi wa Yanga SC umeendelea kufanya usajili wa maboresho ya kikosi chao. Miongoni mwa taarifa kubwa kwa timu hiyo ni mabadiliko ya benchi la ufundi, ambalo kwa sasa linaongozwa na kocha raia Manqoba Mngqithi. Lakini ta…

Michezo
Baada Ya kuwindwa Na Simba, Yona Ac…
Singida Black Stars 1-1 Simba SC NBC Premier League ni matokeo ya dakika 45 za mwanzo. Anicent Oura alifunga goli la utangulizi kwa mnyama dakika ya 7. Ndumumwe Mossi aliweka mzani sawa dakika ya 38. Uwanja wa Airtel, Singida. SOMA HII: Simba SC 1-0 Singida Black Stars 28 Mei 2025: Matokeo, magoli, wafungaji, h2h, Kif…

SPORT
Pochettino Afurahia Balogun Kuruhus…
Timu ya taifa ya Marekani vs Bosnia na Herzegovina FIFA Kombe la Dunia 2026 zimeingia hatua ya mtoano. Wenyeji wametinga hatua hiyo wakiwa ni vinara wa Kundi D baada ya kushinda michezo miwili ya kwanza na kufungwa katika mchezo wa mwisho wa makundi. Bosnia na Herzegovina, kwa upande wao, walipenya hatua ya 32 bora ka…

SPORT
Simba Day 2026: Simba SC Kuvaana Na…
Hatimaye umewekwa wazi mkakati wa usajili mpya Simba SC 2026/27 mara baada ya dirisha kufunguliwa Julai 6,2026. Ni Kelvin Nashon kiungo mkabaji alikuwa wa kwanza kutambulishwa unyamani. Msimu wa 2025/26 alikuwa Pamba Jiji FC.Tayari yupo kambini akiwa na timu nchini Rwanda ilipoweka kambi kwenye maandalizi ya Kagame Cu…

Michezo
Simba Yashinda Vita Ya Mwalimu, Aza…
Yametimia! Tetesi za usajili mpya Simba SC zinaendelea kutikisa, hii ni kuelekea kufunguliwa kwa dirisha kubwa la usajili. Ligi Kuu Bara (NBC Premier League), iko karibu kumalizika, ambapo mpaka sasa zimesalia mechi 7 tu. Kuelekea msimu mpya wa 20216/17 Simba SC wanaonekana kupania, ambapo tayari wanaripotiwa kumaliza…

SPORT
Ratiba ya Simba SC mechi 10 za msim…
Hatimaye ratiba ya Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa 2026/27, ambapo tayari kikosi cha Simba SC kimechapisha taarifa kuhusu mechi zao 10 za kwanza. Ratiba hiyo inaonyesha kuwa Simba SC wanatarajia kuwa na mechi 10 za moto, ikiwemo mchezo wa Kariakoo Dabi vs Yanga SC unaotarajiwa kupigwa Oktoba 10, 2026. Simba wataanza na m…

Michezo
Gateshead FC dhidi ya Newcastle Uni…
Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), Paris Saint Germain wanashuka uwanjani leo Jumatano kuvaana na Liverpool. itaendelea tena leo Jumatano. Mechi hii ya Paris Saint-Germain vs Liverpool itapigwa katika Uwanja wa Parc Des Princes, nchini Ufaransa. Mchezo huu unatajwa kuwa wa kisasi kwa …
Habari nyingine
FAN PULSE • LIVE
Utakuja AFCON 2027?
Viwanja Kenya · Tanzania · Uganda
Unaenda!!
Asante — umetujulisha.
Utakuja AFCON 2027?

SPORT
FIFA Kombe la Dunia 2026: Hizi hapa Rekodi na takwimu zilizoweka historia

SPORT
EPL: Ratiba ya Ligi Kuu England 2026/27 yatangazwa| Arsenal yaanza kutetea ubingwa dhidi ya Coventry, Manchester United vs Hull City

SPORT
FIFA Kombe la Dunia 2026 limeweka rekodi mpya ya mapato

SPORT
Maoni: Kwa nini FIFA inapaswa kutoa nafasi kwa wachezaji wa ligi za ndani za Afrika kwenye Kombe la Dunia?
Kombe la Dunia la FIFA ndilo jukwaa kubwa zaidi katika mchezo wa soka. Hata hivyo, kwa vilabu vingi barani Afrika, mashindano haya yamekuwa tukio la kutazama kw

Football
Kylian Mbappé: Real Madrid Forward Profile, Career, Latest News & Achievements | SportPesa

SPORT
World Cup 2026 Top Scorers: Final Golden Boot Standings, Player Stats and Records

SPORT
Usajili Yanga SC 2026/27: Erick Mwijage rasmi atambulishwa, ni balaa jipya

SPORT
Mkakati wa usajili mpya Simba SC 2026/27 | Kelvin Nashon, Chilambo na Bakari Msimu kazi imeanza | SportPesa Blog

SPORT
Usajili mpya Yanga SC 2026/27 wachezaji wafanyiwa vipimo |SportPesa Blog

Football
France National Football Team: Fixtures, Results, Squad, Stats and Latest News

SPORT
Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27: Mechi zote 240 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Hatimaye ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27 imetangazwa rasmi na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB). Ratiba hiyo inaonyesha vigogo yaani bingwa mtetezi Yanga SC na

SPORT
Ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2026/27 mechi 10 zamoto / Kariakoo Dabi Oktoba 10,2026

Formula1
Kimi Antonelli wins Belgian Grand Prix to extend F1 championship lead

SPORT
Ratiba ya Simba SC mechi 10 za msimu mpya 2026/27 : Ligi Kuu NBC , Takwimu |Kukutana na Yanga SC ‘Kariakoo Dabi’ Oktoba 10, 2026 | SportPesa Blog

SPORT
Hispania 1-0 Argentina FIFA Kombe la Dunia 2026| Ferran Torres afunga bao la ushindi

SPORT
Cheza hivi uongeze nafasi ya kushinda mpaka Shilingi Bilioni 1.3 za SportPesa Supa Jackpot (Mechi 13–17): Mwongozo Kamili wa Uchambuzi kwa Wachezaji wa SportPesa Tanzania

SPORT
Prediction Ufaransa vs Uingereza FIFA Kombe la Dunia 2026: Mchezo kumtafuta mshindi wa 3, h2h, taarifa za timu, odds

SPORT
Prediction | Spain vs Argentina FIFA Kombe la Dunia 2026: Fainali, Ratiba, Live score, h2h, odds na habari za timu
Fainali ya kihistoria ya Kombe la Dunia inatarajiwa kupigwa siku ya Jumapili 19 Julai 2026 kati ya Spain dhidi ya mabingwa watetezi Argentina. Mchezo huu wa Fa

SPORT
Spain vs Argentina fainali FIFA Kombe la Dunia 2026 imethibitishwa Julai 19/ Odds, matokeo

SPORT
Tetesi za usajili 2026/27: Yanga SC inamuwinda winga wa Kaizer Chiefs, Makabi Lilepo/ Kambi na wachezaji watakaosajiliwa
POLITICS
7
7
4
Keir Starmer's Resignation as UK Prime Minister
Maelezo ya Ziada
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na uongozi wa chama tawala cha Labour.
swahilitimes.co.tz ↗Starmer confirmed that he would step aside and oversee a smooth transfer of power, telling the country that Britain needed fresh leadership to restore stability at a moment of rising political strain inside the Labour Party.
dailynews.co.tz ↗Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ametangaza kujiuzulu wadhifa wake na uongozi wa Chama cha Labour.
mwananchi.co.tz ↗Kuwasili kwa mwanasiasa huyo mahiri, ambaye hadi wiki iliyopita alikuwa Meya wa Greater Manchester, kunajiri saa chache baada ya Keir Starmer kutangaza kujiuzulu rasmi wadhifa wa Waziri Mkuu kutokana na shinikizo kubwa la kisiasa ndani ya Chama cha Labour.
mwananchi.co.tz ↗Kujiuzulu kwa Starmer kunahitimisha safari ya kisiasa iliyokuwa imeanza kwa matumaini makubwa baada ya ushindi wa kihistoria wa Labour katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024.
mwananchi.co.tz ↗Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu wadhifa huo, akisema anaheshimu mawazo ya chama chake cha Labour, baada ya mpinzani wake kuibuka kidedea Ijumaa iliyopita.
ippmedia.co.tz ↗Starmer anang’oka uwaziri mkuu, zinawadia zama mpya za siasa UK
mwananchi.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Vision 2050, which seeks to transform the country into a high-income, industrialled economy valued at 1 trillion US dollars.
dailynews.co.tz ↗Utekelezaji wa DIRA 2050, unaokadiriwa kugharimu takribani dola za Marekani trilioni 1, utategemea kwa kiasi kikubwa uwekezaji wa sekta binafsi unaotarajiwa kuchangia zaidi ya asilimia 70 ya gharama za utekelezaji.
mzalendo.co.tz ↗Tanzania is strengthening its engagement with the African Trade and Investment Development Insurance (ATIDI) to support private sector-led growth, as the country targets a 70% private sector contribution to the economy under its Development Vision 2050.
tanzaniainvest.com ↗Her message comes at a critical time for Tanzania, whose population is projected to grow from about 67 million today to over 120 million by 2050.
thecitizen.co.tz ↗The Tanzanian government has stated that the recommendations contained in the Economic Freedom Audit Report will drive policy reforms, strengthen economic freedom, and significantly contribute to Tanzania’s journey towards a strong and competitive economy by 2050.
dailynews.co.tz ↗Best goal: 'Generate TZS 70 million in revenue, with 8 new clients in Q1–Q2 via content marketing.'
tanzlite.com ↗Lead generation: 90 qualified inquiries per year.
mwananchi.co.tz ↗Retention: 70% repeat business.
bongo5.com ↗Target ARPU of TZS 5 million.
CAC under TZS 300k.
Dk Mwigulu amewataka wakuu wa mikoa kusimamia kikamilifu maandalizi na mapokezi ya wanafunzi wa elimu msingi ya lazima ya miaka 10, watakaojiunga na kidato cha kwanza mwaka 2028 kwa kukamilisha miundombinu na huduma zote muhimu.
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba ameyabainisha hayo leo Bungeni Dodoma wakati akiwasilisha hotuba ya mapito na mwelekeo wa kazi za Serikali, Makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2026/27 ambapo amesema kuwa utekelezaji wa Dira 2050 unakusudia kuifanya Tanzania kuwa na uchumi wa thamani ya dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050, huku wastani wa pato la mtu mmoja mmoja ukitarajiwa kufikia dola 7,000 kwa mwaka.
ECONOMY
19
10
7
Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict
Maelezo ya Ziada
In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.
thechanzo.com ↗wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.
mwananchi.co.tz ↗Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.
thecitizen.co.tz ↗wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.
globalpublishers.co.tz ↗Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.
mwananchi.co.tz ↗The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.
dailynews.co.tz ↗Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani
globalpublishers.co.tz ↗Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.
mzalendo.co.tz ↗Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.
mzalendo.co.tz ↗Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.
bongo5.com ↗Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.
Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”
Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.
The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.
Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.
Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.
TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI
Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8 kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.
Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.
Maelezo ya Ziada
Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.
mwananchi.co.tz ↗William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo
dailynews.co.tz ↗PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.
habarileo.co.tz ↗Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.
mwananchi.co.tz ↗Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.
thecitizen.co.tz ↗Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.
dailynews.co.tz ↗Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.
habarileo.co.tz ↗Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.
habarileo.co.tz ↗Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.
globalpublishers.co.tz ↗According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.
globalpublishers.co.tz ↗Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.
mzalendo.co.tz ↗Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.
swahilitimes.co.tz ↗Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.
mwananchi.co.tz ↗All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.
dailynews.co.tz ↗Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.
dailynews.co.tz ↗SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.
Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.
WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.
Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.
Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.
William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.
Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.
PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.
President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.
DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.
