Muungano Cup
Muungano Cup ni nini? Muungano Cup ni mashindano ya soka yanayoshirikisha timu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar kuadhimisha kumbukumbu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar — kwa kawaida timu nane (4 kutoka Bara, 4 kutoka Zanzibar).
Muungano Cup — Habari.
Historia ya Muungano Cup (1982–2026)
Telezesha kushoto au kulia kuona mabingwa wa kila mwaka
- 1982BingwaPan AfricanMabingwa wa kwanza
- 1983BingwaYanga SC
- 1984BingwaKMKMPiga dabo
- 1985BingwaMajimaji FC
- 1986BingwaMajimaji FC
- 1987BingwaYanga SC
- 1988BingwaAfrican Sports
- 1989BingwaMalindi SCPiga dabo
- 1990BingwaPamba SC
- 1991BingwaYanga SC
- 1992BingwaMalindi SCPiga dabo
- 1993BingwaSimba SC
- 1994BingwaSimba SCPiga dabo
- 1995BingwaSimba SCHat-trick
- 1996BingwaYanga SC
- 1997BingwaYanga SC
- 1998BingwaMajimaji FC
- 1999BingwaTZ Prisons
- 2000BingwaYanga SCSi bingwa wa bara
- 2001BingwaSimba SC
- 2002BingwaSimba SC
- 2003–2025MapumzikoHakuna mashindano
- 2026MsimuInaendelea
Muungano Cup 2026 Man of The Match Simba SC vs Yanga SC | Matokeo, takwimu | SportPesa Blog
Muungano Cup 2026 Man of The Match Simba SC vs Yanga SC mtifuano mzito. Katika mechi 3 mnyama ametwaa tuzo 3 huku Wananchi wakitwaa tuzo mbili. Kwenye tuzo za jumla, Simba SC kabeba tuzo zote muhimu Aprili 29, 2026 wa…
Yanga SC (0) vs Simba SC (1) Fainali Muungano Cup 2026 | Highlights, goal | Seleman Mwalimu na Clatous Chama wazamisha jahazi
Mwisho wa yote Yanga SC (0) vs Simba SC (1) Fainali Muungano Cup 2026 ni matokeo rasmi mchezo uliochezwa Uwanja wa New Amaan Complex. Goli pekee la ushindi limefungwa na Seleman Mwalimu Gomez dakika ya 120+4 kwa mkwaj…
Yanga SC vs Simba SC Fainali ya Muungano Cup 2026 mshindi ni mmoja | Ukikoswa Zanzibar, Meja Jeneral Isahmuyo panakuhusu
Hamna namna Yanga SC vs Simba SC Fainali ya Muungano Cup 2026 mshindi ni mmoja na atakayepoteza mmoja. Mchezo huo utapigwa leo 29/4/2026, Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Hii ni Kariakoo dabi, inasubiriwa kwa sh…
Matokeo ya Muungano Cup 2026 |Wafungaji vinara | Man of The Match
Matokeo ya Muungano Cup 2026 Zanzibar yamekuwa na maajabu mengi. Singinda Black Stars walifungashiwa virago mapema kwenye michuano hii. Yanga SC vs Simba SC ni mchezo unaofuatia hatua ya fainali, Aprili 29, 2026 Uwanj…
Yanga SC vs Simba SC uso kwa uso Fainali Muungano Cup 2026 | h2h, Ratiba, Matokeo, Takwimu
Hatimaye ni Yanga SC vs Simba SC wanaokutana uso kwa uso katika Fainali ya Muungano Cup 2026, itakayopigwa 29/4/2026. Mechi hii itapigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Mchezo huu ambao unajulikana kama …
Simba SC (3) vs Mlandege FC (0) Muungano Cup 2026 | Highlights, magoli, H2H| Kisasi kimelipwa
Simba SC (3) vs Mlandege FC (0) ni matokeo rasmi Muungano Cup nusu fainali ya 2026. Magoli yote yalifungwa kipindi cha pili na Seleman Mwalimu dakika ya 61, Anicet Oura dakika ya 76 na Neo Maema dakika ya 89 ambaye al…
Yanga SC (2) vs Azam FC (1) Muungano Cup | Highlights, goal score | Kariakoo Dabi kupigwa fainali?
Yanga SC (2) vs Azam FC (1) Muungano Cup nusu fainali 2026. Mabingwa watetezi wanatinga hatua ya fainali mbele ya matajiri wa Dar. Magoli ya Prince Dube dakika ya 9 na Maxi Nzengeli dakika ya 24. Goli la Azam FC limef…
Mlandege FC vs Simba SC |Muungano Cup 2026, Ni Nusu fainali ya kisasi! Ratiba, h2h, matokeo
Hatua ya Nusu Fainali ya Muungano Cup 2026 itafikia tamati kesho rasmi kesho Jumapili. Katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, itapigwa mechi kali ya kisasi! Ni Mlandege FC vs Simba SC Nusu Fainali ya pili ya mas…
Yanga SC vs Azam FC: Muungano Cup 2026 Nusu Fainali yamoto, Ratiba, h2h, matokeo
Yanga SC vs Azam FC moto utawaka Jumamosi hii ya 25/4/2026, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Ni katika mchezo mkali wa Nusu Fainali ya kwanza, ya mashindano ya Muungano Cup 2026, ambao unajulikana kama ‘D…
Muungano Cup 2026 | Gueye, Oura, Mpanzu wa Simba SC kutikisa Zanzibar, ratiba na matokeo
Muungano Cup 2026 inaendelea tena leo Alhamisi, huko visiwani Zanzibar. Mechi 2 kali za Robo Fainali zinapigwa, ambapo mchezo wa kwanza umeshuhudia Mabingwa Ligi Kuu Zanzibar, Mlandege FC wakiichapa Singida BS 2-1. Mc…
Yanga SC vs Simba SC | Dabi ya Kariakoo hatihati kupigwa Fainali Muungano Cup 2026, Ratiba, matokeo, kuwagonganisha
Harufu ya dabi ya Kariakoo Yanga SC vs Simba SC, kwenye Fainali ya Muungano Cup 2026 imeanza kunukia visiwani Zanzibar. Hii ni baada ya Wananchi kuanza kwa kishindo mchezo wa jana Jumanne, ambapo ubao wa matokeo ulion…
Muungano Cup 2026 | Ratiba, Simba SC, Yanga SC kukiwasha Robo Fainali
Mashindano ya Muungano Cup 2026 yamezinduliwa rasmi jana Aprili 19, 2026 huko visiwani Zanzibar. Uzinduzi huo ulifanyika kutoka Ukumbi wa Mikutano wa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Mashindano hayo kwa mwaka hu…
Muungano Cup ni nini?
Muungano Cup ni mashindano ya michezo ya mpira wa miguu yanayoandaliwa kuadhimisha na kusherehekea kumbukumbu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Mashindano ya soka (Tanzania)
Katika muktadha wa Tanzania, Kombe la Muungano ni mashindano ya soka yanayoshirikisha timu kutoka pande zote mbili za Muungano. Kwa kawaida, yanahusisha jumla ya timu nane (8)—timu nne (4) kutoka Tanzania Bara na timu nne (4) kutoka Zanzibar.
Timu shiriki: Huwa yanawakutanisha vigogo wa soka kama vile Simba SC, Yanga SC, na Azam FC.
Lengo: Yanalenga kuimarisha mshikamano, undugu, na kusherehekea historia ya kuundwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mashindano ya kimataifa (Union Cup)
Kwenye muktadha wa kimataifa au wa michezo mingine, jina hili linaweza kurejea michuano ya tenisi ya timu za mchanganyiko wa jinsia (kama vile United Cup) au matamasha ya raga ya mshikamano barani Ulaya (Union Cup).