Rugby Premier League
Rugby Premier League ni nini? Ligi kuu ya rugby chini ya Tanzania Rugby Union. Michezo migumu barani.
Rugby Premier League โ Habari.
"Ni wazi serikali iko Tayari kuukuza mchezo wa Rugby Tanzania" - Anthony Dawa
Anthony Dawa, Katibu Mkuu wa Tanzania Rugby Union (TRU), akizungumza kwenye kipindi cha SPORTS KIJIJI "michezo kiganjani mwako" ndani ya Mtawala Radio.
Je Rugby ni mchezo wa aina gani?
Katibu wa Tanzania Rugby Union (TRU) akifafanua kuhusu mchezo wa Rugby kwenye kipindi cha 2Dimbani.
Dodoma Rugby Week Preview
Dodoma Rugby Week litafanyika Mei,2026 huku mataifa mbalimbali yakijitokeza kushiriki.
Rugby Premier League ni nini?
Ligi kuu ya rugby chini ya Tanzania Rugby Union. Michezo migumu barani.