⚽
LIGI KUU
LIGI KUU ni nini? LIGI KUU ni mashindano ya Football nchini Tanzania.
LIGI KUU — Habari.
Utakuja AFCON 2027?
Viwanja Kenya · Tanzania · Uganda
Taarifa ya matumizi ya data
Data rasmi inasimamiwa na BetaTQ na uchambuzi rasmi wa data unapatikana Sokametrics. Hapa Nukta tunaonyesha ratiba, matokeo, na tunakuonyesha habari (redirects) zinazohusiana na mashindano haya.
| # | Timu | M | U | S | K | GF | GA | T | PTS |
|---|
Hakuna mechi kuanzia leo.
Hakuna mechi zilizopita.
Msimu wa kawaida 240 mechi
- Mashujaa FC dhidi ya Polisi Tanzania · 08.10.2026 · 14:00 EAT Angalia mechi
- Pamba Jiji dhidi ya Geita Gold · 08.10.2026 · 16:15 EAT Angalia mechi
OSEJA KINARA WA ‘KUFUTA’ PENATI ZA LIGI KUU YA NBC.
GOLIKIPA wa timu ya Kagera Sugar, Adam Oseja, ameonyesha ubabe wake baada ya kufanikiwa kupangua penati mbili ndani ya mizunguko sita ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/2027. Oseja ameokoa penati ya mchezaji wa Mashujaa…
Takwimu za Yanga Zashtua Ligi Kuu: Ubabe wa Kamwe Waacha Gumzo!
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga SC, wameanza msimu huu kwa kishindo kikubwa baada ya kuonyesha kiwango cha juu kinachoendana na takwimu za kuvutia kwenye mechi zao sita za kwanza. Akizungumzia mwenendo huo…
Matokeo ya NBC Premier League mzunguko wa 6 | Yanga SC 1-0 Geita Gold | Azam FC 0-2 Simba SC | SportPesa Blog
Ligi Kuu Tanzania Bara inazidi kuchanja mbunga huku kila timu ikipambana kusaka pointi 3 muhimu uwanjani. Azam FC 0-2 Simba SC ni matokeo ya mchezo wa Mzizima Dabi uliofuatiliwa kwa ukaribu. Kagera Sugar 1-1 Fountain …
Ahmed Ally Afichua Siri ya Simba SC Kuzisambaratisha ‘Timu Korofi’ Ligi Kuu
KLABU ya Simba SC imeanza msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kasi ya ajabu baada ya kushinda michezo yake yote sita ya mwanzo na kuvuna alama zote 18, huku ikiweka rekodi mpya ya kuzishinda timu zilizokuwa zikiisumbu…
CHAMA MKALI WA ‘GUU’ LA KULIA LIGI KUU YA NBC.
KIUNGO Mshambuliaji wa timu ya Simba inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Clatous Chama amezidi kuonyesha umahiri wa mguu wake wa kulia baada ya kufunga mabao manne kwa mguu huo. Mabao hayo aliyapata katika mchezo dhidi ya …
Kocha Mashujaa FC Anena Mazito Mapumziko ya FIFA | Mipango Upya Ligi Kuu
Klabu ya Mashujaa FC imetumia vyema mapumziko ya kupisha mechi za kimataifa (FIFA Break) kama fursa ya dhahabu ya kufanyia kazi changamoto na upungufu uliojitokeza katika michezo ya mwanzo ya msimu huu wa Ligi Kuu Tan…
Kocha wa Zimamoto Bares Afichua Mbinu Mpya Ligi Kuu Zanzibar
KOCHA Mkuu wa timu ya Zimamoto, Abdallah Mohammed ‘Bares’, ameweka wazi kuwa kiu yake ya kupata ushindi kwenye kila mchezo ndiyo inayomfanya abadilishe mbinu na mitindo ya uchezaji mara kwa mara ili kuwachanya wapinza…
Hizi hazijaonja ushindi msimu huu Ligi Kuu Bara
Na Hassan Mwasha, Gazetini MAMBO magumu! Kagera Sugar na Pamba Jiji ndizo timu mbili pekee ambazo hadi kufikia hatua hii hazibahatika kupata ushindi, licha ya kushuka dimbani mara sita msimu huu wa Ligi Kuu Bara [2026…
Mabao 127 yamefungwa Ligi Kuu Bara 2026-27
Na Hassan Mwasha, Gazetini MWENDO wa mabao tu! Kwa sasa ni mapumziko ya kupisha kalenda ya FIFA [Shirikisho la Soka la Kimataifa] na kufikia hatua hii tayari mechi 98 zimeshachezwa msimu huu [2026-27] wa Ligi Kuu Bara…
Timu hizi ‘ukuta’ mbovu Ligi Kuu Bara 2026-27
Na Hassan Mwasha, Gazetini KAZI ipo! Kagera Sugar ndiyo timu iliyoruhusu mabao mengi hadi sasa, ikiwa imecheza mechi sita msimu huu wa Ligi Kuu Bara [2026-27]. Katika michezo yao hiyo, Kagera Sugar imeruhusu nyavu zak…
Libasse Gueye Aongoza Orodha ya Watoa Asisti Ligi kuu ya NBC 2026/27
Takwimu za Soka Metrics zimeonyesha ubora wa viungo na washambuliaji katika kutengeneza nafasi na kutoa pasi za mwisho kwenye Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/2027, huku mshambuliaji wa Simba …
LIBASSE HAKAMATIKI PASI SAIDIZI LIGI KUU YA NBC.
Mzunguko wa sita wa Ligi Kuu ya NBC umetamatika huku vita ya pasi saidizi za mabao ikionekana kuanza kukolea kutokana na namna ambavyo wachezaji wanapambana kuweza kukusanya pasi hizo. Libasse Gueye wa Simba ndie kina…
LIGI KUU ni nini?
Hapa unaona msimamo na matokeo ya mechi za LIGI KUU (Football · Tanzania). Maelezo ya kina kuhusu mashindano haya yataongezwa hapa yanapopatikana.