Kombe la Vilabu CECAFA Kagame
1Kombe la Vilabu CECAFA Kagame ni nini? Kombe la Vilabu la CECAFA ni mchuano wa klabu Afrika Mashariki na Kati. Tangu 2002 linajulikana kama Kagame Interclub Cup (mdhamini Rais Paul Kagame wa Rwanda). Msimu wa 2026 unaendelea Kigali (24 Julai – 7 Agosti): timu 12 katika makundi A–C kwenye Amahoro na Kigali Pelé. Washindi wa makundi pamoja na mshindi wa pili…
Kombe la Vilabu CECAFA Kagame — Habari.
Historia ya Kombe la Vilabu CECAFA Kagame (1967–2026)
Telezesha kushoto au kulia kuona mabingwa wa kila mwaka
- 1967BingwaAbaluhya5–0
- 1968–1973MapumzikoHakuna mashindano
- 1974BingwaSimba
- 1975BingwaYoung Africans2–0
- 1976BingwaLuo Union2–1
- 1977BingwaLuo Union2–1
- 1978BingwaKampala City Council0–0*
- 1979BingwaAbaluhya1–0
- 1980BingwaGor Mahia3–2
- 1981BingwaGor Mahia1–0
- 1982BingwaA.F.C. Leopards1–0
- 1983BingwaA.F.C. Leopards2–1
- 1984BingwaA.F.C. Leopards2–1
- 1985BingwaGor Mahia2–0
- 1986BingwaAl-Merrikh2–2*
- 1987BingwaVilla1–0
- 1988BingwaKenya Breweries2–0
- 1989BingwaKenya Breweries3–0
- 1990MapumzikoHakuna mashindano
- 1991BingwaSimba3–0
- 1992BingwaSimba1–1*
- 1993BingwaYoung Africans2–1
- 1994BingwaAl-Merrikh2–1
- 1995BingwaSimba1–1*
- 1996BingwaSimba1–0
- 1997BingwaA.F.C. Leopards1–0
- 1998BingwaRayon Sports2–1
- 1999BingwaYoung Africans1–1*
- 2000BingwaTusker3–1
- 2001BingwaTusker0–0*
- 2002BingwaSimbaKagame Cup
- 2003BingwaVilla1–0
- 2004BingwaAPR3–1
- 2005BingwaVilla3–0
- 2006BingwaPolice2–1
- 2007BingwaAPR2–1
- 2008BingwaTusker2–1
- 2009BingwaATRACO1–0
- 2010BingwaAPR2–0
- 2011BingwaYoung Africans1–0
- 2012BingwaYoung Africans2–0
- 2013BingwaVital'O2–0
- 2014BingwaAl-Merrikh1–0
- 2015BingwaAzam2–0
- 2016–2017MapumzikoHakuna mashindano
- 2018BingwaAzam2–1
- 2019BingwaKCCA1–0
- 2020MapumzikoHakuna mashindano
- 2021BingwaExpress1–0
- 2022–2023MapumzikoHakuna mashindano
- 2024BingwaRed Arrows1–1*
- 2025BingwaSingida Black Stars2–1
- 2026MsimuInaendelea
Rayon Sports Yaitinga Fainali CECAFA Kagame Cup 2026 baada ya Kuichapa Jamus SC
Miamba ya soka nchini Rwanda, Rayon Sports, inaendelea kuonyesha ubabe baada ya kufanikiwa kutinga fainali ya Kombe la CECAFA Kagame Cup 2026 kufuatia ushindi mnono wa mabao 3-1 dhidi ya Jamus SC ya Sudan Kusini katik…
Nusu Fainali CECAFA Kagame 2026: Ratiba, Timu Zilizofuzu & Uchambuzi Wa Moto!
Baada ya siku 10 za ushindani mkali ulioshuhudia jumla ya mabao 42 katika hatua ya makundi, michuano ya Kombe la CECAFA Kagame 2026 sasa imeingia kwenye hatua ya nusu fainali. Ni timu nne pekee zilizosalia kwenye mbio…
Simba SC 2-1 Singida Black Stars Kagame Cup 2026 hatua ya makundi wametoana | Doumbia afungua akaunti ya mabao | SportPesa Cup
Simba SC 2-1 Singida Black Stars Kagame Cup 2026 hatua ya makundi wametoana wawakilishi hawa kutoka Tanzania. Mshambuliaji wa mabao Ibrahim Doumbia alifungua akaunti kwa kufunga dakika ya 27. Hili linakuwa bao la kwan…
Simba SC Kutua Upya Rwanda: Mipango Mizito ya Steve Barker Baada ya Kagame Cup
KIGALI, Rwanda — Licha ya safari ya Simba SC kwenye Mashindano ya Kombe la CECAFA Kagame Cup 2026 kufikia tamati mapema, kikosi hicho kimeamua kutosafiri mara moja na badala yake kitasalia mjini Kigali, Rwanda, kuende…
Elie Mpanzu Atinga Rwanda: Simba Yapata Nguvu Mpya CECAFA Kagame Cup!
Elie Mpanzu Atinga Rwanda: Simba Yapata Nguvu Mpya CECAFA Kagame Cup! KIKOSI cha Simba SC kimepata ingizo jipya na la nguvu baada ya kiungo wao mahiri, Elie Mpanzu, kuwasili rasmi nchini Rwanda na kujiunga na wenzake …
Barker: Kagame Cup is part of Simba's rebuild
SIMBA SC head coach Steve Barker has reiterated that the club’s main goal at the 2026 CECAFA Kagame Cup is to develop a strong and competitive squad for the new season, even after a second straight 0-0 draw in the com…
Vipers SC Kutwaa Ubingwa CECAFA Kagame Cup: Kocha Lavagne Atoa Onyo!
KIGALI, RWANDA — Kocha Mkuu wa Vipers SC ya Uganda, Denis Jean Lavagne, ametuma salamu za tahadhari kwa wapinzani wao kwenye mashindano ya Kombe la CECAFA Kagame Cup, akisisitiza kuwa kikosi chake hakikuja kushiriki t…
Tegisi Aanza Na Moto CECAFA Kagame Cup: Apigiwa Chapuo Kiatu Cha Ufungaji!
MSHAMBULIAJI mpya wa Singida Black Stars, Mathew Tegisi, ameanza kuwa gumzo katika Kombe la CECAFA Kagame baada ya kuonyesha makali yake katika mchezo wa pili wa Kundi B dhidi ya Mogadishu City huku akipigiwa chapuo l…
Chasambi Afichua Sababu za Kutua Singida BS, Aingia Vita ya CECAFA Kagame
Kiungo mpya wa Singida Black Stars, Ladack Chasambi, amefunguka kuhusu sababu zilizomfanya achague kujiunga na miamba hiyo ya Singida, akitaja fursa ya kushiriki michuano ya kimataifa kama nguzo kuu ya maamuzi yake. C…
Simba SC 0-0 Jamus SC, Kagame Cup hali ni tete | Wachezaji wapya kazini | Lineups
Huko Rwanda, Simba SC 0-0 Jamus SC ni matokeo rasmi ya mchezo wa hatua ya makundi katika kusaka hatua ya nusu fainali. Mnyama hali ni tete kutokana na matokeo tasa aliyopata mechi mbili mfululizo. Ni pointi mbili imev…
Simba Yatoa Suluhu Dhidi ya Jamus Kombe la Kagame
Bingwa wa kihistoria wa Kombe la CECAFA Kagame, Simba imejikuta ikianza kupiga hesabu za vidole kufuzu hatua ya nusu fainali baada ya kutoka suluhu ya pili mfululizo, safari hii ikiwa …
Singida BS Waichapa Mogadishu 4-1 CECAFA Kagame, Wawawasha Simba SC!
KIGALI, RWANDA: Bingwa mtetezi wa Kombe la CECAFA Kagame, Singida Black Stars, imerejesha matumaini makubwa ya kutetea taji hilo baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-1 dhidi ya Mogadishu City katika mchezo wa …
Kombe la Vilabu CECAFA Kagame ni nini?
Kombe la Vilabu la CECAFA ni mchuano wa klabu Afrika Mashariki na Kati. Tangu 2002 linajulikana kama Kagame Interclub Cup (mdhamini Rais Paul Kagame wa Rwanda). Msimu wa 2026 unaendelea Kigali (24 Julai – 7 Agosti): timu 12 katika makundi A–C kwenye Amahoro na Kigali Pelé. Washindi wa makundi pamoja na mshindi wa pili bora wanahitimu nusu fainali (4 Agosti); fainali ni 7 Agosti. Zawadi: bingwa $30,000, wa pili $20,000, wa tatu $10,000. Matangazo: Azam Sports 1 HD.