C
Clouds FM TZ
@cloudsfmtz
Instagram ยท Photo
NDONDO CUP 2026
๐
Maelezo
NDONDO CUP 2026
Mwenyekiti wa Wilaya ya CCM Wilaya ya Temeke Bi Zena Mgaya amepewa heshima ya kuwa mgeni maalumu kwenye uzinduzi wa hatua ya awali ya Ndondo Cup Juni 13 , Uwanja wa Shule ya Msingi Chamazi