WIKIENDI LIVE
WIKIENDI LIVE — 25 Sep 2026, 10:15 – 26 Sep 2026 katika NAFASI ART SPACE, 17 Eyasi. Mratibu: Private Profile. Maelezo, tiketi na usajili kwenye Nukta AI.
Muda:
Mahali: NAFASI ART SPACE, 17 Eyasi
Mratibu: Private Profile
Mawasiliano: info@nafasiartspace.org 0757820426
📍 Nafasi Art Space
📅 25–26 Septemba 2026
Jiandae kwa siku mbili za kusherehekea sanaa, ubunifu, muziki na burudani kwa kila mtu! 🙌🏾
Kutakuwa na:
🎨 Maonesho ya sanaa
🎮 Michezo kwa watoto na watu wazima
👨👩👧👦 Shughuli za familia
🎶 Muziki na live performances
✨ Na burudani nyingine nyingi
Njoo na marafiki, familia au mtu wako wa karibu feel at home! 🏡❤️
📲 Ratiba kamili pamoja na orodha ya wasanii watakaotumbuiza zinapatikana kwenye ukurasa wa @wikiendilive.
Usikose Wikiendi Live 2026!
25–26 Septemba | Nafasi Art Space 🎶✨
⛓️💥Hakuna kiingilio lakini Lipa unachoweza💰
**********************************
Wikiendi Live is almost here! 🎶✨
📍 NAFASI ART SPACE
📅 25–26 SEPTEMBER 2026
Get ready for two full days of art, creativity, music, games and entertainment for everyone! 🙌🏾
Expect:
🎨 Art Fair & Art Exhibitions
🎮 Games for Kids & Adults
👨👩👧👦 Fun Family Activities
🎤 Live Music & Performances
✨ And plenty more entertainment!
Come with your friends, bring your family, or simply come as you are feel at home! 🏡❤️
📲 The full programme and lineup of performing artists are available on @wikiendilive.
Don’t miss Wikiendi Live 2026!
25–26 SEPTEMBER | NAFASI ART SPACE 🎶✨
⛓️💥Free Entry but Pay as you can
Organizer: Private Profile
Category: Entertainment
Contact: info@nafasiartspace.org · 0757820426