MTOTO NI MALEZI FUN RUN
MTOTO NI MALEZI FUN RUN — 29 Aug 2026, 05:30 – 5 Sep 2026 katika CCM Kirumba. Mratibu: Compassion International Tanzania. Maelezo, tiketi na usajili kwenye Nukta AI.
Muda:
Mahali: CCM Kirumba
Mratibu: Compassion International Tanzania
Mawasiliano: Ndosi@tz.ci.org 255755083485
Compassion International Tanzania (CIT), SOS Children's Villages Tanzania, na ICS, kwa kushirikiana na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, wanayo furaha kukualika kushiriki katika "Mtoto ni Malezi Fun Run 2026", itakayofanyika:
Tarehe: 5 Septemba 2026
Mahali: Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza
Muda: Kuanzia saa 11:30 Asubuhi
Lengo la tukio hilo ni kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa malezi chanya kwa watoto, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wa "Familia Bora, Taifa Imara" unaoratibiwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu.
Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Mheshimiwa Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu.
Mambo Muhimu
* Washiriki wote watakaojisajili kutembea au kukimbia watapatiwa T-shirt rasmi za tukio.
* Huduma za kwanza (First Aid) zitapatikana katika eneo la tukio kwa dharura za awali.
* Endapo mshiriki atahitaji huduma za matibabu zaidi ya huduma za kwanza, gharama za matibabu zitakuwa jukumu la mshiriki mwenyewe.
"Mtoto ni Malezi – Msingi wa Taifa la Kesho."
USAJILI
Organizer: Compassion International Tanzania
Category: Entertainment
Contact: Ndosi@tz.ci.org · 255755083485
Tiketi
-
REGISTRATION
Imeisha