Gundua

770 habari
Nukta Publish

Habari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta

Unaona habari zinazohusishwa na Gazetini chini (pamoja na mengine ya Gundua).

246 Areas Identified for Urgent Reform in Tanzania's Blueprint II · 246 Suspected Ebola Cases and 80 Reported Deaths in DRC Ebola

Na mwandishi wetu, Gazetini MAAMBUKIZI ya virusi vya Ebola yameendelea kuripotiwa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kama ilivyo kwa majirani zao, Uganda, huku wataalamu wa afya wakizitahadharisha nchi zingine za Afrika. Idadi ya vifo kwa upande wa DRC ni zaidi ya 100, huku visa vipya vilivyoripotiwa vikiwa …

Gazetini
Featured Bajeti ya Serikali Tanzania yapaa h…

Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma WAZIRI wa Fedha, Khamis Mussa Omar, amesema Serikali itaendelea kutegemea mapato ya ndani kama chanzo kikuu cha kugharamia matumizi ya kawaida na utekelezaji wa miradi ya maendeleo, huku ikiweka mkazo katika kuimarisha ukusanyaji wa mapato hayo ili kuharakisha maendeleo ya taifa. Ak…

Gazetini
Featured Mexico yaianza kombe la dunia kwa u…

MEXICO CITY, Mexico FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zinaendelea kuchanja mbuga, huku baadhi ya timu zikiwa zimeshatinga hatua ya 16 Bora. Baadhi ya mechi kali za hatua hiyo ni ile itakayozikutanisha England ‘Three Lions’ na Mexico ‘El Tri’, ambao ni wenyeji wa michuano kwa kushirikiana na Marekani na Can…

Gazetini
Featured Canada Kuwa na Kibarua Kigumu Dhidi…

TORONTO, Canada HAKUNA mbabe. Ni dakika 90 za mchezo wa Kundi B uliochezwa Juni 12, 2026, ambapo wenyeji wa michuano ya mwaka huu ya Kombe la Dunia, Canada, wametoka sare ya bao 1-1 na Bosnia. Bosnia walikuwa wa kwanza kupata bao dakika ya 21 kupitia kwa Jovo Lukic aliyeunganisha kwa kichwa mpira wa kona, kabla […]

Gazetini
Featured Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: HAI…

TORONTO, Canada KIUNGO Thomas Partey atakosekana wakati timu ya Taifa ya Ghana itakapocheza mechi ya kwanza ya msimu huu wa Kombe la Dunia. Ni baada ya mamlaka za Canada, moja ya wenyeji watatu wa michuano hiyo, kumnyima kibali cha kuingia nchini humo. Hatua hiyo imetokana na kesi tano za ubakaji zinazomkabili nyota h…

Gazetini
Bungeni Nchimbi mgeni rasmi siku ya mazingi…

Na mwandishi wetu, Gazetini SERIKALI imepanga kuondoa matumizi ya vocha za kukwangua za muda wa maongezi katika maeneo ya mijini kuanzia Julai 1, 2026, hatua inayolenga kuharakisha matumizi ya mifumo ya kidijitali katika sekta ya mawasiliano na huduma za kifedha. hayo yamebainishwa na Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Oma…

Gazetini
Michezo Nani Kuibuka Mfungaji Bora Kombe la…

SEOUL, Korea Kusini MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 – Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea michuano hiyo, hawa ndiyo wachezaji 26 walioitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Korea ya Kusini. Makipa: Hyeon-Woo Jo (Ulsan), Seung-Gyu Kim (FC Tokyo), na Bu…

Gazetini
Featured Saudi Arabia vs Uruguay Kombe la Du…

Berlin, Ujerumani MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 – Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea michuano hiyo, hawa ndiyo wachezaji 26 walioitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Ujerumani. Makipa: Oliver Baumann (Hoffenheim), Manuel Neuer (Bayern Munich), na…

Gazetini
Featured Ghana vs Panama FIFA Kombe la Dunia…

BAGHDAD, Iraq MOJA ya vivutio vya fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu zitakazoanza Juni 11, 2026 ni uwepo wa timu ya soka ya Taifa ya Iraq iliyofuzu kwa kuifunga Bolivia. Hii inakuwa mara ya pili kwao kushiriki baada ya mwaka 1986. Katika mashindano hayo, Iraq iliishia hatua ya makundi kwa kupoteza mechi zote […]

Gazetini
Featured Takwimu zinaongea: Brazil v Morocco

MEXICO CITY, Mexico KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, amethibitisha kuwa mshambuliaji wake, Neymar, anaweza kuwa fiti kuivaa Scotland katika mchezo wa Jumatano ya wiki ijayo. Neymar anayekipiga Santos ya Ligi Kuu ya Brazil, alikosekana katika mechi zote mbili za awali msimu huu wa Kombe la Dun…

Gazetini
Featured Jeshi la magereza lashiriki maadhim…

Na mwandishi wetu, Gazetini MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Lazaro Twange, amewaondoa hofu wananchi kuhusu matumizi ya nishati ya umeme katika vyombo vya usafiri, akisema kuwa Tanesco imejipanga kujenga vituo vya kuchajia vyombo hivyo nchi nzima. Mkurugenzi huyo amesema hayo Juni 19, 2026, …

Gazetini
Featured TANESCO yakamilisha miradi ya kuima…

Na mwandishi wetu, Gazetini WANANCHI wa Wilaya za Gairo, Mpwapwa, Kongwa, Chamwino na Kiteto wanatarajiwa kunufaika na huduma ya umeme wa uhakika zaidi kufuatia kukamilika kwa miradi ya kuimarisha mfumo wa usambazaji wa umeme iliyotekelezwa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa gharama ya zaidi ya Sh bilioni 10.5…

Gazetini
Europe Kombe la Dunia 2026: Hawa hapa viun…

LONDON, Uingereza KATI ya makocha 20 wa Ligi Kuu ya England (EPL) kwa msimu ujao wa 2026-27, ni watatu tu walioziongoza timu zao kwa zaidi ya miaka mitatu. Mikel Arteta wa Arsenal ndiye aliyedumu kwa muda mrefu, akiwa ameiongoza timu hiyo tangu Desemba 22, 2019. Anayefuta ni Eddie Howe, ambaye amekuwa kwenye benchi la…

Gazetini
Featured Brazil vs Haiti FIFA Kombe la Dunia…

LOS ANGELES, Marekani TIMU ya soka ya Taifa ya Marekani imeanza na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Paraguay katika mechi ya Kundi D msimu huu wa fainali za Kombe la Dunia. Wakati huo huo, bao la dakika ya saba walilopata Marekani ni la mapema zaidi kwa timu mwenyeji tangu Ujerumani ilipofunga mwaka 2006. Mechi […]

Gazetini
Featured Trump: Makubaliano ya Amani Iran na…

Na mwandishi wetu, Gazetini WAKATI dunia ikiwa kwenye sintofahamu juu ya mustakabali wa vita vya Marekani na Iran, Kundi la kigaidi la Houthi nchini Yemen limeendelea kufanya mambo yawe mengi na magumu zaidi. Iko hivi; Marekani na Iran zinaendelea kushambuliana na mgogoro wao juu ya Mlango-Bahari wa Hormuz imesababish…

Gazetini
Featured Ofisi ya waziri mkuu yathibitisha n…

Na mwandishi wetu, Gazetini SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kushirikiana na Taasisi ya OpenMap Development Tanzania (OMDTZ) imechukua hatua mpya za kuimarisha utayari wa jamii kukabiliana na mafuriko katika Jiji la Dar es Salaam kwa kuthibitisha mipango ya kujiandaa na kukabiliana na maafa katika kata tano z…

Gazetini
Featured Benki ya Absa Tanzania na WWF wapan…

Na Ramadhan Hassan, Gazetini NAIBU Waziri wa Fedha, Mshamu Ali Munde, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Pamoja wa 9 wa Kamati Maalum ya Mawaziri wa Umoja wa Afrika (STC) unaojadili masuala ya Fedha, Uchumi, Mipango na Mtangamano pamoja na Mkutano …

Gazetini
Featured Nyuma ya Cristiano Ronaldo kuna mre…

MIAMI, Marekani AKITOKEA benchi, aliukuta mchezo ukiwa sare ya bao 1-1, kisha akafunga na kuiwezesha timu ya soka ya Taifa ya Ureno kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Croatia, matokeo yaliyowapeleka hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia. Huyo si Cristiano Ronaldo wala Bruno Fernandes, bali ni Goncalo Ramos, akifanya hi…

Gazetini
AFYA Kamanda wa Polisi Tabora SACP Richa…

Na mwandishi wetu, Gazetini KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao, amefariki dunia leo Juni 20, 2026 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Kifo cha ofisa huyo kimethibitishwa na Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini,…

Gazetini
AFYA Bmh yaandika historia kwa upandikiz…

Na Ramadhan Hassan, Dodoma HOSPITALI ya Benjamin Mkapa (BMH), kwa kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), imeandika historia kwa kufanikisha kwa mara ya kwanza kambi maalumu ya upasuaji wa moyo kwa watoto kutoka Burundi, hatua inayoimarisha nafasi ya Tanzania kama kitovu cha huduma za kibingwa na ubingw…

Gazetini
Featured Ufaransa vs Iraq Kombe la Dunia 202…

MIAMI, Marekani JUMAPILI ya wiki hii, Julai 19, 2026, nyasi za Uwanja wa MetLife nchini Marekani zitawaka moto kwa mchezo wa fainali ya msimu huu wa Kombe la Dunia. Argentina dhidi ya Hispania. Ni fainali ya wababe tupu. Argentina ni bingwa mtetezi wa Kombe la Dunia na Copa America, wakati Hispania wanashikilia taji l…

Gazetini
Featured Yanga yazima jeuri ya Azam, Simba y…

Na Hassan Mwasha DAKIKA 90 tu za mchezo kati ya Fountain Gate na Singida Black Stars ndizo zilizopeperusha ndoto ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2025-26. Kabla ya mechi za mwisho wa msimu kuchezwa jana Juni 30, 2026, Fei Toto wa Azam ndiye aliyekuwa kinara kwa mabao […]

Gazetini
Featured Matukio ya kusisimua Kombe la Dunia…

MEXICO CITY, Mexico KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Lionel Scaloni, amethibitisha kuwa atampumzisha nahodha wake, Lionel Messi, katika mchezo wao dhidi ya Jordan. Timu hizo zitakutana kesho Juni 28, 2026, ukiwa ni mchezo wa mwisho wa kundi lao lenye timu zingine mbili, Algeria na Austria. Argentina ikiwa …

Gazetini
Featured Prediction Afrika Kusini vs Canada …

MIAMI, Marekani MECHI za hatua ya 32 Bora msimu huu wa Kombe la Dunia zitaanza kuchezwa usiku wa leo Juni 28, 2026. Colombia baada ya kulazimisha suluhu dhidi ya Ureno, imetinga hatua hiyo ikitokea Kundi K. DRC nayo imeingia baada ya ushindi wake dhidi ya Uzbekistan, kama ilivyo kwa Croatia iliyoifunga Ghana mabao 2-1…

Gazetini
Featured TRA, JKT wana vita yao wenyewe Ligi…

Na Hassan Mwasha, Gazetini ACHANA na ishu ya ubingwa. Ni wazi si Yanga wala Simba inayoweza kufikia idadi ya pointi ilizokusanya msimu uliopita (2024-25) wa Ligi Kuu Bara. Kwa sasa, Yanga iko kileleni mwa msimamo lakini imekusanya pointi 72, wakati Simba wao wana pointi 70, huku kila timu ikiwa imebakiza mechi moja ba…

Gazetini
Bussiness Wizara ya fedha yawakaribisha wanan…

Na Imani Nathaniel, Gazetini Mkurugenzi Mkuu wa Halotel Tanzania, Bui Van Thang, ametembelea banda la kampuni hiyo katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026), akijionea huduma mbalimbali za kisasa na suluhisho za kidijitali zinazotolewa kwa Watanzania. Katika ziara hiyo iliyofanyik…

Gazetini
Featured Marekani, Iran sasa kujifungia Doha…

WASHINGTON, Marekani Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema ameridhishwa na mwenendo wa mazungumzo ya maelewano kati ya Marekani na Iran, akidai kuwa Tehran inaonesha ushirikiano mkubwa katika hatua za sasa za majadiliano, huku akionya kuwa Washington iko tayari kuchukua hatua nyingine endapo makubaliano hayatatekele…

Gazetini
Featured Prediction Paraguay vs Australia FI…

MIAMI, Marekani WENYEJI wa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu, Canada, ambao wanashirikiana na Mexico na Marekani, watakwana na Morocco katika hatua inayofuata ya 16 Bora. Canada chini ya ocha Jesse Marsch, walivuka hatua iliyopita (32 Bora) kwa kuitoa timu nyingine ya Afrika, Afrika Kusini. Bao pekee la mchezo hu…

Gazetini
AFYA ‘usalama na afya mahali pa kazi; ms…

Na mwandishi wetu, Gazetini Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju, ameshauri Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kuendelea kufanya ukaguzi wa mifumo ya usalama na afya katika maeneo ya kazi nchini yakiwemo majengo ya Mahakama kwa mujibu wa Sheria ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi, Sura Na. 297, …

Gazetini
Afcon Dk. Yonazi: AFCON 2027 ni fursa ya …

Na mwandishi wetu, Gazetini Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Dk. Jim Yonazi, amesema maandalizi ya Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2027 yanapaswa kuangaliwa zaidi ya mpira wa miguu, akieleza kuwa ni fursa ya kipekee ya kuitangaza Tanzania kimataifa, kukuza utalii, …

Gazetini
Featured Yanga Yatwaa Ubingwa wa 32 Ligi Kuu…

Na Hassan Mwasha, Gazetini HIVI karibuni, Yanga iliachana na mshambuliaji wake raia wa Zimbabwe, Prince Dube, ambaye amejiunga na Hardrock ya Ligi Kuu nchini humo. Amerudi nyumbani. Kwamba nyota huyo amehitimisha safari ya miaka sita ya kucheza Ligi Kuu Bara, tangu aliposajiliwa na Azam mwaka 2020 akitokea Highlanders…

Gazetini
Europe Ujerumani Yafanya Comeback Ya Kusis…

MUNICH, Ujerumani WIKI chache zilizopita, alikuwa kwenye meza ya uchambuzi wa mechi za Kombe la Dunia akiishuhudia timu yake ya Taifa ya Ujerumani ikiondoshwa na Paraguay katika hatua ya 32 Bora. Safari hii, Jurgen Klopp amepewa jukumu la kuliongoza benchi la ufundi, akichukua nafasi ya Julian Nagelsmann aliyetimuliwa…

Gazetini
DATA Dkt. mwigulu aalika wafanyabiashara…

Na mwandishi wetu, Gazetini BANDARI ya Dar es Salaam imeibuka kinara wa ufanisi wa huduma za bandari katika ukanda wa Afrika Mashariki baada ya kupanda kwa nafasi 105 katika Ripoti ya Ufanisi wa Bandari Duniani (Container Port Performance Index – CPPI) ya mwaka 2025, hatua inayodhihirisha mafanikio ya mageuzi makubwa …

Gazetini
Featured Prediction Argentina vs Misri FIFA …

MEXICO CITY, Mexico UWANJA wa Azteca unaopatikana Kusini mwa Mji Mkuu wa Mexico, Mexico City. Ni moja ya viwanja vya soka vyenye historia ya aina yake. Baada ya Mexico kushinda zabuni ya kuandaa Kombe la Dunia mwaka 1970, muhandisi Pedro Ramirez Vazquez alipewa jukumu la kujenga uwanja wenye uwezo wa kupokea mashabiki…

Gazetini
Featured Mamilioni Wamiminika Kumuaga Kiongo…

TEHRAN, Iran JESHI la Marekani limetibitisha kufanya shambulizi la usiku kwa mara ya saba mfululizo nchini Iran. Huo ni mwendelezo wa Iran kushambuliwa usiku tangu Rais Donald Trump alipotangaza kuwa hakuna tena usitishaji wa vita. Katika taarifa yake baada ya shambulizi la usiku wa kuamkia leo Julai 18, 2026, Marekan…

Gazetini
Featured Ufaransa yatinga nusu fainali ya ko…

MIAMI, Marekani TIMU ya soka ya Taifa ya Ufaransa imetinga robo fainali ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Paraguay. Ni katika mchezo wa hatua ya 32 Bora, ambapo bao pekee la Ufaransa lilifungwa na Kylian Mbappe kwa mkwaju wa penalti. Kwa matokeo hayo, Ufaransa sasa itakwaana na vigogo wa […]

Gazetini
Featured Waliostaafu baada ya kung’oka Kombe…

BOSTON, Marekani FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zilizochezwa kwa siku 39, kwenye viwanja 16, zikishirikisha wachezaji 1,039 kutoka timu 48, zilishuhudia mabao 308 yakifungwa katika mechi 104. Je, ni nani aliyeongoza kwa mabao, asisti? Ni timu zipo zilizofunga na kuruhusu mabao mengi? Makala fupi haya ya…

Gazetini
Uncategorized Waandishi wa habari wananufaika na …

Na mwandishi wetu, Gazetini Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeanzisha utaratibu wa kutoa ithibati ya uanachama wa maisha kwa waandishi wa habari waliokuwa na umri wa miaka 50 au zaidi mwaka 2016, hatua inayolenga kutambua mchango wa wanahabari wakongwe waliotumikia taaluma hiyo kwa muda mrefu na wanaoki…

Gazetini
Featured Marekani Yaitaka Iran Kufungua Horm…

TEHRAN, Iran MAMLAKA za Iran zimetangaza rasmi kuufunga Mlango-Bahari wa Hormuz wakati huu jeshi lake likiendelea kushambuliana na Marekani. Hatua hiyo inaweza kuathiri bei ya mafuta, kama ilivyo wakati ule Iran ilipoifunga njia hiyo inayotumika kusafirisha asilimia 20 ya mafuta na gesi duniani. Tangazo la Iran linaku…

Gazetini
DIRA Tet yajipanga kutekeleza dira ya ta…

Na mwandishi wetu, Gazetni VIJANA wa Tanzania wametajwa kuwa kundi litakalobeba mafanikio makubwa ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, huku wakihimizwa kuanza kujijengea uwezo na kutumia fursa zinazotengenezwa kupitia mipango ya maendeleo ya Serikali. Mchumi kutoka Tume ya Taifa ya Mipango, Alpha Temu, ameiambia Gazeti…

Gazetini
Featured Prediction Ufaransa vs Hispania FIF…

MIAMI, Marekani LICHA ya kucheza mechi zaidi ya 200 akiwa na timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi hajawahi kuikabili England. Safari hii, Messi atakutana kwa mara ya kwanza na ‘Three Lions’ katika mchezo wa nusu fainali ya msimu huu wa Kombe la Dunia. Argentina ya Messi imeingia nusu fainali baada ya ushindi wake …

Gazetini
Africa Ngorongoro yawakumbusha madereva ku…

Na Hassan Mwasha, Gazetini BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jumatatu, Mei 18, 2026 limepitisha Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2026-27 Bungeni mjini Dodoma iliyowasilishwa Ijumaa Mei 15, 2026 na Waziri wa wizara hiyo, Dk. Ashatu Kijaji, Mei 15, 2026, amewasilisha Katika hotuba y…

Gazetini
Featured Hispania yaitoa ubelgiji, yatinga n…

MIAMI, Marekani SAHAU kabisa kuhusu matokeo. Fainali ya Kombe la Dunia iliyochezwa jana iliwakutanisha makocha wawili, Luis de la Fuente wa Hispania na Lionel Scaloni anayeinoa Argentina. Ukiweka kando ubora wa mbinu na mafanikio yao, kuna stori nyingine ya kufurahisha kuhusu wawili hao. Stori yao hiyo inaanzia mwaka …

Gazetini
Featured GENEVA: NeST YATWAA TUZO, MIONGONI …

-Yaiwezesha Serikali kupata thamani halisi ya fedha-Wadau ununuzi wa umma 2,600 wafikiwa mafunzo matumizi ya moduli Na Mwandishi wetu, Gazetini Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imefanikiwa kushughulikia rufaa 58 kati ya rufaa 60 zilizowasilishwa katika mwaka wa fedha 2025/26 na kuzitolea uamuzi kwa wakati na…

Gazetini
Featured Dada wa mshirika wa Trump ateuliwa …

WASHINGTON DC, Marekani JULAI 4, 2026, Marekani itasherehekea miaka 250 tangu ilipopata uhuru wake mwaka 1776 kutoka kwa Uingereza. Hata hivyo, ‘birthday’ inakuja wakati Taifa hilo likiwa limegawanyika kutokana na sera za Rais aliyeko madarakani, Donald Trump. Wapo wanaomuunga mkono na wengine kumpinga. Betsy Halsey (…

Gazetini
Elimu Prof.nombo ataka elimu izalishe uju…

Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema Serikali itaendelea kuhakikisha hakuna mtoto anayekosa haki ya kupata elimu, ikiwemo mabinti waliopata ujauzito, kama sehemu ya juhudi za kuimarisha usawa na ujumuishi katika sekta ya elimu nchini. Prof. Mkenda amet…

Gazetini
Featured Trump Aonya Kuishambulia Iran, Ataj…

TEHRAN, Iran VITA vinaendelea. Si Marekani wala Iran, kila upande umekiuka makubaliano ya kusitisha vita yaliyoingiwa na pande mbili hizo wiki chache zilizopita. Wakati vita vinaanza Februari 28,2026, Wamarekani na washirika wao, Israel, waliamini na hata kudai kuwa ingewachukua muda mfupi tu kumaliza kazi. Ni miezi m…

Gazetini
Bungeni Kesi dhidi ya Baba Levo yaunguruma …

Na Hassan Mwasha, Gazetini NI mwanamuziki? Ndiyo. Hiyo ndiyo sura yake ya kwanza iliyomtambulisha Baba Levo mbele ya walio wengi. Achana na maisha binafsi, ambayo ndugu, jamaa na marafiki zake wanaweza kuwa na simulizi yake nyingine. Kwa walio wengi, Clayton Revocatus Chipando aliwahi kuingia na kuishi kwenye orodha y…

Gazetini
Featured Watuhumiwa 239 wa uhalifu ikiwemo m…

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeeleza kuwa limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 188 wa makosa mbalimbali ya jinai, huku mmoja akihukumiwa kunyongwa hadi kufa na mwingine akipewa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya mauaji. Hatua hiyo imefikiwa kufuatia operesheni mbalimbali za kiu…

Gazetini
Africa Mlipuko wa Ebola 2026: Visa vyafiki…

KINSHASA, DRC WATU zaidi ya 1,000 wameshapoteza maisha ndani ya miezi miwili ya ugonjwa wa Ebola nchini DRC, idadi kubwa zaidi, ikilinganishwa na mlipuko wa mwaka 2014 na 2016. Katika ripoti ya Wizara ya Afya ya DRC, visa 2,536 na vifo 1,033 vimejitokeza tangu maambukizi ya Ebola y’all kuripotiwa Mei 15, 2026. Ni tofa…

Gazetini
Featured Hispania vs Argentina: Tazama Faina…

MIAMI, Marekani ANAITWA Slavko Vincic, mwamuzi wa kati aliyeteuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kucheza mechi ya fainali msimu huu wa Kombe la Dunia (2026). Mchezo wa Julai 19, 2026, utakaozikutanisha Argentina na Hispania katika Uwanja wa MetLife nchini Marekani. Vincic (46), anakuwa mwamuzi wa kati wa …

Gazetini
Featured Kocha Mngqithi Ndiye Aliyesuka Kiko…

Na mwandishi wetu, Gazetini TANGU Nasreddine Nabi alipoondoka mwaka 2023, kibarua cha benchi la ufundi la Yanga kimekuwa kigumu kwa kila kocha aliyeingia klabuni hapo. Kwa ufupi, makocha sita wameingia na kutoka Jangwani tangu Nabi alipoiachia Yanga mafanikio makubwa ya kufika fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afr…

Gazetini
Featured Messi Afunguka Baada ya Argentina K…

MIAMI, Argentina ARGENTINA ya kocha Lionel Scaloni itaingia katika mchezo huo wa fainali dhidi ya Hispania ikiwa bingwa mtetezi kwa taji lake la miaka minne iliyopita nchini Qatar. Vijana hao wa Kusini mwa Amerika wanasaka rekodi ya kuwa timu ya pili kutetea ubingwa wa Kombe la Dunia baada ya Brazil kufanya hivyo mwak…

Gazetini
Featured Mbappe Ampita Messi Kuwa Mfungaji B…

BOSTON, Marekani MSIMU huu wa fainali za Kombe la Dunia umekuwa wa mafanikio makubwa kwa mshambuliaji wa timu ya soka ya Taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe. Si tu Ufaransa yake imetinga hatua ya nusu fainali, bali pia ameshafunga mabao nane kati ya 16 ya timu hiyo. Wakati huo huo, nyota huyo wa Real Madrid ameweka […]

Gazetini
Europe Trump kuhudhuria fainali ya kombe l…

OSLO, Norway SHIRIKISHO la Soka la Norway (NFF) limetangaza nia yake ya kumshitaki Rais Donald Trump kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Norway wanapeleka barua yao kwa FIFA wakilalamikia Rais Trump kuingilia adhabu ya kadi nyekundu ya mshambuliaji wa timu ya soka ya Taifa ya Marekani, Folarin Balogun, wakati …

Gazetini
Featured Pochettino Afurahia Balogun Kuruhus…

BOSTON, Marekani KICHAPO cha mabao 2-1 kutoka kwa Hispania katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Dunia kilihitimisha safari ya ‘kizazi cha dhahabu’ cha timu ya soka ya Taifa ya Ubelgiji kwenye michuano hiyo. Thibaut Courtois, Romelu Lukaku, Kevin de Bruyne na Axel Witsel ndiyo wachezaji pekee waliokuwa wamebaki kw…

Gazetini
Featured Yanga Princess Kukamilisha Usajili …

Na mwandishi wetu, Gazetini MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga SC, wamekamilisha usajili wa winga wa kimataifa kutoka Zambia, Albert Kangwanda, kwa mkataba wa miaka miwili ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya wa mashindano. Kangwanda (27) ambaye amesaini mkataba usiku wa saa tano, Julai 24, 2026 mbele ya Rais wa …

Gazetini
Featured Simba Yashinda Vita Ya Mwalimu, Aza…

Na mwandishi wetu, Gazetini NDANI ya muda wake mfupi ndani ya soka la Tanzania, Steve Barker ‘amesepa na kijiji’, akithibitisha kuwa ni kocha wa daraja la juu kwa namna alivyoibadilisha Simba. Katika nusu msimu aliokaa kwenye benchi tangu alipoajiriwa Desemba 19, 2025, raia huyo wa Afrika Kusini amefanikiwa kwenye mam…

Gazetini
Featured Waliofariki dunia kwa tetemeko Vene…

CARACAS, Venezuela MTOTO wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu ni miongoni mwa waliookolewa katika operesheni inayoendelea baada ya tetemeko la ardhi lililoikumba Venezuela. Taarifa za mtoto huyo aliyefahamika kwa jina la Klieber Moran zimeripotiwa na timu ya uokoaji kutoka Jordan. Kwa mujibu wa timu hiyo, Moran alikut…

Gazetini
Featured Hispania yatwaa kombe la dunia 2026

MIAMI, Marekani HISTORIA inarudisha kilichotokea miaka 16 iliyopita, ambapo timu ya soka ya taifa ya Hispania ilitwaa ubingwa wa Kombe la Dunia ikiwa kwenye ardhi ya Afrika Kusini. Msimu huu, chini ya kocha De la Fuente, mabingwa hao wa EURO 2024 walianza safari yao kwa suluhu (0-0) dhidi ya timu mpya kwenye historia …

Gazetini
Africa Tanzania yaenzi urithi wa nelson ma…

Na mwandishi wetu, Gazetini JULAI 18 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya kumbukizi ya mchango mkubwa alioutoa Nelson Mandela katika ulimwengu wa siasa, hasa kwa mapambano na ushindi wake dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini kwake, Afrika Kusini. Umoja wa Mataifa (UN) uliitangaza Julai 18 kuwa maalumu kwa Mandela, ikizin…

Gazetini
Featured Mastaa 5 wa Kombe la Dunia Waliooa …

MIAMI, Marekani KWA kipindi cha mwezi mmoja wa michuano ya Kombe la Dunia msimu huu wa 2026, Erling Haaland ameongeza wafuasi milioni 29 katika akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram. Kwamba kwa sasa ana wafuasi zaidi ya milioni 70, akitarajiwa kufikisha milioni 322 kufikia mwishoni mwa mwaka 2026. Wakati huo…

Gazetini
Featured Real Madrid Wajiondoa Kwenye Mbio z…

LONDON, Uingereza MAPEMA wiki hii, klabu ya Chelsea ilitumia kitita cha Pauni milioni 117 kuinasa saini ya mshambuliaji wa kimataifa England kutoka Aston Villa, Morgan Rogers. Ukame wa mabao ni moja ya shida zilizoisumbua Chelsea msimu uliopita na Rogers alifunga mara 14 na kutoa ‘asisti’ 12 katika mechi 55 za msimu u…

Gazetini
Featured Aston Villa Yamnasa Johan Manzambi,…

LOS ANGELES, Marekani NI rasmi kwamba supastaa wa Ligi Kuu ya mpira wa Kikapu ya Marekani (NBA), LeBron James, hatakuwa na kikosi cha Los Angeles Lakers msimu ujao wa 2026-27. LeBron ni miongoni mwa nyota wenye heshima kubwa NBA, ikiwa ni pamoja na kutwaa mara nne taji hilo, tuzo nne za Mchezaji Bora wa Mwaka […]

Gazetini
Featured Wilson Aanza Kuwa Tishio Huko Vegas

LOS ANGELES, Marekani WAKATI urefu ukionekana kuwa moja ya vigezo muhimu kwenye mchezo wa mpira wa kikapu, Muggsy Bogues anabaki kuwa mchezaji mfupi zaidi kuwahi kucheza na kuwika NBA (Ligi Kuu ya Kikapu ya Marekani). Akiwa na urefu wa futi 5 na inchi 3 tu, Borgues alitamba NBA kwa miaka 14 tangu aliposajiliwa kwa mar…

Gazetini
Europe Barcelona Iko Tayari Kumuuza Jules …

LONDON, Uingereza MSHAMBULIAJI mpya wa Arsenal, Christos Tzolis, amekabidhiwa jezi namba 17 kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya England (EPL) na michuano mingine. Arsenal imetangaza usajili wa mchezaji huyo baada ya kukamilisha dili la kumng’oa katika kikosi cha Club Brugge ya Ubelgiji. Tzolis mwenye umri wa miaka …

Gazetini
Featured Marcus Rashford Ajiunga na Kambi ya…

MANCHESTER, Uingereza USAJILI wake umekamilika baada ya Manchester United kuipa Chelsea kitita cha Pauni milioni 48. Ni kiungo wa Kibrazil, Andrey Santos. Man United imeachana na usajili wa Pauni milioni 35 wa ‘mido’ wa Atalanta ya Serie A baada ya vipimo kuonesha ana changamoto ya majeraha. Santos (23), ametua Old Tr…

Gazetini
Europe Guardiola atarejesha ufalme wa Ital…

LONDON, Uingereza SHIRIKISHO la Soka la Italia (FIGC) limeanza mazungumzo na kocha aliyeondoka Manchester City, Pep Guardiola, likijaribu kumshawishi kuchukua nafasi ya Gennaro Gattuso aliyeondoka kwenye benchi la ufundi la timu ya taifa. Gattuso aliachia ngazi Aprili, 2026, baada ya Italia kufungwa na Bosnia katika m…

Gazetini
Featured Argentina Yarejea Nyumbani Bila Mes…

BUENOS AIRES, Argentina HIVI unafahamu kuwa marais wa Argentina wamekuwa makini kuhudhuria viwanjani na wengine hubaki nyumbani pindi timu yao ya soka ya Taifa inapocheza mechi muhimu? Ndiyo, kwa utamaduni wa muda mrefu nchini humo, rais anaweza kuipa ‘gundu’ timu ya taifa endapo atakuwa jukwaani. Hii ilianzia wakati …

Gazetini
Featured Aston Villa Yaanza Mazungumzo Kumsa…

LONDON, Uingereza MIONGONI mwa nyota wapya waliotua Chelsea majira haya ya kiangazi ni Geovany Quenda, ambaye amekiri kuwa ni shabiki mkubwa wa Cristiano Ronaldo. Quenda alizaliwa barani Afrika katika nchi ya Guinea-Bissau lakini familia yake ilihamia Ureno akiwa na umri wa miaka saba. Ametua Stamford Bridge akitokea …

Gazetini
Europe Italia Yapambana Kufanya Mapinduzi …

MILAN, Italia ANDREA Pirlo amesema hawezi tena kupewa kibarua cha kuinoa timu ya soka ya Taifa ya Italia. Hiyo imesababishwa na wanasiasa. Iko hivi; Pirlo ni miongoni mwa makocha wanahusishwa na kazi hiyo na hivi karibuni imeelezwa kuwa ndiye anayepewa nafasi kubwa. Hata hivyo, wanasiasa nchini Italia wamesema mkongwe…

Gazetini
Burudani Mbosso, Bonge La Dada Kazi Inaongea!

Na Hassan Mwasha, Gazetini UNAWEZA kufikiria kuhusu shoo nyingi za muziki zilizowahi kufanyika hapa nchini lakini ‘Miaka 30 ya Bongo Fleva’ imekuja na upekee mkubwa. Ni shoo ya Julai 10, 2026, ikiwa na sura tofauti na ubunifu mkubwa ulioleta mvuto wa aina yake kwenye tasnia ya burudani. Kuwakutanisha kwenye jukwaa moj…

Gazetini
Featured Tottenham Yakabiliwa na Nia ya Kums…

LONDON, Uingereza BAADA ya kunusurika kushuka daraja msimu wa 2025-26 wa Ligi Kuu ya England uliomalizika hivi karibuni, Tottenham imeanza maandalizi ya kuja kivingine. Chini ya kocha aliyeajiriwa dakika za mwisho na kuiokoa isishuke daraja, Roberto Derbi, Tottenham iko bize kwenye soko la usajili majira haya ya kiang…

Gazetini
Featured Gateshead FC dhidi ya Newcastle Uni…

LONDON, Uingereza WAKATI huu fainali za Kombe la Dunia zikiendelea, msimu ujao wa Ligi Kuu ya England (EPL 2026-27) nao uko njiani. Kama ilivyo kawaida, msimu hutanguliwa na maandalizi (pre-season), ambapo huwa klabu mbalimbali huwa na ratiba za mechi za kujiweka sawa. ARSENAL Agosti 1, 2026: Girona v Arsenal (Uwanja …

Gazetini
Europe Wachambuzi wa soka wanaolipwa zaidi…

LONDON, Uingereza WAKATI Alex Ferguson akiwa ndiye kocha aliyehudumu kwa muda mrefu mrefu Ligi Kuu ya England (EPL), Sam Allardyce naye ana historia yake kwenye michuano hiyo. Iko hivi; Ferguson aliajiriwa na Manchester United mwaka 1986 hadi alipojiuzulu mwaka 2023 akiwa amefanya kazi siku 9,704. Hata hivyo, Allardyc…

Gazetini
Asia ‘Mende’ wa India wanavyompasua kich…

NEW DELHI, India MAANDAMANO makubwa ya vijana wa Gen-Z nchini India yamemlazimisha Waziri wa Elimu, Dharmendra Pradhan, kuachia ngazi. Hatua ya vijana, wengi wao wakiwa ni wanafunzi, kuingia barabarani ilikuja baada ya Wizara ya Elimu kufuta mitihani kwa kigezo cha maswali kuvuja. Katika ujumbe wao kwa Serikali, vijan…

Gazetini
Featured Hezbollah Yamshambulia Rais wa Leba…

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Lebanon, Joseph Aoun, alikutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake nchini Marekani, Donald Trump, mapema wiki hii. Ziara ya Rais Aoun ilikuja wakati huu Lebanon ikiishinikiza Israel kuondosha vikosi vyake vya kijeshi Kusini mwa nchi hiyo. Pia, ni ziara ilikuja katikati ya vita kati …

Gazetini
Europe Madrid, PSG, Liver kazi ipo kwa Dio…

MADRID, Hispania KLABU ya Real Madrid imewasilisha ofa yake ya Pauni milioni 85 kwa RB Leipzig wakiitaka saini ya winga wa klabu hiyo ya Bundesliga, Yan Diomande. Hatua hiyo ya Madrid imekuja wakati tayari RB Leipzig ikiwa imekataa ofa kama hiyo kutoka kwa Liverpool. Kwa upande mwingine, PSG haijapeleka ofa rasmi laki…

Gazetini
Europe Rubio azindua kampeni ya kupinga Ma…

Na mwandishi wetu, Gazetini HATIMAYE Karim Khan ameondoshwa katika kiti cha Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Kashfa ya unyanyasaji wa kingono ndiyo iliyomng’oa kwenye kiti hicho. Kwamba Khan alimnyanyasa kingono, ikiwamo kumshika bila ridhaa yake mfanyakazi wa kike, ambaye alikuwa ms…

Gazetini
Featured Joshua Arejea Ulingoni ‘Kumvaa’ Pre…

RIYADH, Saudi Arabia BONDIA wa ngumi za uzito wa juu, Anthony Joshua, amempiga kwa KO ya raundi ya pili Kristian Prenga, pambano lililopigwa mjini Jeddah, Saudi Arabia, usiku wa jana Julai 25, 2026. Hayo ni maandalizi ya Joshua kumvaa mpinzani wake mkubwa, Tyson Fury, katika pambano linalotarajiwa kupigwa kabla ya mwa…

Gazetini
Europe Chelsea yashusha kiungo, asaini min…

LONDON, Uingereza KLABU ya Arsenal imekamilisha usajili wa kiungo wa Cardiff City, Axel Donczew, ambaye ni ‘bwana mdogo’ mwenye umri wa miaka 16. Kwa mujibu wa ripoti mpya kutoka Italia, Donczew amefanya vipimo na dili lake litatangazwa siku chache zijazo. Aliyefichua uwepo wa dili hilo ni mwandishi wa habari za miche…

Gazetini
Featured Barker Aizidi Kete Yanga Kwa Makgal…

Na mwandishi wetu, Gazetini BAO la kisigino! Ndivyo unavyoweza kuita baada ya Simba kumtambulisha winga wa kimataifa wa Afrika Kusini, Keletso Makgalwa. Nyota huyo aliyecheza Sekhukhune United msimu uliopita, alikuwa kwenye rada za mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga, kabla ya Simba kukatiza mbele na kupita naye. Keletso…

Gazetini
Featured Mafunzo kuogelea kutolewa bure kwa …

Na mwandishi wetu, Gazetini WADAU wa mchezo wa uogeleaji Tanzania wanatarajiwa kunufaika na mafunzo ya kiwango cha kimataifa kupitia programu ya wiki tatu iliyolenga kukuza vipaji vya waogeleaji vijana, kuimarisha uwezo wa makocha wa wazawa, pamoja na kuwaelimisha wazazi kuhusu namna bora ya kuwaunga mkono wanamichezo…

Gazetini
Makala kuhusu matukio yaliyopita

Habari nyingine

Arsenal, Vinicius Jr dili lao liko hivi
Europe

Arsenal, Vinicius Jr dili lao liko hivi

Gazetini· Jana
YouTube inavyolibeba soko la tamthilia Bongo
Burudani

YouTube inavyolibeba soko la tamthilia Bongo

Gazetini· Jana
Mwamba wa ‘unga’ aliyeisumbua Marekani kwa miaka 40
Featured

Mwamba wa ‘unga’ aliyeisumbua Marekani kwa miaka 40

Gazetini· Jana
Mashabiki Yanga, Simba wamejiandaa na VAR?
Featured

Mashabiki Yanga, Simba wamejiandaa na VAR?

Na Hassan Mwasha MSIMU mpya wa Ligi Kuu Bara utaanzia Agosti 14, 2026. Ni msimu wa 2026-27, ambao utakuja na sura mpya kabisa katika historia ya soka la Tanzani

Gazetini· Jana
Mlima wa Iran unaoipasua kichwa Marekani
Featured

Mlima wa Iran unaoipasua kichwa Marekani

Gazetini· Jana
New Bell: Gereza lenye lebo ya muziki kwa ajili ya wafungwa
Africa

New Bell: Gereza lenye lebo ya muziki kwa ajili ya wafungwa

Gazetini· Jana
Houthi wanavyoongeza ugumu Mashariki ya Kati
Featured

Houthi wanavyoongeza ugumu Mashariki ya Kati

Gazetini· Jana
Marekani, Iran zatulia; bei ya mafuta yashuka
Featured

Marekani, Iran zatulia; bei ya mafuta yashuka

Gazetini· Jana
Rais Ukraine awasili Uingereza
Europe

Rais Ukraine awasili Uingereza

Gazetini· Jana
Wanasiasa wamnyima kibarua kocha Italia
Europe

Wanasiasa wamnyima kibarua kocha Italia

Gazetini· Jana
RaceBetter, Mont International School kutoa mafunzo ya kuogelea bure Dar
Featured

RaceBetter, Mont International School kutoa mafunzo ya kuogelea bure Dar

Na mwandishi wetu, Gazetini WADAU wa mchezo wa uogeleaji Tanzania wanatarajiwa kunufaika na mafunzo ya kiwango cha kimataifa kupitia programu ya wiki tatu iliyo

Gazetini· Jana
Dhahabu ya Sh bilioni 1.2 yakamatwa Dar, Mavunde atoa onyo
Featured

Dhahabu ya Sh bilioni 1.2 yakamatwa Dar, Mavunde atoa onyo

Gazetini· Jana
Rais wa Senegal azindua chama chake
Featured

Rais wa Senegal azindua chama chake

Gazetini· Siku 2 zilizopita
Brazil yawapiga ‘stop’ viongozi wa Marekani
Featured

Brazil yawapiga ‘stop’ viongozi wa Marekani

Gazetini· Siku 2 zilizopita
Meli ya mizigo yazama, watu 23 hawajulikani walipo
Asia

Meli ya mizigo yazama, watu 23 hawajulikani walipo

Gazetini· Siku 2 zilizopita
Waisrael washutumiwa kuchoma misikiti ya Wapalestina
Featured

Waisrael washutumiwa kuchoma misikiti ya Wapalestina

Gazetini· Siku 2 zilizopita
IWPG: Tusikubali vita kuwa jambo la kawaida
Featured

IWPG: Tusikubali vita kuwa jambo la kawaida

Gazetini· Siku 2 zilizopita
Hao ni wachambuzi au ‘wachafuzi’ wa Bongo Fleva?
Burudani

Hao ni wachambuzi au ‘wachafuzi’ wa Bongo Fleva?

Na Hassan Mwasha, Gazetini KICHEFUCHEFU! Ndicho unachoweza kuhisi pindi tu unapoingia kwenye mitandao ya kijamii na kukutana na hao wanaojiita ‘wachambuzi’ wa m

Gazetini· Siku 2 zilizopita
Karim Khan: Kuigusa Israel kumemfukuzisha kazi ICC?
Europe

Karim Khan: Kuigusa Israel kumemfukuzisha kazi ICC?

Gazetini· Siku 2 zilizopita
Maeneo wanayokimbilia wahamiaji nchini Marekani
Featured

Maeneo wanayokimbilia wahamiaji nchini Marekani

Gazetini· Siku 2 zilizopita
POLITICS Jun 25, 2026 7 7 4

Keir Starmer's Resignation as UK Prime Minister

Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na uongozi wa chama tawala cha Labour.

Maelezo ya Ziada
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na uongozi wa chama tawala cha Labour.
swahilitimes.co.tz ↗
Starmer confirmed that he would step aside and oversee a smooth transfer of power, telling the country that Britain needed fresh leadership to restore stability at a moment of rising political strain inside the Labour Party.
dailynews.co.tz ↗
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ametangaza kujiuzulu wadhifa wake na uongozi wa Chama cha Labour.
mwananchi.co.tz ↗
Kuwasili kwa mwanasiasa huyo mahiri, ambaye hadi wiki iliyopita alikuwa Meya wa Greater Manchester, kunajiri saa chache baada ya Keir Starmer kutangaza kujiuzulu rasmi wadhifa wa Waziri Mkuu kutokana na shinikizo kubwa la kisiasa ndani ya Chama cha Labour.
mwananchi.co.tz ↗
Kujiuzulu kwa Starmer kunahitimisha safari ya kisiasa iliyokuwa imeanza kwa matumaini makubwa baada ya ushindi wa kihistoria wa Labour katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024.
mwananchi.co.tz ↗
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu wadhifa huo, akisema anaheshimu mawazo ya chama chake cha Labour, baada ya mpinzani wake kuibuka kidedea Ijumaa iliyopita.
ippmedia.co.tz ↗
Starmer anang’oka uwaziri mkuu, zinawadia zama mpya za siasa UK
mwananchi.co.tz ↗
ECONOMY Apr 01, 2026 12 8 7

Tanzania's Vision 2050: Transforming Economy to 1 Trillion USD

Vision 2050, which seeks to transform the country into a high-income, industrialled economy valued at 1 trillion US dollars.

Maelezo ya Ziada
Vision 2050, which seeks to transform the country into a high-income, industrialled economy valued at 1 trillion US dollars.
dailynews.co.tz ↗
Utekelezaji wa DIRA 2050, unaokadiriwa kugharimu takribani dola za Marekani trilioni 1, utategemea kwa kiasi kikubwa uwekezaji wa sekta binafsi unaotarajiwa kuchangia zaidi ya asilimia 70 ya gharama za utekelezaji.
mzalendo.co.tz ↗
Tanzania is strengthening its engagement with the African Trade and Investment Development Insurance (ATIDI) to support private sector-led growth, as the country targets a 70% private sector contribution to the economy under its Development Vision 2050.
tanzaniainvest.com ↗
Her message comes at a critical time for Tanzania, whose population is projected to grow from about 67 million today to over 120 million by 2050.
thecitizen.co.tz ↗
The Tanzanian government has stated that the recommendations contained in the Economic Freedom Audit Report will drive policy reforms, strengthen economic freedom, and significantly contribute to Tanzania’s journey towards a strong and competitive economy by 2050.
dailynews.co.tz ↗
Best goal: 'Generate TZS 70 million in revenue, with 8 new clients in Q1–Q2 via content marketing.'
tanzlite.com ↗
Lead generation: 90 qualified inquiries per year.
mwananchi.co.tz ↗
Retention: 70% repeat business.
bongo5.com ↗
Target ARPU of TZS 5 million.
CAC under TZS 300k.
Dk Mwigulu amewataka wakuu wa mikoa kusimamia kikamilifu maandalizi na mapokezi ya wanafunzi wa elimu msingi ya lazima ya miaka 10, watakaojiunga na kidato cha kwanza mwaka 2028 kwa kukamilisha miundombinu na huduma zote muhimu.
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba ameyabainisha hayo leo Bungeni Dodoma wakati akiwasilisha hotuba ya mapito na mwelekeo wa kazi za Serikali, Makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2026/27 ambapo amesema kuwa utekelezaji wa Dira 2050 unakusudia kuifanya Tanzania kuwa na uchumi wa thamani ya dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050, huku wastani wa pato la mtu mmoja mmoja ukitarajiwa kufikia dola 7,000 kwa mwaka.
ECONOMY Apr 01, 2026 19 10 7

Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

Maelezo ya Ziada
In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.
thechanzo.com ↗
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.
mwananchi.co.tz ↗
Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.
thecitizen.co.tz ↗
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.
globalpublishers.co.tz ↗
Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.
mwananchi.co.tz ↗
The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.
dailynews.co.tz ↗
Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani
globalpublishers.co.tz ↗
Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.
mzalendo.co.tz ↗
Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.
mzalendo.co.tz ↗
Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.
bongo5.com ↗
Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.
Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”
Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.
The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.
Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.
Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.
TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI
Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8​ kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.
Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.
NATIONAL Mar 28, 2026 28 15 7

William Lukuvi's Death Announced by President Samia Suluhu Hassan on March 25, 2026

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

Maelezo ya Ziada
Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.
mwananchi.co.tz ↗
William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo
dailynews.co.tz ↗
PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.
habarileo.co.tz ↗
Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.
mwananchi.co.tz ↗
Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.
thecitizen.co.tz ↗
Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.
dailynews.co.tz ↗
Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.
habarileo.co.tz ↗
Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.
habarileo.co.tz ↗
Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.
globalpublishers.co.tz ↗
According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.
globalpublishers.co.tz ↗
Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.
mzalendo.co.tz ↗
Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.
swahilitimes.co.tz ↗
Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.
mwananchi.co.tz ↗
All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.
dailynews.co.tz ↗
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.
dailynews.co.tz ↗
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.
Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.
WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.
Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.
Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.
William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.
Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.
PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.
President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.
DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.