Gundua

84 habari
Nukta Publish

Habari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta

Unaona habari zinazohusishwa na Full Shangwe Blog chini (pamoja na mengine ya Gundua).

A special event will be held on September 23, 2026, to kick off the GPE fundraising campaign during the UNGA.
Elimu Siku 106 zijazo

A special event will be held on September 23, 2026, to kick off the GPE fundraising campaign during the UNGA.

Full Shangwe Blog
Kutoka 23 Sep 2026
Mashindano ya UMITASHUMTA 2026 yatakayoanzishwa rasmi Juni 9, 2026, yakikutanisha wanamichezo kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar.
Mchanganyiko Leo

Mashindano ya UMITASHUMTA 2026 yatakayoanzishwa rasmi Juni 9, 2026, yakikutanisha wanamichezo kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar.

Full Shangwe Blog
Kutoka 9 Jun 2026
Mkutano Mkuu wa 114 wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) unashirikisha wawakilishi wa Serikali, Waajiri, na Wafanyakazi kutoka nchi 187.
Utawala wa Umma na Ulinzi

Mkutano Mkuu wa 114 wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) unashirikisha wawakilishi wa Serikali, Waajiri, na Wafanyakazi kutoka nchi 187.

Full Shangwe Blog
Kutoka 1 Jun 2026 · Hadi 12 Jun 2026
Makala kuhusu matukio yaliyopita

Habari nyingine

PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 08, 2026
Magazeti

PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 08, 2026

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
WIZARA YA MADINI YASHIRIKI ZOEZI LA UFUATILIAJI UTEKELEZAJI WA MIONGOZO YA UFUATILIAJI NA TATHMINI
Mchanganyiko

WIZARA YA MADINI YASHIRIKI ZOEZI LA UFUATILIAJI UTEKELEZAJI WA MIONGOZO YA UFUATILIAJI NA TATHMINI

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
MASHINDANO YA UMISSETA MKOA WA ARUSHA YAANZA RASMI
Mchanganyiko

MASHINDANO YA UMISSETA MKOA WA ARUSHA YAANZA RASMI

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
POLISI PWANI YACHUNGUZA UTATA KUBADILISHWA KICHANGA HOSPITAL BAGAMOYO
Mchanganyiko

POLISI PWANI YACHUNGUZA UTATA KUBADILISHWA KICHANGA HOSPITAL BAGAMOYO

Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani limeanza uchunguzi wa kina kufuatia malalamiko ya mwanamke mmoja mkazi wa Gongo la Mboto,…

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
AJALI  WAMI YAUA WATU WAWILI
Mchanganyiko

AJALI WAMI YAUA WATU WAWILI

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
MADINI, NISHATI NA AFYA VYAVUTIA KAMPUNI KUBWA ZA URUSI KUWEKEZA TANZANIA
Biashara

MADINI, NISHATI NA AFYA VYAVUTIA KAMPUNI KUBWA ZA URUSI KUWEKEZA TANZANIA

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
RAIS SAMIA AIPELEKA TANZANIA KATIKA RAMANI YA DIPLOMASIA YA DUNIA
Siasa

RAIS SAMIA AIPELEKA TANZANIA KATIKA RAMANI YA DIPLOMASIA YA DUNIA

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
PROFESA MKUMBO: ZIARA YA RAIS SAMIA URUSI IMEIBUA FURSA MPYA KATIKA SEKTA TISA
Uncategorized

PROFESA MKUMBO: ZIARA YA RAIS SAMIA URUSI IMEIBUA FURSA MPYA KATIKA SEKTA TISA

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
MASAILAND SAFARI LODGE ARUSHA YATUMIA MAONESHO YA  KARIBU KILIFAIR KUNADI VIVUTIO VYA UTALII.
Mchanganyiko

MASAILAND SAFARI LODGE ARUSHA YATUMIA MAONESHO YA  KARIBU KILIFAIR KUNADI VIVUTIO VYA UTALII.

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
DKT. MWIGULU AMALIZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI IRINGA, ASISITIZA HAKI NA UWAJIBIKAJI
Mchanganyiko

DKT. MWIGULU AMALIZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI IRINGA, ASISITIZA HAKI NA UWAJIBIKAJI

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
VETA FURAIKA NA WIZARA YA ELIMU WAUNGANA KUWAWEZESHA VIJANA WENYE MAHITAJI MAALUM
Mchanganyiko

VETA FURAIKA NA WIZARA YA ELIMU WAUNGANA KUWAWEZESHA VIJANA WENYE MAHITAJI MAALUM

Na Sophia Kingimali. Chuo cha Ufundi cha Furaika Education College kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kimezindua mpango maalum wa kutoa…

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
CSP na VI AGROFORESTRY WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA KWA KUPANDA MITI 1,200
Mchanganyiko

CSP na VI AGROFORESTRY WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA KWA KUPANDA MITI 1,200

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
HOUSE OF CANVAS LTD YAPONGEZA MAONESHO YA KARIBU- KILIFAIR ,YAJA NA UBUNIFU  UNAOVUTIA MACHO YA WENGI
Mchanganyiko

HOUSE OF CANVAS LTD YAPONGEZA MAONESHO YA KARIBU- KILIFAIR ,YAJA NA UBUNIFU  UNAOVUTIA MACHO YA WENGI

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
WATAALAMU WAONYA MATUMIZI HOLELA YA KEMIKALI ZA KILIMO
Mchanganyiko

WATAALAMU WAONYA MATUMIZI HOLELA YA KEMIKALI ZA KILIMO

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
RAIS DKT. MWINYI: TEKNOLOJIA YA KIDIJITALI NI UFUNGUO WA KUHARAKISHA HAKI KWA WANANCHI
Mchanganyiko

RAIS DKT. MWINYI: TEKNOLOJIA YA KIDIJITALI NI UFUNGUO WA KUHARAKISHA HAKI KWA WANANCHI

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
TCPM YAANZA RASMI USAMBAZAJI WA NGUZO ZA ZEGE KWA WATEJA
Mchanganyiko

TCPM YAANZA RASMI USAMBAZAJI WA NGUZO ZA ZEGE KWA WATEJA

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
NILIVYOMNASA MWIZI BAADA YA KULALA GHAFLA KATIKATI YA JARIBIO LÀ WIZI
Mchanganyiko

NILIVYOMNASA MWIZI BAADA YA KULALA GHAFLA KATIKATI YA JARIBIO LÀ WIZI

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
NILIVYOREJESHA BAHATI YANGU BAADA YA MIAKA YA KUISHI KILA MPANGO WANGU UNAHARIBIKA DAKIKA ZA MWISHO
Mchanganyiko

NILIVYOREJESHA BAHATI YANGU BAADA YA MIAKA YA KUISHI KILA MPANGO WANGU UNAHARIBIKA DAKIKA ZA MWISHO

Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilianza kuamini kwamba bahati ilikuwa imenikimbia. Haikuwa kwamba sikujitahidi. Kinyume chake, nilikuwa nafanya kila

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
HOTUBA YA RAIS SAMIA URUSI NI USHINDI WA KIUCHUMI, KIJAMII NA KIDIPLOMASIA!
Siasa

HOTUBA YA RAIS SAMIA URUSI NI USHINDI WA KIUCHUMI, KIJAMII NA KIDIPLOMASIA!

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
RIDHIWANI: NIDHAMU, UZALENDO VIWE MSINGI WA MAFANIKIO YA WANAFUNZI WA SHERIA
Mchanganyiko

RIDHIWANI: NIDHAMU, UZALENDO VIWE MSINGI WA MAFANIKIO YA WANAFUNZI WA SHERIA

Full Shangwe Blog· John Bukuku· Jana
ECONOMY Apr 01, 2026 12 8

Tanzania's Vision 2050: Transforming Economy to 1 Trillion USD

Vision 2050, which seeks to transform the country into a high-income, industrialled economy valued at 1 trillion US dollars.

Maelezo ya Ziada
Vision 2050, which seeks to transform the country into a high-income, industrialled economy valued at 1 trillion US dollars.
dailynews.co.tz ↗
Utekelezaji wa DIRA 2050, unaokadiriwa kugharimu takribani dola za Marekani trilioni 1, utategemea kwa kiasi kikubwa uwekezaji wa sekta binafsi unaotarajiwa kuchangia zaidi ya asilimia 70 ya gharama za utekelezaji.
mzalendo.co.tz ↗
Tanzania is strengthening its engagement with the African Trade and Investment Development Insurance (ATIDI) to support private sector-led growth, as the country targets a 70% private sector contribution to the economy under its Development Vision 2050.
tanzaniainvest.com ↗
Her message comes at a critical time for Tanzania, whose population is projected to grow from about 67 million today to over 120 million by 2050.
thecitizen.co.tz ↗
The Tanzanian government has stated that the recommendations contained in the Economic Freedom Audit Report will drive policy reforms, strengthen economic freedom, and significantly contribute to Tanzania’s journey towards a strong and competitive economy by 2050.
dailynews.co.tz ↗
Best goal: 'Generate TZS 70 million in revenue, with 8 new clients in Q1–Q2 via content marketing.'
tanzlite.com ↗
Lead generation: 90 qualified inquiries per year.
mwananchi.co.tz ↗
Retention: 70% repeat business.
bongo5.com ↗
Target ARPU of TZS 5 million.
CAC under TZS 300k.
Dk Mwigulu amewataka wakuu wa mikoa kusimamia kikamilifu maandalizi na mapokezi ya wanafunzi wa elimu msingi ya lazima ya miaka 10, watakaojiunga na kidato cha kwanza mwaka 2028 kwa kukamilisha miundombinu na huduma zote muhimu.
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba ameyabainisha hayo leo Bungeni Dodoma wakati akiwasilisha hotuba ya mapito na mwelekeo wa kazi za Serikali, Makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2026/27 ambapo amesema kuwa utekelezaji wa Dira 2050 unakusudia kuifanya Tanzania kuwa na uchumi wa thamani ya dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050, huku wastani wa pato la mtu mmoja mmoja ukitarajiwa kufikia dola 7,000 kwa mwaka.
ECONOMY Apr 01, 2026 19 10

Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

Maelezo ya Ziada
In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.
thechanzo.com ↗
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.
mwananchi.co.tz ↗
Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.
thecitizen.co.tz ↗
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.
globalpublishers.co.tz ↗
Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.
mwananchi.co.tz ↗
The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.
dailynews.co.tz ↗
Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani
globalpublishers.co.tz ↗
Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.
mzalendo.co.tz ↗
Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.
mzalendo.co.tz ↗
Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.
bongo5.com ↗
Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.
Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”
Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.
The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.
Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.
Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.
TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI
Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8​ kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.
Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.
BUSINESS Apr 01, 2026 10 7

Full Implementation of 284 Tax Reform Recommendations in Tanzania

the government’s pledge to fully implement 284 tax reform recommendations initiated under President Samia Suluhu Hassan recently.

Maelezo ya Ziada
the government’s pledge to fully implement 284 tax reform recommendations initiated under President Samia Suluhu Hassan recently.
thecitizen.co.tz ↗
At the centre of the discussions between the Tanzania Revenue Authority (TRA) and the Chinese investors yesterday, was the government’s pledge to fully implement 284 tax reform recommendations initiated under President Samia Suluhu Hassan recently.
tanzaniainvest.com ↗
The Presidential Commission has officially submitted a comprehensive report detailing 284 Tanzania tax system reforms to President Samia Suluhu Hassan.
thechanzo.com ↗
The Commissioner General outlined the government’s commitment to implementing 284 recommendations proposed by a presidential commission on tax reform.
thecitizen.co.tz ↗
Recent policy measures, including enforcing the use of the Tanzanian shilling in domestic transactions and implementing tax reforms, are helping to stabilise the economy and improve fiscal performance.
thecitizen.co.tz ↗
Previously, we received two reports at a time, but this year I decided to include the PPRA report alongside CAG and PCCB.
businesstimes.co.tz ↗
She praised PPRA’s NEST system for enhancing procurement transparency, urging continued compliance and the 'name and shame' approach to improve performance.
dailynews.co.tz ↗
If tax rates rise, business owners may have to reduce expenses, increase prices, or delay investments in growth.
Heavy tax burdens can slow down reinvestment, making it harder for small businesses to scale.
12.28tri/- of the collected funds was channelled into development projects, including the Standard Gauge Railway (SGR), Msalato International Airport in Dodoma, as well as the construction and rehabilitation of health facilities and schools, water projects, energy infrastructure, transport and logistics systems, and irrigation schemes
NATIONAL Mar 28, 2026 28 15

William Lukuvi's Death Announced by President Samia Suluhu Hassan on March 25, 2026

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

Maelezo ya Ziada
Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.
mwananchi.co.tz ↗
William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo
dailynews.co.tz ↗
PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.
habarileo.co.tz ↗
Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.
mwananchi.co.tz ↗
Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.
thecitizen.co.tz ↗
Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.
dailynews.co.tz ↗
Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.
habarileo.co.tz ↗
Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.
habarileo.co.tz ↗
Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.
globalpublishers.co.tz ↗
According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.
globalpublishers.co.tz ↗
Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.
mzalendo.co.tz ↗
Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.
swahilitimes.co.tz ↗
Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.
mwananchi.co.tz ↗
All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.
dailynews.co.tz ↗
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.
dailynews.co.tz ↗
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.
Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.
WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.
Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.
Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.
William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.
Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.
PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.
President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.
DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.