Gundua

327 habari
Nukta Publish

Habari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta

Unaona habari zinazohusishwa na Tanzania Judiciary chini (pamoja na mengine ya Gundua).

Utawala wa Umma na Ulinzi Suala jumuishi kwa watu wenye ulema…

Na. INNOCENT KANSHA & JAMES BUSANYA - Mahakama Watumishi wa Mahakama ya Tanzania Makao Makuu jijini Dodoma leo tarehe Mosi Mei, 2026 wameungana na wafanyakazi wa Taasisi mbalimbali za Serikali na Binafsi kuadhimisha Siku ya wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) katika Kiwanja cha michezo cha Jamhuri jijini Dodoma. Maadhimish…

Tanzania Judiciary
Spotlight Jaji mfawidhi songwe azindua mahaka…

Na MUKSINI NAKUVAMBA – Mahakama, Mbeya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Mbeya, Mhe. Fahamu Mtulya amekamilisha ziara ya siku 14 ya kukagua na utambuzi wa Mahakama za Wilaya na Mwanzo kwa lengo la kutathmini utendaji kazi, kubaini mafanikio, changamoto katika utoaji wa huduma za haki pamoja na kuangalia …

Tanzania Judiciary
Spotlight Jeshi la magereza lashiriki maadhim…

Na. SHARIFU MOKIWA – Mahakama, Sumbawanga Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Sumbawanga Mhe. Frederick Kapela Manyanda amefanya ziara ya kutembelea Gereza la Mahabusu Sumbawanga na Gereza la Mollo la Kilimo kwa ajili ya kusikiliza changamoto mbalimbali za wafungwa na Mahabusu wa magereza hayo,…

Tanzania Judiciary
Spotlight TAKUKURU Yawafikisha Mahakamani Wat…

Na AIDAN ROBERT, Mahakama-Kigoma Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo Kigoma imefanya kikao maalum cha maandalizi (pre-session) kilichoongozwa na Jaji wa Kanda hiyo, Mhe. John Francis Nkwabi kwa lengo la kuweka mikakati madhubuti ya kumaliza mashauri nane ya mauaji yaliyopangwa kusikilizwa Wilayani Kasulu mkoani hum…

Tanzania Judiciary
Spotlight Mshikamano kitaifa wapewa kipaumbel…

· Awataka pia wazingatie matakwa ya Kifungu cha 134 cha Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai na Kanuni za Jaji Mkuu· Asisitiza Polisi kutoa dhamana kwa watuhumiwa kwa mujibu wa sheria· Amtaka kila mdau kusimama ipasavyo katika eneo lake kuboresha Haki Jinai Na MARY GWERA, Mahakama-

Tanzania Judiciary
Spotlight Rais samia amuapisha jingu,asisitiz…

Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju, leo tarehe 15 Julai, 2026 amepokea ugeni wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Abdallah Shekalaghe, aliyefika ofisini kwake Makao Makuu ya Mahakama jijini Dodoma kwa ajili ya kujitambulisha.Dkt. Shekalaghe amesema kuwa lengo la kukutan…

Tanzania Judiciary
Sheria na Mahakama Jaji mfawidhi mpya dodoma atambulis…

Na ARAPHA RUSHEKE -Mahakama, Dodoma Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Mustapher Mohamed Siyani, jana tarehe 10 Agosti, 2026, alifanya ziara katika jengo la zamani la Mahakama Kuu Dodoma, linalotarajiwa kutumika kwa ajili ya Mahakama inayoshughulikia masuala ya familia. Akiwa ameambatana na Viongozi …

Tanzania Judiciary
Spotlight Jaji mkuu amuapisha dkt. jingu kuwa…

Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju leo tarehe 26 Juni, 2026 amemuapisha Dkt. John Antony Jingu, Mtendaji Mkuu wa Mahakama kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama. Dkt. Jingu anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Mtangulizi wake Mtendaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama, Prof. Elisante Ole Gabri…

Tanzania Judiciary
Afya na Huduma za Jamii Jaji mtulya ateta na wadau wa mahak…

Na MUKSINI NAKUVAMBA – Mahakama, Mbeya Majaji, Naibu Wasajili na Mahakimu wa Mahakama Masjala Ndogo ya Mbeya wametakiwa kutambua, kudhibiti na kukabiliana na msongo wa mawazo kwa wakati, wakizingatia kuwa afya njema ya akili ni msingi muhimu wa kufanya maamuzi yenye umakini, weledi na ya haki katika utekelezaji wa maj…

Tanzania Judiciary
Spotlight Rais samia afanya uteuzi wa viongoz…

RAIS SAMIA AMUAPISHA DKT. JINGU; ASISITIZA NIDHAMU, MAADILI KATIKA UTOAJI HAKI

Tanzania Judiciary
Spotlight Makamu wa rais amwakilisha rais sam…

Matukio katika picha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) AICC- Arusha, Tarehe 13 Julai, 2026. Mkutano huo umehudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanz…

Tanzania Judiciary
Utawala wa Umma na Ulinzi ‘usalama na afya mahali pa kazi; ms…

Na MUKSINI NAKUVAMBA – Mahakama, Mbeya Mahakama ya Rufani ya Tanzania hivi karibuni imefanya kikao cha tathmini ya utekelezaji wa shughuli za usikilizaji wa mashauri ya rufaa za madai na jinai katika Masjala Ndogo ya Mbeya, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuhitimisha rasmi kikao cha Mahakama hiyo kilichoanza tarehe 3…

Tanzania Judiciary
Spotlight Rabia aridhishwa utekelezaji ilani …

Na. ELIUD KIWANGA – Mahakama, Songwe Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Songwe, hivi karibuni ilifanya kikao cha kusukuma Mashauri ya Jinai, kikilenga kutathimni na kuimarisha usimamizi na ufanisi wa utoaji wa haki katika Masjala ya Songwe. Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi So…

Tanzania Judiciary
Sheria na Mahakama Serikali yatenga bilioni 1 ukarabat…

Aahidi kudumisha ushirikiano na Mahakama mkoani humoNa AIDAN ROBERT, Mahakama-Kigoma Mwanasheria wa Serikali Mfawidhi wa Mkoa wa Kigoma, Bw. Said Seni amefanya ziara ya heshima ya kumtembelea Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo Kigoma, Mhe. Augustine Karichuba Rwizile lengo likiwa ni kujitambulisha…

Tanzania Judiciary
Spotlight Homera ataja sababu kutotekelezwa m…

Adumu katika Utumishi wa Umma kwa miaka 42 Na ABDALLAH SALUM, Mahakama-Njombe Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Njombe imefanya hafla fupi ya kumuaga aliyekuwa Mtumishi wa Mahakama hiyo, wake, Bi. Grace Mtemela, aliyestaafu utumishi wa umma.Hafla ya kumuaga Mtumishi huyo aliyekuwa akihudumu katika Kada ya Msa…

Tanzania Judiciary
Utawala wa Umma na Ulinzi Kesi dhidi ya Baba Levo yaunguruma …

Na ABDALLAH SALUM, Mahakama-Njombe Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Njombe, Mhe, Victoria Nongwa amewataka Mahakimu wa Mahakama za Wilaya pamoja na za Mwanzo kutokukaa na mashauri Mahakamani kwa muda Mrefu. Mhe. Nongwa aliyasema hayo akiwa kwenye ziara ya kikazi aliyoianza tarehe 28 Aprili ,2…

Tanzania Judiciary
Spotlight Dkt. Josephine Kimaro Aapishwa Kuwa…

Na HALIMA MNETE, Mahakama-Dodoma Kaimu Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Amir Mruma ametoa rai kwa kila taasisi inayohusika katika mnyororo wa haki kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Katiba, sheria na maadili ya utumishi wa umma. Mhe. Mruma ametoa rai hiyo leo tarehe 17 Septemba, 2026 alipokuwa akim…

Tanzania Judiciary
Spotlight Tanzania yashiriki mkutano wa 48 wa…

Na MUKSINI NAKUVAMBA – Mahakama, Mbeya Watumishi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Mbeya, wamefanya ziara ya kitalii katika Hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha, ikiwa ni sehemu ya kuwapa fursa ya kupumzika, kujifunza, kutambua na kuthamini urithi wa asili na utamaduni wa Tanzania. Ziara hiyo ya kitalii kat…

Tanzania Judiciary
Utawala wa Umma na Ulinzi Rais Samia Afanya Mazungumzo na Bal…

Apokea Nyenzo za Utekelezaji Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kwa niaba ya Jaji MkuuMtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Dkt. John Antony Jingu leo tarehe 03 Agosti, 2026 ameungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk…

Tanzania Judiciary
Uchumi Tanzania yang’ara calc: bi. rehema …

Na EUNICE LUGIANA, Mahakama-Dar es Salaam Haki miliki imekuwa nguzo ya msingi katika kukuza uchumi, maendeleo ya teknolojia, uvumbuzi, biashara na msingi wa maendeleo ya viwanda katika nchi. Hayo yamebainishwa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Biashara, Mhe. Cyprian Mkeha tarehe 12 Mei, 2026 kw…

Tanzania Judiciary
Spotlight Chatanda ampa kongole mbunge viti m…

Zaibuka kwa sare ya goli mbili kwa mbiliMahakama Sports Kigoma azindua Jezi mpyaNa AIDAN ROBERT, Mahakama-Kigoma Kapteni wa Timu ya Mahakama Sports Kigoma, Bw. Omary Magege ameongoza Kikosi cha Mpira wa Miguu kilichochuana vikali na Timu ya Redio Joy ya Mkoani humo katika Mechi ya kirafiki baina ya timu hizo iliyoleng…

Tanzania Judiciary
Spotlight Wanafunzi wa mnma wabuni teknolojia…

Na DOTTO NKAJA-Mahakama, Geita Katika kuendelea kuimarisha ufanisi wa utendaji kazi na kuboresha utoaji wa haki nchini, watumishi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo Manyara, wamefanya ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Geita. Ziara hiyo iliyofanyika Septemba 7 na 8, 202…

Tanzania Judiciary
Spotlight Serikali yafichua mkakati mpya wa k…

· Asema Mahakama imetunga Kanuni kuruhusu matumizi ya Ushahidi wa kieletroniki katika Mahakama za Mwanzo· Ahimiza matumizi ya Usuluhishi wa migogoro kwa kufuata mila na desturi za Kitanzania· Awataka Mawakili wa Serikali na wa Kujitegemea kujiandaa vema kabla ya kuja Mahakamani· &

Tanzania Judiciary
Spotlight Mtendaji mkuu wa mahakama atembelea…

Na MWANDISHI WETU-Mahakama, Mtwara Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo Mtwara, Mhe. Said Ding’ohi, amefanya ziara ya ukaguzi wa shughuli za Mahakama katika Mkoa wa Mtwara, ili kutathmini utendaji kazi, kusikiliza changamoto zinazowakabili watumishi pamoja na kuangalia namna ya kuendelea kuboresha huduma za…

Tanzania Judiciary
Spotlight Rais Samia na Makamu Wake Ndejembi …

Rais, Mhe. Dkt. Samia ampongeza Mhe. Ndejembi kwa kushika wadhifa huo Amtaka Makamu wa Rais huyo kuwa tayari kujifunza Asema bidii, nidhamu, weledi na utayari vitamsaidia kutekeleza majukumu yake ipasavyo Na MARY GWERA, Mahakama-Dodoma Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju leo tarehe 29 Agos…

Tanzania Judiciary
Spotlight Mabonanza ya watumishi yasifiwa kuj…

Na SHARIFU MNKANGARA –Mahakama, Sumbawanga Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA), Tawi la Rukwa, kimefanya ziara ya siku nne katika fukwe za Matema zilizopo Ziwa Nyasa wilayani Kyela Mkoa wa Mbeya, ziara hiyo ilihusisha pia mafunzo ya kubadilishana uzoefu, utalii katika fukwe hizo na kufanya michezo mbalimbali …

Tanzania Judiciary
Spotlight Jamaica cmja conference preparation…

From FAUSTINE KAPAMA-Judiciary, Kingston Jamaica The Judge in Charge of the High Court of Tanzania, Hon. Dr. Adam Mambi, September 21, 2026 made a presentation before the 2026 Commonwealth Magistrates' and Judges Association (CMJA) Annual Conference and emphasizing the use of data in the administration of justice. He …

Tanzania Judiciary
Spotlight Dr Abbasi urges Pasiansi Wildlife I…

By FAUSTINE KAPAMA-Judiciary, monitoring from Dar es Salaam A section of Justices of the Court of Appeal and Judges of the High Court of Tanzania is in Korea for a visit aimed at advancing judicial experiences through international cooperation. The delegation of Tanzania Judiciary is led by Court of Appeal Justice and…

Tanzania Judiciary
Spotlight Maliasili sports club yahidi kushin…

Yagawa dozi ya bao mbilimbili kwa mechi za ufunguziJaji Mongella awahimiza kuendeleza moto huohuo NA PAUL PASCAL, Mahakama-Moshi Timu ya Mahamaka Sports Club inayoshiriki mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI) kwa mwaka, 2026 imefanikiwa kuyaanza vema mashindano hayo kwa …

Tanzania Judiciary
Spotlight Mafunzo elekezi kwa watumishi wapya…

Na ARAPHA RUSHEKE-MAHAKAMA. Mafunzo elekezi kwa watumishi wapya wa Kada ya wanasheria pamoja na ugavi katika utumishi wa umma, yaliyokuwa yanafanyika katika Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki Dodoma, yamehitimishwa leo tarehe 25 Septemba, 2026. Mafunzo hayo yalifungwa na Jaji wa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dodoma, Mhe. Ire…

Tanzania Judiciary
Makala kuhusu matukio yaliyopita

Habari nyingine

JAJI MAFAWIDHI TANGA ATAKA MATOKEO CHANYA KATIKA KAZI

JAJI MAFAWIDHI TANGA ATAKA MATOKEO CHANYA KATIKA KAZI

Tanzania Judiciary· Saa 17 zilizopita
ZIMAMOTO SONGEA YATOA MAFUNZO YA USALAMA DHIDI YA MAJANGA YA MOTO

ZIMAMOTO SONGEA YATOA MAFUNZO YA USALAMA DHIDI YA MAJANGA YA MOTO

Tanzania Judiciary· Saa 18 zilizopita
MAHAKIMU WAPYA IRINGA WAPITISHWA KWENYE MFUMO MAALUM WA KUPIMA UTENDAJI

MAHAKIMU WAPYA IRINGA WAPITISHWA KWENYE MFUMO MAALUM WA KUPIMA UTENDAJI

Tanzania Judiciary· Jana
KITUO CHA HUDUMA KWA MTEJA CHAFANYA MAFUNZO MASJALA NDOGO KATAVI

KITUO CHA HUDUMA KWA MTEJA CHAFANYA MAFUNZO MASJALA NDOGO KATAVI

Na INNOCENT KANSHA - Mahakama Kituo cha Huduma kwa Mteja cha Mahakama ya Tanzania hivi karibuni kilitoa mafunzo kwa watumishi wa Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya

Tanzania Judiciary· Siku 2 zilizopita
JAJI MFAWIDHI MUSOMA ASISITIZA WATUMISHI KUZINGATIA SHERIA, TARATIBU KATIKA UTUMISHI WA UMMA

JAJI MFAWIDHI MUSOMA ASISITIZA WATUMISHI KUZINGATIA SHERIA, TARATIBU KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Tanzania Judiciary· Siku 2 zilizopita
MASJALA NDOGO MBEYA YAKUTANA NA WADAU WA HAKI MADAI

MASJALA NDOGO MBEYA YAKUTANA NA WADAU WA HAKI MADAI

Tanzania Judiciary· Siku 3 zilizopita
MBEYA YAENDESHA KIKAO CHA KUSUKUMA MASHAURI YA JINAI

MBEYA YAENDESHA KIKAO CHA KUSUKUMA MASHAURI YA JINAI

Tanzania Judiciary· Siku 3 zilizopita
IDARA YA TEHAMA KATAVI YAUPIGA MWINGI

IDARA YA TEHAMA KATAVI YAUPIGA MWINGI

Tanzania Judiciary· Siku 5 zilizopita
MAHAKAMA KUU SUMBAWANGA YATOA ELIMU YA SHERIA KWA WANAFUNZI WA VETA

MAHAKAMA KUU SUMBAWANGA YATOA ELIMU YA SHERIA KWA WANAFUNZI WA VETA

Tanzania Judiciary· Siku 5 zilizopita
MAHAKAMA KUU NJOMBE YAFANYA MAFUNZO YA UTOAJI NA UTEKELEZAJI WA ADHABU MBADALA

MAHAKAMA KUU NJOMBE YAFANYA MAFUNZO YA UTOAJI NA UTEKELEZAJI WA ADHABU MBADALA

Tanzania Judiciary· Siku 5 zilizopita
MAHAKAMA, WADAU KIGOMA WASHIRIKIANA KUKABILIANA NA MVUA ZA EL NINO

MAHAKAMA, WADAU KIGOMA WASHIRIKIANA KUKABILIANA NA MVUA ZA EL NINO

·         Wajenga mitaro kupitisha maji ya mvua Barabara ya Mahakama Hiltop Kigoma Na AIDAN ROBERT, Mahakama-Kigoma Ma

Tanzania Judiciary· Siku 5 zilizopita
MADALALI, WASAMBAZA NYARAKA ZA MAHAKAMA WAHIMIZWA  KUZINGATIA MAADILI

MADALALI, WASAMBAZA NYARAKA ZA MAHAKAMA WAHIMIZWA KUZINGATIA MAADILI

Tanzania Judiciary· Siku 5 zilizopita
MAHAKAMA KUU NJOMBE, NMB WASHIRIKIANA KUIMARISHA HUDUMA KWA WATEJA

MAHAKAMA KUU NJOMBE, NMB WASHIRIKIANA KUIMARISHA HUDUMA KWA WATEJA

Tanzania Judiciary· Siku 5 zilizopita
JAJI MKUU WA UGANDA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MAKAO MAKUU YA MAHAKAMA

JAJI MKUU WA UGANDA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MAKAO MAKUU YA MAHAKAMA

Tanzania Judiciary· Siku 5 zilizopita
WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA; ABDALLAH ULEGA AJITAMBULISHA RASMI KWA JAJI MKUU MASAJU

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA; ABDALLAH ULEGA AJITAMBULISHA RASMI KWA JAJI MKUU MASAJU

Tanzania Judiciary· Siku 5 zilizopita
DKT. MAMBI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA MKOA WA MANYARA

DKT. MAMBI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA MKOA WA MANYARA

Tanzania Judiciary· 09 Okt 2026
KIKAO CHA MAANDALIZI YA MASHAURI YA JINAI CHAFANYIKA DODOMA

KIKAO CHA MAANDALIZI YA MASHAURI YA JINAI CHAFANYIKA DODOMA

Tanzania Judiciary· 09 Okt 2026
MAHAKAMA KUU MOROGORO YAFANYA KIKAO CHA KUSUKUMA MASHAURI YA MADAI

MAHAKAMA KUU MOROGORO YAFANYA KIKAO CHA KUSUKUMA MASHAURI YA MADAI

Na DIANA MOYO-Mahakama, Morogoro Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo Morogoro, hivi karibuni ilifanya kikao cha robo ya tatu ya mwaka 2026 na Wadau wa Haki

Tanzania Judiciary· 09 Okt 2026
TMJA SINGIDA WAFANYA UTALII WA NDANI NGORONGORO, MAKUMBUSHO YA KIMATAIFA

TMJA SINGIDA WAFANYA UTALII WA NDANI NGORONGORO, MAKUMBUSHO YA KIMATAIFA

Tanzania Judiciary· 09 Okt 2026
SEACJF HOLDS ANNUAL GENERAL MEETING IN ZANZIBAR

SEACJF HOLDS ANNUAL GENERAL MEETING IN ZANZIBAR

Tanzania Judiciary· 09 Okt 2026
POLITICS Jul 01, 2026 10 10 3

Importance of Peace for National Development

Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi.

Maelezo ya Ziada
habarileo.co.tzRead more

Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi.

habarileo.co.tzRead more

Akizungumza leo Juni 1, 2026 jijini Dodoma kuhusu umuhimu wa amani katika jamii, Msita amesema maendeleo yanapatikana katika mazingira yenye utulivu na mshikamano, akisisitiza kuwa sehemu yenye maendeleo ni sehemu inayompendeza Mungu.

michuzi.co.tzRead more

Kihongosi amewataka wananchi kuendelea kulinda amani na mshikamano uliopo nchini, akisema Tanzania imeendelea kuwa mfano wa utulivu kutokana na umoja na upendo wa wananchi wake.

habarileo.co.tzRead more

Kibadeni ameyasema hayo katika mahojiano maalumu, akisisitiza umuhimu wa vijana kutumia vyema nafasi wanazopewa na kushirikiana katika kulinda amani, akibainisha kuwa ustawi wa taifa lolote unategemea uwepo wa amani.

dailynews.co.tzRead more

He called on Christians and the wider community to embrace forgiveness, love and peace as essential pillars for building a united and harmonious society.

habarileo.co.tzRead more

Ameeleza kuwa amani ni msingi muhimu wa maendeleo ya Taifa, na kusisitiza kuwa bila amani, jitihada zote za maendeleo haziwezi kufikiwa.

habarileo.co.tzRead more

Amani ni zawadi kutoka kwa Mungu na ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa. "Mungu ameturuzuku amani, ni kipaji na kipawa. Tuna kila sababu ya kuitunza na kuilinda, kwani bila amani hakuna maendeleo, wananchi hawatakuwa salama, na tutakimbia nchi yetu wenyewe," amesisitiza.

habarileo.co.tzRead more

Amesisitiza kuwa Tanzania ni kivutio cha wivu kwa watu wa mataifa mengine, kutokana na amani na utulivu iliyonayo.

habarileo.co.tzRead more

Kuhani Baraka pia amewakumbusha waumini na wananchi wote kudumisha amani wakati wa uchaguzi, akisema amani ni nguzo ya maendeleo na msingi wa haki.

habarileo.co.tzRead more

Alisema unaweza kudai vitu vyote kama vile barabara za lami, maji, hospital, katiba mpya, mishara mikubwa lakini kukiwa hakuna amani huwezi kuvitumia vitu vyote hivyo kwa kuwa watu watasambatika huko na kule kwa machafuko ya vita.

ECONOMY Apr 01, 2026 19 10 7

Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

Maelezo ya Ziada
thechanzo.comRead more

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

dailynews.co.tzRead more

The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.

bongo5.comRead more

Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.

mwananchi.co.tzRead more

wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.

thecitizen.co.tzRead more

Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.

globalpublishers.co.tzRead more

wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.

mwananchi.co.tzRead more

Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.

globalpublishers.co.tzRead more

Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani

mzalendo.co.tzRead more

Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.

mzalendo.co.tzRead more

Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.

Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.

Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”

Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.

The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.

Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.

Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.

TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI

Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8​ kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.

Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.

POLITICS Apr 01, 2026 9 4 2

Chadema's Appeal Against Political Activity Ban After 283 Days

Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 tangu kilip…

Maelezo ya Ziada
thechanzo.comRead more

In his final political move, Bungara announced his resignation from ACT Wazalendo on February 18, 2026. He formally joined CHADEMA, the nation’s largest opposition party, aligning himself with their boycott of elections they deemed fundamentally unfair.

thechanzo.comRead more

The Court of Appeal here began hearing a critical revision application from the main opposition party, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) on Tuesday, which seeks to overturn a High Court injunction that has barred it from conducting any political activities since June 2025.

mwananchi.co.tzRead more

Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 tangu kilipowekewa zuio hilo.

mwananchi.co.tzRead more

Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions.

Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions. He donated his personal vehicle and fuel to party organisers and handed over resources to young CHADEMA activists, resulting in thousands of people switching from other parties to join CHADEMA within that single week.

Mgawanyiko huo umejidhihirisha kupitia makundi mawili yenye mitazamo tofauti kuhusu mustakabali wa chama.

Sifuna alisisitiza kuwa yuko tayari kusimama imara kulinda misingi ya chama, akipinga kile alichodai ni juhudi za kukisogeza karibu na mamlaka ya serikali.

Gachagua ameanza kujijenga kama sauti mbadala ya kisiasa, hasa kwa vijana, akishambulia sera za serikali kwa madai ya kushindwa kuboresha maisha ya wananchi wa kawaida.

Kutokuwepo kwake katika mstari wa mbele wa siasa za uchaguzi wa 2027 kumeacha pengo ambalo sasa linajazwa na makundi yenye mitazamo tofauti.

NATIONAL Mar 28, 2026 28 15 7

William Lukuvi's Death Announced by President Samia Suluhu Hassan on March 25, 2026

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

Maelezo ya Ziada
dailynews.co.tzRead more

All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.

dailynews.co.tzRead more

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.

dailynews.co.tzRead more

William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo

habarileo.co.tzRead more

PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.

dailynews.co.tzRead more

Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.

habarileo.co.tzRead more

Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.

habarileo.co.tzRead more

Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.

swahilitimes.co.tzRead more

Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.

mwananchi.co.tzRead more

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

mwananchi.co.tzRead more

Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.

thecitizen.co.tzRead more

Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.

globalpublishers.co.tzRead more

Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.

globalpublishers.co.tzRead more

According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.

mzalendo.co.tzRead more

Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.

mwananchi.co.tzRead more

Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.

Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.

WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA

William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.

William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.

Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.

Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.

William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.

Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.

PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.

President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.

DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.