
Gundua
346 habariHabari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta
Unaona habari zinazohusishwa na Swahili Times chini (pamoja na mengine ya Gundua).


Dar es Salaam. Serikali imesema Mkutano wa Jukwaa la Wakurugenzi wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Kampuni ambazo Serikali ina hisa chache (Minority Interests Forum-MIF 2026) utakuwa jukwaa mahususi la kujadili, pamoja na mambo mengine, mikakati ya kuharakisha safari ya Tanzania kuelekea uchumi wa kati wa juu ifikapo mwak…

https://portal.ajira.go.tz/vacancies

BENKI ya NMB imetunukiwa tuzo ya mchangiaji bora wa gawio baada ya kuikabidhi Serikali Sh96.9 bilioni, ikiwa ni utambuzi wa mchango wake katika kuongeza mapato ya Taifa na kuchochea utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Tuzo hiyo ilitolewa na Rais Samia Suluhu Hassan katika hafla iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam, Juman…

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita imewafikisha mahakamani watumishi tisa wa umma kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za serikali na kuisababishia hasara ya zaidi ya Shilingi milioni 90. Watumishi watatu wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita wanakabiliwa na tuhuma za ubadhirifu wa TZS 48.1 z…

Rais wa Namibia, Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah anatarajiwa kuwasili nchini Juni 19, 2026, kwa ajili ya ziara ya kitaifa. Hii ni ziara yake ya pili nchini Tanzania tangu aingie madarakani mwaka 2024. Aidha, Rais Nandi-Ndaitwah atafanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu masuala mbalimbali ya ush…

Rais Samia Suluhu Hassan amesema hakuna taifa linaloweza kufikia maendeleo endelevu na ustawi wa wananchi wake bila kuwepo kwa usimamizi mzuri wa haki unaosimamiwa na Mahakama huru, yenye uwezo na uadilifu. Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Januari 13, 2026 jijini Dodoma wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha…

Benki ya Stanbic imepata tuzo tatu za kimataifa ambazo ni Benki Bora ya Kimataifa kwa Wateja Maalum, Benki Bora kwa Kizazi Kijacho, na Benki Bora kwa Huduma kwa Wateja, zikionesha mchango wake katika kusaidia wateja wa Tanzania kujenga, kukuza na kulinda ukwasi wao kwa mtazamo wa muda mrefu na vizazi vijavyo. Tuzo hiz…
Benki ya NMB imeongeza nguvu katika sekta ya kilimo kwa kutoa suluhisho za kifedha zinazowawezesha wakulima na wafanyabiashara wa mazao kupata mitaji, kununua mazao, kuyachakata na kuyapeleka katika masoko ya ndani na nje ya nchi.Akizungumza katika Banda la NMB kwenye Maonesho ya SabaSaba, Mkuu wa Idara ya Kilimo kwa …

Rais wa Jamhuri ya Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kitaifa. Ziara hiyo ya kihistoria inaakisi uhusiano wa karibu, wa muda mrefu na wa kindugu kati ya Tanzania na Namibia, na inatarajiwa kuimarisha zaidi ushirikiano katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa manufaa ya mataifa …

Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amemwelekeza Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Camillius Wambura asitoe vibali kwa mikutano ya hadhara katika kipindi hiki chenye viashiria vya matishio ya amani. Akizungumza leo bungeni jijini Dodoma, Katambi amesema uamuzi huo umechukuliwa kufuatia kile alichokiita kuongezeka kw…

Mageuzi makubwa yanayoendelea katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) yameanza kubadilisha kabisa uzoefu wa wagonjwa wa saratani nchini, huku Serikali ikielekeza nguvu katika kuhakikisha huduma zote muhimu zinapatikana ndani ya Tanzania. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bodi mpya ya ORCI leo Januari 5, 2026 j…

Benki ya NMB imeahidi kutoa Sh milioni 500 ndani ya kipindi cha miaka miwili kwa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), kusaidia upanuzi wa huduma za upandikizaji figo na uboho. Hatua hiyo inaonesha dhamira ya benki hiyo katika kuunga mkono juhudi za kuboresha huduma za afya za kibingwa nchini na kuwafikishia Watanzania h…

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa ajili ya kupitia hatua mbalimbali zilizofikiwa katika maandalizi ya michuano hiyo itakayofanyika mwaka 2027 katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda. Katika mazungumzo hayo, Waziri Mkuu amepong…

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof.Kitila Mkumbo, amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na wawekezaji pamoja na wananchi ili kuimarisha na kukuza uchumi wa Taifa, sambamba na kuinua kipato na ustawi wa mwananchi mmoja mmoja. Prof. Mkumbo ametoa kauli hiyo leo, Februari 23.2026, wa…

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya, Masaga Pius Kaloli mkazi wa Wilaya ya Chunya na Mwenyekiti wa BAVICHA mkoani humo, Elisha Chonya mkazi wa Makunguru kwa tuhuma za kuhamasisha watu kufanya mikusanyiko isiyo halali. Taarifa ya Polisi imesema watuhumiwa walikamatwa Januari 2…

Vodacom Tanzania yang’ara kwenye uzinduzi wa Maonesho ya 50 ya Sabasaba 2026*Yatwaa tuzo mbili ikiwemo mshindi wa tatu wa jumla

Migogoro ya ardhi katika Dar es Salaam imeendelea kuibua changamoto kwa wananchi, hali iliyolazimisha Serikali kuchukua hatua za kuimarisha usimamizi na utatuzi wa migogoro hiyo ili kulinda amani na utulivu wa jamii. Akizungumza wakati wa ziara ya kusikiliza kero za wananchi katika Mtaa wa Nyakasangwe, Kata ya Wazo, W…

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa viongozi wa dini kuendelea kushirikiana na Serikali katika kutoa elimu ya umoja na amani, kupinga chuki, migawanyiko na vitendo vyovyote vinavyoweza kuvuruga mshikamano waTaifa. Ametoa wito huo leo Desemba 25, 2025 aliposhiriki ibada ya Sikukuu ya Krismasi iliyofanyika…

Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Uganda zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika matumizi ya bandari, biashara ya gesi asilia na mafuta safi kutoka Uganda pamoja na miradi ya reli ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo kwa nchi zisizo na bandari. Akizungumza leo Februari 07, 2026, Ikulu Dar es Salaam ba…

Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema hali ya usalama ni shwari kote nchini Tanzania na shughuli za kiuchumi na kijamii zinaendelea kama kawaida nchi nzima baada ya mapumziko ya sherehe za sikukuu ya Uhuru wa Tanzania Bara Desemba 09, 2025. Akitoa taarifa ya hali ya usalama kwa vyombo vya habari, ame…

Benki ya NMB imesema huduma ya NMB Kikundi Mini App, iliyopo ndani ya NMB Mkononi Super App, imebuniwa kurahisisha usimamizi wa vikundi kwa kuwawezesha wanachama na viongozi kupata huduma za kifedha kidigitali kwa usalama, uwazi na ufanisi zaidi. Akizungumza katika Banda la NMB kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara…

Hati Fungani ya Makazi iliyotolewa na First Housing Finance (FHF) Tanzania na kuratibiwa na Stanbic Bank Tanzania imepata usajili wa ziada wa asilimia 661, jambo linaloashiria imani kubwa ya wawekezaji katika sekta ya mikopo ya nyumba nchini pamoja na kuongezeka kwa uaminifu katika bidhaa za uwekezaji kupitia masoko y…

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameipatia Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL)Tuzo ya Rais ya Walipakodi Bora katika Sekta ya Uzalishaji (Manufacturing), ikiwa ni kutambua mchango wa kampuni hiyo katika kukuza uchumi wa Taifa kupitia ulipaji sahihi wa kodi, uzal…
Serikali imesisitiza kuwa itaendelea kuimarisha sera na mifumo inayolenga kuwezesha viwanda vya ndani vinavyotengeneza dawa na vifaa tiba kupata soko la uhakika ndani na nje ya nchi, hatua inayolenga kuijenga Tanzania kuwa mchezaji mkubwa katika soko la afya barani Afrika. Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, ames…

Rais Samia Suluhu Hassan amewaonya watu wanaojiita wanaharakati lakini wakijihusisha na matendo ya ugaidi na vitendo vinavyolenga kuvuruga amani na utulivu wa nchi, akisema Serikali haitasita kutumia mamlaka yake kulinda raia, mali zao na heshima ya taifa. Akizungumza leo visiwani Zanzibar katika hafla ya kushuhudia T…

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran yamefikia mwisho, baada ya nchi hizo mbili kuanza kushambuliana. Akizungumza leo katika mkutano wa NATO nchini Uturuki, Trump amesema hataki tena kushughulika na Iran, akidai mazungumzo yanayoendelea ni kupoteza muda. “Si…

Kampuni ya Mixx imewakabidhi zawadi washindi wa awamu ya kwanza wa kampeni ya “Kila Muamala ni Bao la Ushindi”, hatua inayokuja wakati hamasa ya mashabiki wa soka kuelekea michuano ya Kombe la Dunia ikiendelea kuongezeka nchini. Kampeni hiyo, inayofanyika kwa ushirikiano na Hisense yenye kauli mbiu ya “Ikiingia Tu Gol…

Rais wa Marekani, Donald Trump ametishia kuzuia kufunguliwa kwa daraja jipya lililojengwa na Canada linalounganisha Canada na Marekani kupitia Mto Detroit, akitaka Canada ikabidhi angalau nusu ya umiliki wa daraja hilo kwa Marekani pamoja na kutimiza masharti mengine ambayo hayajabainishwa. Kupitia ujumbe aliouchapish…

Dar es Salaam, Tanzania – 26 Novemba 2025: Vodacom Tanzania PLC leo imezindua msimu wa sikukuu kama kipindi cha kusherehekea na Jamii, huku ikihitimisha sherehe za kumbukumbu ya miaka 25 ya huduma tangu kuanzishwa kwa kampuni hiyo. Kupitia kampeni hii, Vodacom inathibitisha ahadi yake ya Tupo Nawe Tena na Tena kwa kus…

Jeshi la Polisi limesema limewakamata watuhumiwa watatu wanaodaiwa kutumia mitandao ya kijamii vibaya kwa kutoa matusi kwa wengine wakiwemo wajumbe wa Tume ya uchunguzi wa ghasia za Oktoba 2025. Polisi wamesema watuhumiwa hao wamekamatwa mikoa ya Arusha, Iringa na Mbeya huku msako wa kuwakamata wengine ukiendelea. “Ms…

https://portal.ajira.go.tz/vacancies

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Juma Ramadhan (21) kwa tuhuma za kumuua baba yake, Ramadhan Jaffary (47), na kisha kumfukia ndani ya nyumba ya marehemu. Kamanda wa Polisi, Jumanne Muliro amesema Juni 16, 2026 katika Kituo cha Polisi Gogoni Jeshi la Polisi lilipokea taarifa kutoka kwa ndugu …

Kampuni ya huduma za fedha kidigitali, Mixx, imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kuimarisha uchumi wa wakulima wa karafuu Zanzibar kwa kukabidhi hundi mbili zenye jumla ya shilingi milioni 175 kwa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar (ZSTC). Akizungumza katika hafla hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Mkoani-Pemba, Mhe. Mizz…

Serikali ya Tanzania inaongeza uwekezaji katika elimu ya akili unde (AI) na sayansi ya data ili kuiandaa nchi kukabiliana na mapinduzi ya nne ya viwanda duniani. Kupitia Mpango wa Samia Scholarship DS/AI+, serikali imefadhili wanafunzi 16 kusoma shahada ya kwanza ya sayansi ya data, AI na fani zinazohusiana katika Chu…

Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia Lameck Mlay (30), mkazi wa Maji ya Chai kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Husna Shaban (33), kisha kutupa mwili wake kwenye chemba ya choo cha baa. Polisi wamesema kabla ya tukio hilo Husna na mtuhumiwa walikuwa baa, ambapo alimjeruhi sehemu mbalimbali ya mwili na kumsababis…

Mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali na taasisi za kimataifa nchini Tanzania wamethibitisha kwa pamoja dhamira yao ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano na Serikali ya Tanzania, hususan katika masuala ya kiuchumi. Hayo yamebainika leo Ijumaa, Novemba 28, 2025, katika mkutano kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushi…

Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza hatua kadhaa za haraka zitakazochukuliwa na serikali kufuatia ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza baada ya kupokea ripoti hiyo, Rais Samia amesema hatua ya kwanza itakuwa ni kuundwa …

Madaktari sita wa Hospitali ya Sekou-Toure mkoani Mwanza wamejeruhiwa baada ya gari walilopanda aina ya Toyota Land Cruiser Hardrop kupata ajali Kijiji cha Maremwe Kata ya Igongwa wilayani Kwimba wakati wakitoka kutoa huduma kwenye kambi ya matibabu ya kibingwa katika Hospitali ya Icheja. Polisi mkoani humo wamesema c…

Taasisi ya NMB Foundation na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) zimesaini makubaliano ya utekelezaji wa pamoja wa Mradi wa TIMIZA Malengo, unaolenga kuwawezesha zaidi ya wasichana na wanawake 10,000 katika halmashauri 36 za mikoa 10 kupitia elimu ya fedha, ujasiriamali, stadi za maisha na huduma za kinga dhid…

Miaka ya hivi karibuni, magonjwa yasiyoambukiza yanaendelea kuwa changamoto kubwa kwa afya ya jamii nchini Tanzania. Magonjwa kama shinikizo la damu, kisukari, magonjwa ya moyo pamoja na saratani yanaongezeka kwa kasi, huku wengi wakigundulika wakiwa tayari katika hatua za mwisho za ugonjwa kutokana na kukosekana kwa …

Sifa za kujiunga mafunzo ya JKT na vifaa vinavyotakiwa wakati wa kuripoti

Marekani imetangaza kujitoa katika mashirika/taasisi 66 za kimataifa kwa maelezo kuwa hazina tija kwa maslahi ya nchi hiyo, na kwamba tathmini ya mashirika zaidi inaendelea. Uamuzi huo ambao ni utekelezaji wa sera ya “Marekani Kwanza,” utayahusu mashirika 35 yasiyo ya Umoja wa Mataifa (UN) na mashirika 31 ya umoja huo…

Benki ya Stanbic Tanzania imewezesha miamala ya biashara yenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 200 kati ya wafanyabiashara wa Tanzania na wenzao wa China katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, hatua inayoonesha mchango wake katika kukuza biashara ya kimataifa na uwekezaji nje ya nchi. Miamala hiyo imekuwa iki…

NI KATIKA SHULE ZA MSINGI SIMA A NA MADARAKA, IKITIMIZA ILIYOTOLEWA WAKATI WA MSAFARA WA TWENDE BUTIAMA 2025. Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na wadau wake wakiwemo Stanbic Bank Tanzania pamoja na waandaaji wa msafara wa Twende Butiama, wamekabidhi rasmi miundombinu ya vyoo katika Shule za Msin…

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, ameziomba taasisi za kifedha kusaidia upatikanaji wa mashine za kusafisha damu — dialysis — katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe ili kupunguza gharama kwa wagonjwa wanaofuata huduma hiyo Mbeya. Mtaka alitoa ombi hilo Aprili 28, 2026, wakati akipokea vifaa vya shule na hosp…

Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, amesema hatua inayofuata ya ukuaji wa Afrika itategemea taasisi zinazoaminika, mitaji ya muda mrefu na mifumo jumuishi, baada ya kuwasilisha hadithi ya mageuzi ya sekta ya benki Tanzania katika Cambridge Africa Business Conference 2026. Akizungu…

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limesema linafanya uchunguzi wa tukio la kuchoma na kuharibu magari mawili katika Wilaya ya Mvomero yaliyokuwa yakisafirisha mwili wa marehemu. Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imesema tukio hilo limetokea Desemba 17, 2025 katika Kata ya Diongonya, Tarafa ya Turiani wilayani Mvome…

Kampuni 408 za Tanzania zimepata usajili wa Mamlaka Kuu ya Forodha ya Jamhuri ya Watu wa China (GACC) jambo linaloziruhusu kusafirisha mazao ya kilimo kwenda soko la China. Mkurugenzi wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), Prof. Joseph Ndunguru, amesema usajili wa kampuni hizo utaongeza thamani ya…
Habari nyingine
Utakuja AFCON 2027?
Viwanja Kenya · Tanzania · Uganda
Best Non GamStop Casino UK – Reviews and Rankings for 2026
Kent онлайн казино – акции, турниры и программа лояльности
Calificaciones de casinos en línea en México
Casino Handyrechnung – Top Casinos nach Nutzerbewertungen in Österreich
Casino Handyrechnung – Top Casinos nach Nutzerbewertungen in Österreich ▶️ SPIELEN Содержимое Die besten Casinos in Österreich: Eine Auswahl nach Nutzerbewertun
Zonder Cruks Online Casino Beoordeling in Nederland

Rais Samia awaonya wanaojiita wanaharakati huku wakijihusisha na vitendo vya kigaidi
Miaka 15 ya uhuru wa Sudan Kusini ikiwa kwenye migogoro, nini kinaikwamisha?

Tanzania Breweries Plc Yatunukiwa Tuzo ya Rais ya Walipakodi Bora

Trump aeleza makubaliano ya kusitisha mapigano na Iran yamevunjika
NMB Yawezesha Wakulima Kumiliki Matrekta kwa Malipo ya Awamu

NMB yarahisisha usimamizi wa vikundi kupitia Kikundi Mini App
Benki ya NMB imesema huduma ya NMB Kikundi Mini App, iliyopo ndani ya NMB Mkononi Super App, imebuniwa kurahisisha usimamizi wa vikundi kwa kuwawezesha wanacham
Pin Up – Azərbaycanın ən yaxşı kazinosu | Rəsmi sayt

Vodacom Tanzania Foundation Yawezesha Wanawake na Vijana Kupitia Mradi wa TELS

Nafasi 14 za Ajira Serikalini

JWTZ: Hatutawalinda wanaopanga kufanya vurugu

Vodacom Tanzania yang’ara kwenye uzinduzi wa Maonesho ya 50 ya Sabasaba 2026*Yatwaa tuzo mbili ikiwemo mshindi wa tatu wa jumla

NMB yasogeza bima kidijitali kupitia Umebima Mini App

Wanahisa wa Tanzania Breweries Plc Wapitisha Hesabu za Mwaka 2025 Baada ya Mwaka wa Ukuaji wenye Faida
Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL Plc) leo imefanya Mkutano Mkuu wa 53 wa Wanahisa katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNIC

Yanga yatozwa faini ya milioni 100 kwa kutumia nyumba nje ya uwanja

Vodacom Tanzania yadhihirisha dhamira ya ulinzi wa taarifa binafsi za wateja
Importance of Peace for National Development
Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi.
Akizungumza leo Juni 1, 2026 jijini Dodoma kuhusu umuhimu wa amani katika jamii, Msita amesema maendeleo yanapatikana katika mazingira yenye utulivu na mshikamano, akisisitiza kuwa sehemu yenye maendeleo ni sehemu inayompendeza Mungu.
Kihongosi amewataka wananchi kuendelea kulinda amani na mshikamano uliopo nchini, akisema Tanzania imeendelea kuwa mfano wa utulivu kutokana na umoja na upendo wa wananchi wake.
Kibadeni ameyasema hayo katika mahojiano maalumu, akisisitiza umuhimu wa vijana kutumia vyema nafasi wanazopewa na kushirikiana katika kulinda amani, akibainisha kuwa ustawi wa taifa lolote unategemea uwepo wa amani.
He called on Christians and the wider community to embrace forgiveness, love and peace as essential pillars for building a united and harmonious society.
Ameeleza kuwa amani ni msingi muhimu wa maendeleo ya Taifa, na kusisitiza kuwa bila amani, jitihada zote za maendeleo haziwezi kufikiwa.
Amani ni zawadi kutoka kwa Mungu na ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa. "Mungu ameturuzuku amani, ni kipaji na kipawa. Tuna kila sababu ya kuitunza na kuilinda, kwani bila amani hakuna maendeleo, wananchi hawatakuwa salama, na tutakimbia nchi yetu wenyewe," amesisitiza.
Amesisitiza kuwa Tanzania ni kivutio cha wivu kwa watu wa mataifa mengine, kutokana na amani na utulivu iliyonayo.
Kuhani Baraka pia amewakumbusha waumini na wananchi wote kudumisha amani wakati wa uchaguzi, akisema amani ni nguzo ya maendeleo na msingi wa haki.
Alisema unaweza kudai vitu vyote kama vile barabara za lami, maji, hospital, katiba mpya, mishara mikubwa lakini kukiwa hakuna amani huwezi kuvitumia vitu vyote hivyo kwa kuwa watu watasambatika huko na kule kwa machafuko ya vita.
Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict
In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.
The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.
Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.
Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.
Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.
Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani
Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.
Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.
Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.
Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”
Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.
The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.
Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.
Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.
TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI
Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8 kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.
Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.
In his final political move, Bungara announced his resignation from ACT Wazalendo on February 18, 2026. He formally joined CHADEMA, the nation’s largest opposition party, aligning himself with their boycott of elections they deemed fundamentally unfair.
The Court of Appeal here began hearing a critical revision application from the main opposition party, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) on Tuesday, which seeks to overturn a High Court injunction that has barred it from conducting any political activities since June 2025.
Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 tangu kilipowekewa zuio hilo.
Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions.
Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions. He donated his personal vehicle and fuel to party organisers and handed over resources to young CHADEMA activists, resulting in thousands of people switching from other parties to join CHADEMA within that single week.
Mgawanyiko huo umejidhihirisha kupitia makundi mawili yenye mitazamo tofauti kuhusu mustakabali wa chama.
Sifuna alisisitiza kuwa yuko tayari kusimama imara kulinda misingi ya chama, akipinga kile alichodai ni juhudi za kukisogeza karibu na mamlaka ya serikali.
Gachagua ameanza kujijenga kama sauti mbadala ya kisiasa, hasa kwa vijana, akishambulia sera za serikali kwa madai ya kushindwa kuboresha maisha ya wananchi wa kawaida.
Kutokuwepo kwake katika mstari wa mbele wa siasa za uchaguzi wa 2027 kumeacha pengo ambalo sasa linajazwa na makundi yenye mitazamo tofauti.
All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.
William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo
PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.
Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.
Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.
Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.
Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.
Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.
Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.
Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.
Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.
According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.
Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.
Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.
Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.
WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.
Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.
Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.
William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.
Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.
PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.
President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.
DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.