
Gundua
568 habariHabari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta
Unaona habari zinazohusishwa na SportPesa Blog chini (pamoja na mengine ya Gundua).


Tunisia vs Netherlands FIFA Kombe la Dunia 2026 unayakutanisha mataifa yenye historia tofauti, Juni 26, 2026 saa 8:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Mchezo huu utachezwa Uwanja wa Kansas City huku Tunisia wakiwa na kibarua kusaka ushindi kwa mara ya kwanza.Tunisia hawajashinda mechi yoyote katika michezo mitano il…

Utabiri wa New Zealand vs Egypt: Kombe la Dunia – Kundi G Utabiri wetu: Egypt kushinda. New Zealand vs Egypt, mechi ya pili ya Kombe la Dunia 2026 kwenye Kundi G. Mpaka sasa kwenye msimamo timu zote mbili zina pointi moja baada ya sare, katika Mechi zao za Ufunguzi. Mechi hii itapigwa Uwanja wa BC […]

Mchezo unaofuata Kundi B ni Canada vs Qatar FIFA Kombe la Dunia 2026, Juni 19. Katika mataifa matatu yaliyoandaa Kombe la Dunia ipo Canada, Marekani na Mexico. Wenyeji Canada walianza kwa sare ya 1-1 Bosnia na Herzegovina. Unakuwa mchezo wa pili utakaochezwa Vancouver. Isome ratiba ya FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba …

Uswisi vs Algeria FIFA Kombe la Dunia 2026 wanakutana katika hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia 2026. Mchezo huu utachezwa kwenye Uwanja wa BC Place, Vancouver. Timu zote mbili zinatafuta tiketi ya kufuzu hatua ya 16 boraJulai 3, 2026. Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026 …

Colombia vs Ghana ni karata nyingine ya wawakilishi wa Afrika na Amerika Kusini, katika jukwaa kubwa zaidi la soka Duniani. Mchezo huu unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Kansas City nchini USA, saa kumi na nusu kwa saa za Afrika Mashariki. Mshindi wa jumla wa mchezo huu atakuwa amefuzu moja kwa moja hatua ya 16, bor…

Nani kuwa kocha mpya Yanga SC? Hili ndilo swali kubwa miongoni mwa wadau wa soka na hasa mashabiki wa Yanga SC. Hii inakuja ikiwa ni siku moja tu, imepita tangu uongozi wa timu hiyo ulipotangaza kumfuta kazi aliyekuwa kocha wao mkuu, Pedro Goncalves. Kocha huyo aliyempokea kijiti kocha, Roman Folz, alifutwa kazi muda …

Hapa tumekuletea taarifa za usajili Ligi Kuu Uingereza 2026 mara baada ya kufunguliwa. Diirisha la usajili majira ya joto lilifunguliwa Juni 15,2026 litafungwa Septemba Mosi saa 5 usiku. Kuna orodha ya wachezaji ambao wamehama na timu ambazo watakuwa katika Ligi Kuu ya Uingereza, (Premier League). Arsenal ambao ni mab…

Spain vs Saudi Arabia: Kombe la Dunia 2026 — Kundi E Spain vs Saudi Arabia ni mechi ya kufa na kupona ndani ya Kundi E la Kombe la Dunia 2026, timu hizi zitavaana uso kwa uso katika Uwanja wa Atlanta, 21 June 2026. Mchezo huo utapigwa saa 3 usiku muda wa afrika mashariki (EAT). Katika […]

Wakiwa na pointi 1 tu, katika michezo yao miwili ya kwanza, kikosi cha South Africa kinajiandaa kucheza mechi ya kufa na kupona dhidi ya South Korea. Ni mechi ya South Africa vs South Korea Kombe la Dunia 2026 itakayopigwa 25 June 2026 saa 10 alfajiri, kwa saa za Afrika Mashariki. Mechi hii itapigwa kwenye Uwanja […]

Colombia wakiwa tayari wamefuzu hatua ya 32 bora watavaana na Portugal, ambayo situ kwamba wanaisaka tiketi Ya Robo hatua ya 32 bora, bali wanataka kuongoza Kundi. Staa wa Ureno, Cristiano Ronaldo alituma ujumbe wa “I’m back” akimaanisha amerudi baada ya kufunga mabao 2 katika ushindi wa kishindo wa mabao 5-0 dhidi ya…

Ecuador itashuka Uwanjani siku wa Alhamisi, kuvaana na Germany kupambania ndoto ya kusonga mbele kwenye Kombe la Dunia la FIFA 2026. Huu ni mchezo wa Kundi E utakaopigwa Uwanja wa Ney York New Jersey, saa tano usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Matokeo ya Germany 2-1 Ivory Coast na Ecuador 0-0 Curacao, ndiyo matokeo y…

Kombe la Dunia la FIFA 2026, litaendelea kukumbukwa kwa muda mrefu kutokana na kuvunja rekodi nyingi na kushuhudia matukio ya kipekee ambayo hayajawahi kutokea katika historia ya mashindano hayo. Mashindano hayo yalishuhudia timu ya Taifa ya Hispania ikiibuka bingwa wa dunia, kwa mara ya pili katika historia yake. Hii…

Ligi Kuu Bara yaani (NBC Premier League 2025/26) imeingia katika mzunguko wa 24. Hii inafanya ligi hiyo isaliwe na mechi 6 tu, kumalizika. Hali hii inafanya kila pointi, rekodi na takwimu zinazopatikana sasa, kuwa na umuhimu mkubwa kwa kila timu na wachezaji binafsi. Timu zinaska pointi, huku wachezaji Wakisaka rekodi…

Algeria watashuka uwanjani kusaka tiketi ya kucheza hatua ya mtoano 32 bora mbele ya Austria, katika mchezo huu wa kukamilisha ratiba ndani ya Kundi J la Kombe la Dunia 2026. Ushindi kwa yoyote, yaani Austria au, Algeria utakuwa unatoa taswira mpya ya Kundi hilo ya timu inayoungana na Argentina kwenda hatua ya mtoano.…

Ni Afrika Kusini vs Canada FIFA Kombe la Dunia 2026 wataandika historia Jumapili usiku, watakapokutana katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 32 Bora utakaopigwa katika uwanja wa SoFi Stadium. Baada ya takriban wiki tatu za mechi za kusisimua za hatua ya makundi kwenye Kombe la Dunia la FIFA 2026 lililofanyika Marekani, …

Mabingwa mara 5 wa Kombe la Dunia timu ya taifa ya Brazil, leo watakuwa wenyeji wa Japan katika mchezo mkali wa kusaka nafasi ya kutinga hatua ya 16 bora ya mashindano hayo. Mechi hii inatarajiwa kupigwa Uwanja wa Houston, USA kuanzia majira ya saa 2 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Brazil ikibebwa na mastaa […]

Ratiba ya FIFA Kombe la Dunia 2026 hatua ya 16 bora itaanza kutimua vumbi rasmi siku ya Jumamosi 4 July 2026. Ikumbukwe haya ni mashindano makubwa zaidi ya soka duniani, ambayo hufanyika kila baada ya miaka 4, mwaka huu Kombe la Dunia litafanyika kwa ushirikiano wa maandalizi ya nchi 3, ambazo ni; Marekani (USA), Cana…

Hatimaye ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27 imetangazwa rasmi na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB). Ratiba hiyo inaonyesha vigogo yaani bingwa mtetezi Yanga SC na mshindi wa pili Simba SC kwa msimu uliopita zitaanzia ugenini. Kama ulikuwa unajiuliza kuhusu Mchezo mkubwa wa Dabi ya Kariakoo kati ya Simba SC vs Yanga SC, …

Mechi nyingine bora ya kimataifa a kirafiki itapigwa leo Jumatatu katika Uwanja wa MHPArena. Ni Germany vs Ghana mchezo wa kimataifa, ulio kwenye ratiba za shirikisho la soka la kimataifa FIFA. Ghana wanaingia katika mchezo huu, wakitoka kwenye kipigo kizito kutoka timu ya Taifa ya Austria. SOMA HII PIA: Yanga SC yams…

Ufaransa vs Morocco FIFA Kombe la Dunia 2026 ni hatua ya robo fainali. Uwanja wa Boston utachezwa Julai 9, 2026 saa 5:00 usiku.Mshambuliaji tegemeo kwa Ufaransa ni Kylian Mbappe ambaye amefunga mabao 7 akiwa sawa na Lionel Messi mshambuliaji wa Argentina. Hii hapa ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba FIFA Kombe la …

In the World Cup 2026 top scorers, Kylian Mbappe, the France captain, took the lead with 10 goals. Having emerged as the top scorer, Mbappe made history as the only player to get the Golden Boot twice. Lionel Messi, from Argentina, finished the tournament as the second top scorer with 8 goals. Other World Cup […]

Hii ni ratiba ya nusu fainali FIFA Kombe la Dunia 2026 zikisalia timu 4 pekee.Ufaransa, Hispania, England na Argentina hizi zimefuzu kucheza hatua ya nusu fainali. Ni kutoka kwenye mfumo wa hatua ya makundi na ratiba ya safari hii umefanya timu hizi nne zinazoongoza kwa viwango vya ubora duniani kukutana kileleni kati…

Zikiwa zimebaki siku 74 tu, kabla ya kuanza kwa mashindano ya Kombe la Dunia 2026 kambi ya timu ya Taifa ya Argentina imepata mshtuko! Hii ni baada ya kutoka kwa taarifa kuwa Nyota na nahodha wao, Lionel Messi bado hajafanya maamuzi ikiwa atacheza, au hatacheza mashindano hayo. Ikumbukwe Argentina ndio mabingwa watete…

Ni Ufaransa vs Uingereza FIFA Kombe la Dunia 2026 mchezo wa kutafuta mshindi wa 3 kwa timu hizi bora. Ufaransa mabingwa mara mbili wa Kombe la Dunia watakuwa uwanjani tena mbele ya timu pinzani ya muda mrefu kutoka Ulaya. Mechi hii kali itachezwa usiku wa kuamkia Jumapili saa 6:00, Uwanja wa Miami. Fainali imethibitis…

SportPesa inakuletea uchambuzi wa kina wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2026/27, tukijikita zaidi kwenye safari ya klabu yetu ya Simba SC na matarajio yao katika mashindano haya makubwa barani Afrika.

Young Africans is one of the most followed clubs in Africa. The club has dominated the NBC Premier League in recent years, winning title after title. Find the upcoming Young Africans fixtures and results on SportPesa Tanzania. Create your account now and place bets on Young Africans games and win millions! SportPesa T…

Racing Club de Lens, better known as RC Lens, is a French professional football club. The club is located in the northern city of Lens. Lens competes in the top tier of French football, Ligue 1. RC Lens play their home matches at Stade Bollaert-Delelis, a stadium with room for 38,223 fans. The club is […]

Simba SC vs JKT Tanzania NBC Premier League ni mchezo unaofuata kwenye ratiba leo. Mnyama mchezo uliopita aligawana pointi mojamoja kwa kufungana magoli 2-2 dhidi ya Yanga SC. Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo utapigwa saa 12:15 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. SOMA HII:JKT Tanzania 1-2 Simba SC NBC Premier League 202…

Ni Wiki ya Mwananchi SportPesa Yanga Day 2026 imepamba moto kutokana na matukio ambayo yanaendelea kabla ya kilele cha tamasha lenyewe. Agost 9,2026 itakuwa kilele cha tamasha huku Yanga SC vs Aigles du Congo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo watashuka uwanjani. Mbali na mchezo huo wa kimataifa kutakuwa na utamb…

Jonathan Sowah amerejeshwa Simba SC kwa sharti lakutakiwa afanye mazoezi na timu ya vijana chini ya miaka 20, (Simba SC U 20). Mshambuliaji huyo anayecheza Simba SC ana miaka 27 ni raia wa Ghana alisimamishwa Februari 2026 timu ilipokuwa inajiandaa kuikabili Dodoma Jiji FC. Alikosekana kwenye mechi kubwa za ushindani …

Kombe la Dunia la FIFA 2026 halijaandika historia mpya uwanjani pekee, bali pia limeweka rekodi mpya ya kifedha. Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) linatarajiwa kutangaza mapato makubwa zaidi kuwahi kupatikana katika historia ya mashindano hayo, baada ya kuzidi makadirio yake yenyewe kwa kiwango kikubwa. Wakati unasoma…

Timu ya taifa ya Marekani vs Bosnia na Herzegovina FIFA Kombe la Dunia 2026 zimeingia hatua ya mtoano. Wenyeji wametinga hatua hiyo wakiwa ni vinara wa Kundi D baada ya kushinda michezo miwili ya kwanza na kufungwa katika mchezo wa mwisho wa makundi. Bosnia na Herzegovina, kwa upande wao, walipenya hatua ya 32 bora ka…

Pazia la Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2026/27, linatarajiwa kufunguliwa rasmi Agosti 14 mwaka huu na timu mbalimbali zinaendelea kujiimarisha kwa kufanya usajili mkubwa. Mabingwa watetezi Yanga SC nao wameendelea kutangaza nyota wao wapya ambapo mpaka sasa tayari wamekamilisha usajili na kutambulisha wachezaji 10. Miong…

Hatimaye umewekwa wazi mkakati wa usajili mpya Simba SC 2026/27 mara baada ya dirisha kufunguliwa Julai 6,2026. Ni Kelvin Nashon kiungo mkabaji alikuwa wa kwanza kutambulishwa unyamani. Msimu wa 2025/26 alikuwa Pamba Jiji FC.Tayari yupo kambini akiwa na timu nchini Rwanda ilipoweka kambi kwenye maandalizi ya Kagame Cu…

Yametimia! Tetesi za usajili mpya Simba SC zinaendelea kutikisa, hii ni kuelekea kufunguliwa kwa dirisha kubwa la usajili. Ligi Kuu Bara (NBC Premier League), iko karibu kumalizika, ambapo mpaka sasa zimesalia mechi 7 tu. Kuelekea msimu mpya wa 20216/17 Simba SC wanaonekana kupania, ambapo tayari wanaripotiwa kumaliza…

Ratiba ya Yanga SC mechi 5 zijazo NBC Premier League 2026/27. Mabingwa hawa watetezi watakuwa na mechi 3 mfululizo nyumbani kabla ya kukwea pipa kuelekea Arusha ugenini. Wananchi chini ya Kocha Mkuu, Manqoba Mngqithi wanaendelea na mazoezi kambini Avic kwa mchezo ujao dhidi ya Coastal Union. Usajili mpya Yanga SC: Usa…

Hatimaye ratiba ya Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa 2026/27, ambapo tayari kikosi cha Simba SC kimechapisha taarifa kuhusu mechi zao 10 za kwanza. Ratiba hiyo inaonyesha kuwa Simba SC wanatarajia kuwa na mechi 10 za moto, ikiwemo mchezo wa Kariakoo Dabi vs Yanga SC unaotarajiwa kupigwa Oktoba 10, 2026. Simba wataanza na m…

Paris Saint-Germain vs Bayern Munich watavaana leo Jumanne usiku, katika mechi kali ya Nusu Fainali ya UEFA Champions League. Mchezo huu ni wa Nusu Fainali ya kwanza ambao utapigwa kwenye Uwanja wa Parc des Princes jijini Paris, Ufaransa. Wafaransa hao wametinga hatua hii mara baada ya kuwaondosha Liverpool kwa matoke…

Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), Paris Saint Germain wanashuka uwanjani leo Jumatano kuvaana na Liverpool. itaendelea tena leo Jumatano. Mechi hii ya Paris Saint-Germain vs Liverpool itapigwa katika Uwanja wa Parc Des Princes, nchini Ufaransa. Mchezo huu unatajwa kuwa wa kisasi kwa …

Pambano la ubingwa wa dunia la uzani wa welter la WBA kati ya Rolando Romero vs Teofimo Lopez litafanyika siku ya Jumamosi, Agosti 22, 2026 usiku wa kuamkia Jumapili kwa Tanzania, Agosti 23,2026. Mabondia hawa watapambana katika ukumbi wa T-Mobile Arena jijini Las Vegas, Nevada. Ni Romero maarufu kwa jina la Rolly na …

Simba SC 2-1 Singida Black Stars Kagame Cup 2026 hatua ya makundi wametoana wawakilishi hawa kutoka Tanzania. Mshambuliaji wa mabao Ibrahim Doumbia alifungua akaunti kwa kufunga dakika ya 27. Hili linakuwa bao la kwanza mara baada ya kusajiliwa na Simba SC raia huyu wa Mali. Singida Black Stars walifunga kupitia kwa k…

Dirisha kubwa la usajili kwa Ligi zilizo chini ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF), umefungwa rasmi jana Jumamosi Agosti 15, 2026. Hii ni baada ya kuwa wazi kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja, tangu Julai 6, 2026. Uongozi wa Yanga SC umefanya maboresho makubwa ya kikosi chao, kwa kusajili Nyota wapya 13 ambao watat…

Preview ya Kiswahili ya WAFCON 2026 robo fainali kwa Tanzania: ratiba, mechi kubwa, mambo ya kutazama na tahadhari za mhariri kabla ya kuchapisha.

Siku zinazidi kusonga kuelekea Ligi Kuu Tanzania Bara 2026/27 kabla ya pazia kufunguliwa rasmi.Agosti 12,2026 mchezo wa Ngao ya Jamii utawakutanisha Yanga SC vs Simba SC, Uwanja wa New Amaan Complex. Mwanzo wa Kariakoo Dabi ni ishara kwamba ligi imefunguliwa rasmi. Agosti 14,2026 msimu mpya utaanza kwa mechi kali kuch…

Shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA), limemteua mkaguzi wa maadili na nidhamu kuchunguza tuhuma za kauli ya kibaguzi ‘Racism’ dhidi ya mshambuliaji wa Real Madrid, Vinícius Júnior. Tukio hilo lililowahusisha Gianluca Prestianni vs Vinicius Jr limekuwa gumzo kubwa kwenye majukwaa mbalimbali ya Habari. Yote hayo yalit…

Dakika 90 nyingine ngumu za mashindano ya UEFA Champions League zitapigwa leo Jumanne katika jiji la Liverpool nchini England. Ni Liverpool vs Paris Saint-Germain, ambayo ni mechi ya Robo Fainali ya pili. Katika mchezo wa mkondo wa kwanza kwenye Uwanja wa Parc des Princes, ubao wa matokeo ulisoma Paris Saint-Germain 2…

Mambo yameiva ndani ya Simba SC, kuelekea tukio kubwa la Simba day 2026. Tamasha hilo kubwa na kongwe zaidi la soka nchini Tanzania linatarajiwa kufanyika kesho Jumamosi ya Agosti 8, 2026. Ikumbukwe huu unakuwa msimu wa 18 wa tamasha hili tangu kuanzishwa kwake, ambapo kwa mwaka huu limebeba dhima ya kuadhimisha miaka…

Ubao wa Uwanja wa Uhuru umesoma Simba SC 0-1 Police Kenya kilele cha tamasha la Simba Day. Matokeo haya ni mchezo wa kwanza kwa mnyama kupoteza 2026. Kabla ya mechi ya leo ya kirafiki, mnyama alicheza mechi tatu Kagame Cup, Rwanda alishinda moja na sare mbili. Bao la ushindi limefungwa na Elvis Rupia dakika ya […]

Arsenal watasafiri kuelekea Villa Park kukabiliana na Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu Uingereza wiki ya pili. Hapa tumekuletea uchambuzi kamili wa mchezo huu muhimu, ikiwemo hali ya vikosi, takwimu za ana kwa ana, na utabiri wa kitaalamu.

Muda mchache umebaki kabla ya kushuhudia mechi kubwa ya Kariakoo Dabi ya Ngao ya Jamii Yanga SC vs Simba SC. Huu ni Mchezo wa ufunguzi wa msimu wa Ligi Kuu Bara 2026/27, ambayo inatarajiwa kuanza saa 2:30 kesho Agosti 12, 2026. Mchezo huu unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar ambapo tayari S…

Yanga SC vs Simba SC ni leo Uwanja wa New Amaan Complex saa 2:30 usiku mchezo huu mkali unatarajiwa kuchezwa. Ni mabingwa wa NBC Premier League 2025/26 Yanga SC vs Simba SC, mabingwa wa CRDB Federation Cup 2025/26.Mwanzo wa mchezo huu ni ishara ya ufunguzi pazia la ligi kwa msimu wa 2026/27. Taarifa muhimu kuhusu […]

Seleman Mwalimu ametambulishwa Yanga SC rasmi Agosti 11,2026 akitokea Wydad Casablaca. Nyota huyu alikuwa kwenye mpango wa watani za jadi Simba SC ambao walikuwa naye msimu wa 2025/26.Alifunga mabao 9 ndani ya NBC Premier League msimu uliopita akiwa unyamani. Dili la Seleman na Yanga SC lilianza huku: Seleman Mwalimu …

Baada ya kumalizika kwa hatua ya kufuzu, hatimaye mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wanawake WAFCON 2026 yameingia hatua ya Robo Fainali. Mataifa 8 yamefuzu hatua hiyo baada ya mechi za jana usiku, ambapo mataifa hayo ni Pamoja na; Ivory Coast, Cameroon, Ghana, Afrika Kusini, Morocco, Malawi, Algeria na Nig…

Mchezo wa Kariakoo Dabi baina ya Simba SC vs Yanga SC utapigwa Mei 3, 2026. Hii ni mechi itakayokutanisha miamba wawili wa NBC Premier League Tanzania na itachezwa Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo. Mchuano huu mkali utaongozwa na waamauzi kutoka nchi ya Morocco. Mshindi wa mchezo huu anapewa kipato kikubwa kutwaa ubing…

Taarifa mpya Depu na Boka wa Yanga SC haifurahishi kutokana na huduma zao kukosekana uwanjani. Furaha ya mchezaji ni kuwa fiti na maumivu yanamfanya awe nje kwa muda akipambania hali yake. Dickson Job, Clement Mzize, Bacca ni miongoni mwa wanaopambania kurejea kwenye ubora. SOMA HII: Depu straika mpya Yanga, Gueye huy…

Ni Yanga SC 1-0 Simba SC Ngao ya Jamii 2026 mchezo wa ufunguzi pazia la NBC Premier League 2026/27. Wababe hawa walikuwa na dakika 90 bora zilizovuta hisia za wengi. Bao la ushindi lilifungwa na nyota Albert Kangwanda dakika ya 32 kipindi cha kwanza. Taarifa kuhusu Seleman Mwalimu: Ngao ya Jamii Yanga SC vs Simba […]

Azam FC vs Yanga SC ni mchezo ujao kwenye hatua ya nusu fainali ya CRDB Federation Cup. Matajiri wa Dar, wametinga hatua hii kwa kuwafunga Mashujaa FC goli 1-0 mechi iliyopigwa Mei 17, 2026. Wananchi ambao ni mabingwa watetezi walikata tiketi kwa ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya JKT Tanzania. Je ni nani ataweza kumpiku …

WAFCON 2026 imeingia hatua ya Nusu Fainali, ambapo timu nne zimefuzu kusaka nafasi ya kucheza fainali. Mataifa 4 ambayo yamefuzu hatua hiyo baada ya mechi za robo fainali ni: Morocco, Algeria, Malawi na Cameroon. Katika hatua ya Nusu Fainali mechi zinatarajiwa kuwa Morocco vs Cameroon na Algeria vs Malawi. Je, bado hu…

Hatua ya Nusu Fainali ya Muungano Cup 2026 itafikia tamati kesho rasmi kesho Jumapili. Katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, itapigwa mechi kali ya kisasi! Ni Mlandege FC vs Simba SC Nusu Fainali ya pili ya mashindano haya. Mshindi wa mechi hii atavaana na mshindi wa Nusu Fainali nyingine inayochezwa leo Jumamo…

Paris Saint-Germain vs Arsenal, hii ni mechi kubwa zaidi ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu, am,bayo itapigwa leo Jumamosi 30/5/2026. Mechi hii itapigwa kwenye dimba la Puskás Aréna jijini Budapest, Hungary. Mechi hii inatarajiwa kupigwa majira ya saa 1:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Mara ya mwis…

Mzunguko wa 4 matokeo ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27 yamekuwa yakushangaza kwa kila mchezo. Mashujaa FC 2-1 Kagera Sugar ni miongoni mwa mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa. Singida Black Stars 4-2 Polisi Tanzania ni rekodi ya mchezo uliokusanya mabao mengi. Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27: Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 202…

Ligi Kuu ya NBC 2026/27 itaingia katika mzunguko wa tatu wikiendi hii, kwa mechi kadhaa kupigwa kwenye viwanja mbalimbali. Miongoni mwa ratiba za mechi kali ni ile ya Singida Black Stars vs Simba SC. Mpaka sasa ndani ya mechi 2 tu, tayari msimamo wa ligi umeanza kuwa na taswira ya aina yake. Makala hii inachambua […]

Arsenal FC, inayojulikana pia kama Asenali katika mazungumzo ya soka Tanzania, inacheza Premier League na mechi zake za nyumbani kwenye Emirates Stadium, London. Baada ya Matchweek 1 ya 2026/27, Arsenal iko nafasi ya pili kwa pointi 3 baada ya kuifunga Coventry City 3-0. Taarifa hizi zimehakikiwa hadi 25 Agosti 2026. …

Crystal Palace wanajiandaa kuwakaribisha mabingwa watetezi Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza. Hapa tumekuletea uchambuzi wa kina kuhusu mchezo huu muhimu wa mapema msimu.

Yanga SC (1) vs TMA Stars (0) ndio matokeo rasmi kwenye mchezo wa CRDB Federation Cup iliyopigwa Uwanja wa KMC Complex. Mechi hii ilionekana kuwa na ushindani mkubwa kwa kuangalia head to head dhidi ya TMA Stars kutokuwa ya mara nyingi. Licha ya hilo, mchezaji Maxi Nzengeli alifunga goli pekee kwa Yanga SC likiipa tik…
Msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara unakaribia kuanza, na Simba SC wamejipanga vilivyo kuhakikisha wanarejesha heshima yao. Makala haya yanachambua uhamisho muhimu, malengo ya klabu, na matarajio ya mashabiki kuelekea msimu wa 2026/27.

Atletico Madrid vs Barcelona nani anakwenda fainali leo Jumanne? Barcelona wanahitaji kufanya comeback kubwa, maarufu ‘Remontada’ ili kuokoa matumaini yao ya kushinda ubingwa wa Ligi ya Mabingwa. Hii ni katika mchezo mkali wa marudiano utakaopigwa kwenye Uwanja wa Wanda Metropolitano, jijini Madrid. Ikumbukwe mchezo w…

Burudani inaendelea leo Azam FC vs Pamba Jiji FC ni ratiba inayofuata kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mzunguko wa 3 utapigwa Uwanja wa Azam Complex. Matajiri wa Dar wataingia uwanjani wakiwa hawajapoteza mchezo katika mechi mbili zilizopita.Walianza kwa sare ya kufungana 1-1 Polisi Tanzania na mchezo uliopita Azam F…

Kituo kinachofuata ni Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier League 2026/27. Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Airtel, Singida. Kwenye mechi 5 zilizopita, Singida Black Stars haijapata ushindi dhidi ya mnyama. Isome ratiba ya mechi za Simba SC: Ratiba ya Simba SC NBC Premier League 2026/27 mechi 5 zijazo …

Leo ni Yanga SC vs Coastal Union NBC Premier League 2026/27. Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex, Agosti 20,2026, awali ulitarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru, Dar. Matokeo ya mchezo uliopita msimu wa 2025/26 walipokutana ubao ulisoma Yanga SC 3-0 Coastal Union. Usajili wa Yanga SC: Usajili Yanga SC 20…

Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2026/27 inatarajiwa kuanza kwa kishindo, huku klabu za Tanzania, Simba SC na Yanga SC, zikiwa na matumaini makubwa ya kufanya vizuri. Hapa tumekuletea uchambuzi wa kina kuhusu ratiba, timu zinazoshiriki, na nini cha kutarajia kutoka kwa wawakilishi we…

Allan Okello maarufu kama Star Boy kijana mwenye kipaji kutoka Uganda sasa ni sehemu ya kikosi cha Yanga SC. Alijiunga na timu hiyo kwenye usajili wa dirisha dogo 2025/26. Ana umri wa miaka 25 tayari amecheza mechi kwenye NBC Premeir League na CAF Champions League. SOMA HII: Deal done Allan Okelo asaini miaka miwili Y…

Manchester City wanajiandaa kuwakaribisha AFC Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza msimu wa 2026/27. Hapa tumekuletea uchambuzi wa kina wa mchezo huu, tukichunguza hali ya vikosi, takwimu za hivi karibuni, na utabiri wa matokeo.

Simba SC vs Coastal Union ni leo Uwanja wa Meja Jen.Isahmuyo mchezo wa mzunguko wa 4. Mnyama anacheza mchezo wake wa kwanza nyumbani baada ya kucheza mechi 3 ugenini. Simba SC kwenye msimamo ipo nafasi ya pili inakutana na Coastal Union iliyo nafasi ya 14. Kijue kikosi cha Coastal Union: Coastal Union FC: History, Squ…

Simba Queens SC ni klabu ya soka ya wanawake kutoka Dar es Salaam, Tanzania. Klabu hiyo inashiriki Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania na iko chini ya mwamvuli wa Simba Sports Club. Simba Queens ni miongoni mwa timu zinazoongoza katika soka la wanawake Tanzania na mara kwa mara hushindania mataji ya ndani na nafasi za kushi…

Draft prepared for SportPesa correspondent review. Verify sources, images, internal links, and market context before publishing.

Ligi ya Mabingwa Afrika 2026/27 inakaribia hatua ya makundi. Simba SC ya Tanzania inajiandaa kwa changamoto hii kubwa. Uchambuzi huu unachunguza nafasi zao na wapinzani wanaowezekana.

Yanga SC yaichapa 5-0 JKT Tanzania ni matokeo rasmi mchezo wa NBC Premier League. Ushindi huo unawashusha wazee wa kipigo cha kizalendo nafasi ya kwanza mpaka ya pili. Usukani wa ligi upo mikononi mwa Yanga SC ikifikisha jumla ya pointi 28. SOMA HII: Yanga SC haijapoteza mechi 2025/26 NBC Premier League / Kariakoo Dab…

Nottingham Forest na Leeds United wanajiandaa kwa mtanange mkali wa Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2026/27. Hapa tumekuletea uchambuzi wa kina wa mchezo huu muhimu, tukichunguza vikosi, takwimu za hivi karibuni, na utabiri wa kitaalamu.

JKT Tanzania vs Yanga SC kitawaka Jumamosi hii 15/5/2026, ni katika hatua ya Robo Fainali ya Kombe la CRDB Bank Federation. Mechi hii itapigwa Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam kuanzia saa 12:30 jioni, hii ni baada ya kupita siku chache tangu walipovaana na Simba hapohapo. Yanga SC wanaingia katika mchez…

Tumekuletea ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27 Yanga SC vs Pamba Jiji FC. Mchezo huu wa mzunguko wa 4 utapigwa Uwanja wa KMC Complex saa 3:00 usiku. Fountain Gate vs Mbeya City ni saa 10:00 jioni, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Ijue ratiba ya ligi 2026/27: Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27: Mechi […]

Mchezo wa marudiano wa UEFA Champions League kati ya Bayern Munich vs Real Madrid utapigwa leo kwenye Uwanja wa Allianz Arena, Munich nchini Ujerumani. Mechi hii maarufu inayojulikana kama ‘European Classico’ inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa dhidi ya miamba hii miwili ya Ulaya. Mchezo wa mkondo wa kwanza Bayern Mu…

Droo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yaani UEFA Champions League 2026/27 hatua ya ligi imekamilika, na kila timu imetambua wapinzani wao. Baadhi ya timu kubwa kama vile Baadhi ya timu kubwa ambazo zitawasha moto katika hatua hiyo ni pamoja na; Manchester United, Arsenal, PSG, Barcelona, Real Madrid na Liverpool. Baadhi ya m…

SportPesa inakuletea uchambuzi wa kina wa mechi za marudiano za Raundi ya Tatu ya Kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya. Ni timu zipi zitafanikiwa kutinga hatua ya mtoano na kusonga karibu na ndoto ya UCL?

Manchester United wanajiandaa kuwakaribisha Ipswich Town katika mchezo wa Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2026/27. Hapa tumekuletea uchambuzi wa kina kuhusu mchezo huu muhimu, ikiwemo hali ya vikosi, takwimu za ana kwa ana, na utabiri wa matokeo.

Chelsea wanajiandaa kuwakaribisha Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu England msimu wa 2026/27. Mtanange huu muhimu utapigwa Stamford Bridge, huku The Blues wakitafuta kuanza msimu wao wa nyumbani kwa ushindi.
Habari nyingine
Utakuja AFCON 2027?
Viwanja Kenya · Tanzania · Uganda

Singida Black Stars vs Namungo FC NBC Premier League | H2H | Odds | Msimamo | SportPesa Blog

Ratiba ya Ligi Kuu mzunguko wa 5 | Fountain Gate 0-2 Yanga SC | Simba SC 2-0 Geita Gold | Msimamo | SportPesa

Matokeo ya Mechi: Leeds United 1-1 Brentford – Ligi Kuu Uingereza 2026/27 | Takwimu | Highlights
Paris FC 3-0 Nice: Wafungaji, Highlights, Takwimu muhimu Ligue 1
Paris FC na Nice wanakutana katika mchezo muhimu wa Ligue 1 msimu wa 2026/27. Timu zote mbili zilianza msimu kwa sare ya 0-0, hivyo mchezo huu unatoa fursa ya k

Aston Villa vs Arsenal EPL 2026/27: Livescore, H2H, lineups, ratiba, uchambuzi wa kina na utabiri wa Mechi

SportPesa player wins TZS 400,000,000 on Great Ghosts with a TZS 10,000 Bet

Matokeo ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27 | Man of The Match | Maxi Nzengeli | Nathaniel Chilambo | Msimamo| SportPesa Blog

Uchambuzi wa Manchester United dhidi ya Ipswich Town: Mtanange wa Ligi Kuu Uingereza 2026/27

Barcelona La Liga 2026/27: Livescore, H2H, matokeo, ratiba, uchambuzi wa kina na utabiri

Chelsea vs Brighton EPL 2026/27: Livescore, H2H, lineups, ratiba, uchambuzi wa kina na utabiri wa Mechi ya

Singida Black Stars vs Polisi Tanzania Ligi Kuu ya NBC Agosti 29, 2026 | H2H | Odds | SportPesa Blog
Ni Singida Black Stars vs Polisi Tanzania leo Ligi Kuu ya NBC. Wababe hawa wanakutana Uwanja wa Airtel saa 12:30 katika msako wa pointi tatu muhimu. Singida Bla

TRA United SC vs Dodoma Jiji FC | Singida Black Stars vs Polisi Tanzania | Ratiba, matokeo, msimamo | SportPesa Blog

Yanga SC 2-0 Pamba Jiji FC NBC Premier League 2026/27 | Highlights

Arsenal FC: Ratiba, Matokeo, Msimamo, Kikosi na Habari Mpya

Crystal Palace vs Manchester City: Ratiba na uchambuzi wa kina na utabiri wa Mechi ya EPL 2026/27

Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Yanga SC vs Pamba Jiji FC | Matokeo mzunguko wa 4 | Msimamo | SportPesa Blog

Simba SC 1-0 Coastal Union NBC Premier League | Ismail Toure | Highlight | Msimamo | SportPesa Blog

Droo ya UEFA Champions League 2026/27: Matokeo na ratiba, Manchester United na Arsenal kucheza na nani?
Droo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yaani UEFA Champions League 2026/27 hatua ya ligi imekamilika, na kila timu imetambua wapinzani wao. Baadhi ya timu kubwa kama vi

Timu 36 uso kwa uso droo ya UEFA Europa League 2026/27: Matokeo na ratiba: Matokeo na Uchambuzi

Manchester United: Ratiba, Matokeo, Msimamo, Kikosi na Habari Mpya
Importance of Peace for National Development
Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi.
Akizungumza leo Juni 1, 2026 jijini Dodoma kuhusu umuhimu wa amani katika jamii, Msita amesema maendeleo yanapatikana katika mazingira yenye utulivu na mshikamano, akisisitiza kuwa sehemu yenye maendeleo ni sehemu inayompendeza Mungu.
Kihongosi amewataka wananchi kuendelea kulinda amani na mshikamano uliopo nchini, akisema Tanzania imeendelea kuwa mfano wa utulivu kutokana na umoja na upendo wa wananchi wake.
Kibadeni ameyasema hayo katika mahojiano maalumu, akisisitiza umuhimu wa vijana kutumia vyema nafasi wanazopewa na kushirikiana katika kulinda amani, akibainisha kuwa ustawi wa taifa lolote unategemea uwepo wa amani.
He called on Christians and the wider community to embrace forgiveness, love and peace as essential pillars for building a united and harmonious society.
Ameeleza kuwa amani ni msingi muhimu wa maendeleo ya Taifa, na kusisitiza kuwa bila amani, jitihada zote za maendeleo haziwezi kufikiwa.
Amani ni zawadi kutoka kwa Mungu na ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa. "Mungu ameturuzuku amani, ni kipaji na kipawa. Tuna kila sababu ya kuitunza na kuilinda, kwani bila amani hakuna maendeleo, wananchi hawatakuwa salama, na tutakimbia nchi yetu wenyewe," amesisitiza.
Amesisitiza kuwa Tanzania ni kivutio cha wivu kwa watu wa mataifa mengine, kutokana na amani na utulivu iliyonayo.
Kuhani Baraka pia amewakumbusha waumini na wananchi wote kudumisha amani wakati wa uchaguzi, akisema amani ni nguzo ya maendeleo na msingi wa haki.
Alisema unaweza kudai vitu vyote kama vile barabara za lami, maji, hospital, katiba mpya, mishara mikubwa lakini kukiwa hakuna amani huwezi kuvitumia vitu vyote hivyo kwa kuwa watu watasambatika huko na kule kwa machafuko ya vita.
Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict
In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.
The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.
Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.
Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.
Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.
Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani
Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.
Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.
Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.
Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”
Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.
The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.
Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.
Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.
TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI
Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8 kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.
Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.
In his final political move, Bungara announced his resignation from ACT Wazalendo on February 18, 2026. He formally joined CHADEMA, the nation’s largest opposition party, aligning himself with their boycott of elections they deemed fundamentally unfair.
The Court of Appeal here began hearing a critical revision application from the main opposition party, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) on Tuesday, which seeks to overturn a High Court injunction that has barred it from conducting any political activities since June 2025.
Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 tangu kilipowekewa zuio hilo.
Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions.
Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions. He donated his personal vehicle and fuel to party organisers and handed over resources to young CHADEMA activists, resulting in thousands of people switching from other parties to join CHADEMA within that single week.
Mgawanyiko huo umejidhihirisha kupitia makundi mawili yenye mitazamo tofauti kuhusu mustakabali wa chama.
Sifuna alisisitiza kuwa yuko tayari kusimama imara kulinda misingi ya chama, akipinga kile alichodai ni juhudi za kukisogeza karibu na mamlaka ya serikali.
Gachagua ameanza kujijenga kama sauti mbadala ya kisiasa, hasa kwa vijana, akishambulia sera za serikali kwa madai ya kushindwa kuboresha maisha ya wananchi wa kawaida.
Kutokuwepo kwake katika mstari wa mbele wa siasa za uchaguzi wa 2027 kumeacha pengo ambalo sasa linajazwa na makundi yenye mitazamo tofauti.
All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.
William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo
PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.
Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.
Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.
Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.
Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.
Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.
Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.
Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.
Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.
According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.
Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.
Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.
Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.
WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.
Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.
Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.
William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.
Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.
PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.
President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.
DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.