
Gundua
62 habariHabari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta
Unaona habari zinazohusishwa na NEMC chini (pamoja na mengine ya Gundua).

.jpeg)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni amewataka wadau wa maendeleo nchini kutumia Soko la Kaboni kuanzisha miradi inayoweza kufadhilika, mifumo inayotabirika na uwekezaji unaopimika.Waziri Masauni ameyasema hayo Oktoba 22, 2026 Hyatt Regency akifungua Jukwaa …
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), kupitia Mkurugenzi Mkuu wake, Dkt. Immaculate Semesi, linashiriki katika Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO (48th Session of the World Heritage Committee) kinachofanyika jijini Busan, Jamhuri ya Korea.Kikao hicho kinawakutanisha wajumbe kut…
Aipongeza Serikali kwa kuthamini Mazingira katika Dira ya 2050 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dkt. Maduhu Kazi, amezuru NEMC kwa mara ya kwanza tangu kuteuliwa kwake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kushika wadhifa huoAkizungumza wakati wa ziara hiyo, Dkt…
.jpeg)
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira leo, Oktoba 17, 2026, imefanya ziara ya kukagua hali ya mazingira katika Dampo la Pugu Kinyamwezi na Mto Ng’ombe, Dar es Salaam, kwa lengo la kutathmini utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, Sep…

𝗬𝗮𝗺𝗽𝗮𝘁𝗶𝗮 𝗠𝗸𝘂𝗿𝘂𝗴𝗲𝗻𝘇𝗶 𝗠𝗸𝘂𝘂 𝗧𝘂𝘇𝗼 𝘆𝗮 𝗛𝗲𝘀𝗵𝗶𝗺𝗮 𝗻𝗮 𝗖𝗵𝗲𝘁𝗶 𝗸𝘂𝗳𝗮𝗻𝗶𝗸𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗞𝗼𝗻𝗴𝗮𝗺𝗮𝗻𝗼 𝗵𝗶𝗹𝗼Taasisi ya Grina Foundation imetambua mchango wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) katika kufanikisha Kongamano la Tanzania Green Summit 2026 na kumpatia Mkurugenzi Mkuu, Dkt. Immaculate Sware Semesi tuzo ya heshima n…

Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) lilishiriki katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Umoja wa Ulaya na Tanzania lililofanyika kuanzia tarehe 28 Septemba hadi 6 Oktoba 2026 nchini Finland, Italia, Uholanzi na Ubelgiji. Kongamano hilo liliwakutanisha wawakilishi wa Serikali, taasisi za umma, se…

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni, ametoa wito kwa Viongozi wakiwemo wa Halmashauri na NEMC kushirikisha wananchi kikamilifu katika kupanga na kusimamia mifumo ya ukusanyaji taka, elimu ya usafi wa mazingira kuimarishwa na Sheria kusimamiwa kikamilifu ili…

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira (IUCN), limeandaa mkutano wa Tanzania Ocean Governance Forum, unaofanyika Oktoba 15–16, 2026, katika ukumbi wa Ramada Hotel, Dar es Salaam. Mkutano huo unawakutanisha wadau kutoka taasisi za s…

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Reuben Nhamanilo Kwagilwa, ametoa maagizo kwa wakuu wa mikoa nchi nzima kuchukua hatua za haraka za kukabiliana na athari za kimazingira zinazoweza kusababishwa na mvua za el niño zinazotarajiwa kunyesha nchini ikiwemo kusitisha shughuli za kilimo na Biashara kati…
Habari nyingine
Utakuja AFCON 2027?
Viwanja Kenya · Tanzania · Uganda

NEMC YAKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI

NEMC YAKUTANA NA KAMATI MBILI ZA KUDUMU ZA BUNGE
.jpeg)
WAZIRI MASAUNI AWATAKA WADAU KUTUMIA SOKO LA KABONI KUANZISHA MIRADI YENYE TIJA

NEMC, TNBC NA TPSF ZAKUTANA KUJADILI NAMNA YA KUBORESHA HUDUMA ZA EIA KWA WAWEKEZAJI
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekutana na Kiongozi wa Tanzania National Business Council (TNBC) pamoja na Rais wa Tanzania Priva
.jpeg)
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAJI NA MAZINGIRA YAKAGUA HALI YA MAZINGIRA DAMPO LA PUGU NA MTO NG’OMBE DAR ES SALAAM

NEMC NA IUCN ZAKUTANISHA WADAU KUJADILI MUSTAKABALI WA USIMAMIZI ENDELEVU WA BAHARI TANZANIA

NEMC YAHIMIZA SOKO LA KABONI LENYE UADILIFU KWA MAENDELEO ENDELEVU YA TANZANIA

TANZANIA GREEN SUMMIT YATAMBUA MCHANGO WA NEMC KONGAMANO LA 2026

WAZIRI MASAUNI AAGIZA KUIMARISHWA KWA USAFI NA USIMAMIZI WA TAKA MTO NG’OMBE

NEMC YASHIRIKI KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA UMOJA WA ULAYA NA TANZANIA

NEMC YATUMIA COP12 KUIMARISHA UHIFADHI WA MAZINGIRA NA FURSA ZA USHIRIKIANO
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linashiriki kikamilifu katika Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12), unaofan

NEMC YASHIRIKI MKUTANO WA FEDHA ZA TABIANCHI (CLIMATE FINANCE)
.jpeg)
NEMC KANDA YA BAGAMOYO YASHIRIKI UZINDUZI WA "BALOZI BATILDA ENVIRONMENT DAY"
.jpeg)
MASAUNI AITAKA NEMC KUDHIBITI UCHAFUZI WA MAZINGIRA NCHINI

𝐍𝐄𝐌𝐂 𝐘𝐀𝐓𝐎𝐀 𝐌𝐀𝐀𝐆𝐈𝐙𝐎 𝐌𝐀𝐓𝐀𝐓𝐔 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐈𝐒𝐇𝐈𝐎 𝐌𝐀𝐁𝐎𝐍𝐃𝐄𝐍𝐈 𝐌𝐊𝐎𝐀 𝐖𝐀 𝐌𝐎𝐑𝐎𝐆𝐎𝐑𝐎

ELIMU YA ZIMAMOTO NA UOKOAJI YATOLEWA KWA WATUMISHI WA NEMC

MAKAMU WA RAIS AZURU DAMPO LA PUGU KINYAMWEZI

WAZIRI MASAUNI AIPONGEZA BODI YA WAKURUGENZI NEMC KWA USIMAMIZI WA MAZINGIRA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yusuf Masauni, ameipongeza Bodi ya Wakurugenzi NEMC kwa utekelezaji wa majukumu

NEMC YASHIRIKI MKUTANO WA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM-MIKAKATI YA USAFI WA JIJI

NEMC YATOA WITO WA KUGEZA UBUNIFU WA MAZINGIRA KUWA FURSA ZA UWEKEZAJI NA AJIRA
Importance of Peace for National Development
Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi.
Akizungumza leo Juni 1, 2026 jijini Dodoma kuhusu umuhimu wa amani katika jamii, Msita amesema maendeleo yanapatikana katika mazingira yenye utulivu na mshikamano, akisisitiza kuwa sehemu yenye maendeleo ni sehemu inayompendeza Mungu.
Kihongosi amewataka wananchi kuendelea kulinda amani na mshikamano uliopo nchini, akisema Tanzania imeendelea kuwa mfano wa utulivu kutokana na umoja na upendo wa wananchi wake.
Kibadeni ameyasema hayo katika mahojiano maalumu, akisisitiza umuhimu wa vijana kutumia vyema nafasi wanazopewa na kushirikiana katika kulinda amani, akibainisha kuwa ustawi wa taifa lolote unategemea uwepo wa amani.
He called on Christians and the wider community to embrace forgiveness, love and peace as essential pillars for building a united and harmonious society.
Ameeleza kuwa amani ni msingi muhimu wa maendeleo ya Taifa, na kusisitiza kuwa bila amani, jitihada zote za maendeleo haziwezi kufikiwa.
Amani ni zawadi kutoka kwa Mungu na ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa. "Mungu ameturuzuku amani, ni kipaji na kipawa. Tuna kila sababu ya kuitunza na kuilinda, kwani bila amani hakuna maendeleo, wananchi hawatakuwa salama, na tutakimbia nchi yetu wenyewe," amesisitiza.
Amesisitiza kuwa Tanzania ni kivutio cha wivu kwa watu wa mataifa mengine, kutokana na amani na utulivu iliyonayo.
Kuhani Baraka pia amewakumbusha waumini na wananchi wote kudumisha amani wakati wa uchaguzi, akisema amani ni nguzo ya maendeleo na msingi wa haki.
Alisema unaweza kudai vitu vyote kama vile barabara za lami, maji, hospital, katiba mpya, mishara mikubwa lakini kukiwa hakuna amani huwezi kuvitumia vitu vyote hivyo kwa kuwa watu watasambatika huko na kule kwa machafuko ya vita.
Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict
In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.
The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.
Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.
Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.
Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.
Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani
Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.
Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.
Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.
Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”
Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.
The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.
Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.
Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.
TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI
Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8 kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.
Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.
In his final political move, Bungara announced his resignation from ACT Wazalendo on February 18, 2026. He formally joined CHADEMA, the nation’s largest opposition party, aligning himself with their boycott of elections they deemed fundamentally unfair.
The Court of Appeal here began hearing a critical revision application from the main opposition party, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) on Tuesday, which seeks to overturn a High Court injunction that has barred it from conducting any political activities since June 2025.
Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 tangu kilipowekewa zuio hilo.
Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions.
Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions. He donated his personal vehicle and fuel to party organisers and handed over resources to young CHADEMA activists, resulting in thousands of people switching from other parties to join CHADEMA within that single week.
Mgawanyiko huo umejidhihirisha kupitia makundi mawili yenye mitazamo tofauti kuhusu mustakabali wa chama.
Sifuna alisisitiza kuwa yuko tayari kusimama imara kulinda misingi ya chama, akipinga kile alichodai ni juhudi za kukisogeza karibu na mamlaka ya serikali.
Gachagua ameanza kujijenga kama sauti mbadala ya kisiasa, hasa kwa vijana, akishambulia sera za serikali kwa madai ya kushindwa kuboresha maisha ya wananchi wa kawaida.
Kutokuwepo kwake katika mstari wa mbele wa siasa za uchaguzi wa 2027 kumeacha pengo ambalo sasa linajazwa na makundi yenye mitazamo tofauti.
All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.
William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo
PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.
Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.
Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.
Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.
Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.
Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.
Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.
Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.
Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.
According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.
Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.
Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.
Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.
WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.
Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.
Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.
William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.
Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.
PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.
President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.
DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.