Gundua

59 habari
Nukta Publish

Habari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta

Unaona habari zinazohusishwa na NBS chini (pamoja na mengine ya Gundua).

Usafiri na Uhifadhi Mkurugenzi Mkuu TASAC: MV Liemba Ku…

Ofisi ya Taifa ya Takwimu - NBS kwa kushirikiana na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania - TASAC, zimesaini Makubaliano ya Ushirikiano - MoU kufanya Sensa ya Vyombo vya Usafiri wa Majini na Wajenzi wa Meli Tanzania Bara Mwaka 2026/2027 ili kupata Takwimu rasmi zitakazosaidia kubor…

NBS
Uchumi GF Trucks Yatwaa Tuzo ya Ubora wa B…

Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Amina Msengwa, ametangaza kuanza kwa tafiti nne muhimu za kitaifa zitakazokusanya taarifa za kina kuhusu shughuli za biashara, sekta isiyo rasmi, huduma za fedha kwa wafanyabiashara wadogo na uzalishaji viwandani, hatua inayolenga kuimarisha mipang…

NBS
News Prof.nombo ataka elimu izalishe uju…

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule amesema kuwa mafunzo ya uandaaji wa Wasifu wa kijamii na kiuchumi wa mikoa pamoja na Halmashauri yataisaidia Serikali kupata Takwimu rasmi ambazo zitatumika kupanga na kutekeleza mipango mbalimbali ya maendeleo nchini. Mhe. Senyamul…

NBS
Kilimo, Misitu na Uvuvi Wakulima na wafugaji wakiri kupata …

Ofisi ya Taifa ya Takwimu - NBS inaendelea na zoezi la Utafiti wa Kilimo wa Mwaka 2024/2025 unaofanyika kote nchini, ambao una lengo la kukusanya takwimu kuhusu ukubwa wa maeneo ya kilimo na uzalishaji wa mazao, idadi ya mifugo na mazao yatokanayo na mifugo pamoja na ufugaji wa v…

NBS
Elimu Rais samia aielekeza tamisemi kusim…

Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Amina Msengwa amewahimiza Wataalam wa Mikoa na Halmashauri zote nchini kufahamu vema sura na idadi ya watu katika maeneo yao hususan katika uandaaji wa Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa mikoa na Halmashauri hizo, ili kupata Takwimu zenye ushahidi wa…

NBS
News Tanzania, Marekani zajadili biashar…

Ofisi ya Taifa ya Takwimu - NBS na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar – OCGS zimeshiriki mdahalo wa pamoja ulioandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto – UNICEF wenye lengo la kubadilishana uzoefu wa kupima umaskini wa mtoto kwa kutumia methodolojia ya…

NBS
Uchumi Tanzania Inflation

The annual Headline Inflation Rate for March 2026 remained unchanged at 3.2 percent, as it was recorded in February 2026. This stagnation indicates that the pace of price changes for commodities in the year ending March 2026 was the same as in the year ended February 2026. The st…

NBS
Makala kuhusu matukio yaliyopita

Habari nyingine

Mhe. Makinda: Teknolojia katika Uzalishaji Takwimu Rasmi Itumike Kutatua Changamoto za Wananchi
Teknolojia

Mhe. Makinda: Teknolojia katika Uzalishaji Takwimu Rasmi Itumike Kutatua Changamoto za Wananchi

NBS· 24 Ago 2026
NBS, OCGS Zashirikiana, UNICEF Kuandaa Ripoti ya Umaskini wa Mtoto
News

NBS, OCGS Zashirikiana, UNICEF Kuandaa Ripoti ya Umaskini wa Mtoto

NBS· 13 Ago 2026
Kamati ya Bunge ya Bajeti Yaipongeza Wizara ya Fedha Kuifanya NBS Kuwa Chanzo cha Takwimu Rasmi Nchini
News

Kamati ya Bunge ya Bajeti Yaipongeza Wizara ya Fedha Kuifanya NBS Kuwa Chanzo cha Takwimu Rasmi Nchini

NBS· 13 Ago 2026
NBS, OCGS Zaanza Majaribio Utafiti NPS 2026
Elimu

NBS, OCGS Zaanza Majaribio Utafiti NPS 2026

Ofisi ya Taifa ya Takwimu - NBS kwa kushirikiana na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Zanzibar - OCGS zimeanza zoezi la majaribio kwa Wadadisi na Wasimamizi

NBS· 06 Ago 2026
SG Dkt. Msengwa Afungua Kikao Uchambuzi IHBS 2025 Ikiwa ni Maandalizi ya Ripoti ya EAC - MPI
News

SG Dkt. Msengwa Afungua Kikao Uchambuzi IHBS 2025 Ikiwa ni Maandalizi ya Ripoti ya EAC - MPI

NBS· 15 Jul 2026
POLITICS Jul 01, 2026 10 10 3

Importance of Peace for National Development

Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi.

Maelezo ya Ziada
habarileo.co.tzRead more

Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi.

habarileo.co.tzRead more

Akizungumza leo Juni 1, 2026 jijini Dodoma kuhusu umuhimu wa amani katika jamii, Msita amesema maendeleo yanapatikana katika mazingira yenye utulivu na mshikamano, akisisitiza kuwa sehemu yenye maendeleo ni sehemu inayompendeza Mungu.

michuzi.co.tzRead more

Kihongosi amewataka wananchi kuendelea kulinda amani na mshikamano uliopo nchini, akisema Tanzania imeendelea kuwa mfano wa utulivu kutokana na umoja na upendo wa wananchi wake.

habarileo.co.tzRead more

Kibadeni ameyasema hayo katika mahojiano maalumu, akisisitiza umuhimu wa vijana kutumia vyema nafasi wanazopewa na kushirikiana katika kulinda amani, akibainisha kuwa ustawi wa taifa lolote unategemea uwepo wa amani.

dailynews.co.tzRead more

He called on Christians and the wider community to embrace forgiveness, love and peace as essential pillars for building a united and harmonious society.

habarileo.co.tzRead more

Ameeleza kuwa amani ni msingi muhimu wa maendeleo ya Taifa, na kusisitiza kuwa bila amani, jitihada zote za maendeleo haziwezi kufikiwa.

habarileo.co.tzRead more

Amani ni zawadi kutoka kwa Mungu na ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa. "Mungu ameturuzuku amani, ni kipaji na kipawa. Tuna kila sababu ya kuitunza na kuilinda, kwani bila amani hakuna maendeleo, wananchi hawatakuwa salama, na tutakimbia nchi yetu wenyewe," amesisitiza.

habarileo.co.tzRead more

Amesisitiza kuwa Tanzania ni kivutio cha wivu kwa watu wa mataifa mengine, kutokana na amani na utulivu iliyonayo.

habarileo.co.tzRead more

Kuhani Baraka pia amewakumbusha waumini na wananchi wote kudumisha amani wakati wa uchaguzi, akisema amani ni nguzo ya maendeleo na msingi wa haki.

habarileo.co.tzRead more

Alisema unaweza kudai vitu vyote kama vile barabara za lami, maji, hospital, katiba mpya, mishara mikubwa lakini kukiwa hakuna amani huwezi kuvitumia vitu vyote hivyo kwa kuwa watu watasambatika huko na kule kwa machafuko ya vita.

NBS, TASAC Zasaini Makubaliano Kufanya Sensa Vyombo vya Usafiri Majini
Usafiri na Uhifadhi

NBS, TASAC Zasaini Makubaliano Kufanya Sensa Vyombo vya Usafiri Majini

NBS· 04 Jun 2026
Mhe. Kwagilwa: Tutunze Mazingira Kuelekea 2050
Mazingira na Hali ya Hewa

Mhe. Kwagilwa: Tutunze Mazingira Kuelekea 2050

NBS· 02 Jun 2026
Wataalam NBS Waanza Zoezi la Uchakataji Maoni ya Wadau Maandalizi ya SP Mpya
News

Wataalam NBS Waanza Zoezi la Uchakataji Maoni ya Wadau Maandalizi ya SP Mpya

NBS· 22 Mei 2026
NBS, OCGS Zaanza Uandishi wa Ripoti Mbili Arusha
News

NBS, OCGS Zaanza Uandishi wa Ripoti Mbili Arusha

NBS· 21 Mei 2026
NBS, OCGS Zaanza Uhariri, Uchakataji Taarifa Utafiti wa Kina wa Shughuli za Biashara 2025
News

NBS, OCGS Zaanza Uhariri, Uchakataji Taarifa Utafiti wa Kina wa Shughuli za Biashara 2025

Ofisi ya Taifa ya Takwimu - NBS kwa kushirikiana na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar –OCGS zimeanza zoezi la kuhariri na kuchakata taarifa za Utafiti

NBS· 20 Mei 2026
NBS, SADC Watoa Mafunzo ya Python kwa Wachakataji Takwimu
News

NBS, SADC Watoa Mafunzo ya Python kwa Wachakataji Takwimu

NBS· 20 Mei 2026
Masolwa: Takwimu Rasmi Msingi wa Mipango ya Maendeleo Nchini
News

Masolwa: Takwimu Rasmi Msingi wa Mipango ya Maendeleo Nchini

NBS· 20 Mei 2026
Mafunzo Uandaaji Wasifu wa Kijamii, Kiuchumi Kuimarisha Mipango ya Maendeleo Nchini
News

Mafunzo Uandaaji Wasifu wa Kijamii, Kiuchumi Kuimarisha Mipango ya Maendeleo Nchini

NBS· 15 Mei 2026
Dkt. Msengwa: Takwimu Rasmi ni Msingi Kufikia DIRA 2050
News

Dkt. Msengwa: Takwimu Rasmi ni Msingi Kufikia DIRA 2050

NBS· 15 Mei 2026
NBS, OCGS Zaanza Uhakiki, Uchambuzi wa Taarifa Utafiti wa Sekta Isiyo Rasmi 2025
News

NBS, OCGS Zaanza Uhakiki, Uchambuzi wa Taarifa Utafiti wa Sekta Isiyo Rasmi 2025

NBS· 13 Mei 2026
NBS Yashirikisha Wadau Maandalizi ya SP Mpya
Elimu

NBS Yashirikisha Wadau Maandalizi ya SP Mpya

NBS· 13 Mei 2026
Majaribio Utafiti wa NPS 2026 Kimandolu
Elimu

Majaribio Utafiti wa NPS 2026 Kimandolu

Timu ya watakwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu - NBS kwa kushirikiana na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar - OCGS tarehe 12 Mei 2026 imefika katik

NBS· 13 Mei 2026
SG Dkt. Msengwa: Fahamuni Sura za Maeneo Mnayofanyia Kazi
Elimu

SG Dkt. Msengwa: Fahamuni Sura za Maeneo Mnayofanyia Kazi

NBS· 13 Mei 2026
Seiya: Uandaaji Wasifu wa Mkoa Kuvutia Wawekezaji
Uchumi

Seiya: Uandaaji Wasifu wa Mkoa Kuvutia Wawekezaji

NBS· 13 Mei 2026
Wataalam Tabora Wanolewa Kuandaa Wasifu wa Mkoa
Uchumi

Wataalam Tabora Wanolewa Kuandaa Wasifu wa Mkoa

NBS· 13 Mei 2026
ECONOMY Apr 01, 2026 19 10 7

Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

Maelezo ya Ziada
thechanzo.comRead more

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

dailynews.co.tzRead more

The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.

bongo5.comRead more

Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.

mwananchi.co.tzRead more

wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.

thecitizen.co.tzRead more

Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.

globalpublishers.co.tzRead more

wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.

mwananchi.co.tzRead more

Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.

globalpublishers.co.tzRead more

Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani

mzalendo.co.tzRead more

Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.

mzalendo.co.tzRead more

Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.

Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.

Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”

Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.

The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.

Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.

Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.

TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI

Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8​ kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.

Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.

POLITICS Apr 01, 2026 9 4 2

Chadema's Appeal Against Political Activity Ban After 283 Days

Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 tangu kilip…

Maelezo ya Ziada
thechanzo.comRead more

In his final political move, Bungara announced his resignation from ACT Wazalendo on February 18, 2026. He formally joined CHADEMA, the nation’s largest opposition party, aligning himself with their boycott of elections they deemed fundamentally unfair.

thechanzo.comRead more

The Court of Appeal here began hearing a critical revision application from the main opposition party, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) on Tuesday, which seeks to overturn a High Court injunction that has barred it from conducting any political activities since June 2025.

mwananchi.co.tzRead more

Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 tangu kilipowekewa zuio hilo.

mwananchi.co.tzRead more

Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions.

Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions. He donated his personal vehicle and fuel to party organisers and handed over resources to young CHADEMA activists, resulting in thousands of people switching from other parties to join CHADEMA within that single week.

Mgawanyiko huo umejidhihirisha kupitia makundi mawili yenye mitazamo tofauti kuhusu mustakabali wa chama.

Sifuna alisisitiza kuwa yuko tayari kusimama imara kulinda misingi ya chama, akipinga kile alichodai ni juhudi za kukisogeza karibu na mamlaka ya serikali.

Gachagua ameanza kujijenga kama sauti mbadala ya kisiasa, hasa kwa vijana, akishambulia sera za serikali kwa madai ya kushindwa kuboresha maisha ya wananchi wa kawaida.

Kutokuwepo kwake katika mstari wa mbele wa siasa za uchaguzi wa 2027 kumeacha pengo ambalo sasa linajazwa na makundi yenye mitazamo tofauti.

NATIONAL Mar 28, 2026 28 15 7

William Lukuvi's Death Announced by President Samia Suluhu Hassan on March 25, 2026

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

Maelezo ya Ziada
dailynews.co.tzRead more

All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.

dailynews.co.tzRead more

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.

dailynews.co.tzRead more

William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo

habarileo.co.tzRead more

PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.

dailynews.co.tzRead more

Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.

habarileo.co.tzRead more

Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.

habarileo.co.tzRead more

Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.

swahilitimes.co.tzRead more

Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.

mwananchi.co.tzRead more

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

mwananchi.co.tzRead more

Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.

thecitizen.co.tzRead more

Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.

globalpublishers.co.tzRead more

Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.

globalpublishers.co.tzRead more

According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.

mzalendo.co.tzRead more

Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.

mwananchi.co.tzRead more

Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.

Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.

WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA

William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.

William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.

Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.

Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.

William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.

Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.

PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.

President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.

DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.