
Gundua
1079 habariHabari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta
Unaona habari zinazohusishwa na Mwananchi chini (pamoja na mengine ya Gundua).


Wakati Jukwaa la Kimataifa la Teknolojia na Akili Unde (Tech an AI Internation Expo), likitarajiwa kufanyika Zanzibar, Serikali imesema inadhamiria kukifanya kisiwa hicho kuwa kitovu cha ubunifu na mageuzi ya kidijitali barani Afrika.

Soma zaidi...

Wizara ya Afya imetangaza mpango wa taifa wa dharura wa miezi sita wa kukabiliana na ugonjwa wa virusi vya Ebola aina ya Bundibugyo (BVD) huku ikitaja mikoa 11 iliyo katika hatari ya kuingiliwa na ugonjwa huo.

Soma zaidi hapa...

Wakati wafanyabiashara wanane wakipatiwa mkopo wenye jumla ya Sh1.048 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta vijijini, Serikali imetaka kuangaliwa uwezekano wa kuanzisha mpango kama huo kwa ajili ya vituo vya kujaza gesi vijijini.

Mashambulizi ya Iran yamefika Jordan, Bahrain, Kuwait na Qatar, huku wanajeshi kadhaa wa Marekani wakiripotiwa kupoteza maisha nchini Jordan kufuatia mashambulizi yanayodaiwa kufanywa na Iran kulenga kambi za Kijeshi za Marekani Katika mataifa hayo.

Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimewasilisha bajeti zao za Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/27 huku baadhi zikiweka nguvu kwenye mapato ya ndani kwa kutumia rasilimali walizonazo.

Katika kile kinachoonekana kama hatua kubwa ya mageuzi ya sekta ya nishati nchini, Tanzania imezindua rasmi miundombinu ya kuchaji magari ya umeme pamoja na mpango wa ufadhili wa majiko ya umeme, hatua inayolenga kuharakisha matumizi ya nishati safi katika usafiri na upishi.

Mjadala huo unatarajiwa kuwa kiini cha Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) 2026 litakalofanyika Oktoba 20 hadi 22, 2026 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Profesa Muhongo ametoa ombi hilo leo, Jumamosi, Julai 4, 2026, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Suguti na kuhudhuriwa na Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba.

Soma hapa...

Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika leo Juni 13, 2026 Wilayani Kibaha ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa.

Serikali imewahimiza Watanzania kujitokeza kwa wingi na mara kwa mara kuchangia damu ili kusaidia kuokoa maisha ya maelfu ya wagonjwa, hususan akina mama wajawazito, watoto wenye upungufu wa damu, wagonjwa wa saratani na wenye ugonjwa wa selimundu.

Makubaliano mapya kati ya Marekani na Iran yaliyolenga kusitisha vita, kufungua tena Mlango wa Bahari wa Hormuz na kurejesha mazungumzo ya kisiasa, yanakabiliwa na sintofahamu mpya.

Soma zaidi hapa...

Ziara hiyo ya kipekee imevuta hisia za kihistoria, ikionyesha kwa vitendo mshikamano wa damu uliopo kati ya Tanzania na Namibia tangu enzi za harakati za ukombozi wa Kusini mwa Afrika.

Zaidi ya Sh180 bilioni zimetolewa na NMB Bank Plc kufadhili wafugaji na biashara katika mnyororo wa thamani wa mifugo, hatua inayolenga kuongeza uzalishaji wa kibiashara, ajira na upatikanaji wa masoko nchini.

Ilikuwa kama ndoto pale taarifa za majonzi zilipoifikia familia ya George Abwao, Juni 20, 2026, baada ya aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Richard Abwao, kufariki dunia.

Soma zaidi hapa...

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua jengo la huduma ya tiba ya mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC, lililogharimu zaidi ya Sh17 bilioni.

Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imefanikiwa kufanya kwa mara ya kwanza upasuaji wa moyo kwa njia ya matundu kwa watoto watatu kutoka Burundi, hatua inayotajwa kuimarisha uwezo wa Tanzania katika kutoa huduma za kibingwa na kukuza utalii wa matibabu barani Afrika.

Soma hapa...

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemwagiza mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa barabara za kuelekea uwanja utakaotumika kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027 kuhakikisha kazi hiyo inafanyika usiku na mchana ili ikamilike kwa wakati.

Mazungumzo mapya ya kidiplomasia kati ya Marekani na Iran yanatarajiwa kufanyika Jumanne mjini Doha, Qatar, katika jaribio jipya la kurejesha mwafaka wa kusitisha mapigano uliokuwa umeanza kuyumba baada ya kuibuka tena mashambulizi ya kijeshi.

Dodoma. Serikali ya Tanzania na Uturuki zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta ya kilimo ili kuongeza tija, kuimarisha usalama wa chakula na kuchochea ukuaji wa uchumi kupitia shughuli za kilimo. Hayo yameelezwa leo, Ijumaa Juni 19, 2026 na Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, wakati wa mazungumzo na Balozi w…

Soma hapa...

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Julai 31, 2026 anaondoka nchini kuelekea Angola kwa ziara ya kikazi ya siku mbili, kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Angola, João Lourenço.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, John Heche amesema hatishiki na mashambulizi yanayoelekezwa dhidi yake, akijifananisha na mchezaji hatari uwanjani anayekabwa zaidi.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Leonard Akwilapo amekabidhi jumla ya hati za kimila 1,195 katika vijiji vya Solwe Kata ya Nyambiti wilayani Kwimba na Lubuga, Kata ya Mabuki wilayani Misungwi mkoani Mwanza, akiwataka wananchi kumiliki ardhi kisheria ili kuondokana na migogoro pamoja na kuzuia kunyany…

Soma hapa...

Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amewaalika wafanyabiashara kutoka Ufaransa kuwekeza nchini Tanzania kwani kuna fursa ya kutengeneza ajira, kuhamisha ujuzi na kujenga uchumi wa viwanda kwa faida ya nchi zote mbili.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema nchi itaendelea kuwa salama, akisisitiza Serikali haipangiwi tarehe, iko tayari na imara wakati wote na katika maeneo yote.

Soma zaidi...

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limesema mwitikio wa wananchi wanaotembelea banda lake katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), unaashiria kuongeza uelewa wa jamii kuhusu nafasi ya elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi (TVET) katika kuchoc…

Arusha. Halmashauri ya Jiji la Arusha imetoa mikopo isiyo na riba yenye thamani ya Sh1.211 bilioni kwa vikundi 101 vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Mikopo hiyo imetolewa leo Juni 6, 2026 kupitia mpango wa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2025/2026. Akikabidhi hundi…

Soma hapa...

Mbeya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, amewataka wataalamu wa Nyanda za Juu Kusini kutafuta suluhu ya migogoro ya ardhi kwa kuimarisha usimamizi na upimaji wa maeneo ya wananchi. Vilevile, wananchi wa mikoa hiyo wameombwa kujitokeza kwa wingi katika Maonesho ya Nanenane yanayofanyika jijini humo, ili kujifunza tek…

Dar es Salaam. Katika kuimarisha mapambano dhidi ya bidhaa bandia nchini, Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) imetakiwa kuanzisha na kupanua matumizi ya teknolojia ya kisasa katika uchunguzi, ufuatiliaji na udhibiti wa bidhaa bandia, hususan katika masoko ya kidijitali. Wito huo umetolewa leo Juni 25, 2026, na Mkuu wa Wi…

Mwanza. “Nilitengwa na jamii, hadi familia yangu... hata paka wa nyumbani alikuwa na thamani kubwa. Nikienda kuchukua chakula napewa nje ya geti kwenye mfuko.” Hiyo ni simulizi ya kijana Suleyman Abbas aliyeanza kutumia bangi akiwa na miaka 14, alipokuwa darasa la saba, na kufikia kidato cha kwanza tayari alikuwa amea…

Idara ya Uchumi na Utalii ya Dubai (DET) imeitaja Tanzania kuwa moja ya masoko yake muhimu na ya kimkakati barani Afrika, ikisema ongezeko la safari za ndege na mahitaji ya usafiri vinafungua fursa mpya za utalii na biashara kati ya pande hizo mbili.

Vijana wa Tanzania wamehimizwa kujifunza na kutumia teknolojia ya akili unde (AI) ili kujenga ubunifu, kuanzisha biashara na kuongeza ushindani wa nchi katika uchumi wa kidijitali unaokua kwa kasi duniani.

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Juma Homera amekiri kuwa utekelezaji wa sheria kwa watu walioshinda kesi mahakamani bado una changamoto huku akibainisha kuwa uzembe uko kwa baadhi ya watendaji wa ngazi ya chini.

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Kigoma imeitaka Serikali na makamishna wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Kijinai katika Matukio ya Ghasia za Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kuhudhuria bila kukosa mwenendo wa shauri la kupinga uteuzi wa makamishna hao kesho Jumanne, Juni 23, 2026. Shauri hilo la …

Hivyo amewataka wahitimu wa Taasisi ya Teknolojia ya India Madras (IIT Madras), kuwa wabunifu na viongozi wa mabadiliko katika jamii zao.

Watu 200 wamekamatwa katika operesheni maalumu zilizofanywa na Jeshi la Polisi mkoani Tanga kati ya Juni 1 na Julai 16, 2026, wakihusishwa na makosa mbalimbali ikiwemo biashara ya dawa za kulevya, wizi, unyang’anyi na uharibifu wa miundombinu ya umma.

Zaidi ya watu 1,000 wamefariki dunia kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), huku mamlaka za afya barani Afrika zikionya hali kuwa mbaya zaidi iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa.

Makubaliano hayo yamewekwa wazi leo Julai 18, 2026 na Rais Samia Suluhu Hassan baada ya mazungumzo rasmi na Rais wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi, ambaye yupo nchini kwa ziara ya kitaifa.

Mamia ya waombolezaji wamejitokeza eneo la Mwananyamala Kisiwani, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kushiriki mazishi ya ndugu wawili wanaodaiwa kuuawa kikatili na mtoto wao Hosamu Hamza, maarufu Maopena.

Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na matetemeko mawili makubwa ya ardhi yaliyotikisa Pwani ya Karibiani nchini Venezuela mwezi uliopita imefikia 5,119, huku shughuli za uokoaji zikiendelea na mamlaka zikiendelea kuopoa miili kutoka kwenye vifusi vya majengo yaliyoporomoka.

Zanzibar imezindua rasmi huduma ya usafiri wa umma kwa kutumia mabasi ya umeme, ikiwa ni hatua inayolenga kuimarisha mfumo wa usafiri wa kisasa, kupunguza uchafuzi wa mazingira na kuongeza ufanisi wa huduma za usafiri kwa wananchi.

Mlinzi wa Shule ya Msingi Mailisita, iliyopo Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Metivoi (25), amefariki dunia katika tukio linalodhaniwa kuwa la kujiua kwa kujinyonga.

Sambamba na agizo hilo, Kanali Mtambi amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma kutoa usafiri wa kuihamisha familia hiyo kutoka eneo la machimbo kwenda makazi mapya yaliyotengwa kwa ajili yao.

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kaijage ameachiwa kwa dhamana baada ya kukaa mahabusu kwa siku 14.

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi wapya aliowateua katika nafasi mbalimbali za Serikali na kuwataka kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia uadilifu, uwajibikaji, ushirikiano na utoaji wa matokeo yanayogusa maisha ya wananchi. Rais Samia ameeleza hayo leo Jumatatu Julai 27, 2026, Ikulu ya Tun…

Washindi kwa mwaka huu wametangazwa katika vipengele vitatu vya uandishi, huku waandishi kutoka Tanzania na Kenya wakitwaa tuzo hizo.

Mahakama ya Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Isa Rashidi, maarufu Hamidu, baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kusafirisha kilogramu 75.15 za dawa za kulevya aina ya mirungi.

Kauli hiyo inakuja wiki moja tangu Makamu wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi alipozungumza kuhusu kupata Katiba mpya.

Watu wanane wamefariki dunia na wengine 66 kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha mabasi mawili kugongana eneo la Ibihwa Wilaya ya Bahi, Mkoa wa Dodoma.

Mkoa wa Manyara unalenga kukusanya Sh1.5 bilioni kupitia mbio za Manyara Tanzanite Marathon, zitakazotumika kujenga jengo la mama na mtoto pamoja na kuboresha huduma za watoto wachanga na njiti, hatua inayolenga kuokoa maisha ya maelfu ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati kila mwaka.

Soma hapa...

Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameeleza kuvutiwa na matumizi ya ndege aina ya bundi katika kudhibiti panya waharibifu wa mazao, akisema ubunifu huo wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (Sua) unaweza kuwa mkombozi kwa wakulima, kwa kupunguza uharibifu wa mazao bila kutumia kemikali.

Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeanza utekelezaji wa miradi ya umwagiliaji vijijini, ambapo tayari imechimba visima 390 katika mikoa 25 nchini.

Njombe. Wafanyabiashara wa pembejeo za kilimo wilayani Njombe wameonywa dhidi ya kupandisha bei ya mbolea kwa kisingizio cha kuongezeka kwa gharama za mafuta, huku Serikali ikisisitiza kuwa tayari imetoa ruzuku ili kuwapa nafuu wakulima. Onyo hilo limetolewa leo Jumanne Mei 19, 2026, na Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Juma …

Viongozi wa Afrika wamesema umefika wakati wa kuelekeza nguvu katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kupitia uwekezaji katika miundombinu, nishati na matumizi ya rasilimali za ndani, badala ya kujikita zaidi katika kuandaa maono na mikakati.

Moshi. Geita Gold Mining Limited (GGML) imesema kitendo cha washiriki wake 42 wa kampeni ya GGM HIV Kili Challenge kufika katika kilele cha Mlima Kilimanjaro na kurejea salama kimeipa nguvu kampeni ya kuhamasisha mapambano dhidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini. Washiriki hao walipokelewa katika Lango la Mweka na vio…

Wakati ikiwa leo ni kilele cha wiki ya unyonyeshaji duniani, zimeelezwa athari anazoweza kupata mtoto iwapo asiponyonyeshwa maziwa ya mama pekee kwa miezi sita ya mwanzo ikiwemo kinga ya mwili kushuka na kupata utapiamlo.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema maonyesho ya Nanenane yanapaswa kutumia ubunifu kutoka kilimo cha mazoea na kuwa cha biashara.

Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ameonesha kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 220 kutoka Songea hadi Masasi kupitia Tunduru, akimtaka mkandarasi kuongeza kasi ya kazi ili mradi huo ukamilike ndani ya muda uliopangwa.

Nchi za Afrika zimetakiwa kuongeza matumizi ya mitaji ya ndani, kuimarisha ushirikiano wa kikanda na kukuza masoko ya fedha ili kuziba pengo la ufadhili wa miundombinu na kuchochea ukuaji wa uchumi wa muda mrefu.

Wakati Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila, akitoa agizo la kutaka mabasi yasiyo na vibali vya kuwa na vituo vidogo ndani ya mkoa huo kuhamia Stendi ya Magufuli, Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa) kimepanga kukutana kujadili agizo hilo, kabla ya kutoka na msimamo wao.

Moto ambao chanzo chake hakijafahamika umetekeza bweni la wanafunzi katika Shule ya Wasichana ya Kilimanjaro Mahadil Islamia Seminari, iliyopo Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. Katika tukio hilo wanafunzi 25 walinusurika.

Mahakama ya jinai nchini Syria imemhukumu aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, kifo akiwa hayupo mahakamani, baada ya kupatikana na hatia ya uhalifu dhidi ya ubinadamu, mauaji ya kukusudia na mateso.

Rais, Samia Suluhu Hassan amesema kero ya maji iliyodumu kwa muda mrefu Kizimkazi na maeneo mengine ya Kusini Unguja, imefikia mwisho, baada ya kuzindua miradi miwili ya maji huku akiwataka wananchi kuitunza miundombinu hiyo.

Soma zaidi...

Serikali imetangaza mpango wa nyongeza kwa wanafunzi 10 ambao wamepata fursa ya kusoma nchini Russia kupitia mpango wa Samia Scholarship na sasa jumla ya wanafunzi waliopata nafsi hiyo wanafikia 60.

Rais Samia amesema hayo leo Ijumaa, Agosti 14, 2026, alipohitimisha Tamasha la Kizimkazi katika Uwanja wa Mwehe, Makunduchi, Zanzibar.

Wabunifu zaidi ya 300 kutoka maeneo mbalimbali nchini wanatarajiwa kushiriki Maonyesho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu yatakayofanyika kwa wiki mbili kuanzia kesho, Agosti 18, 2026, katika viwanja vya Shule ya Sekondari Usagara mkoani Tanga.

Watoto wenye matatizo ya meno nchini wameanza kupata huduma kutoka kwa madaktari bingwa baada ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kuanzisha kituo maalumu cha huduma za afya ya kinywa na meno kwa watoto.

Soma hapa....

Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi na kukubaliana kuimarisha ushirikiano katika maeneo makuu saba.

Tanzania imekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya takribani Sh220 milioni kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za nchi hiyo katika kukabiliana na Ebola na magonjwa mengine ya mlipuko.

Mbeya. Serikali imetoa Sh11 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya (MZRH), huku watu 30,000 wakiripotiwa kufariki dunia nchini kati ya wagonjwa 45,000 wanaobainika kuwa na ugonjwa huo. Uwekezaji huo unalenga kusogeza huduma za saratani karibu na wananchi wa Nyanda za…

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Abdi Mahmoud Abdi, amesema hatakuwa na aibu kumuwajibisha mtendaji wa chama ambaye atashindwa kutekeleza majukumu yake kama inavyotakiwa.

Siku moja baada ya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kumwachia kwa dhamana, Wakili Peter Madeleka ameeleza namna alivyokamatwa katika viunga vya Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi eneo la Mikocheni.

Soma zaidi...

Soma hapa...

Soma zaidi...

Makundi maalumu 27,946 yamesajiliwa katika Mfumo wa Ununuzi wa Umma Kielektroniki (NeST) na tayari yamepata zabuni zenye thamani ya Sh56 bilioni, huku Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) ikilenga kuongeza idadi hiyo hadi 300,000.

Dar es Salaam. Benki ya Capital One Financial imeieleza mahakama, uamuzi wake wa kufunga zaidi ya akaunti 300 zilizokuwa zinahusishwa na Kampuni ya Trump mwaka 2021 ulitokana na tathimini ya wataalamu wa kudhibiti utakatishaji fedha, ikipinga madai kuwa hatua hiyo ilichochewa na misimamo ya kisiasa. Katika nyaraka zil…

Rais Samia Suluhu Hassan, ameridhia ombi la Dk Emmanuel Nchimbi, kujiuzulu wadhifa wa Makamu wa Rais, saa chache baada ya kupokea barua yake, akisema taratibu za kikatiba zitafuata kumpata mrithi wake.

Soma zaidi...

Dar es Salaam. Ni rasmi Jimbo la Chamwino mkoani Dodoma, lipo wazi baada ya aliyekuwa mbunge wake, Deogratius Ndejembi kupendekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kuwa Makamu wa Rais. Kikao cha NEC kilichoketi Agosti 26, 2026 Dar es Salaam na kuongozwa na mwenyekiti wake Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kauli moj…

Wakati Serikali ikiwasilisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Kilimo wa mwaka 2026, wabunge wamependekeza kuimarishwa kwa udhibiti wa uingizaji wa sukari ghafi kutoka nje ya nchi.

Soma hapa...

Soma hapa...

Soma hapa...

Serikali imesema inataka bidhaa za tiba asili zinazozalishwa nchini ziwe na ushindani katika soko la kikanda na dunia, huku wataalamu wa tiba hizo wakitambulika kimataifa.

Wasafiri wanaokwenda nje ya nchi sasa wanaweza kupata huduma ya intaneti bila kubadilisha laini zao za simu au kununua SIM kadi wanapowasili, kufuatia kuzinduliwa kwa jukwaa la Kwetu eSIM linalopatikana katika zaidi ya nchi 190.

Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Fakii Lulandala ameingilia kati mgogoro wa ardhi kwa kuagiza waliovamia eneo la Shule ya Serikali ya Saniniu Laizer ya Kijiji cha Naepo kata ya Naisinyai kusitisha ujenzi wake.

Bunge limepitisha Muswada wa Mikopo kwa Dhamana za Mali Zinazohamishika wa mwaka 2026, huku wabunge wakitaka hatua zichukuliwe kudhibiti riba kubwa na unyang’anyi wa dhamana za wakopaji.

Bunge limepitisha muswada wa sheria unaopendekeza marekebisho ya sheria 21, ikiwemo Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Utakatishaji wa Fedha Haramu ya mwaka 2006, kwa lengo la kuimarisha udhibiti wa utakatishaji fedha, ufadhili wa ugaidi na usambazaji wa silaha za maangamizi.

Idadi ya vifo kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyokumba Nepal na eneo la Tibet nchini China imevuka 1,000, huku waokoaji wakiendelea na juhudi za kuwatafuta maelfu ya watu ambao hawajulikani walipo.

Madereva wa vyombo vya moto wilayani Kilombero wametakiwa kutoa taarifa za matukio ya uhalifu wa kijinai na makosa ya barabarani ili wahusika waweze kukamatwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria
Habari nyingine
Utakuja AFCON 2027?
Viwanja Kenya · Tanzania · Uganda

Huduma za upakiaji na ushushaji abiria Kange kuanza Septemba 8

Polisi inavyotumia AI kubaini uhalifu mitandaoni

Ruto, Kenyatta wanavyobadilishana maadui

Mafuriko Nepal na Tibet, vifo vyavuka 1,000
Idadi ya vifo kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyokumba Nepal na eneo la Tibet nchini China imevuka 1,000, huku waokoaji wakiendelea na juhudi za

Mwanafunzi ajirusha ghorofani, afariki dunia

Mavunde azindua ‘Kesho iliyo njema’ kwa vijana wachimbaji

Kwa nini NAM ni muhimu kwa nchi wanachama, Dk Mwinyi akiiwakilisha Tanzania

Madereva wapewa mafunzo namna ya kutoa taarifa za uhalifu

Muswada wa sheria ya utakatishaji fedha haramu wagusa wanasiasa, watu maarufu

Jaji Mkuu awapa maagizo wasajili wa Mahakama

Rais Mwinyi azishauri nchi za NAM kuunganisha sauti, misimamo yao
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, ametoa wito kwa nchi wanachama wa Harakati za Nchi zisizofungamana na upande wowote (NAM), kuunganisha sauti na misimam

Umeme, masoko, barabara na pembejeo feki kilio cha wakulima Kusini

Sintofahamu askari polisi kujinyonga mahabusu, akizikwa Dar

TET yadaiwa kuiba maudhui ya vitabu, kesi yaanza kuunguruma

Wataalamu tiba asili watakiwa kwenda kimataifa

Wafanyabiashara pembezoni mwa mitaro Stendi ya Mbezi waanza kupangwa

Biashara ilivyokwamua kaya 1,356 kutoka kwenye umaskini

Baba Levo apata pigo kortini, kesi yake kusikilizwa upya
Soma hapa...

Serikali yawataka vijana kugeuza ubunifu kuwa ajira

Mtoto aliyeibwa Tandale apatikana, mama asimulia ilivyokuwa
Importance of Peace for National Development
Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi.
Akizungumza leo Juni 1, 2026 jijini Dodoma kuhusu umuhimu wa amani katika jamii, Msita amesema maendeleo yanapatikana katika mazingira yenye utulivu na mshikamano, akisisitiza kuwa sehemu yenye maendeleo ni sehemu inayompendeza Mungu.
Kihongosi amewataka wananchi kuendelea kulinda amani na mshikamano uliopo nchini, akisema Tanzania imeendelea kuwa mfano wa utulivu kutokana na umoja na upendo wa wananchi wake.
Kibadeni ameyasema hayo katika mahojiano maalumu, akisisitiza umuhimu wa vijana kutumia vyema nafasi wanazopewa na kushirikiana katika kulinda amani, akibainisha kuwa ustawi wa taifa lolote unategemea uwepo wa amani.
He called on Christians and the wider community to embrace forgiveness, love and peace as essential pillars for building a united and harmonious society.
Ameeleza kuwa amani ni msingi muhimu wa maendeleo ya Taifa, na kusisitiza kuwa bila amani, jitihada zote za maendeleo haziwezi kufikiwa.
Amani ni zawadi kutoka kwa Mungu na ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa. "Mungu ameturuzuku amani, ni kipaji na kipawa. Tuna kila sababu ya kuitunza na kuilinda, kwani bila amani hakuna maendeleo, wananchi hawatakuwa salama, na tutakimbia nchi yetu wenyewe," amesisitiza.
Amesisitiza kuwa Tanzania ni kivutio cha wivu kwa watu wa mataifa mengine, kutokana na amani na utulivu iliyonayo.
Kuhani Baraka pia amewakumbusha waumini na wananchi wote kudumisha amani wakati wa uchaguzi, akisema amani ni nguzo ya maendeleo na msingi wa haki.
Alisema unaweza kudai vitu vyote kama vile barabara za lami, maji, hospital, katiba mpya, mishara mikubwa lakini kukiwa hakuna amani huwezi kuvitumia vitu vyote hivyo kwa kuwa watu watasambatika huko na kule kwa machafuko ya vita.
Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict
In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.
The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.
Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.
Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.
wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.
Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.
Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani
Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.
Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.
Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.
Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”
Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.
The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.
Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.
Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.
TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI
Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8 kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.
Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.
In his final political move, Bungara announced his resignation from ACT Wazalendo on February 18, 2026. He formally joined CHADEMA, the nation’s largest opposition party, aligning himself with their boycott of elections they deemed fundamentally unfair.
The Court of Appeal here began hearing a critical revision application from the main opposition party, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) on Tuesday, which seeks to overturn a High Court injunction that has barred it from conducting any political activities since June 2025.
Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 tangu kilipowekewa zuio hilo.
Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions.
Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions. He donated his personal vehicle and fuel to party organisers and handed over resources to young CHADEMA activists, resulting in thousands of people switching from other parties to join CHADEMA within that single week.
Mgawanyiko huo umejidhihirisha kupitia makundi mawili yenye mitazamo tofauti kuhusu mustakabali wa chama.
Sifuna alisisitiza kuwa yuko tayari kusimama imara kulinda misingi ya chama, akipinga kile alichodai ni juhudi za kukisogeza karibu na mamlaka ya serikali.
Gachagua ameanza kujijenga kama sauti mbadala ya kisiasa, hasa kwa vijana, akishambulia sera za serikali kwa madai ya kushindwa kuboresha maisha ya wananchi wa kawaida.
Kutokuwepo kwake katika mstari wa mbele wa siasa za uchaguzi wa 2027 kumeacha pengo ambalo sasa linajazwa na makundi yenye mitazamo tofauti.
All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.
William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo
PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.
Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.
Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.
Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.
Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.
Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.
Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.
Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.
Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.
According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.
Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.
Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.
Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.
WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.
William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.
Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.
Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.
William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.
Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.
PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.
President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.
DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.