Gundua

46 habari
Nukta Publish

Habari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta

Unaona habari zinazohusishwa na Mkoa wa Singida chini (pamoja na mengine ya Gundua).

Michezo Waziri wa tamisemi profesa riziki s…

MKOA WA SINGIDA UMEPOKEA VIFAA VYA MICHEZO YA UMISETA, NAFASI ZA UFADHILI WA MASOMO KWA VIJANA 14 WATAJWA

Mkoa wa Singida
Utawala wa Umma na Ulinzi Waziri mkuu: fedha za maji, barabar…

WAZIRI MKUU: FEDHA ZA MAJI, BARABARA NA UMEME KWENDA MOJA KWA MOJA KWENYE MIFUKO HUSIKA

Mkoa wa Singida
Utawala wa Umma na Ulinzi Wajasiriamali iringa watakiwa kuong…

WAZIRI MKUU AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUACHA KUGOMBANIA VYEO, WAHUDUMIE WANANCHI

Mkoa wa Singida
Afya na Huduma za Jamii Benki ya Exim Tanzania yaendesha zo…

KAMBI YA MADAKTARI BINGWA YALETA TUMAINI JIPYA KWA WANASINGIDA

Mkoa wa Singida
Utawala wa Umma na Ulinzi Kunenge Aitaka Halmashauri Chalinze…

SINGIDA YAANZA SAFARI YA SINGLE DIGITS, RC DENDEGO ATAKA KASI YA DIRA YA 2050 IONGEZWE

Mkoa wa Singida
Siasa Mshikamano kitaifa wapewa kipaumbel…

VIONGOZI WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KUIKANILI RUSHWA

Mkoa wa Singida
Shughuli za Fedha na Bima Mbio za miaka 30 ya tra: eliona asi…

KODI NI MISHIPA YA MAENDELEO; RC DENDEGO AWAHIMIZA WANANCHI KUDAI RISITI HALALI

Mkoa wa Singida
Utawala wa Umma na Ulinzi Mwenge wa uhuru waridhishwa na mira…

UKAGUZI WA MIRADI YA MWENGE WA UHURU 2026 WILAYANI IRAMBA

Mkoa wa Singida
Uchumi Rc makalla aipongeza halmashauri ya…

RC DENDEGO: DIRA YA 2050 IWE AJENDA YA KUDUMU KWENYE SHUGHULI ZA MAENDELEO SINGIDA

Mkoa wa Singida
Kilimo, Misitu na Uvuvi Serikali yaendelea kuchukua hatua k…

DKT. FATUMA MGANGA ATAKA USHIRIKISHWAJI WA MAKUNDI YOTE KATIKA MIRADI YA MAENDELEO ILI KUENDELEZA MAFANIKIO YA KILIMO BIASHARA

Mkoa wa Singida
Utawala wa Umma na Ulinzi Mkalama yapunguza hoja za CAG kutok…

RC DENDEGO ATAKA MADENI YALIPWE NDANI YA MIAKA MIWILI, SINGIDA KUFIKIA DIRA YA TAIFA 2050

Mkoa wa Singida
Utawala wa Umma na Ulinzi Mbunge wa kilindi mhe.mhando aendel…

UKAGUZI WA MIRADI YA MWENGE WA UHURU 2026 WILAYANI MKALAMA

Mkoa wa Singida
Matukio Mwenge wa uhuru 2026 wawasili wilay…

UKAGUZI WA MIRADI YA MWENGE WA UHURU 2026 WILAYA YA SINGIDA

Mkoa wa Singida
Mazingira na Hali ya Hewa Wananchi sale washirikiana na serik…

SINGIDA YAPATIWA MAFUNZO UTEKELEZAJI MRADI WA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI

Mkoa wa Singida
Elimu Future world institute yaja na taal…

SINGIDA YAJIPANGA KUIMARISHA MALEZI YA AWALI YA MTOTO

Mkoa wa Singida
Elimu 100 Years of Tosa Maganga: Alumni T…

WAALIMU WATAKIWA UBUNIFU NA KUJITEGEMEA: DKT. MGANGA AWAPA MWONGOZO MKUTANO WA TAHOSSA KANDA YA KATI

Mkoa wa Singida
Afya na Huduma za Jamii Kunenge atoa wito kwa wazazi kuwape…

RC DENDEGO: MATUMIZI YA VYOO BORA NI SILAHA DHIDI YA POLIO, WATOTO ZAIDI YA 700,000 KUPATIWA CHANJO SINGIDA

Mkoa wa Singida
Makala kuhusu matukio yaliyopita

Habari nyingine

RC DENDEGO: DIRA YA 2050 IWE AJENDA YA KUDUMU KWENYE SHUGHULI ZA MAENDELEO SINGIDA
Uchumi

RC DENDEGO: DIRA YA 2050 IWE AJENDA YA KUDUMU KWENYE SHUGHULI ZA MAENDELEO SINGIDA

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 06 Jul 2026
RC DENDEGO: HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA NI TAJIRI, JIJI LA SINGIDA KUJENGWA KUPITIA DIRA YA 2050
Uchumi

RC DENDEGO: HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA NI TAJIRI, JIJI LA SINGIDA KUJENGWA KUPITIA DIRA YA 2050

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 06 Jul 2026
RC DENDEGO: KUELEKEA JIJI LA SINGIDA BILA MIGOGORO YA ARDHI INWEZEKANA
Utawala wa Umma na Ulinzi

RC DENDEGO: KUELEKEA JIJI LA SINGIDA BILA MIGOGORO YA ARDHI INWEZEKANA

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 05 Jul 2026
SINGIDA YAANZA SAFARI YA SINGLE DIGITS, RC DENDEGO ATAKA KASI YA DIRA YA 2050 IONGEZWE
Utawala wa Umma na Ulinzi

SINGIDA YAANZA SAFARI YA SINGLE DIGITS, RC DENDEGO ATAKA KASI YA DIRA YA 2050 IONGEZWE

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 03 Jul 2026
NDOTO YA MANISPAA YA MANYONI YAANZA KWA 'SINGLE DIGITS' KUFIKIA DIRA YA 2050
Utawala wa Umma na Ulinzi

NDOTO YA MANISPAA YA MANYONI YAANZA KWA 'SINGLE DIGITS' KUFIKIA DIRA YA 2050

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 03 Jul 2026
KODI NI MISHIPA YA MAENDELEO; RC DENDEGO AWAHIMIZA WANANCHI KUDAI RISITI HALALI
Shughuli za Fedha na Bima

KODI NI MISHIPA YA MAENDELEO; RC DENDEGO AWAHIMIZA WANANCHI KUDAI RISITI HALALI

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 01 Jul 2026
BAJETI YA 2026/2027 NI SILAHA YA KUPAMBANA NA UTAPIAMLO SINGIDA
Afya na Huduma za Jamii

BAJETI YA 2026/2027 NI SILAHA YA KUPAMBANA NA UTAPIAMLO SINGIDA

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 01 Jul 2026
RC DENDEGO ATAKA MADENI YALIPWE NDANI YA MIAKA MIWILI, SINGIDA KUFIKIA DIRA YA TAIFA 2050
Utawala wa Umma na Ulinzi

RC DENDEGO ATAKA MADENI YALIPWE NDANI YA MIAKA MIWILI, SINGIDA KUFIKIA DIRA YA TAIFA 2050

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 01 Jul 2026
KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI MKOA WA SINGIDA
Utawala wa Umma na Ulinzi

KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI MKOA WA SINGIDA

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 01 Jul 2026
RC DENDEGO AHIMIIZA KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI SINGIDA KUONGOZA DIRA YA MAENDELEO 2050
Utawala wa Umma na Ulinzi

RC DENDEGO AHIMIIZA KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI SINGIDA KUONGOZA DIRA YA MAENDELEO 2050

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 01 Jul 2026
POLITICS Jul 01, 2026 10 10 3

Importance of Peace for National Development

Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi.

Maelezo ya Ziada
habarileo.co.tzRead more

Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi.

habarileo.co.tzRead more

Akizungumza leo Juni 1, 2026 jijini Dodoma kuhusu umuhimu wa amani katika jamii, Msita amesema maendeleo yanapatikana katika mazingira yenye utulivu na mshikamano, akisisitiza kuwa sehemu yenye maendeleo ni sehemu inayompendeza Mungu.

michuzi.co.tzRead more

Kihongosi amewataka wananchi kuendelea kulinda amani na mshikamano uliopo nchini, akisema Tanzania imeendelea kuwa mfano wa utulivu kutokana na umoja na upendo wa wananchi wake.

habarileo.co.tzRead more

Kibadeni ameyasema hayo katika mahojiano maalumu, akisisitiza umuhimu wa vijana kutumia vyema nafasi wanazopewa na kushirikiana katika kulinda amani, akibainisha kuwa ustawi wa taifa lolote unategemea uwepo wa amani.

dailynews.co.tzRead more

He called on Christians and the wider community to embrace forgiveness, love and peace as essential pillars for building a united and harmonious society.

habarileo.co.tzRead more

Ameeleza kuwa amani ni msingi muhimu wa maendeleo ya Taifa, na kusisitiza kuwa bila amani, jitihada zote za maendeleo haziwezi kufikiwa.

habarileo.co.tzRead more

Amani ni zawadi kutoka kwa Mungu na ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa. "Mungu ameturuzuku amani, ni kipaji na kipawa. Tuna kila sababu ya kuitunza na kuilinda, kwani bila amani hakuna maendeleo, wananchi hawatakuwa salama, na tutakimbia nchi yetu wenyewe," amesisitiza.

habarileo.co.tzRead more

Amesisitiza kuwa Tanzania ni kivutio cha wivu kwa watu wa mataifa mengine, kutokana na amani na utulivu iliyonayo.

habarileo.co.tzRead more

Kuhani Baraka pia amewakumbusha waumini na wananchi wote kudumisha amani wakati wa uchaguzi, akisema amani ni nguzo ya maendeleo na msingi wa haki.

habarileo.co.tzRead more

Alisema unaweza kudai vitu vyote kama vile barabara za lami, maji, hospital, katiba mpya, mishara mikubwa lakini kukiwa hakuna amani huwezi kuvitumia vitu vyote hivyo kwa kuwa watu watasambatika huko na kule kwa machafuko ya vita.

UKAGUZI WA MIRADI YA MWENGE WA UHURU 2026 WILAYANI IRAMBA
Utawala wa Umma na Ulinzi

UKAGUZI WA MIRADI YA MWENGE WA UHURU 2026 WILAYANI IRAMBA

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 24 Jun 2026
KIKAO CHA UFUATILIAJI MAPATO MKOA WA SINGIDA
Utawala wa Umma na Ulinzi

KIKAO CHA UFUATILIAJI MAPATO MKOA WA SINGIDA

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 24 Jun 2026
WAZIRI MKUU: FEDHA ZA MAJI, BARABARA NA UMEME KWENDA MOJA KWA MOJA KWENYE MIFUKO HUSIKA
Utawala wa Umma na Ulinzi

WAZIRI MKUU: FEDHA ZA MAJI, BARABARA NA UMEME KWENDA MOJA KWA MOJA KWENYE MIFUKO HUSIKA

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 24 Jun 2026
RC DENDEGO AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUCHOCHEA UZALISHAJI, BIASHARA NA UWEKEZAJI SINGIDA
Kilimo, Misitu na Uvuvi

RC DENDEGO AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUCHOCHEA UZALISHAJI, BIASHARA NA UWEKEZAJI SINGIDA

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 24 Jun 2026
WATOA HUDUMA BINAFSI WA AFYA WAASWA KUONGEZA UBORA WA HUDUMA KWA WANANCHI
Afya na Huduma za Jamii

WATOA HUDUMA BINAFSI WA AFYA WAASWA KUONGEZA UBORA WA HUDUMA KWA WANANCHI

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 24 Jun 2026
MWAROBAINI WA VIFO VYA MAMA NA MTOTO SINGIDA WAPATIKANA
Afya na Huduma za Jamii

MWAROBAINI WA VIFO VYA MAMA NA MTOTO SINGIDA WAPATIKANA

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 24 Jun 2026
UCHUMI BILA MAADILI YA WATOTO NI HASARA KWA TAIFA – RC DENDEGO
Jinsia na Wanawake

UCHUMI BILA MAADILI YA WATOTO NI HASARA KWA TAIFA – RC DENDEGO

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 24 Jun 2026
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YATOA MAFUNZO KWA WATUMISHI MKOA WA SINGIDA
Utawala wa Umma na Ulinzi

OFISI YA RAIS-UTUMISHI YATOA MAFUNZO KWA WATUMISHI MKOA WA SINGIDA

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 24 Jun 2026
RC DENDEGO ATOA WIKI MBILI KUFUNGA STENDI BUBU, ASISITIZA MAZUNGUMZO BADALA YA MAANDAMANO
Usafiri na Uhifadhi

RC DENDEGO ATOA WIKI MBILI KUFUNGA STENDI BUBU, ASISITIZA MAZUNGUMZO BADALA YA MAANDAMANO

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 24 Jun 2026
ZIARA YA UKAGUZI WA VIWANDA VYA ALIZETI SINGIDA KUCHOCHEA MAPINDUZI YA UZALISHAJI NA UWEKEZAJI
Viwanda na Uzalishaji

ZIARA YA UKAGUZI WA VIWANDA VYA ALIZETI SINGIDA KUCHOCHEA MAPINDUZI YA UZALISHAJI NA UWEKEZAJI

Mkoa wa Singida· Testsingidagotz Admin· 24 Jun 2026
ECONOMY Apr 01, 2026 19 10 7

Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

Maelezo ya Ziada
thechanzo.comRead more

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

dailynews.co.tzRead more

The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.

bongo5.comRead more

Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.

mwananchi.co.tzRead more

wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.

thecitizen.co.tzRead more

Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.

globalpublishers.co.tzRead more

wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.

mwananchi.co.tzRead more

Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.

globalpublishers.co.tzRead more

Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani

mzalendo.co.tzRead more

Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.

mzalendo.co.tzRead more

Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.

Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.

Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”

Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.

The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.

Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.

Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.

TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI

Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8​ kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.

Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.

POLITICS Apr 01, 2026 9 4 2

Chadema's Appeal Against Political Activity Ban After 283 Days

Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 tangu kilip…

Maelezo ya Ziada
thechanzo.comRead more

In his final political move, Bungara announced his resignation from ACT Wazalendo on February 18, 2026. He formally joined CHADEMA, the nation’s largest opposition party, aligning himself with their boycott of elections they deemed fundamentally unfair.

thechanzo.comRead more

The Court of Appeal here began hearing a critical revision application from the main opposition party, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) on Tuesday, which seeks to overturn a High Court injunction that has barred it from conducting any political activities since June 2025.

mwananchi.co.tzRead more

Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 tangu kilipowekewa zuio hilo.

mwananchi.co.tzRead more

Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions.

Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions. He donated his personal vehicle and fuel to party organisers and handed over resources to young CHADEMA activists, resulting in thousands of people switching from other parties to join CHADEMA within that single week.

Mgawanyiko huo umejidhihirisha kupitia makundi mawili yenye mitazamo tofauti kuhusu mustakabali wa chama.

Sifuna alisisitiza kuwa yuko tayari kusimama imara kulinda misingi ya chama, akipinga kile alichodai ni juhudi za kukisogeza karibu na mamlaka ya serikali.

Gachagua ameanza kujijenga kama sauti mbadala ya kisiasa, hasa kwa vijana, akishambulia sera za serikali kwa madai ya kushindwa kuboresha maisha ya wananchi wa kawaida.

Kutokuwepo kwake katika mstari wa mbele wa siasa za uchaguzi wa 2027 kumeacha pengo ambalo sasa linajazwa na makundi yenye mitazamo tofauti.

NATIONAL Mar 28, 2026 28 15 7

William Lukuvi's Death Announced by President Samia Suluhu Hassan on March 25, 2026

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

Maelezo ya Ziada
dailynews.co.tzRead more

All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.

dailynews.co.tzRead more

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.

dailynews.co.tzRead more

William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo

habarileo.co.tzRead more

PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.

dailynews.co.tzRead more

Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.

habarileo.co.tzRead more

Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.

habarileo.co.tzRead more

Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.

swahilitimes.co.tzRead more

Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.

mwananchi.co.tzRead more

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

mwananchi.co.tzRead more

Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.

thecitizen.co.tzRead more

Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.

globalpublishers.co.tzRead more

Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.

globalpublishers.co.tzRead more

According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.

mzalendo.co.tzRead more

Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.

mwananchi.co.tzRead more

Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.

Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.

WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA

William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.

William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.

Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.

Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.

William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.

Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.

PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.

President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.

DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.