Gundua

105 habari
Nukta Publish

Habari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta

Unaona habari zinazohusishwa na Mkoa wa Pwani chini (pamoja na mengine ya Gundua).

Uchumi Tanesco yazindua kituo cha kuchajia…

Mkoa wa Pwani Wajipanga Utekelezaji wa Dira 2050 katika Uwekezaji

Mkoa wa Pwani
Spotlight Waziri mkuu: fedha za maji, barabar…

Mwenge wa Uhuru Wazindua Mradi wa Usafirishaji wa Vijana Mkuranga wakopeshaji Wapongezwa

Mkoa wa Pwani
Utawala wa Umma na Ulinzi Waziri mchengerwa afungua mafunzo k…

RC Kunenge Awataka Maafisa Maendeleo ya Jamii Kutekeleza Majukumu kwa Kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

Mkoa wa Pwani
Ujenzi na Miundombinu Kunenge Aitaka Halmashauri Chalinze…

RC Kunenge : Kila Mradi wa Maendeleo Uwe na Meneja Wake, Ukamilike kwa Wakati na kwa Thamani ya Fedha

Mkoa wa Pwani
Ujasiriamali na Ubunifu Mikopo ya Asilimia 10 Yaendelea Kug…

Serikali Yaendelea Kuwawezesha Wajasiliamali wa Makundi Maalum; Mjasiliamali Manispaa ya Kibaha Akabidhiwa Barcode 76 Kuingiza Bidhaa Kwenye Masoko ya Kimataifa

Mkoa wa Pwani
Kilimo, Misitu na Uvuvi Mikopo ya mifugo NMB yavuka Sh180 b…

Waziri Mkuu: Ufugaji wa Kisasa ni Suluhisho la Migogoro ya Wakulima na Wafugaji WAZIRI Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema ufugaji wa kisasa unaozingatia matumizi ya mashamba ya malisho, mbegu bora za mifugo na teknolojia za kisasa ni suluhisho la kudumu la migogoro ya wakulima na wafugaji inayochangiwa na ongezeko la…

Mkoa wa Pwani
Spotlight Mwenge wa uhuru waridhishwa na mira…

Mwenge wa Uhuru waleta matumaini Kibiti, zaidi ya wananchi 6,000 kunufaika na mradi wa maji

Mkoa wa Pwani
Siasa Makamu wa rais amwakilisha rais sam…

Rais ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara yake ya kikazi umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)

Mkoa wa Pwani
Kilimo, Misitu na Uvuvi NACTVET yaonesha mafanikio ya elimu…

Waziri Mkuu: Teknolojia Za Kisasa, Tafiti Na Ubunifu Ni Nguzo Ya Kutekeleza Dira Ya Taifa Ya Maendeleo 2050

Mkoa wa Pwani
Kilimo, Misitu na Uvuvi Prof. shemdoe awaasa wanafunzi kuen…

Uzalishaji wa Ufuta na Mbaazi Pwani Waongezeka, Serikali Yasisitiza Matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghalani

Mkoa wa Pwani
Nishati na Umeme Serikali yataka wanahabari kuhamasi…

Serikali: Vyombo vya Habari ni Nguzo Muhimu Kuchochea Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia

Mkoa wa Pwani
Kilimo, Misitu na Uvuvi Maonesho ya nanenane iringa yalenga…

RC Kunenge: Maonesho ya Nanenane Yawe Chachu ya Kuongeza Uzalishaji na Thamani ya Mazao.

Mkoa wa Pwani
Kilimo, Misitu na Uvuvi Wakulima wa kipande-nkoavele kuonge…

COPRA Yawajengea Uwezo Maafisa Ugani Pwani Kukuza Kilimo cha Ufuta na Mikunde

Mkoa wa Pwani
Nishati na Umeme Mradi wa Umeme Chalinze-Dodoma wafi…

Watekelezaji Mradi wa Bomba la Gesi Asilia Kinyerezi–Chalinze Watakiwa Kuzingatia Sheria hatua ya Uthamini.

Mkoa wa Pwani
Viwanda na Uzalishaji Maonesho ya nanenane kanda ya kaska…

Waziri Kapinga: Tuongeze Thamani Ya Bidhaa Ili Kufikia Dira Ya Taifa Ya Maendeleo 2050

Mkoa wa Pwani
Kilimo, Misitu na Uvuvi Dk Mwigulu avutiwa matumizi ya bund…

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Avutiwa Na Ubunifu Wa Kilimo Mseto Na Ufugaji Wa Kisasa Katika Banda La Kibaha Dc

Mkoa wa Pwani
Spotlight Serikali yaweka mkazo uendelevu wa …

Serikali Kuendelea Kuboresha Vituo vya Maarifa Nchini

Mkoa wa Pwani
Kilimo, Misitu na Uvuvi Makala awataka wakulima kutumia tek…

Malima Awataka Wananchi Wajifunze Mbinu za Kutangaza Biashara katika Banda la Mkuranga

Mkoa wa Pwani
Nishati na Umeme Dk.Samia kuzindua rasmi Mradi wa JN…

Mradi wa Kufua Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP) Kuzinduliwa Agosti 22, 2026 Rufiji.

Mkoa wa Pwani
Nishati na Umeme Rais Samia: Bwawa la Julius Nyerere…

Rais Samia: Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere Uchochee Uzalishaji, Uwekezaji na Ajira

Mkoa wa Pwani
Afya na Huduma za Jamii Kunenge atoa wito kwa wazazi kuwape…

Watoto 587,509 Pwani Kupatiwa Chanjo ya Polio

Mkoa wa Pwani
Makala kuhusu matukio yaliyopita

Habari nyingine

Watoto 587,509 Pwani Kupatiwa Chanjo ya Polio
Afya na Huduma za Jamii

Watoto 587,509 Pwani Kupatiwa Chanjo ya Polio

Mkoa wa Pwani· Hidaya Omary Hadoswa· 22 Ago 2026
Rais Samia: Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere Uchochee Uzalishaji, Uwekezaji na Ajira
Nishati na Umeme

Rais Samia: Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere Uchochee Uzalishaji, Uwekezaji na Ajira

Mkoa wa Pwani· Hidaya Omary Hadoswa· 22 Ago 2026
Mradi wa Kufua Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP) Kuzinduliwa Agosti 22, 2026 Rufiji.
Nishati na Umeme

Mradi wa Kufua Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP) Kuzinduliwa Agosti 22, 2026 Rufiji.

Mkoa wa Pwani· Hidaya Omary Hadoswa· 20 Ago 2026
Waziri Kikwete Afungua Semina Elekezi kwa Madiwani na Watendaji Chalinze
Utawala wa Umma na Ulinzi

Waziri Kikwete Afungua Semina Elekezi kwa Madiwani na Watendaji Chalinze

Mkoa wa Pwani· Hidaya Omary Hadoswa· 18 Ago 2026
RC Kunenge Awataka Wataalamu Kuimarisha Mnyororo wa Thamani  Zao la Korosho
Kilimo, Misitu na Uvuvi

RC Kunenge Awataka Wataalamu Kuimarisha Mnyororo wa Thamani Zao la Korosho

Mkoa wa Pwani· Hidaya Omary Hadoswa· 18 Ago 2026
RC Kunenge Awaagiza Madiwani na Watendaji Chalinze Kujipanga Kufikia Malengo ya Dira 2050
Utawala wa Umma na Ulinzi

RC Kunenge Awaagiza Madiwani na Watendaji Chalinze Kujipanga Kufikia Malengo ya Dira 2050

Mkoa wa Pwani· Hidaya Omary Hadoswa· 18 Ago 2026
Kabudi Asifu Fursa za Uwekezaji Mkuranga
Biashara

Kabudi Asifu Fursa za Uwekezaji Mkuranga

Mkoa wa Pwani· Hidaya Omary Hadoswa· 08 Ago 2026
Kabudi Aagiza Nane Nane Kuwa na Tija Zaidi kwa Wazalishaji
Kilimo, Misitu na Uvuvi

Kabudi Aagiza Nane Nane Kuwa na Tija Zaidi kwa Wazalishaji

Mkoa wa Pwani· Hidaya Omary Hadoswa· 08 Ago 2026
Malima Awataka Wananchi Wajifunze Mbinu za Kutangaza Biashara katika Banda la Mkuranga
Kilimo, Misitu na Uvuvi

Malima Awataka Wananchi Wajifunze Mbinu za Kutangaza Biashara katika Banda la Mkuranga

Mkoa wa Pwani· Hidaya Omary Hadoswa· 06 Ago 2026
Waziri Mkuu: Teknolojia Za Kisasa, Tafiti Na Ubunifu Ni Nguzo Ya Kutekeleza Dira Ya Taifa Ya Maendeleo 2050
Kilimo, Misitu na Uvuvi

Waziri Mkuu: Teknolojia Za Kisasa, Tafiti Na Ubunifu Ni Nguzo Ya Kutekeleza Dira Ya Taifa Ya Maendeleo 2050

Mkoa wa Pwani· Nasra Hemed Mondwe· 05 Ago 2026
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Avutiwa Na Ubunifu Wa Kilimo Mseto Na Ufugaji Wa Kisasa Katika Banda La Kibaha Dc
Kilimo, Misitu na Uvuvi

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Avutiwa Na Ubunifu Wa Kilimo Mseto Na Ufugaji Wa Kisasa Katika Banda La Kibaha Dc

Mkoa wa Pwani· Nasra Hemed Mondwe· 04 Ago 2026
Waziri Kapinga: Tuongeze Thamani Ya Bidhaa Ili Kufikia Dira Ya Taifa Ya Maendeleo 2050
Viwanda na Uzalishaji

Waziri Kapinga: Tuongeze Thamani Ya Bidhaa Ili Kufikia Dira Ya Taifa Ya Maendeleo 2050

Mkoa wa Pwani· Nasra Hemed Mondwe· 01 Ago 2026
Serikali Yamaliza Mgogoro Wa Ardhi Wa Miaka 26 Kijiji Cha Ngeta, Yasisitiza Utawala Wa Sheria
Sheria na Mahakama

Serikali Yamaliza Mgogoro Wa Ardhi Wa Miaka 26 Kijiji Cha Ngeta, Yasisitiza Utawala Wa Sheria

Mkoa wa Pwani· Nasra Hemed Mondwe· 01 Ago 2026
RC Kunenge: Serikali Yaendelea Kuweka Mazingira Bora ya Uwekezaji Mkoani Pwani.
Uchumi

RC Kunenge: Serikali Yaendelea Kuweka Mazingira Bora ya Uwekezaji Mkoani Pwani.

Mkoa wa Pwani· Hidaya Omary Hadoswa· 30 Jul 2026
RC Kunenge Awataka Maafisa Maendeleo ya Jamii Kutekeleza Majukumu kwa Kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
Utawala wa Umma na Ulinzi

RC Kunenge Awataka Maafisa Maendeleo ya Jamii Kutekeleza Majukumu kwa Kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

Mkoa wa Pwani· Hidaya Omary Hadoswa· 29 Jul 2026
Serikali Yaendelea Kuwawezesha Wajasiliamali wa Makundi Maalum; Mjasiliamali Manispaa ya Kibaha Akabidhiwa Barcode 76 Kuingiza Bidhaa Kwenye Masoko ya Kimataifa
Ujasiriamali na Ubunifu

Serikali Yaendelea Kuwawezesha Wajasiliamali wa Makundi Maalum; Mjasiliamali Manispaa ya Kibaha Akabidhiwa Barcode 76 Kuingiza Bidhaa Kwenye Masoko ya Kimataifa

Mkoa wa Pwani· Hidaya Omary Hadoswa· 29 Jul 2026
Kunenge: Kongani Mpya ya Viwanda Misugusugu Itafungua Fursa za Ajira na Kuchochea Maendeleo ya Kibaha
Viwanda na Uzalishaji

Kunenge: Kongani Mpya ya Viwanda Misugusugu Itafungua Fursa za Ajira na Kuchochea Maendeleo ya Kibaha

Mkoa wa Pwani· Hidaya Omary Hadoswa· 28 Jul 2026
Waziri Masauni: Muungano ni Tunu ya Taifa Tuulinde.
Siasa

Waziri Masauni: Muungano ni Tunu ya Taifa Tuulinde.

Mkoa wa Pwani· Hidaya Omary Hadoswa· 22 Jul 2026
Watekelezaji Mradi wa Bomba la Gesi Asilia Kinyerezi–Chalinze Watakiwa Kuzingatia Sheria hatua ya Uthamini.
Nishati na Umeme

Watekelezaji Mradi wa Bomba la Gesi Asilia Kinyerezi–Chalinze Watakiwa Kuzingatia Sheria hatua ya Uthamini.

Mkoa wa Pwani· Hidaya Omary Hadoswa· 21 Jul 2026
MASAUNI: Biashara  Hewa  ya Ukaa ni Fursa ya Kuongeza Kipato Kwa Wananchi.
Mazingira na Hali ya Hewa

MASAUNI: Biashara Hewa ya Ukaa ni Fursa ya Kuongeza Kipato Kwa Wananchi.

Mkoa wa Pwani· Hidaya Omary Hadoswa· 21 Jul 2026
POLITICS Jul 01, 2026 10 10 3

Importance of Peace for National Development

Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi.

Maelezo ya Ziada
habarileo.co.tzRead more

Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amesema nchi haiwezi kujengwa kwa maandamano na kwamba amani ni jambo muhimu kwa maendeleo ya nchi.

habarileo.co.tzRead more

Akizungumza leo Juni 1, 2026 jijini Dodoma kuhusu umuhimu wa amani katika jamii, Msita amesema maendeleo yanapatikana katika mazingira yenye utulivu na mshikamano, akisisitiza kuwa sehemu yenye maendeleo ni sehemu inayompendeza Mungu.

michuzi.co.tzRead more

Kihongosi amewataka wananchi kuendelea kulinda amani na mshikamano uliopo nchini, akisema Tanzania imeendelea kuwa mfano wa utulivu kutokana na umoja na upendo wa wananchi wake.

habarileo.co.tzRead more

Kibadeni ameyasema hayo katika mahojiano maalumu, akisisitiza umuhimu wa vijana kutumia vyema nafasi wanazopewa na kushirikiana katika kulinda amani, akibainisha kuwa ustawi wa taifa lolote unategemea uwepo wa amani.

dailynews.co.tzRead more

He called on Christians and the wider community to embrace forgiveness, love and peace as essential pillars for building a united and harmonious society.

habarileo.co.tzRead more

Ameeleza kuwa amani ni msingi muhimu wa maendeleo ya Taifa, na kusisitiza kuwa bila amani, jitihada zote za maendeleo haziwezi kufikiwa.

habarileo.co.tzRead more

Amani ni zawadi kutoka kwa Mungu na ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa. "Mungu ameturuzuku amani, ni kipaji na kipawa. Tuna kila sababu ya kuitunza na kuilinda, kwani bila amani hakuna maendeleo, wananchi hawatakuwa salama, na tutakimbia nchi yetu wenyewe," amesisitiza.

habarileo.co.tzRead more

Amesisitiza kuwa Tanzania ni kivutio cha wivu kwa watu wa mataifa mengine, kutokana na amani na utulivu iliyonayo.

habarileo.co.tzRead more

Kuhani Baraka pia amewakumbusha waumini na wananchi wote kudumisha amani wakati wa uchaguzi, akisema amani ni nguzo ya maendeleo na msingi wa haki.

habarileo.co.tzRead more

Alisema unaweza kudai vitu vyote kama vile barabara za lami, maji, hospital, katiba mpya, mishara mikubwa lakini kukiwa hakuna amani huwezi kuvitumia vitu vyote hivyo kwa kuwa watu watasambatika huko na kule kwa machafuko ya vita.

ECONOMY Apr 01, 2026 19 10 7

Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

Maelezo ya Ziada
thechanzo.comRead more

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

dailynews.co.tzRead more

The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.

bongo5.comRead more

Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.

mwananchi.co.tzRead more

wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.

thecitizen.co.tzRead more

Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.

globalpublishers.co.tzRead more

wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.

mwananchi.co.tzRead more

Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.

globalpublishers.co.tzRead more

Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani

mzalendo.co.tzRead more

Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.

mzalendo.co.tzRead more

Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.

Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.

Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”

Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.

The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.

Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.

Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.

TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI

Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8​ kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.

Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.

POLITICS Apr 01, 2026 9 4 2

Chadema's Appeal Against Political Activity Ban After 283 Days

Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 tangu kilip…

Maelezo ya Ziada
thechanzo.comRead more

In his final political move, Bungara announced his resignation from ACT Wazalendo on February 18, 2026. He formally joined CHADEMA, the nation’s largest opposition party, aligning himself with their boycott of elections they deemed fundamentally unfair.

thechanzo.comRead more

The Court of Appeal here began hearing a critical revision application from the main opposition party, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) on Tuesday, which seeks to overturn a High Court injunction that has barred it from conducting any political activities since June 2025.

mwananchi.co.tzRead more

Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa au kurejea ulingoni sasa ipo mikononi mwa Mahakama ya Rufaa, baada ya zaidi ya siku 283 tangu kilipowekewa zuio hilo.

mwananchi.co.tzRead more

Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions.

Most remarkably, just one week before his death, Bungara launched an operation to strengthen CHADEMA in the southern regions. He donated his personal vehicle and fuel to party organisers and handed over resources to young CHADEMA activists, resulting in thousands of people switching from other parties to join CHADEMA within that single week.

Mgawanyiko huo umejidhihirisha kupitia makundi mawili yenye mitazamo tofauti kuhusu mustakabali wa chama.

Sifuna alisisitiza kuwa yuko tayari kusimama imara kulinda misingi ya chama, akipinga kile alichodai ni juhudi za kukisogeza karibu na mamlaka ya serikali.

Gachagua ameanza kujijenga kama sauti mbadala ya kisiasa, hasa kwa vijana, akishambulia sera za serikali kwa madai ya kushindwa kuboresha maisha ya wananchi wa kawaida.

Kutokuwepo kwake katika mstari wa mbele wa siasa za uchaguzi wa 2027 kumeacha pengo ambalo sasa linajazwa na makundi yenye mitazamo tofauti.

NATIONAL Mar 28, 2026 28 15 7

William Lukuvi's Death Announced by President Samia Suluhu Hassan on March 25, 2026

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

Maelezo ya Ziada
dailynews.co.tzRead more

All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.

dailynews.co.tzRead more

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.

dailynews.co.tzRead more

William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo

habarileo.co.tzRead more

PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.

dailynews.co.tzRead more

Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.

habarileo.co.tzRead more

Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.

habarileo.co.tzRead more

Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.

swahilitimes.co.tzRead more

Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.

mwananchi.co.tzRead more

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

mwananchi.co.tzRead more

Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.

thecitizen.co.tzRead more

Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.

globalpublishers.co.tzRead more

Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.

globalpublishers.co.tzRead more

According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.

mzalendo.co.tzRead more

Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.

mwananchi.co.tzRead more

Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.

Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.

WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA

William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.

William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.

Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.

Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.

William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.

Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.

PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.

President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.

DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.