Gundua

79 habari
Nukta Publish

Habari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta

Unaona habari zinazohusishwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma chini (pamoja na mengine ya Gundua).

Spotlight Jeshi la magereza lashiriki maadhim…

WAZIRI PROF. RIZIKI SHE AWAPONGEZA WATUMISHI WALIOSHIRIKI WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2026.

Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Spotlight Serikali yaimarisha utayari wa kuka…

MAFUNZO YA KUJIKINGA NA MLIPUKO WA UGONJWA WA EBOLA YATOLEWA KWA MAAFISA WATENDAJI KATA NA MITAA .

Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Spotlight Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Kuongoz…

WANANCHI DODOMA WAHIMIZWA KUTUNZA MAZINGIRA KUPITIA MAZINGIRA MARATHON 2026

Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Kilimo, Misitu na Uvuvi Maonesho ya nanenane kanda ya kaska…

WANANCHI WAKARIBISHWA KUJIFUNZA UKULIMA WA KISASA BANDA LA HALMASHAURI YA JIJI DODOMA

Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Afya na Huduma za Jamii Tramepro yahimiza ushirikiano kulin…

WATAALAM WA LISHE WAHIMIZA UNYONYESHAJI NDANI YA SAA MOJA BAADA YA KUJIFUNGUA

Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Makala kuhusu matukio yaliyopita

Habari nyingine

UFUGAJI SAMAKI WA MAPAMBO FURSA YA KIUCHUMI DODOMA
Kilimo, Misitu na Uvuvi

UFUGAJI SAMAKI WA MAPAMBO FURSA YA KIUCHUMI DODOMA

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· TUTINDAGA JACOB NKWINDI· Siku 5 zilizopita
WANANCHI WAKARIBISHWA KUJIFUNZA UKULIMA WA KISASA BANDA LA HALMASHAURI YA JIJI DODOMA
Kilimo, Misitu na Uvuvi

WANANCHI WAKARIBISHWA KUJIFUNZA UKULIMA WA KISASA BANDA LA HALMASHAURI YA JIJI DODOMA

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· TUTINDAGA JACOB NKWINDI· 01 Ago 2026
WATAALAM WA LISHE WAHIMIZA UNYONYESHAJI NDANI YA SAA MOJA BAADA YA KUJIFUNGUA
Afya na Huduma za Jamii

WATAALAM WA LISHE WAHIMIZA UNYONYESHAJI NDANI YA SAA MOJA BAADA YA KUJIFUNGUA

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· TUTINDAGA JACOB NKWINDI· 29 Jul 2026
HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA YAWAKARIBISHA WANANCHI NANENANE KUPITIA DODOMA FM
Kilimo, Misitu na Uvuvi

HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA YAWAKARIBISHA WANANCHI NANENANE KUPITIA DODOMA FM

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· TUTINDAGA JACOB NKWINDI· 29 Jul 2026
JIJI LA DODOMA LAJIANDAA KWA NGUVU KUTETEA UBINGWA SHEMISEMITA 2026
Michezo

JIJI LA DODOMA LAJIANDAA KWA NGUVU KUTETEA UBINGWA SHEMISEMITA 2026

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· TUTINDAGA JACOB NKWINDI· 29 Jul 2026
SERIKALI YAWEKA MIUNDOMBINU WEZESHI YA VIJANA KUJITAFUTIA KIPATO
Matukio

SERIKALI YAWEKA MIUNDOMBINU WEZESHI YA VIJANA KUJITAFUTIA KIPATO

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· Justine Justinian Mpira· 22 Jul 2026
WATAALAM WA MANISPAA YA ILEMELA WAJIFUNZA MBINU BORA ZA USAFI NA UTEKELEZAJI WA MIRADI JIJINI DODOMA
Habari

WATAALAM WA MANISPAA YA ILEMELA WAJIFUNZA MBINU BORA ZA USAFI NA UTEKELEZAJI WA MIRADI JIJINI DODOMA

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· Justine Justinian Mpira· 17 Jul 2026
JIJI LA DODOMA KINARA UTEKELEZAJI AFUA ZA LISHE
Afya

JIJI LA DODOMA KINARA UTEKELEZAJI AFUA ZA LISHE

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· Justine Justinian Mpira· 15 Jul 2026
WANANCHI WA KATA YA CHANG'OMBE WAHIMIZWA KULINDA MIUNDOMBINU.
Miundombinu

WANANCHI WA KATA YA CHANG'OMBE WAHIMIZWA KULINDA MIUNDOMBINU.

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· Justine Justinian Mpira· 14 Jul 2026
MWAKA MPYA WA FEDHA WATAJWA CHANZO CHA KUONGEZA UBUNIFU, UWAJIBIKAJI NA USHIRIKIANO KAZINI
Habari

MWAKA MPYA WA FEDHA WATAJWA CHANZO CHA KUONGEZA UBUNIFU, UWAJIBIKAJI NA USHIRIKIANO KAZINI

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· Justine Justinian Mpira· 13 Jul 2026
DC JABIR SHEKIMWERI AWATAKA MAAFISA USTAWI NA NGO'S KUUNGANA KUTOKOMEZA UKATILI WA JINSIA
Habari

DC JABIR SHEKIMWERI AWATAKA MAAFISA USTAWI NA NGO'S KUUNGANA KUTOKOMEZA UKATILI WA JINSIA

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· Justine Justinian Mpira· 13 Jul 2026
MAANDALIZI YA NANENANE YAPAMBA MOTO DODOMA
Habari

MAANDALIZI YA NANENANE YAPAMBA MOTO DODOMA

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· Justine Justinian Mpira· 10 Jul 2026
MAZOEZI YA MARA KWA MARA YAJENGA JAMII YENYE AFYA NA UWEZO WA KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO.
Habari

MAZOEZI YA MARA KWA MARA YAJENGA JAMII YENYE AFYA NA UWEZO WA KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO.

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· Justine Justinian Mpira· 10 Jul 2026
DC SHEKIMWERI  AFANYA ZIARA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA MZUNGUKO WA NJE DODOMA.
Miundombinu

DC SHEKIMWERI AFANYA ZIARA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA MZUNGUKO WA NJE DODOMA.

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· Justine Justinian Mpira· 08 Jul 2026
BARAZA LA BIASHARA DODOMA LAPONGEZA JIJI KWA KUWEZESHA WAJASIRIAMALI
Sekta Binafsi

BARAZA LA BIASHARA DODOMA LAPONGEZA JIJI KWA KUWEZESHA WAJASIRIAMALI

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· Justine Justinian Mpira· 07 Jul 2026
WAZIRI NANAUKA ATEMBELEA BANDA LA JIJI LA DODOMA SABASABA, 2026
Matukio

WAZIRI NANAUKA ATEMBELEA BANDA LA JIJI LA DODOMA SABASABA, 2026

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· Justine Justinian Mpira· 05 Jul 2026
JIJI LA DODOMA LAWAALIKA WAWEKEZAJI WA NDANI NA NJE KUTUMIA FURSA MTAMBUKA ZINAZOPATIKANA DODOMA.
Habari

JIJI LA DODOMA LAWAALIKA WAWEKEZAJI WA NDANI NA NJE KUTUMIA FURSA MTAMBUKA ZINAZOPATIKANA DODOMA.

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· Justine Justinian Mpira· 02 Jul 2026
KASI YA UKUAJI WA SEKTA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI JIJINI DODOMA YAWAVUTIA WANAOTEMBELEA SABASABA, 2026
Habari

KASI YA UKUAJI WA SEKTA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI JIJINI DODOMA YAWAVUTIA WANAOTEMBELEA SABASABA, 2026

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· Justine Justinian Mpira· 02 Jul 2026
BONAZA LAWAJENGEA WATOTO WA IYUMBU UELEWA WA HAKI NA ULINZI DHIDI YA UKATILI
Matukio

BONAZA LAWAJENGEA WATOTO WA IYUMBU UELEWA WA HAKI NA ULINZI DHIDI YA UKATILI

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· Justine Justinian Mpira· 01 Jul 2026
JIJI LA DODOMA,KARIAKOO DERBY TREE WAUNGANA KUPANDA MITI KUIMARISHA UHIFADHI WA MAZINGIRA
Habari

JIJI LA DODOMA,KARIAKOO DERBY TREE WAUNGANA KUPANDA MITI KUIMARISHA UHIFADHI WA MAZINGIRA

Halmashauri ya Jiji la Dodoma· Justine Justinian Mpira· 01 Jul 2026
POLITICS Jun 25, 2026 7 7 4

Keir Starmer's Resignation as UK Prime Minister

Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na uongozi wa chama tawala cha Labour.

ECONOMY Apr 01, 2026 12 8 7

Tanzania's Vision 2050: Transforming Economy to 1 Trillion USD

Vision 2050, which seeks to transform the country into a high-income, industrialled economy valued at 1 trillion US dollars.

Maelezo ya Ziada
dailynews.co.tzRead more

Vision 2050, which seeks to transform the country into a high-income, industrialled economy valued at 1 trillion US dollars.

mzalendo.co.tzRead more

Utekelezaji wa DIRA 2050, unaokadiriwa kugharimu takribani dola za Marekani trilioni 1, utategemea kwa kiasi kikubwa uwekezaji wa sekta binafsi unaotarajiwa kuchangia zaidi ya asilimia 70 ya gharama za utekelezaji.

tanzaniainvest.comRead more

Tanzania is strengthening its engagement with the African Trade and Investment Development Insurance (ATIDI) to support private sector-led growth, as the country targets a 70% private sector contribution to the economy under its Development Vision 2050.

thecitizen.co.tzRead more

Her message comes at a critical time for Tanzania, whose population is projected to grow from about 67 million today to over 120 million by 2050.

dailynews.co.tzRead more

The Tanzanian government has stated that the recommendations contained in the Economic Freedom Audit Report will drive policy reforms, strengthen economic freedom, and significantly contribute to Tanzania’s journey towards a strong and competitive economy by 2050.

tanzlite.comRead more

Best goal: 'Generate TZS 70 million in revenue, with 8 new clients in Q1–Q2 via content marketing.'

mwananchi.co.tzRead more

Lead generation: 90 qualified inquiries per year.

bongo5.comRead more

Retention: 70% repeat business.

Target ARPU of TZS 5 million.

CAC under TZS 300k.

Dk Mwigulu amewataka wakuu wa mikoa kusimamia kikamilifu maandalizi na mapokezi ya wanafunzi wa elimu msingi ya lazima ya miaka 10, watakaojiunga na kidato cha kwanza mwaka 2028 kwa kukamilisha miundombinu na huduma zote muhimu.

Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba ameyabainisha hayo leo Bungeni Dodoma wakati akiwasilisha hotuba ya mapito na mwelekeo wa kazi za Serikali, Makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2026/27 ambapo amesema kuwa utekelezaji wa Dira 2050 unakusudia kuifanya Tanzania kuwa na uchumi wa thamani ya dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050, huku wastani wa pato la mtu mmoja mmoja ukitarajiwa kufikia dola 7,000 kwa mwaka.

ECONOMY Apr 01, 2026 19 10 7

Tanzania Fuel Prices Surge Over 30% Due to Middle East Conflict

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

Maelezo ya Ziada
thechanzo.comRead more

In April 2026, Tanzanian fuel prices soared over 30 per cent in one month due to the Middle East conflict, despite government assurances of adequate reserves.

mwananchi.co.tzRead more

wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864. Kwa upande wa dizeli, lita moja sasa watanunua kwa Sh3,806 kutoka Sh2,858 ikiwa ni ongezeko la Sh948. Kwa upande wa mafuta ya taa, sasa yatanunuliwa kwa Sh3,684 kutoka Sh2,932 iliyokuwa ikitumika Machi mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh752.

thecitizen.co.tzRead more

Ongezeko la bei ya mafuta halipo Tanzania pekee, bali hata katika soko la dunia ambapo bei kikomo kwa Aprili 2026, zimeongezeka kwa asilimia 69.98 kwa mafuta ya petroli, asilimia 114.46 kwa mafuta ya dizeli na asilimia 120.81 kwa mafuta ya taa.

globalpublishers.co.tzRead more

wanunuaji wa mafuta kwa bei ra rejareja yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam watalazimika kuongeza Sh956 katika kila lita moja ya mafuta baada ya bei kufikia Sh3,820 kutoka Sh2864.

mwananchi.co.tzRead more

Kwa mujibu wa Ewura, ongezeko hilo la bei za mafuta ni janga la kidunia na Tanzania kama sehemu hiyo inachukua hatua mbalimbali kuhakikisha usalama wa upatikanaji wa mafuta nchini na katika bei himilivu ili kupunguza madhara ya kiuchumi na kijamii.

dailynews.co.tzRead more

The Tanzania Revenue Authority (TRA) has introduced a new billing number system for the loading and offloading of fuel at storage depots, aimed at enhancing transparency, boosting government revenue collection and ensuring compliance without disrupting supply.

globalpublishers.co.tzRead more

Kufungwa kwa mlango huu muhimu wa bahari kunasababisha athari kubwa kimataifa, hasa kiuchumi na kiusalama: 1️⃣ Kupanda kwa bei ya mafuta duniani

mzalendo.co.tzRead more

Kufungwa kwake kunasababisha uhaba wa mafuta sokoni. Bei ya mafuta na gesi inapanda haraka, na kuathiri gharama za usafiri, umeme na bidhaa nyingine.

mzalendo.co.tzRead more

Kufungwa kunaweza kusababisha mvutano au mapambano kati ya mataifa yenye maslahi ya kiuchumi na kiusalama katika eneo hilo.

bongo5.comRead more

Nchi kama Saudi Arabia, UAE, Kuwait, Qatar na Iraq zinapoteza njia yao kuu ya kuuza mafuta.

Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.

Dk Mwigulu amesema: “Tumeona bei zimeshaanza kupanda, tutakaa ndani ya Serikali kuhakikisha tunakabiliana nalo vipi suala hili ili wananchi waendelee kupata mafuta kwa bei nzuri na kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha.”

Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa ghala la kupokea na kuhifadhi mafuta lenye uwezo wa kupokea tani 308,110 katika Bandari ya Dar es Salaam ambao umefikia asilimia 30.

The authority attributed the rise to the ongoing geopolitical tensions in the Middle East, particularly involving the United States, Israel and Iran, which began on February 28, 2026, and have significantly disrupted global oil supply.

Wakati huohuo, athari za vita hivyo zimeanza kuhisiwa na wananchi wa Marekani, ambapo bei ya mafuta imeendelea kupanda na kufikia zaidi ya dola 4 kwa galoni, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022.

Hali hiyo inachangiwa na usumbufu katika eneo la Strait of Hormuz, ambalo ni njia muhimu inayopitisha takriban robo ya mafuta yanayotumika duniani.

TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA MASHARIKI YA KATI

Kwa mwezi Aprili 2026, gharama za kuagiza mafuta (premiums) katika Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka kwa wastani wa asilimia 15.3 kwa mafuta ya petroli na asilimia 10.8​ kwa mafuta ya dizeli na hakuna mabadiliko ya gharama kwa mafuta ya taa.

Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.

NATIONAL Mar 28, 2026 28 15 7

William Lukuvi's Death Announced by President Samia Suluhu Hassan on March 25, 2026

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

Maelezo ya Ziada
mwananchi.co.tzRead more

Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka juu ya msiba huo wa Lukuvi aliyezaliwa Agosti 15, 1955.

dailynews.co.tzRead more

William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo

habarileo.co.tzRead more

PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced the death of the former Minister of State in the Prime Minister’s Office, (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) William Lukuvi, who passed away this morning, March 25, 2026.

mwananchi.co.tzRead more

Additionally, the Head of State extended her condolences to the Speaker of Parliament, the bereaved family, residents of Isimani Constituency, and all Tanzanians mourning the loss.

thecitizen.co.tzRead more

Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani William Vangimembe Lukuvi amefariki duinia akiwa na umri wa miaka 70.

dailynews.co.tzRead more

Mbunge wa Isiman, William Lukuvi amefariki dunia, huku aliyekuwa mshindani wake katika mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa ubunge wa Isimani, Festo Kiswaga, akifunguka mambo atakayoyakumbuka.

habarileo.co.tzRead more

Kiswaga, amesema anamkumbuka kiongozi huyo kwa utendaji wake Isimani, kwani aliingia likiwa jipya na halikuwa na hata shule moja ya sekondari, lakini sasa zimefika zaidi ya 10.

habarileo.co.tzRead more

Taarifa ya kifo chake imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kisuluka, akimnukuu Rais Samia Suluhu Hassan, aliyesema amesikitishwa na anatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.

globalpublishers.co.tzRead more

Lema ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuzungumzia kifo cha Lukuvi akisema: “Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha.

globalpublishers.co.tzRead more

According to a statement issued by the Parliament’s Communications and Public Relations Unit, Mr Zungu invoked Rule 176 of the Standing Orders of the National Assembly (August 2025 edition) to suspend the sittings.

mzalendo.co.tzRead more

Reports of the death of the Isimani Constituency MP in Iringa Region, who had served in Parliament since 1995, began circulating earlier in the day before being confirmed by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka.

swahilitimes.co.tzRead more

Ambassador Kusiluka conveyed condolences from President Samia Suluhu Hassan, who announced the death and sent her sympathies to the people of Isimani and to the Speaker of the National Assembly.

mwananchi.co.tzRead more

Mr Lukuvi’s death brings to three the number of MPs who have died during the 13th Parliament since its inauguration by President Hassan.

dailynews.co.tzRead more

All Parliamentary Standing Committee meetings have been suspended today, March 25, 2026, following the death of Isimani MP and Minister of State in the Prime Minister’s Office, William Lukuvi.

dailynews.co.tzRead more

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema taifa limepoteza kiongozi shupavu, mahiri na mzalendo kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi.

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu leo Machi 25, 2026, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, William Vangimembe Lukuvi.

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha William Vangimembe Lukuvi kilichotokea leo Machi 25, 2026.

Rais Mwinyi amesema taifa limepoteza kiongozi muhimu ambaye amelitumikia kwa uadilifu na kujitolea katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa muda mrefu.

WAZIRI LUKUVI AFARIKI DUNIA

William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa.

William Vangimembe Lukuvi ambaye amefariki leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania aliyetoa mchango mkubwa katika siasa za kitaifa. Ametumikia nafasi mbalimbali za uongozi serikalini na kujijengea sifa ya uongozi thabiti kupitia utumishi wa muda mrefu serikalini na uwakilishi wake bungeni.

Mpina ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akizungumza na Mwananchi amesimulia sababu iliyotaka kumfanya kuikataa bajeti hiyo, kwamba Mpango wa Maendeleo ulikuwa unaeleza Serikali itatenga asilimia 35 ya bajeti kutelekezwa kwenye maendeleo lakini yenyewe ikatenga asilimia 22.

Mdee amesema Lukuvi alikuwa akichukua ushauri na mapendekezo ya hotuba za kambi ya upinzani bungeni na kwenda kuvifanyia kazi kwa vitendo.

William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) akiagwa bungeni Dodoma.

Speaker of the National Assembly, Mussa Zungu, has described the death of Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities) and Isimani MP William Lukuvi as a major blow not only to his family, but also to the Parliament, government, and Tanzanians at large.

PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.

President Samia Suluhu Hassan is expected to join thousands of mourners in Iringa next Tuesday to honour the late Minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliament, Coordination and Persons with Disabilities), who passed away on Wednesday at Benjamin Mkapa Hospital in Dodoma Region.

DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has paid glowing tribute to the late William Lukuvi, saying he has long benefited from the veteran politician’s wisdom, guidance and selfless dedication to public service, especially since his first appointment as Deputy Minister for Finance.