Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Launch of AFCON Kitaa 2027 Campaign by TASWA on October 30, 2026

Latest Tanzania sports news · Launch of AFCON Kitaa 2027 Campaign by TASWA on October… explained · 2027 updates · updated Aug 13, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • DAR ES SALAAM; Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kimeandaa kampeni maalumu ijulikanayo kama ‘AFCON Kitaa 2027’, ambayo itazinduliwa rasmi Oktoba 30, 2026 jijini Dar es Salaam.
  • Pia kuelekea uzinduzi rasmi wa AFCON Kitaa 2027, TASWA itaendesha warsha na makundi ya wanahabari kwa awamu tofauti, ikiwa ni mwendelezo wa mpango wake iliouanzisha Aprili, 2026 jijini Dar es Salaam ujulikanao kama.
  • Amesema Aprili 24, 2026 TASWA ilianza Awamu ya Kwanza ya Mpango wa Mustakabali wa Uandishi wa Habari za Michezo kwa kuendesha warsha iliyohusisha wanahabari chipukizi, wahariri wa habari za michezo na waaandishi magwiji.
  • Taarifa iliyosainiwa na Mwenyekiti wa TASWA, Amir Mhando, imesema kampeni hiyo ni mahususi kwa wanataaluma ya habari kwa ajili ya Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON), zitakazofanyika nchini mwaka 2027 na itahusisha.
  • Amesema Kampeni ya AFCON Kitaa 2027 inatarajia kufikia makundi mbalimbali kuanzia wanahabari, wanamichezo, wanasiasa, wafanyabiashara, watumishi wa umma, wajasiriamali, vijana, wanawake na wanafunzi kuyataja kwa.

Latest news excerpts & sources: Launch of AFCON Kitaa 2027 Campaign by TASWA on October…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.